HAPA NDIO KUNA MATATIZO YA NCHI

Ойын-сауық

Пікірлер: 15

  • @mgallahtv4704
    @mgallahtv47042 ай бұрын

    Mungu akubariki sanaa Mwal Steven❤🎉

  • @aminakassim831
    @aminakassim8313 ай бұрын

    Nataman gwaji b abadili chama kama inawezekanaa ndo agombee kiti maana chama chake kimeshapigwa pin

  • @bahatikamihanda3689
    @bahatikamihanda36893 ай бұрын

    Siasa nyepesi hizo.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole92933 ай бұрын

    Gwajima akigombea kwa tiketi ya Chadema anashinda urais

  • @reginas1832

    @reginas1832

    3 ай бұрын

    Shindwa kwa Jina la Yesu

  • @aminakassim831

    @aminakassim831

    3 ай бұрын

    Yanii ndo mawazo yangu natamani abadilishe chama kama kuna mtu yupo karibu nae amshauri wallah anashinda

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole92933 ай бұрын

    Usisahau ndani ya vyama kuna mfumo na ndio huw inamtoa kiongozi kwenye reli

  • @hudumayakristo

    @hudumayakristo

    3 ай бұрын

    Watu ndio wanaweka mfumo. Watu sahihi wanaweka mfumo sahihi watu wa waovu wataweka mfumo wa uovu.. so tushuhulike na watu..ameen

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw3 ай бұрын

    Mtumishi serikali hawezi wamalizia tatizo kwani kuna baadhi ya wananchi hawapendi kujituma kitu kikubwa ni kuweka mazingira ya kuwekeza kila mkoa kwani bahati tuna maliasili kila mkoa hivyo kuweka viwanda biashara nk.nchi zote hata wasio mjua mungu wanakazi na wapo vizuri kimaisha lakini vinginevyo uongo labda serikali kuwawezesha mitaji .

  • @reginas1832

    @reginas1832

    3 ай бұрын

    Serikali ipi inayouza rasilimali zetu kwa wageni

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel71493 ай бұрын

    Tatizo sio vyama,Bali ni watu ndani ya muhimili. Msingi wa kwanza ndio ulianzisha haya, watu hawa walicopy na kupest mwenendo mzima wa muanzilishi,kwamba kila ajaye anatungiwa kaulimbiu fulani kuwa ndio utaratibu wa lazima kuutukuza uwe juu ya katiba na sheria zilizopo! Utasikia: sio fulani tusingekua na maendeleo, fulani kafanya na sio uma unaovuja jasho, hata akikopa sisi tulipe ni yeye katafuta! Akisema chochote ndio sheria!

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel71493 ай бұрын

    Ni kweli kila mtu ni zao la dini na dhehebu fulani lakini miaka mingi wameongoza kama wasio na dini. Unakuta mtu kaamua mambo ambayo hayaendani na imani yake lakini wakuu wa imani ile wanamsifia au wanakaa kimya kama hawamjui badala ya kumuita na kumuuliza je, umeikana imani yako?! Hii ingesaidia sana kuondoa sintofahamu ndani ya viongozi.

  • @hudumayakristo

    @hudumayakristo

    3 ай бұрын

    Kweli kabisa...point.

Келесі