GARA B AMUONYA MAMA | ASUSA SHOW | SIPANGIWI CHAKUFANYA | LULU DIVA | HUNA MAMLAKA | MAMA HAMTAKI

Ойын-сауық

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 214

  • @MaryamShadhil
    @MaryamShadhilАй бұрын

    Lulu diva utake usitake umekosea sana kwa kukosa kuwa na msimamo wa kipindi. Na nimechukizwa sana na maneno uliyomwambia Garab. Ila nimependa Garab umeamua uamuzi wa kiume. Big Up broo

  • @selverousmakhanu2144
    @selverousmakhanu2144Ай бұрын

    Gara B Yuko sawa . Maamuzi ya Binti akiingia kwenye show ni tofauti sana .

  • @SikuJuma
    @SikuJumaАй бұрын

    gara B upo sahihi kaka

  • @collinstemba6040
    @collinstemba6040Ай бұрын

    Sio kwa ubaya lakinii huyu mama kazingua sana

  • @user-bg9zd1ro4x

    @user-bg9zd1ro4x

    Ай бұрын

    Zaidi bro

  • @muhammadsalym4124
    @muhammadsalym4124Ай бұрын

    Gara B uko sahihi kwa hili

  • @emmahhharry8065
    @emmahhharry8065Ай бұрын

    Huyo mama bado anaishi kikoloni sana

  • @sajjaddaffa
    @sajjaddaffaАй бұрын

    We are watching the show because of Mr Gara b wee lulu na huyo mwenzako mtajitazama wenyew . na hiyo show bila gara b ni sawa na buree

  • @user-tj8ng7nv9x
    @user-tj8ng7nv9xАй бұрын

    Kiukweki tunaeshim wazazi. Ila kwa ilo swala apana. Na hao wakina lulu wanafanya makosa makubwa sana kumuvuwa vyeo Gara B.mbele yawatu

  • @johasaeed391

    @johasaeed391

    Ай бұрын

    Kabisa huyo mzee anajizalilisha

  • @user-kc8sf6vg8k
    @user-kc8sf6vg8kАй бұрын

    Mambo ya kuchaguliyana wachumba ni ya kizamani gara b upo sahihi

  • @lisagwandumi

    @lisagwandumi

    Ай бұрын

    zamani sana na kwann aende na mzazi wake akati moyo ni wake😂😂

  • @user-gp7mh1ce9z
    @user-gp7mh1ce9zАй бұрын

    Maza msenge sana mimaza kama hiii ndo ile inabomoa miji ya watoto wao mamuzi ya gara B nimeyakubali sana mno safi brother uwo ndo wanaume sio kuendeshw kisenge

  • @user-vk1ph3xv6g

    @user-vk1ph3xv6g

    Ай бұрын

    Asante

  • @Lulucut

    @Lulucut

    Ай бұрын

    😂😂😂

  • @lightnessmathiasmsoffe2655

    @lightnessmathiasmsoffe2655

    Ай бұрын

    Yan lulu diva mshenz anajipendekeza tu

  • @chibubinladen7115

    @chibubinladen7115

    Ай бұрын

    Diva hata hamnazo coz anachokisema n pointless angalau aliyah bint ndio mtoa maamuz mzaz ana bark tu

  • @jovinathasavoie8018
    @jovinathasavoie8018Ай бұрын

    GARAB u did the right thing.kwanza mambo ya kuchaguliwa wanaume mpk leo yapo??%nijichekee mie.Nashukuru wangu nilimchagua mwenyewe. Na this show itakuwa nonsense kama wazazi ndo wanakuja kuchagua wachumba kwani mzazi ndo anaenda olewa???

  • @atamotivetv8104
    @atamotivetv8104Ай бұрын

    Lulu diva kua na nidhamu bc sijapenda kabisa kumjibu ivyo b hapo ampo juakali sawa lulu muombe msamaa brother b

  • @robertomare6100
    @robertomare6100Ай бұрын

    Upuzi sana. Hadi kutongoza mama anatakiwa kuwepo jamani dunia inaelekea wapi

  • @issahpaul4510
    @issahpaul4510Ай бұрын

    Gara B yuko right...do not allow wazazi kuja kwa show next time lasivyo show itapoteza mvuto

