Hatari! Kimbunga HIDAYA kilivyoipiga Mafia, Miti mkubwa, mikorosho yaangushwa

Wananchi wa Kisiwa cha Mafia ni miongoni waliopatwa na majanga ya Kimbunga Hidaya kilichotikisa kuanzia jana usiku na kudumu kwa saa kadhaa hadi leo Jumamosi, Mei 4, 2024. Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa umesababisha mafuriko, miti mikubwa ikiwamo mikorosho na minazi kudondoka kwenye makazi ya watu usiku wa manani. Tazama hali ilivyokuwa kwenye baadhi ya maeneo kisiwani Mafia.

Пікірлер: 24

  • @hamisimwabanda4168
    @hamisimwabanda4168Ай бұрын

    Allah Akbar poleni sana ndugu zetu

  • @biraudhatihassani6840
    @biraudhatihassani684029 күн бұрын

    Allah atunusuru na haya majanga

  • @ShahidaMbaraka
    @ShahidaMbaraka28 күн бұрын

    Poleni sana ndugu zet

  • @khadijadiswera6979
    @khadijadiswera697929 күн бұрын

    Poleni sana ndugu zangu

  • @mosesbizifirst6976
    @mosesbizifirst697629 күн бұрын

    Duuuh poleni sana

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz25 күн бұрын

    Poreni wote

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564Ай бұрын

    Poleni sana ndugu zetu❤❤❤❤❤❤

  • @danielkanso
    @danielkanso29 күн бұрын

    Polen watu wote mliopatwa na changamoto

  • @RahmaSalumu-zo3oq
    @RahmaSalumu-zo3oqАй бұрын

    Duuh subuhanallah Allah atunusuru na majanga kama haya

  • @jumahamad3723

    @jumahamad3723

    29 күн бұрын

    Amiin

  • @ZainaNampanga-zt7ex
    @ZainaNampanga-zt7exАй бұрын

    Poleni

  • @user-vq1iz7fd4c
    @user-vq1iz7fd4cАй бұрын

    Poleni sana

  • @SharonGodwill
    @SharonGodwillАй бұрын

    Nakwambia tusipogeuka na kuacha njia zetu mbaya halima kinakuja

  • @wafabian8116

    @wafabian8116

    Ай бұрын

    Very true dear our knowledge has failed us HE has shown us who HE is HE says in the beginning HE created all these things He is alpha and Omega HE can't share his glory with anyone it's time to turn ourselves back to him HE is merciful GOD

  • @jumahili8121
    @jumahili8121Ай бұрын

    Bado asha anakuja na baadae Maimuna ndio itakuwa kali zaid tusipotubu

  • @suzanfelix6320
    @suzanfelix632029 күн бұрын

    😢😢Mafia yetu jamanii

  • @baruanitv
    @baruanitvАй бұрын

    Nicheki nikutumie video nyingine nilizorecord hapa *KILINDONI NA KIRONGWE* MAFIA asa hiyo baleni ndio kabisa barabara atuna pakupita

  • @Pili-bi8dq

    @Pili-bi8dq

    29 күн бұрын

    Nitumie jamaniii

  • @FerdinandCharles-ko7de
    @FerdinandCharles-ko7deАй бұрын

    Idaya kwann lkn

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon362429 күн бұрын

    Mola atuepushe na dhoruba!

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga533529 күн бұрын

    Tuluki wanachinja kilasiku ng,mbe watoa kafara haya Mambo ayakuwepo kweti lazima watuote tujue YESU NI MUNGU

  • @MwanaishaShattry

    @MwanaishaShattry

    17 күн бұрын

    Haina mahusiano

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876Ай бұрын

    Idaya tena? Majina ya mashetani ayo

  • @MwanaishaShattry

    @MwanaishaShattry

    17 күн бұрын

    Kama lako

Келесі