#LIVE

#habari

Пікірлер: 9

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz3 күн бұрын

    Sukari Bado Bei kubwa mzee Mangy baba tunakukumbuka sana ila ulisema

  • @ostenmwakasita6960
    @ostenmwakasita69603 күн бұрын

    Makampuni hambayo yarishindwa kuchukua vibali mliwachukulia hatua Gani na makampuni yalioshindwa kuagiza sukuri mliwachukulia hatua Gani

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz3 күн бұрын

    Bod ya sukari mnafel wap.kuna kapun serkal kuna ubia halafu hawakuchukua vibali na selkal mmo. Hamuon kama hata kampun zingine zitaona ni hiar ama zisichukue kabisa. Chukuen hatua kama Sheria za kuajibisha.

  • @pueblo148
    @pueblo1483 күн бұрын

    Nawasililiza vizuri nikiwa Simiyu nataka kuelewa vizuri tatizo liko wapi?

  • @SaimoniAnatory-zk8eo
    @SaimoniAnatory-zk8eo3 күн бұрын

    Hata kapun za serikari hawakuchukuwa kibari ,hauoni kuwa kunatatizo

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga43553 күн бұрын

    Wananchii Tushaelewa Mbivu na Mbichi hukuna haja ya kulizungumzia ...Pia Sukali Ishuke Bei ndo hayo yatakua Na Tija.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im3 күн бұрын

    Amani haichungiki bila ya haki. Nchi nyingi za kiafrika zinakosa amani kwaajiri ya dhuluma za wengi. Wabunge wa Tanzania badała ya kutetea haki ya waliowaweka bungeni wanatetea interests za wachache wanao wadhulumu wengi. Usiposema ndiyo bungeni unakuwa Aduwi wa serikali na unashutumiwa na wote. Ukweli unakuwa uwongo. Demokrasia gani hii? Mbunge ana haki ya kutetea wananchi na sio kuiunga mkono serikali na sifa nyingi kwa Rais bila ya kuwajali wananchi. Tanzania ni masikini kwa wizi na ufisadi wa watu wachache kujilimbikizia mali za watanzania. Hawakamatwi, wala kusemwa. Ukiwasema bungeni yanakupata yaliyompata Mpina

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im3 күн бұрын

    ACHENI kudanganya wananchi kwa kuwafanya wajinga. Muuza mobile anawezaje kupewa tenda ya kuingiza sukari za mabilioni? Viongozi karibu wote mumekuwa machawa.

Келесі