JAY MELODY ASIMULIA ALIVYOISHI KWA MGANGA MWEZI MZIMA ILI ASAFISHE NYOTA "NILIKUA NA WENZANGU" PT II

Пікірлер: 184

  • @rwandan2538
    @rwandan2538 Жыл бұрын

    I can see the pain when he says watakuwa vizuri kwasababu mi nipo 😭❤️ keep working hard to make them happy

  • @metrinenaliaka1711

    @metrinenaliaka1711

    7 ай бұрын

    This man is really sweet the way he talks l really love him from the deepest part of my heart

  • @NancyPendo-of6by
    @NancyPendo-of6by Жыл бұрын

    This Guy is so humble and Real...Alafu Maswali Yote Kajibu Vizuriii He seems not to Fake Anything.. Mungu Akutangulie Na Akufungulie Katika Mziki Wako!

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Жыл бұрын

    Yani nimejikuta adi machozi yananitoka Yani ,,,nikwer maisha ya mtaani ni magumu Yani ukoo mzima ila mwenye uwezo ni mmoja tu,,

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 Жыл бұрын

    Jay ban😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️we love yuh so much brother en majibu yako hayaboi ..mtu anapata nguvu ,ushawsh wa kukusklz keep up bro❤️

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 Жыл бұрын

    Very nice interview. Jaymelody namkubali sana namfatilia tokea kaanza. Nimefarijika kumuona amefika mbali na nikatika wasanii wadogo wenye uwezo mkubwa, huwezi kumkiuka. Mungu azidi kumpa mafanikio makubwa zaidi 😊

  • @user-ew4qf9ud4v

    @user-ew4qf9ud4v

    2 ай бұрын

    mungu wa bongo fleva

  • @jabirprivatus1655
    @jabirprivatus1655 Жыл бұрын

    Video bingwaaaa sanaaaaaaa anamaswali ya kuingizia mnoooo🙌🏼🙌🏼

  • @jozeecharles782
    @jozeecharles782 Жыл бұрын

    Amapiano yako kaka ni kali inabid wa fate title ya wimbo waache wivu kuna wasan wengi wanaimba Amapiano asilimia kubwa nyimbo zao hazielewek hii ni hit broh ❤

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 Жыл бұрын

    Nakubali San jey melod❤❤❤ nimekufata mwazo adi mwisho 😊😊

  • @efronaaron6772
    @efronaaron6772 Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣 Part ya Mganga,, eti ilifikia hatua mganga anakutuma dukani.....

  • @mariammgonja9182
    @mariammgonja9182 Жыл бұрын

    Mwenyez Mungu akutangie bro 🙏, i love yo

  • @bizzyrayamon7091
    @bizzyrayamon709111 ай бұрын

    You seem to be so humble,polite and hardworkman brother, Keep up

  • @masungadutta3823
    @masungadutta3823 Жыл бұрын

    Jamaa yuko social sana nimempenda sana hana majivuno

  • @hugomedia9962
    @hugomedia9962 Жыл бұрын

    Hii interview imetulia Sanaa na nimeipenda cjawahi kuwatch interview mwanzo mwisho ukitoa za Salam na. Nimeipenda utulivu wa mapresenter pia utulivu wa j. Interview flan kwel jamaa ni amekuwa ustarabu safi kbx nimeipenda bigup San amplifier

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Жыл бұрын

    Mungu akubariki jay melody,,mana wewe ni umebutua kombolela kwenye family,mungu akujalie Kila la heri kwenye mziki wako

  • @SamirBSam
    @SamirBSam Жыл бұрын

    uyu dada nampenda sana tena sana@Frida

  • @suleymanmakiwa1651
    @suleymanmakiwa1651 Жыл бұрын

    Sema hii interview ipo vizuri

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Жыл бұрын

    Nlitamn jay melody awe na mahusiano na uyo dada maana anauliza unapenda chakula gan frida amanii

  • @dorcasnasimiyu9002
    @dorcasnasimiyu9002 Жыл бұрын

    This guy is still innocent 😅

  • @noeldaudi2068
    @noeldaudi2068 Жыл бұрын

    jamaa ni very bright ni genius sanaaaaa

  • @saramwamita4295
    @saramwamita42957 ай бұрын

    Ulivompolee mwenyewee munguu aendelee kukupaa uzima na afyaa kizazi adi kizazii kikujue kama msanii mkubwaaa

  • @musajuma5364
    @musajuma5364 Жыл бұрын

    Vido yuko makin sna i like that

  • @margarethenry693
    @margarethenry693 Жыл бұрын

    Jay is so handsome say halo to him

  • @user-mc8rz4yp4r
    @user-mc8rz4yp4r2 ай бұрын

    I see that your very honesty Jay Melody, your taking very open truths and straight, keep going to help others for advice,

