HELLO MR RIGHT FULL SHOW ; AKUTANA NA X WAKE | RUDISHA KILA KITU CHANGU | SITAKI MTU MWINGINE

Ойын-сауық

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 174

  • @BreaRoden
    @BreaRodenАй бұрын

    Kwani criss ni lastborn 😂😂😂😂😂

  • @samwelzali1050
    @samwelzali1050Ай бұрын

    Mr Right tz nawapenda kuliko wetu wa kenya..Tanzania watulivu wenye upoole...sio wa kenya wetu hawa wana tabia mbaya sana..hawana utulivu kabisaa

  • @user-mj9oz8kv4j

    @user-mj9oz8kv4j

    22 күн бұрын

    Hapo kuna ukweli mwingi sana 😂😂😂 madem wetu wenyewe wanakua kama malaya flani hivi🤣🤣🤣

  • @Dorothyakemwa
    @DorothyakemwaАй бұрын

    Boss wa christine ashaona show na hivyo kibarua cha Christina kiko matatani...naonelea Christina aondoke na Chris wake😊😊

  • @user-xl7tb9xr9t
    @user-xl7tb9xr9tАй бұрын

    This lady she knows what she love

  • @stellatwaah3242
    @stellatwaah3242Ай бұрын

    Jamni napenda sana kufatilia hii je kuna kiingilio hapo jamni nilitaka kuja🥰🥰✍🏻✍🏻

  • @rosemery3017
    @rosemery3017Ай бұрын

    Hii nchi ukifa kwa stress umejitakia mwenyewe😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EmJesho

    @EmJesho

    Ай бұрын

    Yaan noma

  • @zeynabuhussen8740

    @zeynabuhussen8740

    Ай бұрын

    wallah tena 😂😂😂😂😂😂😂ukifa umejitakia😂😂😂

  • @user-hv3xu9sw6g

    @user-hv3xu9sw6g

    Ай бұрын

    😅😅😅😅😅😅

  • @user-hv3xu9sw6g

    @user-hv3xu9sw6g

    Ай бұрын

    ​@@zeynabuhussen8740kwel kabs

  • @davidpeter2398

    @davidpeter2398

    Ай бұрын

    😀😀😀😀

  • @BabyRose-ym7nn
    @BabyRose-ym7nn3 күн бұрын

    Mhhhhhh jaaaamn yalishanikutaga hayo mwenzio

  • @user-ht8ke2sp3c
    @user-ht8ke2sp3cАй бұрын

    😂😂😂😂Wala sikutegemea Kama angezungumza ivi ila namimi yashanikuta

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338Ай бұрын

    Anirudishie vitu vyangu vyoooooooote tena kwa urefu 😂😂😂😂😂

  • @Felister330
    @Felister330Ай бұрын

    Beautiful couple

  • @fredrickkaweu
    @fredrickkaweu28 күн бұрын

    Uyo mr ✅yenwenyewekwanza Mshamba anatuzalilisha wanaume wenziwe

  • @HerikaMbuya
    @HerikaMbuyaАй бұрын

    Hahaaaa huyu kaka jmn ametiaa aibu taifaa. 😂😂😂😂

  • @rebeccamayo911

    @rebeccamayo911

    29 күн бұрын

    😅😅😅😅

  • @neemapaul9073
    @neemapaul9073Ай бұрын

    Hongera saaaana mkaka nawewe mdada ukimacha huy mkaka ipo sk utajuta

  • @user-qx6th5xq3p

    @user-qx6th5xq3p

    Ай бұрын

    Neema paul nmekuelewa sana kuna vitu atari ogopaaa

  • @user-qh2ij3kj8s
    @user-qh2ij3kj8sАй бұрын

    Waaah hku kumewaka mwanaume anataka vtu vyake kwli 😂😂😂😂😂

  • @crownisackmussa3581
    @crownisackmussa3581Ай бұрын

    Huyo jamaa ni last born

  • @N254NK
    @N254NKАй бұрын

    That dude was in his simpism of a special level..

