Harmonize Kuvujisha Video ya Diamond Alichomfanyia Wakati Wakishoot Video ya Kainama

Фильм және анимация

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia

Пікірлер: 384

  • @mwanasharashid7417
    @mwanasharashid74172 жыл бұрын

    Tusio kuwa na team tujuane 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @eng.johnmwangi8160
    @eng.johnmwangi81602 жыл бұрын

    Mimi nitatoa kauli moja tu: Kila mtu ana ndoto zake kwa maisha, huwezi katiza ndoto za mtu na huwezi katiza riziki ya mtu yeyote...hii dunia Mungu ndio ana funguo za utajiri na kila kitu. Konde Gang has the right to follow his dreams and not just be curtailed by this cartel that is known as WCB Wasafi. Konde Gang likes ziko wapi?

  • @ezekiel2034
    @ezekiel20342 жыл бұрын

    I like this guy , he's one in a million your going far bro keep it up🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪👑👑👑👑

  • @ianngtv3257

    @ianngtv3257

    2 жыл бұрын

    Kabisa...

  • @samorfilms2868
    @samorfilms28682 жыл бұрын

    I ,a Ugandan ...have been a big fan of Diamond since 2009...when Harmonize left Wasafi i hated him so mch but nw I understand you bro...Harmo u re a grt guy u deserve the best in this life....

  • @highzacknnko9685

    @highzacknnko9685

    2 жыл бұрын

    " why majority of Ugandans are not good in Swahili,they pretend English with bad accent!!! And their mother tongs

  • @ianngtv3257

    @ianngtv3257

    2 жыл бұрын

    For real..

  • @didiercimanuka3548
    @didiercimanuka3548 Жыл бұрын

    Courage mon frère hata Congo DRC tuna ku kubali sana uli fika Goma angalia mambo uliyo pitia vita…… Mungu aku linde katika kazi zako mimi na ku sapoti uendeleye vile maisha ni ku ji tuma na usi sahau sala Mungu njo chef

  • @monicahfelix8767
    @monicahfelix8767 Жыл бұрын

    We love you from kenya humbleness takes you far

  • @jkm402
    @jkm4022 жыл бұрын

    Wakenya na harmonize🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lbmaasai929
    @lbmaasai929 Жыл бұрын

    Harmoniz God is with you,,,, continue shining diamond platinum is not God,,,your more loved by us in Kenya around the world

  • @Detective_diarie
    @Detective_diarie2 жыл бұрын

    Harmonize you are my number one ever Artist! One love you've proved that you are innocent, you tried your best and you are here. Keep moving.

  • @dominiqclassic633
    @dominiqclassic6332 жыл бұрын

    From today and forever will be your fan.... Okay

  • @morisespoir8597
    @morisespoir8597 Жыл бұрын

    Big up harmonize nakubali nyimbo zako sana

  • @allyathuman6400
    @allyathuman64002 жыл бұрын

    Pole xana kaka kwa unauopitia

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa88642 жыл бұрын

    Nampenda sana hamor

  • @gilbkimboanerge221
    @gilbkimboanerge2212 жыл бұрын

    Husife moyo ndugu yangu ..mungu yupo kwa waliofinyiliwa ..litamrudia diamond hivi karibuni ...amini mungu Yuko bro

  • @linetosiko1062
    @linetosiko10622 жыл бұрын

    Pole sana from 🇰🇪🇰🇪, God is with you

  • @AbdulMalik-zs7nj
    @AbdulMalik-zs7nj2 жыл бұрын

    Harmonize pambana kaka Mungu yupamoja nawe

  • @mercywagaki4154
    @mercywagaki41542 жыл бұрын

    Wasafi imefanya talanta kibao zififie ivi kwamba kaa wee kaa msani huko under wasafi huezi tambulika.....kudos konde for breaking that trend....full support

  • @briangursx5350
    @briangursx53502 жыл бұрын

    If you work just for money, you’ll never make it, but if you love what you’re doing and you always put the customer first, success will be yours

  • @ephraimjunior5888

    @ephraimjunior5888

    2 жыл бұрын

    Very right

  • @briangursx5350

    @briangursx5350

    2 жыл бұрын

    @@ephraimjunior5888 Once you free yourself from the need for perfect acceptance, it’s a lot easier to launch work that matters

  • @briangursx5350

    @briangursx5350

    2 жыл бұрын

    @@licesworld5250 Sometimes it will seem like every day is a bad day, but if you keep fighting you'll have good days again.