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Жыл бұрын

    Thanks jaymelody jana nilikuwa kwetu Nyachilo kong'o nilikuwa na shangazi yako Wahindi Leo nimekukubali

  • @Mr4Real
    @Mr4Real Жыл бұрын

    Jay once again

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza Жыл бұрын

    Mganga alikuzoea mpka akawa anakutuma mpka dukani😋😋😋

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Жыл бұрын

    Interview nzur sana nmeipenda

  • @DOTHYARTIST
    @DOTHYARTIST Жыл бұрын

    Good story with memories J.M

  • @sureiamboo
    @sureiamboo Жыл бұрын

    I love him 😍

  • @bahatihanna7782
    @bahatihanna7782Ай бұрын

    Mwenyezi Mungu akuwezeshe jay

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 Жыл бұрын

    Nakukubali sana mwamba💪

  • @bokabecca5473
    @bokabecca5473 Жыл бұрын

    Uhalisia utamfikisha mbali sana mungu amsaidie asibadilike.

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Жыл бұрын

    Mmh jamani ndo mmemuekea kiduku cha nyumba😮😅😅😅😂😅😂

  • @ELLYTECH

    @ELLYTECH

    Жыл бұрын

    mwenyew nmechoka😂

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Жыл бұрын

    Daah mganga alkuzoea had anakutuma dukan daah

  • @abbyvanny
    @abbyvanny Жыл бұрын

    Tunapitia wakat mgumu sana na saingine tunamkufuru mungu lakin the best moment ni pale unapotambua kua hauko njia sahihi unaamua kurudi kwa mungu na anakusaidia big up jay melody ur story is an inspiration nice interview

  • @izzoboy

    @izzoboy

    Жыл бұрын

    Mwana anajua sana

  • @humphreymeela9817

    @humphreymeela9817

    10 ай бұрын

    Baba yako hajasoma Mzungu alitokea wap nababa yako

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Жыл бұрын

    Hapo kwa waganga wasanii munahangaika sana na muna siri kubwa sana munatoleshwa makafara tofauti tofauti mwisho munaangukia freemason ni mtihani mkubwa

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 Жыл бұрын

    Komweeeeeee refuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-kt4wx6xu9l

    @user-kt4wx6xu9l

    10 ай бұрын

    Mmh😢😢😢 why we say like that

  • @KhadijaKhadijadunia-ed5nv
    @KhadijaKhadijadunia-ed5nv Жыл бұрын

    Nimependa sana ujibuji wako wa maswali ukweli umenyooka safi sana

  • @nathan6751
    @nathan6751 Жыл бұрын

    Sana bro na kukubari kinoma sio kama Marioo mjinga anaongea ujinga tu

  • @Apparelstudio271
    @Apparelstudio271 Жыл бұрын

    🐐 communication skill

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 Жыл бұрын

    Mwenyezi Mungu akulinde kijana,unajua unachofanya

  • @BoukheitAmanaBaj
    @BoukheitAmanaBaj3 ай бұрын

    I love Jay's HONESTY

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 Жыл бұрын

    Sio kusoma ndie kua Ana akili ❤❤❤❤🎉🎉

  • @moneythemes

    @moneythemes

    Жыл бұрын

    Maarifa na matumizi ya maarifa.Kwa dunia ya sasa soma, hata kama hauendi shule soma vitabu, sikiliza vitu vya kukujenga fanyia kazi.

  • @giftj4606
    @giftj46066 ай бұрын

    Waooooo waukaee🥰🥰Moro moja

  • @wellwell1663
    @wellwell16638 ай бұрын

    Vary proud of you Jay👏👏👏🙏

  • @mtemiagribusiness-rr2hl
    @mtemiagribusiness-rr2hl11 ай бұрын

    j melody umenifanya niwe na moment ya kumkumbuka mama wa kambo katika maisha alonilea yaliyofanya mimi kutafuta pesa kwa hisia sana

  • @RigeuneMalik-vb9fy
    @RigeuneMalik-vb9fy11 ай бұрын

    Jay mélodie nimustarabu huyu Kaka anaongea vizuri napenda watu kama jay

  • @iambaizo
    @iambaizo11 ай бұрын

    Wanaume tupewe maua yetu Ingekua baba jay ndo kamuachia mama jay amlee peke yakeingekua drama kwamba jay kalelewa na single mama brah brah ila kwakua ni baba hakijatokea kitu

  • @reenlee1926
    @reenlee1926 Жыл бұрын

    Sitochoka broo kusema napenda interview zako...nataman sana unifanyie interview hata kama sio famous daah