  • @queensalema5262
    @queensalema5262Ай бұрын

    Yote haya kasababisha mama jinga kwel

  • @donatilavenancemarandu9888
    @donatilavenancemarandu9888Ай бұрын

    Nakupongeza sana dactar, unaheshimu moyo na matakwa ya Mungu. Wazazi ndio kila kitu maishani, ukitaka kufanikiwa pata baraka za wazazi. Na ukitaka kufeli, pia chaguo ni lako. Hii show Sio sehemu ya kujiuza, au kujifurahisha tu, bali ni malengo ya kuwasaidia kweli vijana. Hivyo kamwe msiruhusu mtu achukuliwe na mtu asiyejitambua.❤️🙏🏿

  • @Mudathir-tx1md

    @Mudathir-tx1md

    Ай бұрын

    Unaongea ujinga tyu na ww😂

  • @yonastembela3363
    @yonastembela3363Ай бұрын

    Mama anataka awe anashea mapenzi

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3deАй бұрын

    Mm simpelek mwanangu kwenye umalaya kama huo kama Mungu kamuandikia kupata mume n huko watakapokutana iwe kilabun iwe kanisani sio hvyo n kujidhalilisha

  • @enzojaylan
    @enzojaylanАй бұрын

    Mwanaume na maamuzi ya kiume......Big Up Garab

  • @48kingfahadem63
    @48kingfahadem63Ай бұрын

    Garab Wewe ni mwanaume tena Upo sahihi mambo yakuwaleta mama zawo hapo yafe kama anamchagulia Binti yake mwanaume kwa nini waje hapo asimtafutiye nje huku Sijapenda hata kidogo 😡

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493Ай бұрын

    gara B yupo sahih sana asa mama si asubr home aletewe mkwe jamn kwenda kumchagulia mwanae ndio nin au ye alichaguliwaa na lulu ujafanya vzr kabsaa nakukubalig ila leo hapana upo wrong maan hutobaki na huyo mama hapo

  • @user-bh8kn3mh3f
    @user-bh8kn3mh3fАй бұрын

    Sema kulichangamka,pole gara B sidhan kam kutakua na mtu kama ww

  • @JudyPatience
    @JudyPatience2 күн бұрын

    Mm mzazi haezi nitafutia mchumba,huku Kenya labda tuko tofauti

  • @jeedymasoud4269
    @jeedymasoud4269Ай бұрын

    Lulu umezingua sana kwanza imekuwa mzazi anakuja kumchagua mkamwana? Basi kama anaweza kumchagulia wa kumuoa wasingefika hata kwenye shoo. Akamtafutie mtaani khaaaa!!!

  • @EMMYSIMON-hg5cf
    @EMMYSIMON-hg5cfАй бұрын

    Mama kazingua pakubwa but luludiva nae amezingua zaid sijapenda hyo majbu kwa GaraB

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249Ай бұрын

    Kivumbi kivumbi mhhhhh haya makubwa sasa huyo kaka anamuoa na mama Agness au anamuoa Agnes tu makubwa, GaraB upooo sahihi 🎉🎉🎉

  • @Balozikijana25
    @Balozikijana25Ай бұрын

    Huyoo mama naye akatobwee huko asituharibie show

  • @GreysonMbisse
    @GreysonMbisseАй бұрын

    Yan uyo mam anaacha mme wake hom anakufa barid anakuja mr right kumchagulia mtu mume nimelia san sorry Grab but umeonyesha wanaume tunapaswa kuwaje 🫡👏

  • @pamelafelix6361

    @pamelafelix6361

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @rosepilla4066
    @rosepilla4066Ай бұрын

    Mama nae anataka mwanaume siyo bure,huwezi kujidhalilisha namna hiyo

  • @principiusrutahiwa4599
    @principiusrutahiwa4599Ай бұрын

    Nawaza tu lulu diva na gara B mbona kama mnajibizana vibaya jua kali series yetu itakuaje 😮😮

  • @user-zi1or6xh2w

    @user-zi1or6xh2w

    Ай бұрын

    😂 umfika upande wapili

  • @user-cl4dn2nd9q
    @user-cl4dn2nd9qАй бұрын

    Ani apo ata c elew ,bt baraka za wazazi zinahusika sana kwa maisha yetu ya ndoa,bt kwa utaratibu mzuri na c huo wa kujiuza huko,mama umejiaibisha mwonekano na matendo tofauti

