Mwendokasi Tv

Mwendokasi Tv

Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini.

Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini.

Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake.
Kktokuingilia faragha ya mtu.
Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.

Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa.

Mwendokasi Tv "We Run Together "

Пікірлер

  • @JoyceChilele-x2v
    @JoyceChilele-x2vКүн бұрын

    Masudi na kibibi

  • @esthernjeri6483
    @esthernjeri64832 күн бұрын

    🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DeusMhassa
    @DeusMhassa3 күн бұрын

    He mungu walehemu nduguzetu na waweke mahali pema peponiAmiin❤

  • @FiacreTiger-hn8cz
    @FiacreTiger-hn8cz3 күн бұрын

    ❤❤

  • @AdrienGrace-kj8hw
    @AdrienGrace-kj8hw3 күн бұрын

    nakukubali sana kaka yangu jeshi

  • @ramauo4410
    @ramauo44103 күн бұрын

    wewe mruguru

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n4 күн бұрын

    Good hâta wamakonde hajui ni wawapi huyu anaonekana suyo mtanzania

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n4 күн бұрын

    Wairak mmedanganywa

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n4 күн бұрын

    Huo ni upumbavu acha kukosoa uumbaji ushamba ni wako ntombanebe

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n4 күн бұрын

    Wewe umepotoka nahao unao wasema wemfanya utafiti mkosoe MUNGU ndue kaumba pumbavu

  • @Ernest-wr5rn
    @Ernest-wr5rn5 күн бұрын

    Huyu jamaa kweli kaokoka😂

  • @bernadetterfelix7626
    @bernadetterfelix76265 күн бұрын

    Tuxikomet kwa hixia marioy ni hatar

  • @jamesmartin7026
    @jamesmartin70265 күн бұрын

    Dr Shika mwingine huyu

  • @user-qs4bz8zj5c
    @user-qs4bz8zj5c5 күн бұрын

    Pibi anakudaii mulipee bc

  • @user-cd5qg7hq6i
    @user-cd5qg7hq6i6 күн бұрын

    Mashallah anawezea sana sele na sitiv mweusi

  • @oscarbareke3267
    @oscarbareke32676 күн бұрын

    Ushahidi alitoa akamkabidhi spika, ndipo akaja kuwambia wananchi kwani bunge lile ni la wananchi wa tz kosa ni ni

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon10647 күн бұрын

    HAPO MGANGA ATAKUWA KAFANYA KAZIYAKE KWA UFANIS MKUBWA😂😂😂

  • @jamesmaneno2281
    @jamesmaneno22818 күн бұрын

    Nachukia mm basata awamuni uyu wakampa kitengo mbona wasanii watafadika sana

  • @SalimMussa-mm7bm
    @SalimMussa-mm7bm8 күн бұрын

    Mavazi tuu so poa

  • @milliardere9177
    @milliardere91778 күн бұрын

    Huyu jama ni noma sana nilimjuwa kweny snake boy

  • @JoyceDaniel-sk3cv
    @JoyceDaniel-sk3cv9 күн бұрын

    ww bro jambo lililofanyika hapo siolakawaida ww jifanye chawa ss kwenye ujinga mpaka akutoe kafala ndo utaelewa kichwa chako

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha9 күн бұрын

    Huyu si aseme yeye ni chawa tena nene? Shame on you nshomile. Umefwanya hata nionee aibu PhD yangu niliyoitesekea Kaanada! Mbweno nugambaki nshomile?

  • @michaelnzowa
    @michaelnzowa9 күн бұрын

    Msomii!

  • @user-dx3so9ed3e
    @user-dx3so9ed3e12 күн бұрын

    Nakubal dada

  • @kedy-tz
    @kedy-tz13 күн бұрын

    safi sana brether

  • @SalimaMtima
    @SalimaMtima14 күн бұрын

    Chinga uy0 ùna ela ya kumpita daimondi fala wewe

  • @aishayika3684
    @aishayika368415 күн бұрын

    Mbn kiuno kigum

  • @omarali797
    @omarali79716 күн бұрын

    Kinyago

  • @user-jq6zg4ij4b
    @user-jq6zg4ij4b16 күн бұрын

    Acheni ufala je angekua mwanao

  • @user-jq6zg4ij4b
    @user-jq6zg4ij4b16 күн бұрын

    Nyie mnaomtetea huyo mwalimu je angekua mwanao ungefurahi

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael195116 күн бұрын

    Unaakili Sana bro

  • @charlesmsemo9892
    @charlesmsemo989216 күн бұрын

    Welcome back Brother thumb up❤

  • @RoseMollel-wo3ls
    @RoseMollel-wo3ls16 күн бұрын

    Shida wairaq mnapenda chini umalaya

  • @hemedisalim5522
    @hemedisalim552217 күн бұрын

    Hamumuezi Mange Kimambi nyie machawa wa serikali

  • @SophiaMagoti-li8bc
    @SophiaMagoti-li8bc17 күн бұрын

    Duh siku ngumu

  • @JaphetNtihinduka
    @JaphetNtihinduka17 күн бұрын

    Love our song mbosso from Burundi

  • @RebecaSanke
    @RebecaSanke18 күн бұрын

    Hamisa utunzwe na mungu hakika unajitaid misiban

  • @user-dt9gf1sb9k
    @user-dt9gf1sb9k18 күн бұрын

  • @AzamDjimmy
    @AzamDjimmy18 күн бұрын

    Mungu aki kubariki kwa nini Nawe usi bariki mwengine

  • @user-ks7tr1fd5d
    @user-ks7tr1fd5d19 күн бұрын

    Piga kelele kwa wanyakyusa wake weweeeeeeeeeeeee ❤❤❤ sana my trible black buty 2najivunia ukarim we2 waoooooooo

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb20 күн бұрын

    Kweli kabisa mtoto ni wake hamo pa

  • @emmanuelsilungu446
    @emmanuelsilungu44620 күн бұрын

    Beka ibrozama

  • @JacksonVuga
    @JacksonVuga22 күн бұрын

    Oe huyo jamaa ameweza sana na kwa kilila part zote kwa comedy ruta nimarufu sana aendelee sana mmi ni mkenya mombasa huku bamburi sehemu ya kwa bull nafatilia sana vitu vyake uko vizuri ruta man

  • @peternassari7634
    @peternassari763423 күн бұрын

    Kazi nzuri

  • @ZainabAlex-ne1gl
    @ZainabAlex-ne1gl23 күн бұрын

    Naweza kumshauri amkumbuke mung pia

  • @user-sf9bo8pz1w
    @user-sf9bo8pz1w24 күн бұрын

    Nakukubali sana 💥👊

  • @diamondplutnumz4862
    @diamondplutnumz486224 күн бұрын

    Una lolote

  • @BabeRymz
    @BabeRymz25 күн бұрын

    Jama wamawche hale pesa zake😅😅😅

  • @IsmailMahamudu
    @IsmailMahamudu25 күн бұрын

    We zombie sikutaji umuuu upooo vizur

  • @ModdestaGhati
    @ModdestaGhati25 күн бұрын

    Pole dada angu😢😢