MAAJABU! MTOTO AZALIWA na NENO 'ALLAH' SHINGONI - ANATIBU kwa DUA - ''CHINI ya MACHO ANA TOCHI''...
MAAJABU! MTOTO AZALIWA na NENO 'ALLAH' SHINGONI - ANATIBU kwa DUA - ''CHINI ya MACHO ANA TOCHI''...
NI MTOTO WA KIUME, ANAJULIKANA KWA JINA LA HIDHRI BIN ALLY, AMBAYE HAPENDI KUITWA MTOTO, BALI KIJANA AU KIPENZI CHA ALLAH.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Пікірлер: 95
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Allah atampa Elm ZAIDI InshaAllah Allah ataqabal DUA ZENU Ameen. Tuko pamoja
Mashallah mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Allahumma barik Nakuomba Baba Mtoto kila unapomsif mtoto useme Mashallah Allah akuwekee watoto wazur Mashallah Sharifat namkumbuka inerview yake Allah awakuze waje wawe Tumain kubwa kwa jamii Allahumma barik 🤲🤲🤲😍😍😍😍
Mungu amlinde kwakila shali
MashaAllah Mungu amlinde na amkinge na kila balaa
@asilahassan9965
Ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin amkinge na husda pia
Waislam ombi langu huyo ni mtoto kama watoto wengine ambae Allah amemuongoza kama anaonyesha dalili za kupenda dini isije ikawa watu washaanza kumfanya sharifu na kumpa fimbo na uganga tumuombee dua awe katika msimamo na afundishwe dini vinginevyo mtampoteza huyo mtoto.
@UkhtyAsiyaah
Ай бұрын
Allah amlinde maana iyo kumuweka mitandaoni wanamtatfia Matatizo
@user-yb6wh1bk9d
Ай бұрын
Lkn hiyo fimbo haifai kwani kutumia mbona nabii mussa km cjakosea alitumia fimbo kupasua bahari km shirk na ndomana ht baba yk kasema mtu mwenye karama mcha mungu ht mkate tu akikupa tu Kwa tiba ni dawa na kumtoa ktk vyombo vya habari wanamfata wao waandishi na pia asinge tolewa ht ww ungekua humjui km Kuna mtt km huyo ht wengine wenye matatizo nivizuri watu wajue wenye matatizo
@Hamis-ks1sy
Ай бұрын
@@user-yb6wh1bk9d kuhusu fimbo tutaangalia kama ni sunna ndipo tutatumia na sio kwasababu katumia Nabii Musa Alayhissalaam maana ile ilkua ninmuujiza sisi wengine hatujapewa muujiza
Hakika Allah SW ni Mwingi wa Rehma na Mwingi wa Miujiza. Allah SW Aiongoze familia nzima isimame katika njia alizotuamuru.
@asilahassan9965
Ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote
TabarakaAllah Ma Sha Allah Alhamdelilah 🤲🤲
Ma shaa laah. Mwenyezi Mungu amklinde
Mashaallah Mwenyzi mungu akuhifadhi mtot mzuri naomba na dua yako mwanangu na aisha laurenti
Amiiin....Masha Allah Tabarakallah
Mashaallah Allha 💖💖💖
Mungu ni mwema💗💗💗
MASHAALLAH. Allah. Atuweke sote na awalinde kwa kila shari zote
Masha Allah tabarraka rahmani ❤❤
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH
Hiyo ni kweli baba mtt unapo msifu mtt wk sema mashallah Mashallah
Mashallah ustaz meu deus
Masha Allah💖💖💖
Maashallah ❤❤❤
Allahumma barik ❤☝️
Maashallah
MashaAllahu tabarkaallahu
Hapo hamna cha kushangaza mpelekeni madrasa na shule akasome na achaneni na media au kama munataka kuwatapeli wàtu basi ndio njia mulioichagua
@user-ij9te1ck9p
Ай бұрын
Na wako tuonyeshe alichonacho mdogo km yeye
Mwenyezi mungu nimkubwa
Ma Shaa Allah
Mashallah tabarakallah
Maa Shaa Allah
Mashallah barakallaw
Ma shaa Allah
Mashaallah Mashaallah
Mashalllah
Masha Allah
Takbir Allah Akbar
Alhamdulillah rabil alamina
MashaAllah ❤❤❤
Mashaallah ❤
Akamuombee hawa kafanyiwa updation 24
@user-ur7pw9ek6s
Ай бұрын
Kwakweli🎉🎉🎉
Manshaala.