  • @geofreylucas7870
    @geofreylucas7870Ай бұрын

    Sas garab akiondoka hapo mnafikiri mtajiweza na likipindi lenu hilo 😂😂😂

  • @user-bg9zd1ro4x
    @user-bg9zd1ro4xАй бұрын

    Iyo ndio shida kufanya kazi na wanamke tu eti ni watu nanusu ila uko kichwa lazima wakuheshimu kweli hawana heshima leo nisiku mbaya kwako garab tulia tu tutawapa fuzo hao ❤😂😮😊

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348Ай бұрын

    Kyoma safi sana wazazi wasituaribia kipindi wakati wao ushapita maamuzi ya kiume hayo waache watoto wachague wenyewe ndoa nyingi azifiki mbali sababu ya wazazi kuangalia maslahi kwa watoto wao ovyo sana mama kazingua

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7jАй бұрын

    Hii kali 😂😂😂😂😂 mama alikua ni angalie mwenye atachaguliwa akubali huyo tuu

  • @user-ib2hb3xp2d
    @user-ib2hb3xp2dАй бұрын

    Duuuh jaman kumbe bado Kuna kuchaguliwa mwanaume hahahaa

  • @NepporSabith
    @NepporSabithАй бұрын

    Kun wamama nikama mama Mkwe wa BARNABA hhhhha mwanao atongozwe From A too Z unasikiliza mistali afu ndiyo au apana anaye sema ni mzazi au mama mwenyewe kwahiyo atakufanya mapenzi itakuwa nikukadiriana penzi letu, hizo siyo tamaduni ni kam Matusi yakujitakia

  • @JumaKayaya-xb4qp
    @JumaKayaya-xb4qpАй бұрын

    Daaah sio poa b mkubw amezngua 2

  • @EmmanuelLulinda
    @EmmanuelLulindaАй бұрын

    Katika show mbovu ni hii Apa imeingiliwa watazamaji hatujapendezwa na lulu kumsaport mama syo sahihi Ata kidgoooo

  • @BillMos-mt3ts
    @BillMos-mt3tsАй бұрын

    Angeenda uko wanapo jiuza akamchagulie senge sana Sila sijapenda lulu diva kama anajionaa Sanaa etie

  • @calvinmlay5029
    @calvinmlay5029Ай бұрын

    Mama amezingua

  • @hadijasalim7769
    @hadijasalim7769Ай бұрын

    Jamani nahuyo mama nayeye anamambo sibure ni mama wema

  • @naomiburra6918
    @naomiburra6918Ай бұрын

    Big up gara B

  • @donatilavenancemarandu9888
    @donatilavenancemarandu9888Ай бұрын

    Hakuna aliye kosea, Hakuna mzazi asipenda mafanikio mazuri kwa mwanaye. Hivyo mtoto amemwelewa mzazi na kufanya maamuzi sahihii. Kama ingetokea mtoto amemwelewa huyo kijana, bado hata Kama mama angekataa, yeye angekubali na kumshawishi mzazi wake. Hivyo hatuna haja ya kulaumu, dr. Alikuwa sahihii sana, na pia garabii alitamani mr.right apate mtu. Mwisho Wa siku lazima mmoja wao angekubali kushuka, ili kumaliza ugovi.❤ Hii ni challenge nzuri, watapatana tu wenyewe ❤. Kazi iendelee.

  • @GiftAbduly
    @GiftAbdulyАй бұрын

    Koo mama nae kajibeba kwenda uko khaaaa😮

  • @user-bi9pn1pm8z
    @user-bi9pn1pm8zАй бұрын

    Uyo mama mujuaji

  • @fatumamfumia4507
    @fatumamfumia4507Ай бұрын

    Mama kaboaaaaa balaaa

  • @KassimSaid-ue2xk
    @KassimSaid-ue2xkАй бұрын

    daah lulu huna akili ww huoni hata ss watazamaji tumekereka na mamuzi yako ss basi. KAKE GARA B upo sahh sana one love for this

  • @frenckabdull-tb3sz
    @frenckabdull-tb3szАй бұрын

    Uyo lulu div kama msenge iv anajielewa kweli

  • @shuhudantabebera7713
    @shuhudantabebera7713Ай бұрын

    Hiii sio haki kabisaaa wazazi tunawapenda but kwa kipengere cha kunitafutia mume au mkee hapan kwakweli GaraB yuko correct kabisaa

