Kuna vitu ukielezwa na wakubwa usiulize kwanini wewe Fanya Tu- Sheikh Walid Alhad

Пікірлер: 113

  • @AshamanenoYusuph-rd3eq
    @AshamanenoYusuph-rd3eq9 ай бұрын

    Mashaallah wallah sheh upo vzr saaana asiyekuelewa ana dini ila yupo kimaslahi ya dunia tu Allah akuongoze sheh wetu.

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed13103 ай бұрын

    Huyu shekhe nampenda sana yaani akizungumza kama hataki sio wale mashekhe wengine wanasema kama wanagombana mungu akulinde shekhe wetu inshaallah

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma20853 ай бұрын

    Sheikh langu usiumize vichwa Mtume ( s a w)alituambia itafika siku watu watataka kujua nasaba ya Mumba wetu.Ghafuru Rahim .Astagfirullah.Yarrabi tufanye kuwa samiina wa twaana,Amin.

  • @user-gp9vg6sw6e
    @user-gp9vg6sw6e6 ай бұрын

    Tumekuelewa sana wasiokuelewa Wana shida zao Allah akulinde kama alivyo mlinda MTUME pangoni lnshaa Allah

  • @user-gp9vg6sw6e
    @user-gp9vg6sw6e6 ай бұрын

    Maashaa Allah Shekhe wetu tunavuna hekma zako Allah akulinde na maadui pembe zote duniani❤

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed61453 ай бұрын

    SUBHANALLAH ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek

  • @hajiissa9200
    @hajiissa92008 ай бұрын

    Masha allah from kijitonyama

  • @UessoSalimo-cd3mw
    @UessoSalimo-cd3mw9 ай бұрын

    Mashallah from Mozambique

  • @saidilaay9490
    @saidilaay94909 күн бұрын

    Katika barazanji anayezungumziwa ni mtume Muhamad S.A.W kufuata quran na suna sifa zake alizonazo. Tusiwe wabishi turejee darasani.

  • @hanspop6961
    @hanspop69616 ай бұрын

    Mashallah from USA

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.39759 ай бұрын

    Walaa taquulu limayyuqutalu fii sabilillah amuwaat, bal ahyaaa uwwalaakillaa tash'whuruun. Swadakallah kheyr.

  • @issaathumani-je7iy
    @issaathumani-je7iy9 ай бұрын

    masha allah allah ni mkubw

  • @moanamessi1749
    @moanamessi17499 ай бұрын

    Mashaallah tabaraka llah

  • @iddymohammed1890
    @iddymohammed18904 ай бұрын

    baraqal llahu fi qum

  • @khadijamohamed8919
    @khadijamohamed89199 ай бұрын

    Mashaallah Mashaallah

  • @user-xj4ye2mt4o
    @user-xj4ye2mt4oАй бұрын

    Endelea shekheee ivyo ivyooo ukosahihi kabisaaaa

  • @user-di8me2wb7p
    @user-di8me2wb7p9 ай бұрын

    ❤mashaLLAH

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u4 ай бұрын

    Swala Allahu alaihi wassallam Waalaalihi

  • @user-vy7jd5th5e
    @user-vy7jd5th5e6 ай бұрын

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh...muogope ALLAH sheikh haya maisha ya dunia ni yakupita tu tungeneza akhera yako vyemaaa uongo ni katika maas nawe wajua alafu wadanganya ummah... Allah akuongoze katika Haq

  • @user-sl8tr8vq4c

    @user-sl8tr8vq4c

    2 ай бұрын

    Umedanganywa nn

  • @rajabumsuya-hg8jd

    @rajabumsuya-hg8jd

    Ай бұрын

    Wanatumia kiarabu kuhalalisha bidaa

  • @abdalahaby3658
    @abdalahaby365811 күн бұрын

    Kwa wenye D mbili tu ndo hawajamuelewa Waleed hapa.