  • @user-id8bu6lw8x

    @user-id8bu6lw8x

    22 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 Жыл бұрын

    🇹🇿 hatuulizani makabila ila alisema ni mluguru

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 Жыл бұрын

    Ulitoka goroka cjui najiweka lakini ukutoboa kama ulivyotoboa leo hiii'' Ngoja mganga asikie akushe hizo nyota zenyewe uone kama utatamba

  • @jameskabalega7245

    @jameskabalega7245

    Жыл бұрын

    Afu kweli ni kama kajisahau hahahaaa

  • @veryboyplatnumz3506

    @veryboyplatnumz3506

    Жыл бұрын

    😂😂😂 Acheni ujunga mpangaji ni Mungu

  • @guccij6236
    @guccij6236 Жыл бұрын

    Me shabiki namba moja wa Jay Melody

  • @SefuMaine-of6qe
    @SefuMaine-of6qe Жыл бұрын

    Oya wee😂😂😂nakubali sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂chezea nyota..komaa 😂😂😂kaa miezi6 kabisa

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW Жыл бұрын

    store nzuri

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Жыл бұрын

    Ndio unaona sasa hv mambo yapo yanaenda ujui kama hao jamaa ndio wanakupa nguvu

  • @hildascorner2327

    @hildascorner2327

    Жыл бұрын

    Nmehisi pia, dawa nyingine zinachukua muda

  • @BabyMapenz
    @BabyMapenz Жыл бұрын

    Me Nina kusubili home😊

  • @neymarjunior8404
    @neymarjunior8404 Жыл бұрын

    Bro nakubali sana kaka atamimi nihivo bro

  • @metrinenaliaka1711
    @metrinenaliaka17117 ай бұрын

    I love you because you are humble

  • @user-mf1dm4xf2i
    @user-mf1dm4xf2i Жыл бұрын

    Tsha San mwanangu Jay melody wa tandale

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын

    Hivi ni kweli kuna mambo ya nyota

  • @user-vc1pq4di1o
    @user-vc1pq4di1o11 ай бұрын

    Nam Kubali sana duuuuh mungu akulinde

  • @Ndecha255
    @Ndecha255 Жыл бұрын

    Afu mbona goma la acha wivu kali tu , waache unafki 🥲

  • @giftrevocatus8040
    @giftrevocatus8040 Жыл бұрын

    Watangazaji wengine igeni hii ulizaji wa maswali ni wa mpangilio

  • @stuartkudeba

    @stuartkudeba

    Жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/hYuTuZOMcrraY7A.html

  • @KatoiTabu-bc5ny
    @KatoiTabu-bc5ny Жыл бұрын

    Natamani munguanfikishe hapa ata zaidi na mimi

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Жыл бұрын

    Wasanii bongo wengi wao ni wachawi tu,hawa ukikaa nao karibu wana kuibia nyota

  • @sabihaibrahim143

    @sabihaibrahim143

    Жыл бұрын

    Ni kweli na wanajuana na wanaogopana mikono hawapeani kwa kutoaminiana

  • @geeva99

    @geeva99

    Жыл бұрын

    Sio bongo tu, ni dunia nzima, mziki unamtego mkubwa sana wa kiroho

  • @fridahaly9749
    @fridahaly9749 Жыл бұрын

    I told you this Tanzanian love's uchawi 😂😂😂

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza Жыл бұрын

    Duh mdogo wangu umepitia maisha magumu sana sema mungu yupo nawewe ,jitahidi sana uwekeze kwenye mdaa wako ufanye biashara mbali mbali hata ukija kuchuja kimziki ubaki na kitu cha kukusaidia na familia yako ,alafu mwana mpole sana nakukubali mdogo wangu mungu akupe maisha marefu na maendeleo kati ka safari yako ya mziki .

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k Жыл бұрын

    Ayo tv tunamuomba maliyo aje ayo tv😂

  • @alexiddtv
    @alexiddtv Жыл бұрын

    Haya Mambo yanaharibu Sana tasnia😎

  • @-zj2zd
    @-zj2zd11 ай бұрын

    Dah nimejifunza kitu kutoka kwa jey

  • @christinachande2260
    @christinachande2260 Жыл бұрын

    Kumbe we ni wakwetu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын

    Kumbe wa nyumbani morogoro oyee. Waruguru oyeee hya

  • @chibumnyama1558
    @chibumnyama1558 Жыл бұрын

    Mnajifnya hamjui uchawi kumbe una loga alaf una tubu nn ss unafnya mziki unazngua mchz kama anakusikia huyo mganga anakuchukulia miyayusho

