KMKM PEMBA WASHINDWA KUTOA MASHIRIKIANO DC MGENI ALIINGILIA KATI

fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 878 523
+255 773 071 409
Zinjibartv Journalists
cc: Safia Hussein
cc: Swaleh Watamaama
Camera Department"
Muarabu Mmadi
Editors:
Ali Hassira
Ramla Haji
Abdillahi Said
Dereva
Ali Mohammed
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
• MTOTO WA TURKY AJITOSA...
• HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

Пікірлер: 41

  • @zuleikhaomar4657
    @zuleikhaomar46572 жыл бұрын

    Mtauza mpaka hio bahari, KMKM wanajua km wao ndio wanaoufisidi huo msitu, njaa inawasumbua wanachojua kupiga wanyonge tuu Km Km genge la wezi

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4lАй бұрын

    Mimi niliwahi kuona hatari kubwa ya umeme sehemu inayotumiwa na watu 200 kwa wakati mmoja. Niliiandikia taasisi husika ichukuwe hatua haraka sana kuzuia umeme mkubwa usilete majanga matokeo nilikatazwa na nilishikishwa adabu nikome siku ya pili nisiingilie mambo ya watu

  • @husseinhamisimwindadi2211
    @husseinhamisimwindadi2211Ай бұрын

    Kwa utendajikazi wa staili hii tutaendelea kuchelewa,huyu kmkm hata kwa amri ya mkuu wilaya hawezi kutimiza jukumu lakulinda rasilimali ya Taifa!

  • @MalkiaMassoud
    @MalkiaMassoud27 күн бұрын

    Hao kmkm ndio waharibifu wakubwa

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zhАй бұрын

    Mnalindana huyo sio bos wko ww

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim38402 жыл бұрын

    Kmkm kila hatua wachuma dhambi tuuu mnalaana nyie wamelaaniwa KMKM Hadi Allah akawapiga njaa kwa laana zao

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Жыл бұрын

    Hao ndio wenye kupeleka karafuu za magendo Kenya na hao ndio wenye kuingiza mirungi na bangi Pemba kutokea mombasa.

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalimАй бұрын

    Mama uongozi mgum ila Allah akusaidie tu

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j2 ай бұрын

    Ajira mmewapa wengi chakufanya hawana watauza mpaka watu Kwa mamlaka waliopewa

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 Жыл бұрын

    ASA kama hujapewa Rusa watu wanaharibikiwa ungoje rusa ya mkuu wako yupo anastarehe kwake ache wacha ujinga hamko kwajili ya uzalendo ni maslah yenutu to a watendaji kama hao nizam hawana majibu hayana mantiki wekeni watendaji mnaweka wazee

  • @alirashid3239
    @alirashid32392 ай бұрын

    Yaani wanaiba wenyewe and then wanajitekenya wenyewe

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi85188 ай бұрын

    Hawa wakuu wa wilaya na majimbo kila mara utawasikia wakisema,linapotokea jambo,tunamuangusha RAIS..Hilo la lakukata msitu wa Ngezi linawaangusha WaPemba zaidi maana wao ndio watakao athirika zaidi na majanga ya uchafuzi wa mazingira.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa993627 күн бұрын

    Duh jamaa anapingana na mkuu wa wilaya, lkn hizo dalili kuwa rushwa inafanya kazi, na hilo lipo wazi kmkm wapo wanapokea rushwa

  • @zahormohammed4476
    @zahormohammed44762 жыл бұрын

    Hawa KMKM ndio zao hizo hapo wameona hamna faida kwao, Kuna kipindi yanatokea majanga vyombo vimazama wakiitwa kuokoa hudai boti haina mafuta, ila siku nyengine boti hiyo hiyo huwashwa mpaka mkokotoni unguja kuja kuangalia mpira uwanja wa amani

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji22002 жыл бұрын

    Kamanda yupo sahihi. Huwezi ruhusu raia akague kambi bila kibali cha komodoo

  • @mahmoudsuleimanmohamed4969
    @mahmoudsuleimanmohamed49692 жыл бұрын

    mimi naona wote wanahusika

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla57722 жыл бұрын

    Hao km. Ndio wakataji miti

  • @alfredndimbo1826
    @alfredndimbo18262 жыл бұрын

    Tuone kama sheria zilizopo zinawabana wanyonge tu au kila ambae atazivunja

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj98812 жыл бұрын

    ww kama dc taratibu unazijua ongea na wakuu wake wa kazi uone kama hatokupa mashirikiano

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid76948 ай бұрын

    Yakhee punguzeni uyakhee kamata hao peleka ndani

  • @someparuranga7377
    @someparuranga73772 жыл бұрын

    Hamko kikazi mnaleana kiami

  • @khamisame5703
    @khamisame57032 жыл бұрын

    Iyo meshen ya km km walio panga lakini ndio imevuja

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid76948 ай бұрын

    Kama hao wote peleka ndani

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj98812 жыл бұрын

    MH DC mkuu hajakosea kila kazi zina utaratibu wake si mambo ya kutoa amri tu..

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 Жыл бұрын

    Nimpango wao huo umefeli

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif72412 жыл бұрын

    Ao km km wote wizi

  • @jumatarabeni9753
    @jumatarabeni97532 жыл бұрын

    Mwavii unkatwaaa

  • @mohammedomar397
    @mohammedomar3972 жыл бұрын

    Duh mpaka huo msitu wa hifadhi wanaukata

  • @ahmedalbalooshi8518

    @ahmedalbalooshi8518

    8 ай бұрын

    Bila ya kuhusika hao walinzi wa msitu,hayo yasingefanyika. Maisha utasikia tunatoa onyo,hatua kali ya kuzuia hamna. Si ajabu baada ya miaka kumi Ngezi itakuwa NGOZI

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4moАй бұрын

    Yaani huyu Askari wa KMKM Hana hata nidhamu na kutokana na maelezo take Tu halitaki ushahidi wa ziada kama na yeye hahusiki na suala hili,na huyu ni Kwa sababu ni mtu kutoka Unguja ndio maana akawa na jeuri hata Kwa Mkuu wa Wilaya!Serikali ya CCM jamanii ni shida kweli kweli

  • @AzizaOmar-wj3my

    @AzizaOmar-wj3my

    Ай бұрын

    Nimesikitishwa sana na huyu kmkm hata heshima ya mkuu wa wilaya hana.

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed70572 жыл бұрын

    Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa baraza la usalama kwa hiyo akitoa umri lazima ufuate

  • @najashrk3738
    @najashrk37382 жыл бұрын

    Mh 🤐🤐🤐

  • @gangmore9091
    @gangmore90912 жыл бұрын

    Dhulma hailetii maendeleo

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 Жыл бұрын

    Fukuza hao

  • @abasamwame6583
    @abasamwame65832 жыл бұрын

    Ingekuwa karafuu wangeuwa mtu

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif72412 жыл бұрын

    Ao km km wote wizi

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad18022 жыл бұрын

    Ndii uanze na hao mlowakuta wamebeba kwenye boti yao

  • @rashidshamte3083
    @rashidshamte30832 жыл бұрын

    Huyo kiongozi hajui wajibu wake hajiamini katika kazi wawajibishwe hao maafisa wa kmkm

  • @AliSalim-yu4mo

    @AliSalim-yu4mo

    Ай бұрын

    Serikali hii ndugu yangu inaendeshwa kiujamaa!viongozi wametokea Kisonge na watendaji wametokea Kundemba!hapo ni pipa na mfuniko!

Келесі