Kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

Kumbukumbu ya kufariki mwalimu Julius Nyerere ikimuonyesha mwalimu akiongea na waandishi wa habari hoteli ya Kilimanjaro akizungumzia nyufa za muungano, ukabila, rushwa na udini.

Пікірлер: 87

  • @tariqmaduga8051
    @tariqmaduga80512 жыл бұрын

    Hii hotuba ya baba wa taifa sichoki kuiangalia..R.I.P Mwl Nyerere R.I.P Mkapa R.I.P Magufuli..Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @haggairaywer7002

    @haggairaywer7002

    6 ай бұрын

    I really miss my political hero,Mwalimu Nyerere

  • @hamfreynyange1413
    @hamfreynyange14136 жыл бұрын

    Tanzania ni nchi tajir sana Tanzania bila umaskin inawezekana

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho23612 жыл бұрын

    Ulikuwa Baba kweli na hotuba zako hazichuji. Mungu akurehemie.

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti93482 жыл бұрын

    Munenaji hodari. Mungu twakuomba mpokee mikononi na uso wako

  • @charlessembo8513
    @charlessembo85132 жыл бұрын

    Realy it has been said by nyerere, that corruption must be alleviated if not eradicated. But now corruption has got strong roots; how and when will be up-rooted?

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph7403 жыл бұрын

    Huyu Mzee Kweli alikua HIP HOP...!

  • @binurusm8886
    @binurusm88865 жыл бұрын

    Kivuli chako Magufuli, yupo Imara, Mungu akuweke mahali pema, Mungu amlinde Raisi wetu Magufuli Aamina.

  • @cbegram6161

    @cbegram6161

    Жыл бұрын

    2022 sasa pumzika kwa amani maguguli

  • @binurusm8886
    @binurusm88865 жыл бұрын

    Hata tufanye nini, Watanzania hatutomsahau Mwalimu Nyerere, kweli hapa tulipata pigo.

  • @rocketbreezy9685
    @rocketbreezy96853 жыл бұрын

    Viva Nyerere Viva Tanzania 🇹🇿

  • @mathewmulei1613
    @mathewmulei16132 жыл бұрын

    Mwalimu loved his country and taught the truth; Magufuli was the same. He hated sin.

  • @adolfchigga5331

    @adolfchigga5331

    2 жыл бұрын

    0

  • @venancemwanya4212

    @venancemwanya4212

    Жыл бұрын

    Kufuata katiba hapo magu alifeli Sana hivyo huwez kufananisha na mzee babu huyu

  • @marcokaroje8980

    @marcokaroje8980

    Жыл бұрын

    @@venancemwanya4212 pia magu alijiona ni bora kuliko watu wengine hata kama walimzidi kifikra badala yake aliwachukia na kuwanyanyasa yaani ni zaidi ya kufeli unapokiuka haki binadamu wenzio

  • @Onlyfacts0224

    @Onlyfacts0224

    5 ай бұрын

    Magu will never ever be compared with Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

  • @williamkirway4620
    @williamkirway46203 жыл бұрын

    Baba wa Taifa la wananchi wa Taifa la Tanzania,mwl Nyerere.wosia mungu ametupatia kiongozi aliye na mtazamo wa mambo yakufwata,nayapi tusiyaguse kabisa.

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti93482 жыл бұрын

    Mafunzo Bora kuliko zoote duniani. Lala salama mwalimu. Kenya hawaja pata funzo.

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe5412 жыл бұрын

    Katika kumkumbuka Nyerere tusiharakishe kutoa vibari vya uwekezaji kwani uwekezaji toka nje ni aina mpya ya ukoloni utakuja kwamisha ya watu watu tulenge kukuza watu wawe wawekezaji wa ndani na nje

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha Жыл бұрын

    Sijui ni kitu gani kilimpofua mwalimu kutoona ubaguzi wa wahindi na waarabu dhidi ya Waafrika! Sipendi wala kuunga mkono ubaguzi wa aina yoyote. Kama ilivyo kwa watoa na wapokea rushwa, hata hawa jamaa zetu alipaswa lau kuwaonya ukiachia mbali kuwaachia waendelee kuishi kikaburu. Nao ni makaburu tu hata kama siyo wa Afrika ya Kusini.