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid88 ай бұрын

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma20853 ай бұрын

    😂😂😂😂😂utatunzwa sana 😂😂😂😂

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026Ай бұрын

    Shekhe Mimi ninasuali ambalo najaribu kuliulizia ulizia lkn sijabahatika kuona nimejibiwa, Suala ni hii elimu inayoitwa BARAHATII jee ni elimu isiyo na mashaka yeyote juu ya muisilamu kama ataiamini na kuitenda,? Hebu naomba unifafanulie faida zake za jumla na kama Kuna hasara zake pia unifafanulie Ili nijuwe ukweli wake

  • @hasnaly
    @hasnaly2 ай бұрын

    😂😂 hii kabisa inamuhusu mood bachu

  • @warshysaid8564
    @warshysaid85649 ай бұрын

    Allah anasema mtume haongeei kwa matamanio yake bali ni wahyi kukoka kwa mola wake sasa anaejuwa ghaibu ni allah pekee mtume anapewa wahyi tuu kwa kilacho au kitakachotokea mbele ili kuwaelimisha waislamu waliopo muda huo ambao ni maswahaba na hajao mbele mpka sisi wasasa na watakao kuja baada yetu ili kujitasimini kwa kila kinachotokea ktk maisha yetu sasa kusema mtume anajuwa ghaibu unakosea sheikh wetu

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x3 ай бұрын

    سبحان الله hayamaneno yamlmungu mnasema uwengo muogopenemlungu

  • @abdalahaby3658

    @abdalahaby3658

    11 күн бұрын

    Kajifunze kuandiaka ndugu

  • @user-db5sx4ex3x
    @user-db5sx4ex3x7 ай бұрын

    A/alaikum shekh samahani nilikuwa naswali nje yamada Yako nilitakakujuwa hekma yakutoa sauti katika swala ya mag'haribi,ishaa,na alfajiri?

  • @selemaniselemani591
    @selemaniselemani5919 ай бұрын

    Mtume s.a.w hasifiwi, anafwatwa.

  • @mahmoudally3906

    @mahmoudally3906

    6 ай бұрын

    Allah ndiye aliyeanza kumsifia na pia ndiye aliyeamrisha tumfuate. Na alisifiwa hata kabla ya watu kujua kuwa yeye ni Mtume. Sasa utajipa tabu kuzuia asisifiwe, sema tu kuwa asisifiwe sifa zitakazopelekea watu kumuabudu au kumfananisha na Mungu.

  • @IbraFareed

    @IbraFareed

    2 ай бұрын

    Sele umesoma wap 😂😂

  • @nshimirimanadjibril
    @nshimirimanadjibril9 ай бұрын

    unashindwa kuchunga mapenzi yake kwa mtume

  • @fay9687
    @fay96879 ай бұрын

    Hhhh hata kama anakupoteza kwani wakubwa hawakoseiii

  • @fikafikan8484

    @fikafikan8484

    9 ай бұрын

    Hawakupotezi kwa sababu wao wakuelekeza kupitia quran na hadithi sasa utakosea vp wakati watumia quran na hadithi

  • @rydertz3372

    @rydertz3372

    9 ай бұрын

    Umesoma tuu caption au umeskiliza mpka mwsho!!???

  • @saydouside9468

    @saydouside9468

    9 ай бұрын

    mwambie hata wahuni wanazeeka...Barzanji imezua mambo...na waislam hataki kusoma..akisoma yoyote akitoka na kiarabu ..huyo no shekh duuuuuh

  • @fikafikan8484

    @fikafikan8484

    9 ай бұрын

    @@saydouside9468 ww ndio hutaki kusoma na bachu wako ungesoma ungemuelewa barzanji kumbe muko wengi mahasidi wa mtume Allah atawashinda insha Allah

  • @fay9687
    @fay96879 ай бұрын

    Hivi hawa ndio viongozi wetu kweli sijui wamesomea wapiii

  • @salehislem671

    @salehislem671

    9 ай бұрын

    Tulia wewe majnoon...huna ulijualo

  • @rydertz3372

    @rydertz3372

    9 ай бұрын

    Kakosea nn katika maongez yake!!!?

