HOSPITALI YA TOSAMAGANGA JIMBO KATOLIKI IRINGA YAPANDISHWA HADHI KUWA HOSPITALI RUFAA MKOA WA IRINGA

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 3

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz8 күн бұрын

    Asante mungu kwa zawadi ya kanisa lako hapa duniani. Tunawaombea kwa mungu mjaliwe afya njema ya roho na mwili katika kutuongoza siku zote. Amina.

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus629813 күн бұрын

    Hatimae hongereni wote mlioshiriki kufanikisha hilo.

  • @staminacastory5322
    @staminacastory532210 күн бұрын

    Tunalishukuru kanisa kuboresha huduma zete hospitali yetu ya Ipamba hapo ndipo nilipozaliwa

Келесі