  • @sunyareh
    @sunyareh7 жыл бұрын

    Tanzania ni nchi bora sana na kiongozi alie kuwepo kwa sasa ndio inakua bora zaidi tudumishe amani,mungu ibariki tanzania.

  • @kashelejakabadi1669

    @kashelejakabadi1669

    6 жыл бұрын

    mohamed Farah Sunyareh HK Ep,// ,, EZ

  • @peterm876

    @peterm876

    2 жыл бұрын

    Aipenda nchi yake.

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 Жыл бұрын

    Hotuba za viongozi kama huyu zilitakiwa zipatiwa siku na muda was kusikikilizwa katika medias zote at list one day per month,

  • @mashaurikilawa1185
    @mashaurikilawa11856 жыл бұрын

    nakupenda sana kiongozi wangu,mungu akulinde

  • @raizayusuph1541

    @raizayusuph1541

    6 жыл бұрын

    Mashauri Kilawa this man deserved to be our leader, I really appreciated your dids, may God keep you resting we pray for you!

  • @motherofthegreatlakes6297
    @motherofthegreatlakes62972 жыл бұрын

    Yes, Mwalimu-Wealth should be no1 reason for disqualification for civil service, I you were here today, I wonder what you would tell your protégés on the other side of Tanganyika! So sad!

  • @mohamedalinureini4724
    @mohamedalinureini47242 жыл бұрын

    It's quite remarkable to hear his speech, he was a founding of Tanzania. And one of the leaders of East Africa. He was a strong believer in majority rule, but it at the same time we will not Oppress the minority people. If we try to mistreat or misrule then we have come into office to serve the common man.

  • @mohamedalinureini4724

    @mohamedalinureini4724

    2 жыл бұрын

    He was the person who Stood for the common Person in the villages, to bring to them, to Join up to form a Collective venture.

  • @ayubumgaya5231
    @ayubumgaya52313 жыл бұрын

    Atiristi kidogoo magu kafanya mambo frani ya kumfrahisha kila mtu labda wapinzani ila hajamfikia kwa mwl julias kambalage nyelele

  • @athumanikachibo1973
    @athumanikachibo19736 жыл бұрын

    the good memory of mwalimu nyerere

  • @fikirirandani6508
    @fikirirandani65087 жыл бұрын

    wasia wako marehemu niwakudumu milele.

  • @sadickmponyamilly
    @sadickmponyamilly7 жыл бұрын

    kwa kweli nyerere ukumbukwe saaanaaaa

  • @kahingacompany4924

    @kahingacompany4924

    3 жыл бұрын

    Namkumbuka sana Mwl JK Nyerere

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti93482 жыл бұрын

    Mionvozi hitajika duniani. Hapa Marekani aliheshimika

  • @motherofthegreatlakes6297
    @motherofthegreatlakes62972 жыл бұрын

    And Burundians wanted Raiisa wa Burundi, not Raiisa wa CNDD/ FDD. Mungu anaona!

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti93482 жыл бұрын

    Mwalimu huyu angezungumza kwa masaa mengi bila kumpumzika.Mpakaaombwe kusitisha

  • @leonardoddiaga4399
    @leonardoddiaga43992 жыл бұрын

    How I wish Kenyans listened to Mwalimu. RIP Mwalimu.