  • @user-hx8bh1jt4k

    @user-hx8bh1jt4k

    9 ай бұрын

    Ww umesomea wp mwehu?hata baba Yako hampati ki elimu

  • @harithally2264

    @harithally2264

    9 ай бұрын

    Kasomea kwa baba yako

  • @saidhmuhammad5567
    @saidhmuhammad55679 ай бұрын

    Angalia watu wazama za Mtume Muhammad s.a.w walipokua wakiabudu masanamu wakiulizwa kwa nini muna fanya hivo wanasema tuliwakuta wazee wakifanya na ss ndio tunafanya..Nabii Ibrahim a.s alimuuliza babake mbona mwaabudu haya masanamu na yenywe hayadhuru wala hayanufaishi kwa lolote walijibu kua waliwakuta wazee wao wakifanya na wao wanaendelea nayo hivo hivo..kwahio Sheikh usizungumze kuputia hawaa zako ama kufaya inadi kwa wanao pinga Maulidi..na kuna baadhi ya watu ukiwauliza kwa nni munasoma Maulidi wanasema hvo hvo kua wazee wao walikisoma na wao pia wanasoma yai mtu hataki kujua ni sawa au si sawa yy anafanya maadamu mzee wangu alifanya na mm nafanya. Subhana_Allah Mungu atuongoze sote jamii Islam

  • @hamisiramadhani14

    @hamisiramadhani14

    9 ай бұрын

    Ufahamu wako haujawa bado na uwezo wa kuelewa na kuchanganua kinachokusudiwa

  • @DonMooSTUDIO_Express

    @DonMooSTUDIO_Express

    9 ай бұрын

    Umetumia akili kuongea❤

  • @rajabmembe6695

    @rajabmembe6695

    9 ай бұрын

    Sheikh wa mkoa kakosea kusema hapo, kakosea sana aajichunguze kauli sake kama kiongozi

  • @DonMooSTUDIO_Express

    @DonMooSTUDIO_Express

    9 ай бұрын

    @@rajabmembe6695 kavuruga vuruga yaani anajiona kasoma lakini msikilizaji anaweka 100% hajui lolote ingawa kasoma

  • @mohammedseif3072

    @mohammedseif3072

    9 ай бұрын

    🤔

  • @user-qs8yo4kw9g
    @user-qs8yo4kw9g7 ай бұрын

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mtume na suti

  • @fay9687
    @fay96879 ай бұрын

    Huo ni dalili ya ujinga

  • @user-jq2ox3er2w
    @user-jq2ox3er2w9 ай бұрын

    Hayo.mambo.unayoongea.hayana.mashiko.hata.kwamjinga

  • @mohammedal7864
    @mohammedal78649 ай бұрын

    Ibadh ndio dheheb pekee ambalo hawavutani juu ya aqida wanamsimo mmoja tu sasa masuni kwanini kila mmoja anaaqida yake?

  • @mahmoudally3906

    @mahmoudally3906

    6 ай бұрын

    Kuna mambo hutengenezwa ili yapatikane makundi kuugawa ummah wa kiislam. Na dhamira ni ili usiweze kuungana wakawa na nguvu.

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u4 ай бұрын

    Sisi tuliumbiwa chumvi ni dawa ya mbonga

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu9 ай бұрын

    Sasa hapa ndio pakuonekana uongo wa watu wa maulidi sasa mbona haikutajwa khabar io ya barazanji katika qur an na suna uzushi mtupu

  • @sadiqselengu4197

    @sadiqselengu4197

    9 ай бұрын

    Hongera Wew mkweli... KILA LA kheri

  • @harithally2264

    @harithally2264

    9 ай бұрын

    Na ww uzushi mtupu

  • @mohammedal7864
    @mohammedal78649 ай бұрын

    Masuni wengine wanafungia sala tumboni wengine kifuani wengine baina ya kifua na tumbo na wengine wa nyanyua mikono na kushusha je nani yu sahiih?