  • @nsabimanadominique3907
    @nsabimanadominique3907 Жыл бұрын

    MEN I LIKE HARMONIZE. YOU ARE BEST EVER

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Жыл бұрын

    Diamond anatakiwa kuwa makini sana sasa, haya yawe fundisho juu ya watu wanaotaka kuwasajili katika Lebo,,,

  • @isacomabby3343
    @isacomabby33432 жыл бұрын

    Shukuru umetoka mungu akubariki kutoka cyo unabwata ka choko

  • @briangursx5350
    @briangursx53502 жыл бұрын

    When fake people walk away from you, let them walk. It's their choice, your destiny is never tied to anyone who left. You will surely be left with those that adores your company with positive mind.

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    Exactly!!

  • @abuuzahoroally4654

    @abuuzahoroally4654

    Жыл бұрын

    Kwel mondi hataki mtu awe juu yake ukianza kushain ungonvi

  • @djkingdamixkiller1683
    @djkingdamixkiller16832 жыл бұрын

    Da kumbe diamond mchawi, makubwa haya. Team Konde Gang forever

  • @devidlaizer871

    @devidlaizer871

    Жыл бұрын

    DJ klng

  • @dogjosedogjose

    @dogjosedogjose

    Жыл бұрын

    @@devidlaizer871nimemisikwenda kwenye vigodol

  • @dogjosedogjose

    @dogjosedogjose

    Жыл бұрын

    Kodeboy

  • @mohamedbaabad1681
    @mohamedbaabad16812 жыл бұрын

    Dogo uko vizuri chamsingi ni kujiamini na kupambana walla usisikikilize wanayo ongea wanaadam we pambana ikosiku utatoboa,hivi unafahamu yakua hakuna tofauti kati ya maskini na tajiri awe na kila kitu Ila bada mazishi hachagui

  • @valenakomba9218
    @valenakomba92182 жыл бұрын

    Hujasaidiwa bwanaaa, HICHO KI.KIPAJI UMEPEWA NA MUNGU. HATA BILA YEYE , MUNGU ANGEKUPA MTU MWINGINE ILI AKUONGOZE. KAZI IENDELEE.

  • @dennismwangangi4916
    @dennismwangangi49162 жыл бұрын

    I like this guy so much!! Amejituma Sana anayosema labda Yana ukweli

  • @ianngtv3257

    @ianngtv3257

    2 жыл бұрын

    Kabisa👌

  • @cynthianiipyana2602
    @cynthianiipyana26022 жыл бұрын

    ila nikweli bhn kila mtu anapenda ndoto zake na awee ila kumbukeni mtu ambaye anamsaidia mtu msaidiii tu na wewe diamond kama usha msaidia harmonize bx mungu ndoalipanga sasa unamchukia nini nyooooooooooooooooo harmonize give up my brooooooh ilove so much ataivyo nawapenda woteeeeh wasani ila mond umezidi

  • @annademba9892
    @annademba98922 жыл бұрын

    Bro big up jitegemee uko juu

  • @kelvingeorge4927
    @kelvingeorge49272 жыл бұрын

    Nakuerewa sana bg konde

  • @johnezekiel7953
    @johnezekiel79532 жыл бұрын

    Kaka pole Sana ila kilamt ana kit alicho pangiwa na mungu

  • @gizberttheodore1689
    @gizberttheodore16892 жыл бұрын

    Nimekuelewa konde boy jesh we are together until death

  • @tngmediake1905
    @tngmediake19052 жыл бұрын

    Ningependa Diamond kujibuu haya yote maaana hasipojibu tuskizee upande wake then hatajwa amemtendea Hamo si vyema nway Gosipp no1 kutoka 🇰🇪🇰🇪 TNG Media Ke

  • @sarahmichael7538

    @sarahmichael7538

    2 жыл бұрын

    Amewaongezea posho chawa wake huko mitandaoni wanahangaika kumchafua harmo usiku na mchana, wamezidiwa

  • @zepinashatibu5149

    @zepinashatibu5149

    2 жыл бұрын

    Ajibu nini wakati picha inajulikana

  • @zubeidashabhan2188

    @zubeidashabhan2188

    Жыл бұрын

    Ajibu asijibu harmonise na mwaminia

  • @fatmamohamed7273
    @fatmamohamed72732 жыл бұрын

    Tumekuelewa ila ilikuwa haina haja kutangaza udani ubaya wa mwenzako ili kujisafisha...naamini hata ww una mabaya ulimfanyia...mwanadamu ni dhaifu siku zote hata ww siku ibra ama msanii wako yeyote atakaye fanikiwa na kujishindanisha ama kushindanishwa na ww watu wako wa karibu watakusemeza hayo ndio maisha...muhimu ni muheshimiane muache kutungiana nyimbo za kuchefuana...