  • @jennyslvanos4063
    @jennyslvanos4063 Жыл бұрын

    Huyu jamaa ni mkweli

  • @melody_mike_mavoice
    @melody_mike_mavoice Жыл бұрын

    This guy deserve it ...ni mtu nimegrow nikimuona through the journey hajagiveup

  • @MDNUZRULISLAM-vd7ew

    @MDNUZRULISLAM-vd7ew

    6 ай бұрын

    Pole Sana Kwa matatizo ndugu yangu mungu akupe maisha marefu na Mazur pia usiache kumuomba mungu kila wakat nakupenda Sana jay good morning have a nice day my dear mmmwaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MDNUZRULISLAM-vd7ew

    @MDNUZRULISLAM-vd7ew

    6 ай бұрын

    Tafuta mwanamke mwenye Iman awe mwislam mpendane daima nikutakie kila la kher katika Safar yako ya mafanikio Amini mungu typo pamoja nawe daima I love you so much jay God bless you abadan mashaallah alhamndullillah❤❤❤❤❤❤

  • @mr.g7360
    @mr.g7360 Жыл бұрын

    Yy ni mnoma c uongo🎉

  • @user-tp9oe7yt3e
    @user-tp9oe7yt3e7 ай бұрын

    Jay for live....

  • @relaxstarman981
    @relaxstarman98111 ай бұрын

    Warugulu wanajua sana kuimba jamani basi tuuy mana Dimo anaimba mpaka anaboa

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa848311 ай бұрын

    Maturity. Utoto kando hapa.

  • @wendijackson5629
    @wendijackson5629 Жыл бұрын

    💥

  • @all-victorious2156
    @all-victorious2156 Жыл бұрын

    We jamaa kwani huo mdomo hauwezi kuuweka kawaida mpaka uupinde?

  • @naomikyonike2359

    @naomikyonike2359

    Жыл бұрын

    Ahahahahahaha ila nyie ahahaha

  • @vailethmwashibanda2514

    @vailethmwashibanda2514

    Жыл бұрын

    😂😂😂

  • @modestermtossa4055

    @modestermtossa4055

    Жыл бұрын

    ndivo alivo sio anapindisha ndo shape ya mdomo wake

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 Жыл бұрын

    Vido maswali yake hovyo sana Wallah😂😂

  • @stuartkudeba

    @stuartkudeba

    Жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/hYuTuZOMcrraY7A.html

  • @user-mv5zl4xm3m
    @user-mv5zl4xm3m9 ай бұрын

    Uko vizuri sana

  • @giftanney
    @giftanney7 ай бұрын

    Jay mellord nakuombea kwaMungu mafanikio mema and just believe in God na kamwe usije uka mwamini binadamu mwenzako

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k Жыл бұрын

    Watu tunatoka mbari wallah arafu unaona mijitu inakwambia unajiskia sana unaringa wakati urikua namaisha magumu warikua hawa kusaidi

  • @fridahaly9749
    @fridahaly9749 Жыл бұрын

    @drezzy radio 😂😂

  • @sabuyangealphonse3737
    @sabuyangealphonse3737 Жыл бұрын

    Vidox ur so genius bro

  • @sheyla9004
    @sheyla9004 Жыл бұрын

    God bless you

  • @bakariomary5781
    @bakariomary5781 Жыл бұрын

    15:42

  • @adohmusic870
    @adohmusic8703 ай бұрын

    Jay melody wasage

  • @squevo
    @squevo Жыл бұрын

    KALIBU KUSIKILIZA NYIMBO YANGU MPYA

  • @OmariHamisi-ty2wr
    @OmariHamisi-ty2wr11 ай бұрын

    Big upp kaka Hauna baya

  • @oyay2821
    @oyay2821 Жыл бұрын

    Waruguru wachawi kama Babu Tale

  • @MadamVanessa-ny9lz
    @MadamVanessa-ny9lz9 ай бұрын

  • @salvashaban9194
    @salvashaban9194 Жыл бұрын

    From 🇺🇲🇺🇲

  • @Mina.15

    @Mina.15

    Жыл бұрын

    Nobody ask you 😂😂😂

  • @princecharmingtz8130
    @princecharmingtz8130 Жыл бұрын

    Very humble

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial56949 ай бұрын

    Ruge ametoa watu wengi sana Nani atawezakufanya hivyo Tena 😢😢

  • @raymondkimbe4210
    @raymondkimbe42107 ай бұрын

    Kumbe mluguru mwenzangu kuanzia Leo Ngoma zako nitazielewa

  • @user-mn1qj4mk8y
    @user-mn1qj4mk8y8 ай бұрын

    Hyo movie naipat hta me ilinigusa htr

Келесі