Mashallh tabarakarrahmaan
MashaAllah
Assalamu alaykum mashaallah tunaomba namba
اللهم احفظه
good ❤❤❤❤❤❤
Mashaallah
Subhanallaha
Assalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh . Naitwa Fatuma naomba dual ya shekh .
Waislamu acheni uchawi,huo ni uchawi hakuna kingine
Mashallha
🙏🙏🙏🙏
Sasa mbona mjatuonyesha jina la Allah kwenye shingo yake ingekuwa vizuri mngetuonyesha
@user-jl6pd1yp1n
Ай бұрын
Ww kafir
Hebu tuoneshe jmni hyo alama
Allahu Akbar
❤❤
Asalam alykum naomba namba za sm shekhe
Allahu Akbaru
ndio aakamtembele hawa hospitalini jamani kwarehma za ALLAH jamani
Assalamu allaykum 2naomba mu2oneshe hilo jina tafadhali
@user-jl6pd1yp1n
Ай бұрын
Ww mbwa huamini
@HalimaAthuman-us8gi
Ай бұрын
Jitahidi kuwa na maneno ya heshima @@user-jl6pd1yp1n
Niombeni jmn iyo dua naitwa mwajabu
Alla azidi kumuongoz
Hao watoto wanapatikana inchi tofauti hata Rwanda nime muona tena amazaliwa na Wakristu
@KhananiGharib
Ай бұрын
Huyo ndie Allah mwenye viumbe vyake
Asalam aleykum jamani mutusaidie na number ya baba Sharifa jamani tunatamani Duaa tupo mbali kwa inshi za mbali
@dawud6065
Ай бұрын
Duaa jiombe mwenyewe. Wataka kuombewa Dua kwa lipi
waekaji commet wengine muache roho mbaya hamna kauli nzuri
Naitwa zuhura naomba dua
Hawa kafanyiwa operation 24 akafanyiwe dua
huyu mpekeke kwa sheikh khamis bin ame akasome kwa masalafi
@habibasalim3092
Ай бұрын
Yes anatakiwa kusoma na Salafiya methodology,
Ukiona hajakukataza kukaaa na huyo mdada anaekuhoji hapo hamna cha uchamungu
@abeidasalum5642
Ай бұрын
hhhhhhhh
Nipo mbali siwezi kufika
Somesheni mtoto acheni upumbavu na ujinga
watoto wenye vipaji kama hivyo hutokea,ukisoma tarjama za maimamu wakubwa,kama imaamu SHAAFY,imaamu maaliki na wengi ktk maahafidhi waluzaliwa na vipaji kama hivyo!!ila hawa aanatakiwa waende kusoma kwa masheikh wenye misimamo ya sawa ktk dini,si kuwaita masharifu na kuanza kufanya vitega uchumi!!
@naimamohamed2216
Ай бұрын
Kabisa kabisa
Anapatikana wapi jamani!!!
N Mototo wa kawaida tena msimfanye nd kama ni Mototo wa kawaida maana apo tena watu watamuona kama mtume
@RahimaMct-ik8mr
Ай бұрын
😂😂😂😂 nime cheka. Nilikuwa sitaki hata kukomenti.
@RahimaMct-ik8mr
Ай бұрын
Ni mtoto mwenye karama lakin mge muacha kwanza. Man umri mdogo sana Allah amuongoze
@SuleimanKhdija
Ай бұрын
😅😅😅Astaghfirullah
@Awatee
Ай бұрын
😂😂😂Upo@@SuleimanKhdija
@Zuu673
Ай бұрын
Wewe unaweza?
MashaAllah
Mashaallah