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu51492 жыл бұрын

    Mungu akutangulie ufike salama ktk safari yako ya maisha

  • @wiseboyps
    @wiseboyps Жыл бұрын

    Ume winner umemtukana mwezio iyo siyo poa bro harmonize

  • @TitusSarkai-hg5uk
    @TitusSarkai-hg5uk4 ай бұрын

    Konde you speak the truth God bless you ❤❤

  • @sadikimwalongo7871
    @sadikimwalongo78712 жыл бұрын

    Ni kweli bila huyo tusinge kujua leo na hata pesa uliyo nayo nj zao la diamondi..mungu anakuona

  • @pasensianapaul2560

    @pasensianapaul2560

    2 жыл бұрын

    Kila mtu anatoka kwa njia yake hata yeye alitolewa na mtu

  • @zipporahogembo142
    @zipporahogembo1422 жыл бұрын

    Harmo you're the best ever 💯💯 nyimbo zako zinanipa motisha sana especially in this live without balance 😂😂😂

  • @Ronald-Oundo-Gospel-Music
    @Ronald-Oundo-Gospel-Music2 жыл бұрын

    Thus y I love harmo anaongea kwa Ubusara

  • @captainjoseph8131
    @captainjoseph8131 Жыл бұрын

    Konde gang for LIVE. .......🌟

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu28112 жыл бұрын

    Helping someone so as u can earn profit from him/her is not a kindness, it is an investment. Diamond aliwekeza kwa harmonize, harmonize ametoka kwenye mtego wa panya. Hii inaonyesha harmonize ni mwenye busara zaidi, maana alitoka kistaarabu. Na amewajibu kutokana na shobo zao za kumdiss. Af mtu mwenye kupenda kujisifu kisa alisaidia mtu, wala hapat baraka ya msaada alioutoa (surat bakar).

  • @nurat5777

    @nurat5777

    Жыл бұрын

    Ww ni mwanaume wa kweli Tena yule mwenye maamuz Big up

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump2542 жыл бұрын

    Tangu harmonize kuweka mambo wazi, subscribers wake wameongezeka maradufu

  • @ianngtv3257

    @ianngtv3257

    2 жыл бұрын

    Kabisa..

  • @mrten2574

    @mrten2574

    Жыл бұрын

    Ameshamzidi 🦁🦁🦁🦁

  • @alexsambia3046
    @alexsambia3046 Жыл бұрын

    Teacher konde achana nae mungu anakutengenezea njia nzur tunzid kuku support

  • @producerema291
    @producerema2912 жыл бұрын

    Hekima za Kongeboy nakukubali sana

  • @denisisaiah7776
    @denisisaiah77762 жыл бұрын

    Keep it up bro please how many distance from Kenya please I beg you to give me a call about blizzcon the boy

  • @cathbertkika6496
    @cathbertkika64962 жыл бұрын

    Sik zote mti wa matunda lazim utupiwa mawe, msanii yyte anae anza kuwa na mafanikio lazim awe na bifu kubwa na daimond sio jamb la kuuliz hatushangai. Harmonize charaza bakora

  • @charleyjpchimphepo3727
    @charleyjpchimphepo37272 жыл бұрын

    Unajua nini harmonize usingeingia wew wcb isngejulikana kabisa lakin wew na kukubali unakipaj hatali hawez wakakufikia wew

  • @RusiRusi-zu3kh
    @RusiRusi-zu3kh9 ай бұрын

    Brother pole Sana yani unanliza brother weeh pambana Kaka

  • @luganochiwanga4226
    @luganochiwanga42262 жыл бұрын

    dah ..nilikuwa nakulaum kumbe sijui..pole snaa

  • @Dogokillerog
    @Dogokillerog2 жыл бұрын

    Naomba warudiane Kimziki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🐘🦁🦁🐅