  • @RamadhaniMuhidini-nn2kg
    @RamadhaniMuhidini-nn2kgАй бұрын

    Lulu diva yuko sahihi, Tena huyu lulu diva ana chembe za dini, katika swala la ndoa wazaz ni viungo muhimu sana, mzazi ndo kamlea huyo bint anajua madhaifu ya bint yake na mapungufu, mema na mazur yake, mzaz anajua ni mume gan atamfaa mwanae. Huwez kumdharau mzaz na kusema hana nafas, SHIKA ADABU YAKO WEWE. halafu maisha ya ndoa kuna furaha na misukosuko , je mkipatwa na misukosuko mtarud wap na mliwadharau wazaz, halafu nikuambien kitu, ndoa haiwez kuwa na baraka kama wazaz wamenyongeka.hususan mzaz mama, muogopen sana mzaz mama, msijitie dharau hapa saiz ohooo,!! hiyo ndoa haitakua na furaha mtakoma.. Halafu pia wanawake si wengi tu, iv kunafaida gan kung'ang'ania mtoto wa mtu wakat wazaz wake hawakutak.

  • @MariaSalus

    @MariaSalus

    Ай бұрын

    Hata dini anaulizwa binti na kijana,siyo mzazi,ndiyo ni za wanaooana,siyo za watazamaji na mzazi,drt. Umemkosea Gar.B

  • @lisagwandumi

    @lisagwandumi

    Ай бұрын

    sasa kama yuko sahihi kulikuwa na haja gani hao mrs right kuenda apo kwenye show bila wazazi wao na just assume kama kila mtu angeenda na mzazi wake nini kingetokea??? wazazi ndio ni viungo muhimu sana ila katika sehemu kama hizo waache watoto huru si wamewaruhusu waende uko kutafuta basi wasubiri watakacholetewa😁😁😁😁😁😁

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1mdАй бұрын

    Lulu diva kanajiona kama kanamuweza GaraB hv 😂 kashamba sana haya endesheni kipindi wenyew madem ss

  • @user-to7id9yr3l
    @user-to7id9yr3lАй бұрын

    Asee lulu sijapenda ulipokuwa 😢 unamujib GaraB

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031Ай бұрын

    Gara b yupo serious na kazi hawa malaya wanajua wanaigiza tamthilia ya mapenzi😏😏😏

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741Ай бұрын

    Kwani huyo mama kafata nini 😂huko kwa show ya vijana

  • @johasaeed391
    @johasaeed391Ай бұрын

    Kama kunawazi wapo bado mda huu wa kuchagulia wapenzi watoto wao aiseee huwo ni ujinga na uswahili mtu kwanza wanajizalilisha pili anaonekana mtot wake hana soko mpaka anajitangaza imeisha hiyo 😂😂😂😂😂😂

  • @ziadajoisa8752
    @ziadajoisa8752Ай бұрын

    Jaman jamani jicho la mama linaona mbali sana hivyo asilaumiwe sana juu ya maamuzi yake kwa mwanae Ila mungu ampe hekima yeye na mwanae atapata mchumba mwema Tu tena akiwa nyumbani

  • @ollenshamba
    @ollenshambaАй бұрын

    GRB yuko sahihi jamn, wazazi wanafanya nn hapa

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5xАй бұрын

    huyu lulu bana mbishi hee

  • @flm1530
    @flm1530Ай бұрын

    Mama mzima unakuja kuangalia binti yako akijiuza kama nyanya za sokoni

  • @user-nz8hl2rh6k

    @user-nz8hl2rh6k

    Ай бұрын

    Yaan mama hana aibu kbs

  • @fredrickkaweu
    @fredrickkaweuАй бұрын

    Me kama me chakusema kuwa Ifatwe sheriya mliyoiweka na kanuni zake ingekuwa hayupo Mzazi lulu biva ungemsema sana uyomrembo na gara B Yuko sahihi na kazi yake Ila mliyobakiya mmeharibukipindi Maana huyo mama Alikuwa hapaswi kusema chochote kile kuhusu changuwo La mtoto wake mpaka angekwenda juposa hapo Mzazi angemkubali ama kumkataa hiki ni kipindi Brother gara B yupo makini Na kazi hana kona kona

  • @Balozikijana25
    @Balozikijana25Ай бұрын

    Maza anazingua asiingilie maisha ya watoto wake

  • @FrankFrank-my6oz
    @FrankFrank-my6oz19 күн бұрын

    Gara B. Naomba namba zako plz

  • @Nimbonajeanmarievianney-ro5rm
    @Nimbonajeanmarievianney-ro5rmАй бұрын

    Lulu diva naho kademu kenzako nawashauri muombe msamaha garabii mumemdharirisha sana tena garabii yuko sahihi kwahico anachozungumza mzazi hatakiwi kuingilia penzi la mwanae