  • @BabyRose-ym7nn
    @BabyRose-ym7nn3 күн бұрын

    Hiii.....ichi ningumu jaaamn

  • @NafsahRajah
    @NafsahRajahАй бұрын

    khaaaa jaman huyu kaka n last born

  • @Jud289
    @Jud289Ай бұрын

    Kaongea point

  • @StanfordMkude
    @StanfordMkudeАй бұрын

    Lisa is very wise and beautiful, mwanaume mwenye malengo ni rahisi kumuelewa.

  • @lovesamson2939
    @lovesamson293921 күн бұрын

    Binafs niko sambambaa na uyo Chris 😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @user-sc9zl2hx1c
    @user-sc9zl2hx1cАй бұрын

    Nampenda uyo kaka anavyotangaza ❤❤❤ nampenda sana

  • @AidanLikwelile

    @AidanLikwelile

    11 күн бұрын

    anaitwa nani?

  • @AshuraKigoma-vf7wb
    @AshuraKigoma-vf7wbАй бұрын

    😂😂😂😂😂nimechek kwa saut

  • @RenzoJofre-my9lz
    @RenzoJofre-my9lzАй бұрын

    Pole blo

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580Ай бұрын

    Hivi hapo Hamna comedy jamaaa kakazaaa kazaaa mwanaume

  • @EMMYSIMON-hg5cf
    @EMMYSIMON-hg5cfАй бұрын

    Aibuu na hyo big nyashh😂😂😂

  • @classichits8452
    @classichits845229 күн бұрын

    Huyu kaka ni wamtaani kwetu ni malaya mbwa 😪😪😪😪kimara karogwe anakaa mtaa kwa mboma 🙌🙌

  • @amosmahona433

    @amosmahona433

    8 күн бұрын

    Sasa hapo unaharibu

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633Ай бұрын

    Kama tako ndo kupendwa ungekuwa ushaolewa

  • @ClaraZacharia-qu7ym
    @ClaraZacharia-qu7ym3 күн бұрын

    Jamani huyu Cris mshamba asa wakati anatoa hivo vitu alilazimishwa😃😃😃😃😃

  • @user-uf1ji4no7i
    @user-uf1ji4no7i16 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmejikuta nacheka dakika za jioni Sanaa😁 dada wa nyimbo tunashukuru

  • @mariamkimati5857
    @mariamkimati585721 күн бұрын

    🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣wallah huyu kaka kanichekesha mie atii anirudishie vitu vyangu vyooote😂

  • @NuruMzonge
    @NuruMzongeАй бұрын

    HV Wanaume wa hovyo bado wapo

  • @danstanamwtata1866
    @danstanamwtata186617 күн бұрын

    Kipo kicheko hapo nakipenda sana😂 hiyo bass kama kuchochea😂😂

  • @nailamimi20
    @nailamimi20Ай бұрын

    @iamraul Nakupenda sana we kijana unavotangaza

  • @VianaKokutensa
    @VianaKokutensa24 күн бұрын

    Gara kicheko chako tu😅😅

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro42806 күн бұрын

    Huyo nimimi kabsaaa arudishe kla mmoja afate upepo😅😅😅😅

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway882125 күн бұрын

    Kajamaa kanaonekana kagoroko bado akajapitia mapito yakumchangamsha kangepata kontawa mmoja akatowe huo wazimu waakili😮

  • @HappinessSawe
    @HappinessSawe21 күн бұрын

    Ahaaa hua mnadhani wote wanapenda hayo makalio😂😂😂😂

  • @GendusaBrain
    @GendusaBrainАй бұрын

    This guy, why is he explaining the content? We all can understand what they are saying. The advice, eti: "na wewe umu rudishiye wakati yake", they all spent their time together.