  • @huzurumhimba4075
    @huzurumhimba40752 жыл бұрын

    Nakukubali brother konde

  • @rashidmwinyi271
    @rashidmwinyi2712 жыл бұрын

    Fanyeni kazi vijana malumbano hayafai

  • @georgegosbert786
    @georgegosbert7862 жыл бұрын

    Never give up 💪💪💪💪💪

  • @rosemkamburi2022
    @rosemkamburi2022 Жыл бұрын

    Yeah bro ur songs are the besty harmo congrats ma bro

  • @bentoafonsomagnos4340
    @bentoafonsomagnos43402 жыл бұрын

    Huyu harmonize no mshamb tu Jana lolote

  • @salummwihava8474
    @salummwihava84742 жыл бұрын

    Ucjali ndugu pambana mungu atakucmamia

  • @jamesdadu6736
    @jamesdadu67362 жыл бұрын

    Achana na hayo Harmonize..fanya kazi...wanadamu ndio tulivyo...wewe na diamond sio wa kwanza kugombana...wanadamu siyo..usiongee sana..hao hao wanaokuhoji mamuluki...Note pliz

  • @vincentnyabuto4605

    @vincentnyabuto4605

    Жыл бұрын

    Diamond Ubwa yeye kupigana na mtoto wake atakufa kama matako yake

  • @judywambui3409
    @judywambui34092 жыл бұрын

    Yaani nasoma comments hakuna mtu kajiumba mola peke ,diamond bado mungu anampenda ,harmo pia wewe mabaya ni mengi kumbuka tuu mungu alikubali ufike hapo so tulia onyesha upendo kwa adui yako ,,,,kubali kuonekana mbaya ushine Sasa umeanguka kabisar

  • @kayumbachama6577
    @kayumbachama65772 жыл бұрын

    Nakukubali kwamaneno yako kijana

  • @shabankiwesi8826
    @shabankiwesi88262 жыл бұрын

    Kwenye flash zangu nimefuta nyimbo zako zote kwa ujinga unao ongea

  • @janekathoni4506
    @janekathoni45062 жыл бұрын

    Kila mtu na riziki yake, don't lose hope brazii

  • @EvieDovesliliy
    @EvieDovesliliy Жыл бұрын

    My favorite ❤️❤️❤️❤️❤️ love you Big🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shabankiwesi8826
    @shabankiwesi88262 жыл бұрын

    Ropoka uwezavyo mond humuwez bado kinda sana harmonize..mond n next level

  • @PRAYBUSINESS
    @PRAYBUSINESS2 жыл бұрын

    Well done my sister

  • @deogratiusruhuro3584

    @deogratiusruhuro3584

    Жыл бұрын

    Sista babako kunguru mkubwa🤣🤣😀

  • @geofreylucas1877

    @geofreylucas1877

    Жыл бұрын

    🇹🇿🤣🤣🤣

  • @firdausbakari7341

    @firdausbakari7341

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣

  • @jumamussa2689
    @jumamussa2689 Жыл бұрын

    Diamond ni mshamba sanaa mtu mshamba haijalishi anakipato au Hana.

  • @abdallahmiraji8985
    @abdallahmiraji89852 жыл бұрын

    konde boy fire

  • @musembijoseph5560
    @musembijoseph55602 жыл бұрын

    Enda utandike diamond.kwa mziki na vita hakuezi pesa tu do anakushide.wakenya tuko konde boy ngeny.

  • @briangursx5350
    @briangursx53502 жыл бұрын

    Keep up bro

  • @bodyclaude4582
    @bodyclaude45822 жыл бұрын

    ....huniwezi kiserekali, huniwezi kihela, tena huniwezi kiuchawi....duuuuuuh ! Pole sana Harmo umepitia na magumu sana

  • @joseckndubi8248
    @joseckndubi82482 жыл бұрын

    diamond why do this to your brother????? not fair this has made me hate you with passion shetani ashindwe enjoy 50minutes of fame shindwe nguvu za giza. mola ndio mpaji

  • @ncba

    @ncba

    2 жыл бұрын

    😂😂

  • @hildageorge6732
    @hildageorge67322 жыл бұрын

    keep fighting bro..

  • @sashashaibu6821
    @sashashaibu68212 жыл бұрын

    Daimondi arijuwa kuwa wewe unaakiriy kwani una shukurani wewe daimondi anajuwasana

  • @rashidkichaa3342
    @rashidkichaa33422 жыл бұрын

    Jeshi haupingwi Kk nakukubali sana

  • @imanabo7273
    @imanabo72732 жыл бұрын

    Nicee

  • @victoromwenga7683
    @victoromwenga76832 жыл бұрын

    Mimi ni kiswahili ya watanzania imenileta uku😂😂

  • @mariellerashidi4649

    @mariellerashidi4649

    2 жыл бұрын

    🤣 🤣 🤣 Tukowengi

  • @highzacknnko9685

    @highzacknnko9685

    2 жыл бұрын

    Kiswahili kirahisi sana kwani wewe unajua lugha gani?