  • @principiusrutahiwa4599
    @principiusrutahiwa4599Ай бұрын

    Huyu mama kavuruga sana show Mimi nadhani utaratibu ubadilishwe wazazi wasiruhusiwe Gara B uko sahihi ikibidi huyo dada asirudishwe Kwa podium

  • @user-nz8hl2rh6k
    @user-nz8hl2rh6kАй бұрын

    Aibu na pia niombe uongoz mzima uwakanye wadada waenda kipind hawana adabu kbs kipind co kibaya ila lulu umekishusha leo sn sn mama na wanae wangeondoka akaandike bango kwake wanaume waende kwake ili awatizame vizur na awachagulie vzr,huenda naye kuna atakacho pata co kwa kuchagua chaguo lake hivo,wamama wa hiv kumbe wapo mmmh aibu sn

  • @YasintoHayuma
    @YasintoHayumaАй бұрын

    Huyo lulu diva mbna ana mambo ya kizamani

  • @andrewpeter4321
    @andrewpeter432110 күн бұрын

    Ata hivyo gara b katumia busara kajishusha sana yy ndo kiongozi why nibashane nanyinyi 😂😂

  • @user-nz8hl2rh6k
    @user-nz8hl2rh6kАй бұрын

    Kipind hik kimeanza kuboa naomba mjiangalie up ya achen upuuz

  • @umranim5854
    @umranim5854Ай бұрын

    Jamani majaji mnamidomo sana mpaka kero

  • @user-hb8ph8fk5s
    @user-hb8ph8fk5sАй бұрын

    Anachoogopa mama ni nini mwanae kuchezewa au anabikra anamlindia😂😂😂mn kama Mr right ni muongo c ataachana nae jmn

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771Ай бұрын

    Gara plz heshimuni wazazi na pia msichana mwenywe amekubali ombi la mama so sioni shida hapo acheni hasira nyinyi ni wakubwa na mnategemewa

  • @henrychitepeterichard
    @henrychitepeterichardАй бұрын

    Startimes jifikilieni kama Gara B hayupo mtaangalia show wenyewe na hayo makina lulu

  • @bcbestcartoon576
    @bcbestcartoon576Ай бұрын

    Lulu diva na alyaaa mimi nimewaelewa kwa tofauti, so kama wako pamoja na mama ila walishaona tempa ya mama na misimamo yake yakizamani hata wangesema nini asingeweza kubadlsha mtazamo wake wako pamoja na gara b ila walchkua wanafanya nkumsitiri mama, mana garab alkua anaenda mbali zaidi kama wote wangesimama na garab ingekua mbaya sana kwa huyo mschana mwenye mzazi wake apo mbele na hata wengne

  • @jeromeshirima1350
    @jeromeshirima1350Ай бұрын

    Ukute hapo huyo maza anataka achague mkwe wa kuja kumkwea baadae 😂

  • @selverousmakhanu2144
    @selverousmakhanu2144Ай бұрын

    Agnes angetolewa stage na mamake

  • @christinaadrian9855
    @christinaadrian9855Ай бұрын

    Wa kina mama wa nini mnaharibu shoo afu Gara B yuko sahihi

  • @lisagwandumi

    @lisagwandumi

    Ай бұрын

    Gara B anafata protocal za kazi wala hajakosea🎉

  • @EmmySamwely
    @EmmySamwelyАй бұрын

    Aisee maswala yamahusiano nawazazi ni chanya na hasi. Mama anakosea kumchagulia mtt mume kwasababu huyu mume haendi kuwatumia wote mtt na mama anaenda kuolewa mtt pekeake mama anamtaka mwananume anaemtaka kwamatumizi yapi kwakwe wakati hy ni furaha ya mtt

  • @user-ni9kp5ei8v
    @user-ni9kp5ei8vАй бұрын

    Gara b is right mama Agnes akustaili kutumia neno lolote au kumkonyeza mwanae kwa ahina yoyote Bali ange kuwa hapo kushuhudia chaguo la mwanae maana mwisho wa siku watawahacha wazazi wao na kuambatana wao wili (2) Mr right and Mrs right

  • @user-bd3fe4pu4c
    @user-bd3fe4pu4cАй бұрын

    Huyu mama veeep jmn!!! Kwani mama ndo anaishi na huyo bwana jmn daaa!!! Wa mama wa ivi jmn nilijua walisha kufaga kumbe wengine bd wapo?