  • @juddykamau8618

    @juddykamau8618

    Ай бұрын

    Your right

  • @user-zr5pt4bh5k
    @user-zr5pt4bh5kАй бұрын

    Lisa wangu mimi❤❤

  • @khalidmacho2341
    @khalidmacho234128 күн бұрын

    Sijaoa njoo

  • @DjRemey254
    @DjRemey254Ай бұрын

    Nampenda Lisa

  • @nehemiahkasiano3740
    @nehemiahkasiano3740Ай бұрын

    Hakuna kucheka na kima rudisha vitu vyake 😂😂

  • @petermarcus6475

    @petermarcus6475

    Ай бұрын

    😂😂

  • @TsarinaKonki
    @TsarinaKonkiАй бұрын

    Huyu jamaaa Ana utoto😂😂😂aaaaah sio kwa Hali iyo.....sasa akrgsha ndo itasaidia nini😅

  • @angellwehela4303

    @angellwehela4303

    Ай бұрын

    Ka Lastborn😂

  • @user-bg9zd1ro4x
    @user-bg9zd1ro4xАй бұрын

    Kula uliwe hhh lipa chochote ulikula😢😢

  • @kidmozjkm7965
    @kidmozjkm7965Ай бұрын

    Dunia Kuna mambo

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421Ай бұрын

    Kuna vidada vingine vimekuja kudanga 😂😂😂😂😂

  • @rechalmshana1293
    @rechalmshana1293Ай бұрын

    Nyie huyu kaka😂😂😂😂😂😂

  • @user-ce1ps5hy4f
    @user-ce1ps5hy4fАй бұрын

    Nilichokigundua hapa hiki kipindi ni comedy

  • @afterfull-time1348

    @afterfull-time1348

    28 күн бұрын

    Uhakika

  • @hellenjulius7790
    @hellenjulius7790Ай бұрын

    😂😂😂😂 woii

  • @lydialema8766
    @lydialema876620 күн бұрын

    Hivi huyu kaka yupo serious 🤣

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzomboАй бұрын

    Vimbaombao tunasoko sema tu nkukavu😅😅😅😅😅

  • @jepatechnologies6863
    @jepatechnologies6863Ай бұрын

    Dah wakishua bhana kapenda

  • @user-hx4eh3cq1n
    @user-hx4eh3cq1nАй бұрын

    Bora angeachana na Ako kabinti

  • @aishalusekelo6950
    @aishalusekelo695018 күн бұрын

  • @sampachino5184
    @sampachino5184Ай бұрын

    Uyo kaka mgojwa nasa 😂😂😂😂😂

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167Ай бұрын

    The girl she knows how to talk she's so beautiful or so

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777Ай бұрын

    Hicho Kicheko cha GarraB. 😂😂😂😂😂

  • @JaneLee-zp1ox
    @JaneLee-zp1oxАй бұрын

    Kabla sijaendlea kumpenda huyu kaka nkasema nmsikilize Kumbe njaa tupu😂😂

  • @CandyVois
    @CandyVoisАй бұрын

    Nimecheka mpaka nimeumwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323Ай бұрын

    Lisa usifikiri kila mtu anataka matako makubwa😂😂😂pumzika dada

  • @JumaDezombie-cn3yu

    @JumaDezombie-cn3yu

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @AishaZulfat
    @AishaZulfatАй бұрын

    Dhuuu!!!

  • @picdotstudio4785
    @picdotstudio478523 күн бұрын

    huyu mrembo anayetangaza sambamba na GaraB anakitu ndani yake labda hajijui/ ana uwezo mkubwa sana wa kusoma mazingira kwa haraka na kuyapatia majibu..anafit sana kama akiwa Investigator/ forensic auditor au kazi zinazoendana na hizo/ by the way Kipindi ni kizuri kinafurahisha na kutuondolea stress za maisha.

  • @user-ox7qy7wy7j
    @user-ox7qy7wy7jАй бұрын

    Daah arudishiwe vitu vyake vyote 😂😂😂😂😂

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabriceАй бұрын

    Uyu Jama amekemesha sana kuombeana vitu ametuangusha sana Sisi wanaume

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527Ай бұрын

    😂maskini lisa

  • @nasasirapaddy7521
    @nasasirapaddy75212 күн бұрын

    Lisa akon bado au la..