  • @ZuwenaZuwena-oe9kk
    @ZuwenaZuwena-oe9kk2 ай бұрын

    Cham2.maviii.kakaa🎉🎉🎉.vizuli🎉🎉upoo.leboo.yakooo

  • @chalematyampula3672
    @chalematyampula36722 жыл бұрын

    Kumbe uyu brz sio poa kwl mwnng pambn brz kunde

  • @mcbrianlokai46
    @mcbrianlokai462 жыл бұрын

    Jeshi🔥🔥🔥💪

  • @frankcomedy.4478
    @frankcomedy.44782 жыл бұрын

    Dah! Pole Sana Konde

  • @princemuncho7545
    @princemuncho75452 жыл бұрын

    Never give up 💪🏿

  • @elizalaizer8772
    @elizalaizer8772 Жыл бұрын

    Mondiii ni machineeeee anawashindaaa woteeee ndo maana mnataftavpa kwenda kujifchaa lkn piaa burna boy pia uchawii umezidi

  • @stanleysaid8381
    @stanleysaid83812 жыл бұрын

    Konde boy wakenya twakuaminia na twakurespect wewe ni msanii ule mnoma Toka ile wakati ulitembea Nakuru Kenya nikuheshimu njoo Kenya piga show na wakenya achana na huyo anajiita Simba ndo maana mejja alimnyima collabo

  • @CMAB2KE
    @CMAB2KE7 ай бұрын

    Tunafaana pia me nimepitia hayo matatizo ndomana nakuamini tu sana we ni jeshi

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku38962 жыл бұрын

    Fanyeni kazi acheni drama fans tunataka musics

  • @samwelmagita7744
    @samwelmagita77442 жыл бұрын

    Unajitetea Sanaa tuachie Simba wetuuu

  • @davidkone9486
    @davidkone94862 жыл бұрын

    Napendaa konde gang

  • @prota_king
    @prota_king2 жыл бұрын

    Oooh my gosh

  • @JosephatWilbroard
    @JosephatWilbroard6 ай бұрын

    His toking vitu ambavyo vinatoka ndani ya moyo wake and that's why amebabarikiwa sana na mwenyezi mungu na daima mtu kama huyu ni ngumu kirudi nyuma hata iwe namna gani

  • @samwelmagita7744
    @samwelmagita77442 жыл бұрын

    We Ni msaliti tuuu

  • @pascomagesa3103
    @pascomagesa31032 жыл бұрын

    Ilikuwa Haina Haja Harmo,

  • @omariwaziri9297
    @omariwaziri92972 жыл бұрын

    Ww jeshi

  • @mahendemulango9771
    @mahendemulango9771 Жыл бұрын

    Wozaaaaa ma men

  • @zamoyonimnalu258
    @zamoyonimnalu2582 жыл бұрын

    Umepitia mengi broo pambana

  • @happynjukiz6495
    @happynjukiz64952 жыл бұрын

    Huyo burner anamuogopa Mondi ndiyo maana hataki kuwa nae karibu kwasababu anampa challenge arafu harmonize bonge la snitch

  • @sophsoph4740

    @sophsoph4740

    Жыл бұрын

    Kabs

  • @erickthabiti7714
    @erickthabiti7714 Жыл бұрын

    Kwavile umeweza kujitoa wasafi jitaidi kupambana ndugu yangu

  • @hillarykhisa2294
    @hillarykhisa22942 жыл бұрын

    Nice work bro

  • @Newtonsville2
    @Newtonsville2 Жыл бұрын

    Totally love this konde guy. Way better than diamond, keep your cool.

  • @cathelinemaurid898
    @cathelinemaurid8982 жыл бұрын

    Wewe nawe tushokuzoea usipende sana kusema mabaya ya wezako we mbona unamazaifu wewe ni mwanamme jifunze kukaakimya hilo ni jibu tosha kwa mtu sio kuweka vitu vyawatu wopr ulimuanika mwisho yule pale anaitwa mama acha mabifu piga kazi kaka acha maneno maneno

  • @user-ty1ft5pw2t
    @user-ty1ft5pw2t7 ай бұрын

    harmonize kweli umepitia magumu endelea kupambana mashabiki walk tupo pamoja nawe

  • @sufomomade3024
    @sufomomade3024 Жыл бұрын

    Wewe uko sawa jeshi

Келесі