ISHU YA SUKARI PROF.MKUMBO AFUNGUKA "KULIKUWA NA MALUMBANO MAKALI, TUNATAKA HIYO LUGHA IISHE"

Пікірлер: 31

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im2 күн бұрын

    Waziri wa kilimo mumwangalie sana. Anaihujumu nchi. Speaker alivyomufukuza Mpina imewauma sana watanzania. Haki iwę kwa wote na sio kupendeleana.

  • @saidalhinai1131

    @saidalhinai1131

    Күн бұрын

    Wewe unaongea kwa ushabiki lkn fuatilia mawaziri waliopita na huo bashe nani muhujumi wacha ukabila

  • @boniphacesululu5428

    @boniphacesululu5428

    Күн бұрын

    ​@@saidalhinai1131kwaiyo wewe AKILI yako hiyo punguani unawaza ukabila tuuu

  • @boniphacesululu5428

    @boniphacesululu5428

    Күн бұрын

    Huyo waziri wenu niwakumwangalia marambilimbil

  • @7675kio
    @7675kio17 сағат бұрын

    Hayo ndo maneno ya kila mwaka. Prof. Mkumbo akumbuke yaliyomkuta mwenzake Prof. mkenda

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony89152 күн бұрын

    Sasa hayo marekebisho ya sheria ya sukari ya nini Boss wangu?

  • @mousirally03
    @mousirally032 күн бұрын

    Wanangu wa alkovintage Nigga Side said Madam mpambanaji Nimewamiss sana wanangu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan80932 күн бұрын

    Tunahitaji viwanda vya electrical divice

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan80932 күн бұрын

    Tukiweza kulima ngano ya kutosha na kujenga viwanda vya mafuta ya kula na nguo za kuvaa tutapunguza upungufu wa pesa zetu za kigen

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony89152 күн бұрын

    Sasa sheria mpya ya Sukari ya nini?

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e2 күн бұрын

    Hii nchi kila mtu ale asepe, sheria ya kuagiza sukari imeboreshwa juz kati yann xx? Pili kwann bashe aliagiza sukari bila kufata utaratibu ata km alikuwa na nianjema? Kwann hakufata sheria zlztungwa na bunge?

  • @Brunn-mh2bq

    @Brunn-mh2bq

    2 күн бұрын

    Marhum Lowasa alisulubishwa kwa nia yake njema hii hii.

  • @Zenny89
    @Zenny89Күн бұрын

    Shida Sio uwekezaji…shida ni Kodi zenu mlizoweka ZINAFANYA uwekezaji kuwa mgumu.

  • @nestor384
    @nestor384Күн бұрын

    Hawa sijui wanatuonaga mbuzi wasiokuwa na kichwa, kilichoidhinishwa bungeni na anachoongea ni kama huwa kuna bunge mbili moja ya nje ya bunge na nyingine ndani ya bunge

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232Күн бұрын

    Msomi anayefikirika kuelimika

  • @ibrahimmohamed8845
    @ibrahimmohamed8845Күн бұрын

    Sasa mbona mnauza mahindi badala ya unga, viongozi mnachekesha. Wao wakipata hayo mahindi watatuuzia unga kwa bei kubwa.

  • @johnthesimba4764
    @johnthesimba47642 күн бұрын

    Nimekaa paleee😂

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355Күн бұрын

    Kigoma Ina Michikichi mingi sana...Lindi, Mtwara , Kyela na Pwani tunaweza kuzalisha Michikichi pia karanga na ufuta..why tuagize mafuta nje ?

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045Күн бұрын

    Kumbukeni Lowasa kwa nini alijiuzuru!?

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq2 күн бұрын

    Haya maneno yanashangaza kweli kweli. Tumeshakuwa na viwanda vya kila kitu hapa nchini. Mmeviuza kwa bei chee leo vimegeuzwa maghala sasa mnataka kuanzisha vingine vipi? Tz blah blah nyingi sana. Tendeni mambo acheni tararira.!!! Mnachosha sana. Mara screw cork mara nini sijui. Mara tunaweka mazingira mazuri. Mara tutawezesha watu wakati kodi zinasema vingine. Blah blah😢

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl2 күн бұрын

    Tuundieeni tume,naona madudu matupu,ichunguze bodi ya sukari na wizara ,madudu yaonekane tupulize dawa tuwe na wizara bora na bodi bora😂

  • @Missionary_work
    @Missionary_work2 күн бұрын

    Political interest

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455Күн бұрын

    Anatafutiwa njia ya kutoka bashe hapo..., story tu hapo..za kulindana 😂 Lazma awajibike kuagiza sukar kutokufata sheria/utaratib..ana maslahi gani.?

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan80932 күн бұрын

    Mafuta ya kula ni bidhaa amba zo inatupunguzia san akiba yetu ya pesa za kigeni

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295Күн бұрын

    Yani ni ujinga hivi mnavyosema chakula sukari mafuta mh walulima wapo hii kwenye Bei na uwezweshaji Yani baazi wasomi porojo nyingi sana na wizi tutajifunza kwa Burkina Faso baazi ya viongozi wengi ni kukariri tu hawana akili za kujiongeza brabra nyingi na upigaji tu

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nkКүн бұрын

    Hivi wewe na waziri wa kilimo ni wezi kabisa hatuwaoni mbele.. Ni Giza nyie tunateseka sisi

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan80932 күн бұрын

    Tunahitaji viwanda vya magari sasa ikiwemo makubwa na madogo

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh2 күн бұрын

    Umeme mpka leo hawa jamaa wana mipango ambayo hayatimii

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502Күн бұрын

    Mmm wewe Kitila usitugeuze wajinga. Mmepitisha kununua Sukari toka nje karibu mara nne ya gap sugar iliyokuwepo, huo izalishaji mwaka kesho itawezekanaje wakati mwaka huu mtakuwa mmeshaviua. Serikali ijenge viwanda pamoja na watu binafsi. Acha kuleta matumaini ya uongo. Mnafanya tofauti na mnachokiongea. Mnavunja sheria kuua sera nzuri za kulinda viwanda. Historia itawahukumu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan80932 күн бұрын

    Maneno matamu ila kiutendaji ni mbovu san haiwezekan mpaka leo tunaagiza nguo za kuvaa ,ngano na mafuta ya kula

  • @ibrahimmohamed8845
    @ibrahimmohamed8845Күн бұрын

    Sasa mbona mnauza mahindi badala ya unga, viongozi mnachekesha. Wao wakipata hayo mahindi watatuuzia unga kwa bei kubwa.

Келесі