  • @rebeccakaran1977
    @rebeccakaran1977Ай бұрын

    Yaaan kaimba yy aibu naona mm

  • @violasubila4714
    @violasubila4714Ай бұрын

    Mweee😂😂😂

  • @salmaabdallah9598
    @salmaabdallah95988 күн бұрын

    Mimi napenda kuangalia Mr right ila Kuna zingine zinakua nusu mtu unaipenda unanitafuta huioni hii inaboa

  • @flowebenezeth
    @flowebenezethАй бұрын

    Hawa kweli wamependana

  • @user-wv9wc6yr1u
    @user-wv9wc6yr1uАй бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂wanaume wamedata

  • @VianaKokutensa
    @VianaKokutensa24 күн бұрын

    Jamani ilo shape duuh

  • @amosmahona433
    @amosmahona4338 күн бұрын

    USingetaja jina la boss wako.Mwanaume unaombaje kurudishiwa mali zako tena vitu vidogo vidogo acha hzo unatuaibisha wanaume

  • @esterbaraka1164
    @esterbaraka1164Ай бұрын

    Kudet na last born kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NeemaAlmas-fn6sf
    @NeemaAlmas-fn6sfАй бұрын

    Duh😂😂

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3rАй бұрын

    Bro ushawahi kumuona Cristina ndio 😂😂 Cristina njoo hapa aisee nimecheka 😂😂😂😂

  • @EmmyMbore-yv8cb
    @EmmyMbore-yv8cb16 күн бұрын

    Hii nchiii

  • @michaelmollel9702
    @michaelmollel9702Ай бұрын

    Bora hata mwanamke Tena hujielewi asee

  • @neykidoti102
    @neykidoti102Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah

  • @allentumwesige
    @allentumwesigeАй бұрын

    Jamaa kazingua knoma

  • @paulmrema1083
    @paulmrema1083Ай бұрын

    jamaa n last born 😅😅😅😅

  • @NeemaAlmas-fn6sf
    @NeemaAlmas-fn6sfАй бұрын

    Duh

  • @CathyPhillip-jg4zt
    @CathyPhillip-jg4ztАй бұрын

    Kauli unaipokeaje Big nyash, ila Garra B😅😂🙌

  • @amosmahona433
    @amosmahona4338 күн бұрын

    Hivi hizi mambo za kuondoka na mtoto huwa ni kweli au ni zuga tu

  • @user-lb5oi2wz6z
    @user-lb5oi2wz6z28 күн бұрын

    takoo lenyewe urodaa

  • @mariusvital546
    @mariusvital546Ай бұрын

    Kipindi hiki jamani....

  • @clementinamasakia2622
    @clementinamasakia2622Ай бұрын

    😂😂😂daaah ila uyu mwamba yupo serious

  • @davidkasala5727
    @davidkasala5727Ай бұрын

    Mbona Kama hii story imepangwa 😂

  • @afterfull-time1348

    @afterfull-time1348

    28 күн бұрын

    Uhakikaaa tena huyo Lisa nimemuona hadi kwa akina kiredio anafanya show

  • @eunicejohn3994
    @eunicejohn39943 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jmn

  • @michaelmollel9702
    @michaelmollel9702Ай бұрын

    Wewe sio mwanaume aseee kama demu tu

  • @user-hm2kr6hu6q
    @user-hm2kr6hu6qАй бұрын

    Jamaa kama anafirwa qmmkee

  • @ZakariaMlagile
    @ZakariaMlagileАй бұрын

    jmaa anazingua

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527Ай бұрын

    Hao waloimbian nimewapenda🤣🤣🤣

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899Ай бұрын

    Lisa gud girl ila mwaume hajitambui you are beuty and u c can change njoo kwang

  • @faithochieng-qc6ub
    @faithochieng-qc6ubАй бұрын

    I need a tanzanian boy,,,

  • @amirabdallah6984
    @amirabdallah6984Ай бұрын

    Msimamo mugadishu

  • @EvanaFelix-cr3hj
    @EvanaFelix-cr3hjАй бұрын

    Nmempenda Criss mana wadada weny matako wanajikutakag kina nan cjui

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumbaАй бұрын

    Big nyashi is on shame🤣🤣🤣🤣

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ngАй бұрын

    huyu kaka angekuwa mtumishi

Келесі