  • @user-mn3qq6xw6r
    @user-mn3qq6xw6rАй бұрын

    Wew lulu unachukiza sana

  • @JulianaNicholasi
    @JulianaNicholasiАй бұрын

    Uyo mama nae kanaenda kufanya nini hapoo

  • @user-et3zq5ef1b
    @user-et3zq5ef1bАй бұрын

    Jaman mm namumba eliza apo kwanz nawe lulu diva acha zako ww nani anakuchagulia mme na umama huo bana umeboa sana ka b upo sahih sana

  • @tinahminja2452
    @tinahminja2452Ай бұрын

    Kaah Lulu Kazingua dactar Gan mpuuzii all In all kwenye ndoa huend kuishi na mzazi wako usije ukamuacha mtu unaempend kisa mama amtaki anakuchagulia anaemtaka yy utaumia sana

  • @Kwelebela
    @KwelebelaАй бұрын

    Yote kwa yote Niwapongeze kwa kazi Nzuri wanayofanya, Ila kwa mzazi kama mzazi bhana Daah Si kweli

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582Ай бұрын

    Apana grb yupo sahihi jamani ila mama kakosea sana hawezi kumpanga au kuchaguamwanamke au mwanaume anayemtaka, mwisho wasiku wakioana wanaenda kuishi wao na sio na wazazi hii mtafanya watoto waishi na watu wasio wapenda, na ninani karuhusu wazazi waje apo bana msituchanganye sisi watizamaji, grb sio kama kakataa heshima ya wa zazi ila kumchagulia mtu wakuishi nae iyo sio sahihi.

  • @rahelkingu6374
    @rahelkingu6374Ай бұрын

    Gara b yupo sahihi mzazi anamuharibia maisha mwanae anachosema mzazi akina maana sio show ya wazazi hiyo

  • @ModestaJohn-nc7zk
    @ModestaJohn-nc7zkАй бұрын

    Huyo mama kaja kufanya nn hapo sas Haina aja ya Agnes kuwa hapo mama ake amchukue akamtafutie mwanamme huko nje wasituchefue sis uyo mam n atoke hapo

  • @rahelkingu6374
    @rahelkingu6374Ай бұрын

    Wazazi wasiruhusiwe show itakuwa haina mvuto tena

  • @PauloImbo
    @PauloImboАй бұрын

    Huyu lulu anapaswa kupigwa makofi coz anadhani Gara B ni mwanamke mwenzie

  • @user-xn4bh9ff4n
    @user-xn4bh9ff4nАй бұрын

    Kama n hivi😮😮😮😮😮😮

  • @user-bn6qk3gd5v
    @user-bn6qk3gd5vАй бұрын

    Inauma hyooo

  • @salmakivo4073
    @salmakivo4073Ай бұрын

    Daktar wa nyoko, mbona tangu mwanzo show inaendeshwa bila wazazi na mambo yananyooka tuu Mxeeeeu

  • @jackrinedugange2888

    @jackrinedugange2888

    Ай бұрын

    Kaboa sana et daktar duh

  • @vailethpastory4038
    @vailethpastory4038Ай бұрын

    Lulu diva acha kusapoti ujinga ka garab upo sahihi sana

  • @happymrema7487
    @happymrema7487Ай бұрын

    Garab yoko right

  • @ngusiupdates4363
    @ngusiupdates4363Ай бұрын

    Ukisikia mwanamke ni mtu na nusu 😅😅😅 hiv hiyo nusu nyie uwa mnaichukukuliaje

  • @mwanamisimwana6461
    @mwanamisimwana6461Ай бұрын

    Wanawake punguzeni midomo 😅khaa gara b alikuwa anasema ukwel lakini😢

  • @d.m453
    @d.m453Ай бұрын

    Huyu mama kaja kutuharibia shoo yetu

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmliАй бұрын

    Iyo sisawakabisa maana mahusiano ni hisia kwani mama alipokujakuolewa na baba agnes alichaguliwa na wazazi wake ?? Na agnes amekataa kwasababu ya wazazi ila mnamkosea

  • @IreneWoisso
    @IreneWoissoАй бұрын

    Gar b yupo sahihi

Келесі