  • @denismeso7000

    @denismeso7000

    2 жыл бұрын

    shure

  • @triumphkimaru1077

    @triumphkimaru1077

    2 жыл бұрын

    Mwalimu observed what Jomo was doing & steered his nation warning them of the dangers in Tribalism for example a speech i have. Kenya is testimony of bungled independence by post colonial era African leadership. kzread.info/dash/bejne/eXV50susipappc4.html

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs8 ай бұрын

    Simkubali kabisa huyu jamaa kwanza hakusoma na ilikuwa hapendi watu wenye elimu

  • @thomasjohn3499
    @thomasjohn34992 жыл бұрын

    NILISEMA NA NITASEMA HATUJAPATA KAMA NYERERE NA HATUTAPATA KAMA NYERERE.

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti93482 жыл бұрын

    Munani bingwa wa lugha ya kiswahili. Najivunia unenaji wake.

  • @baisintudhu6742
    @baisintudhu67422 жыл бұрын

    Asemae ukweli hapenďwi ila hukumbukwa badae

  • @sululungasa3849
    @sululungasa38492 жыл бұрын

    mwalim RIP 🙏

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 Жыл бұрын

    What a joy to be listening to one of the unique leader.

  • @motherofthegreatlakes6297
    @motherofthegreatlakes62972 жыл бұрын

    Please Mwalimu, kwa nini Burundi you didn’t practice what you say you believe. And yet Burundi and Rwanda we have no kabila! And yet, in Arusha you promoted Hutu and Tutsi . I wish you were still alive, Mwalimu. I would travel to ask you this question and your own words kwa makabila, would be your judge. Mungu ni Mwema

  • @olgafriesen1023
    @olgafriesen10237 жыл бұрын

    Hakuna tena kam mwalimu

  • @salumtindwa4775
    @salumtindwa47756 жыл бұрын

    hakuna kama nyerere

  • @boniphacerevocatus3412
    @boniphacerevocatus34127 жыл бұрын

    Uhuru 100%

  • @ibrahimlongoi5548
    @ibrahimlongoi55482 жыл бұрын

    Tutakukumbuka Daima

  • @ShazmaIbrahim
    @ShazmaIbrahim11 ай бұрын

    Junior jua kli upo vizur 😅

  • @charlesmwanyika1950
    @charlesmwanyika19507 жыл бұрын

    Genius

  • @atengitimkarichard6776

    @atengitimkarichard6776

    2 жыл бұрын

    Thank you Lord for the life and legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere God fearing to the core !Am proud of being an eye witness of his service to this nation! Patriotic,selfless,pan africanist.egalitarianist to the core!

  • @amanpaskalimassawe6233
    @amanpaskalimassawe6233 Жыл бұрын

    Vita. Vya. Uganda

  • @Mohamed-vk4me
    @Mohamed-vk4me6 жыл бұрын

    sikiliza historia ya mwalimu nyerere kzread.info/dash/bejne/k4JprJaYfsvMetY.html

  • @motherofthegreatlakes6297
    @motherofthegreatlakes62972 жыл бұрын

    And yet waongozi wa inci yingini ndio wanafanya. You did not teach your protégés well, Mwalimu~~~ and people are dying~~~ sorry sana. We all know what happened in Arusha

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller46993 жыл бұрын

    blessings

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 Жыл бұрын

    Tunaomba safari hii hili alilolisema baba wa Taifa lizingatiwe 2025 kama kweli tutataka kupata viongozi sahihi. Kuletewa tu nanina iko shida.

  • @mbakhilamusumba6258
    @mbakhilamusumba62587 жыл бұрын

    kiongozi shupavi aliye enzi Uhuru wa mwafrika

  • @emiliabnus4961

    @emiliabnus4961

    3 жыл бұрын

    Ñ634E

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Жыл бұрын

    Saycologe lmotion consider what late Julia's kambarage nyerere sense here we don't lnvolve education only this is the saycologe sense explanation