  • @issaathmet

    @issaathmet

    4 ай бұрын

    Wote

  • @user-gn8ls8ji5x

    @user-gn8ls8ji5x

    3 ай бұрын

    Nifuate nikuelekeze ishaallah

  • @user-gn8ls8ji5x

    @user-gn8ls8ji5x

    3 ай бұрын

    @@issaathmet siwote

  • @user-gn8ls8ji5x

    @user-gn8ls8ji5x

    3 ай бұрын

    Didi SI Rai soma ndugu

  • @fay9687
    @fay96879 ай бұрын

    Porojoooo

  • @khadijaramadhani5562

    @khadijaramadhani5562

    9 ай бұрын

    Kuna Aya za Allah zinatajwa na jila la rasulullah latajwa hapo

  • @saidhmuhammad5567
    @saidhmuhammad55679 ай бұрын

    Hicho kisa cha Israi Wal Miraj kina dalili zote Shiekh na hatukatai kua jambo lolote kwa mtume swala Allahu Alaihi Wasalam linaweza kufanyika ila musimsingizie kwa mambo ambayo hayakutokea kwake..hilo jambo lakua wanyama waliongea hamuna dalili zozote...na usiseme kua ukisikia jambo kua ntume kafanya au kasema usibishane ww amini tu huo ni ujinga kwa sababu mwamsingizia na kwenye Dini usitie mila na tamaduni hizo mila na tamaduni Zina shirki kubwa sna..Sheikh wazee wazamani kweli ni wazee wetu na tunawaheshimu ila kuna mambo sio katika Dini walikua wakifanya

  • @mahfoudhally2879

    @mahfoudhally2879

    9 ай бұрын

    Hhhhh basi wewe pia huamini pale sisi mizi walipomuona nabii suleiman wakaongea suleiman akawasikia

  • @saidhmuhammad5567

    @saidhmuhammad5567

    9 ай бұрын

    Ndugu hapo hatumuongelei Nabii Suleiman A.S na hakuna ambae ana shaka juu ya hilo kwamba aliwasikia sisimizi wakiongea.

  • @yes_yes1310

    @yes_yes1310

    9 ай бұрын

    Kwa hio Nabii suleiman na Mtume Muhammad swalaa llahu alay wa salama, nani bora?

  • @herimsham3459

    @herimsham3459

    9 ай бұрын

    Said kakosa jibu.😊

  • @saidhmuhammad5567

    @saidhmuhammad5567

    9 ай бұрын

    Sio kwamba sina jibu hapa hatuangalii mambo ya ubora..kwahio kma Mtume Muhammad s.a.w ni bora ndio mumuekee mambobya urongo?

  • @saidhmuhammad5567
    @saidhmuhammad55679 ай бұрын

    Sheikh hayo maneno yako yakua ukiambiwa wazee jambo usiulize ww ufanye tu sio sawa kabisa. Nivlazima ujue uulize uambiwe maana kisha uyapime katika mizani ya dini..hicho kisa cha Israi Wal Miraj Abubakar r.a aliamini moja kwa moja kwa sababu ni maneno ya Mtume Muhammad s.a.w...na sisi tumeletewa dalili zote ndani ya Quran na kwa Hadith lazima tuamini..kwahio maneno ya wazee ikiwa sio katika misingi ya Dini usifuate na utajua vp ikiwa haiko katika misingi ya Dini ni lazima uulize

  • @user-ev7dh1np3w

    @user-ev7dh1np3w

    9 ай бұрын

    Kwa fikra zako ungekuwa ww usinge kubali pia muelewe vizuri anavyosema utapata faida ukiskiliza kiupizani autaelewa kamwe

  • @user-ev7dh1np3w

    @user-ev7dh1np3w

    9 ай бұрын

    Anaezungumziwa hapo ni mtume hayo mnayoyatilia mashaka ni madogo sana

  • @harithally2264

    @harithally2264

    9 ай бұрын

    Unajua mizan ww

  • @mahmoudsultan3445

    @mahmoudsultan3445

    3 ай бұрын

    Tatizo lako umekaa kiushabik alipoanzia wee hutak unachukua mfano kua ndio ujumbe alichokisema maneno ya mtume hayatiwi hoja hago maneno ya wakubwa n mfano tu wa utiifu juu ya viumbe lakn Kwa mtume hamtak kutii ukisikiliza kiushabik hutaelewa

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express9 ай бұрын

    😂 Ngoja nicheke tu sina chakuongea.... Kwahiyo babu yako akikwambia uchawi ulikuwepo tangu na tangu shika tunguli tupae usiulize tii tu!... Usitake kufananisha zama ya Mtume na zama hii. Enzi zile huenda wengi kati yetu tungekuwa makafiri kwamtazamo huo wakusema mkubwa akisema usiulize. Kwani wao siwaliabudu masanamu kwasababu walikuta mababu zao wanaabudu!?. Walimkataa Mtume kwahoja yako hiyo hiyo yakusema Mkubwa akisema fuata tu. Ushahidi wa Mtume (S.A.W) kwa miujiza aliyopewa na Allah na Allah kuwaongoa watu ndipo wakafaa dini. Dini inaenda kwa dalili sio kwakuambiwa tu unafata

  • @HusseinKoja-ww7gi

    @HusseinKoja-ww7gi

    8 ай бұрын

    Kwani kila usichokiuliza unakuwa umekipokea

  • @DonMooSTUDIO_Express

    @DonMooSTUDIO_Express

    8 ай бұрын

    @@HusseinKoja-ww7gi sikiliza video yake kwanza kisha soma comment yangu utaelewa nini naongea

  • @user-dp1dj8ti6h

    @user-dp1dj8ti6h

    4 ай бұрын

    😢 x

  • @mahmoudsultan3445

    @mahmoudsultan3445

    3 ай бұрын

    Wee si nabii unamiujiza yako yakupinga endelea kupinga tu

  • @mkemiawarap3645
    @mkemiawarap36454 ай бұрын

    كاذب

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib2239 ай бұрын

    Hata akikwambia ukalewe? Huyu alipoteuliwa ushekh wa bakwata ndio amezidi kuboronga

  • @sadiqselengu4197

    @sadiqselengu4197

    9 ай бұрын

    Wewe huyu umemjua juzi.. Tunaomjua tumetulia.. Toka lini mwanachuoni (sheikh) akakuamrisha ukalewe?? Tuliolelewa na wachamungu tunamuelewa NYIE WA KILA KITU KUBISHA ENDELEE.

  • @rydertz3372

    @rydertz3372

    9 ай бұрын

    Kakosea nini katika maongezi yake!!??

  • @hamisiramadhani14

    @hamisiramadhani14

    9 ай бұрын

    Kukaa kimya ni hekima sana kuliko kuzungumza bila elimu na ufahamu

  • @harithally2264

    @harithally2264

    9 ай бұрын

    Na ww bidaa mkubwa sn tena mzushi

  • @harithally2264

    @harithally2264

    9 ай бұрын

    Usimseme usie mjua sheikh wetu tunamkubali na ana Haki ya kulindwa na watu kama nyinyi

  • @user-vy7jd5th5e
    @user-vy7jd5th5e6 ай бұрын

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh...muogope ALLAH sheikh haya maisha ya dunia ni yakupita tu tungeneza akhera yako vyemaaa uongo ni katika maas nawe wajua alafu wadanganya ummah... Allah akuongoze katika Haq.

  • @abdalahaby3658

    @abdalahaby3658

    11 күн бұрын

    Kadanganya nini hebu tujuze asee