  • @VMGAfrica
    @VMGAfrica Жыл бұрын

    #Genius

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru50233 жыл бұрын

    JPM amekuelewa baba na ndiyo maana anatufaa🇹🇿🇹🇿💪💪💪

  • @marcokaroje8980

    @marcokaroje8980

    Жыл бұрын

    Hapa jpm hana alama hata moja ya kumfananisha na jk afananishwe na akina siro upigwe risasi wewe halafu uhojiwe we we waliokupiga hawajulikani na hawakamatwi

  • @emmanuelmaghulu7853
    @emmanuelmaghulu78533 жыл бұрын

    huyu alikuwa mwalimu kweli; awevile mwalimu wangu wa kipekee

  • @boobohhh3029
    @boobohhh3029 Жыл бұрын

    😄😄😄😄😄😄👌

  • @AntoniamagangaMaganga
    @AntoniamagangaMaganga9 ай бұрын

    Vp

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 Жыл бұрын

    Sijui kama wakenya wanasikiza hii

  • @user-yy3gy5qe8p

    @user-yy3gy5qe8p

    Жыл бұрын

    nasikitika ya kua huku kenya hamna kiongozi ana wasia kama mwalimu nyerere.napenda sana hotuba zake.

  • @yamunguisack2536
    @yamunguisack25367 жыл бұрын

    msema kweli mpenzi wa Mung.

  • @simeobukelebe6337

    @simeobukelebe6337

    6 жыл бұрын

    uongozi syo km ufundishaji,,,, unahtaji mbinu na maarifa na upeo wa kfkria yabaadae pia

  • @makuzashuka4788

    @makuzashuka4788

    6 жыл бұрын

    NYERERE NI WA KUIGWA VIONGOZI WA SERIKALI WANATAKIWA KUZIKILIZA MAWAZO YA MWL ILI YAWE DIRA KATIKA UONGOZI WAO

  • @radiol.v.e
    @radiol.v.e2 жыл бұрын

    Le malheur du Rwanda c'est en partie à cause de cet homme !! Peut- être un héros pour les uns et un pyromane pour les autres.

  • @sosterntulian491
    @sosterntulian4913 жыл бұрын

    🔥🔥🔥

  • @Ambagaye
    @Ambagaye7 жыл бұрын

    This guy was really really smart on judging what he sees and what he says.

  • @sadickmponyamilly

    @sadickmponyamilly

    7 жыл бұрын

    kuwa makini na baadhi ya kauli .....the guy ,,,,,sio kauli nzuri kwa baba wa taifa

  • @fredmutah319

    @fredmutah319

    7 жыл бұрын

    aiseee

  • @motherofthegreatlakes6297

    @motherofthegreatlakes6297

    2 жыл бұрын

    It depends on where you stand! Burundi should be on his conscious~from the time he himself mentioned when he went to Burundi, until today-Burundi as ALL BURUNDIANS HAD KNOWN IT-died.

  • @marcokaroje8980

    @marcokaroje8980

    Жыл бұрын

    @@sadickmponyamilly unaielewa lugha kama umeliona hilo alifikiri kuwa Mwalimu ni mswahili mwenzake kwangu amewakosea adabu watu wote wenye hadhi kama ya Mwalimu

  • @samasob8233
    @samasob82337 жыл бұрын

    Akaingia rais wa awamu ya tatu....mwanafunzi wa mzee nyerere

  • @benterchuchu3483

    @benterchuchu3483

    5 жыл бұрын

    How I wish my country Kenya had such a wise leader as the Founding Father..

  • @boniphacembwile8284
    @boniphacembwile82846 жыл бұрын

    huyu mzee kama kuna MTU ana ignore atakuwa na matatizo take ninafsi

  • @prudencerweikiza1673
    @prudencerweikiza16737 жыл бұрын

    hajapata mfano wake hadi sasa

  • @sadikmedcare7069

    @sadikmedcare7069

    2 жыл бұрын

    magufuli alikuwa taswira ya nyerere sasa basi tena wapumzike kwa amani

Келесі