MACHOZI YA FURAHA KWENYE STAGE | MR. RIGHT KAPATA CHOMBO | PESA ZIMEONGEA !!!

Ойын-сауық

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 966

  • @NancykattKangu-xk2bh
    @NancykattKangu-xk2bh3 ай бұрын

    Namjua uyo Devis kiukwel mwanamke atakae mchagua uyo kaka atainjoy San nibest yangu sana nanimwalimu wangu nilishawaig igizaganae move yote hayo kaongea ukwel hajadanganya hata kidogo nimpole mstarabu mnyenyekevu best friend alafu kanenepa

  • @glorychristopher7283

    @glorychristopher7283

    2 ай бұрын

    Wewe dada chizi kweii unapenda ela zake wewe una nn utazeeka ukiangalia mfuko wa mtu wewe n mlemavu s upambane na wewe

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Ай бұрын

    Sasa kunenepa kwake kunahusu nini?😂

  • @MarySimoni-tz3fm

    @MarySimoni-tz3fm

    Ай бұрын

    Huyo ananifaa Mimi kabisa SEMA Nina mtot 1ila nimempenda

  • @bensonthuo1447
    @bensonthuo14475 ай бұрын

    Huyu dada amefalia dresi nyekundu Ako na hekima na maarifa ya maisha

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi30675 ай бұрын

    Jacky I love you ma, ulisema vizurisana, Umuri nikitu kizuri pia in relationships ❤❤️🇨🇩

  • @henriette99

    @henriette99

    2 ай бұрын

    Yes uyu dem ameongea Na kama Mimi Ni moja Kati ya vigezo zangu miaka

  • @soltv8268
    @soltv82686 ай бұрын

    Mwanzo walikua wana boa na vipande vyao visivyo eleweka nikaacha kuwafatilia leo nimeingia tu bahati mbaya naona wamejirekebisha, video iko full inaeleweka big up

  • @ZitoJose-cl3pt

    @ZitoJose-cl3pt

    5 ай бұрын

    Mimi pia niliacha sasa naludi

  • @victoriarichard8761

    @victoriarichard8761

    5 ай бұрын

    Siyo bahati mbaya ni bahati nzuri sada

  • @janethkomba4485

    @janethkomba4485

    5 ай бұрын

    Nami pia ndokwanzaa naingia leo tar 29 mwez 12 nakuta ndefuuu nimependa sasa nitaendelea kuchungulia🧘🙏

  • @user-bg5ot7ce8r

    @user-bg5ot7ce8r

    5 ай бұрын

    Kipind inakuwaga ckugani na ckugani jmn na ni sahangapi😢

  • @shukuruskay4949
    @shukuruskay49496 ай бұрын

    Asanteni sana kwa kuongeza dhakika, ni fan wenu mkubwa kutoka South Africa 🇿🇦 na fwatilia hiki kipidi sana...na enjoy sana 🙏😍 🥰

  • @user-hp3ze2mb9y
    @user-hp3ze2mb9y5 ай бұрын

    Sauti ya mziki ipo juu sana wakati mtu anaongea. Ingekuwa inapungua kidogo ingekaa poa sana. Asante!

  • @maryayusuf4288

    @maryayusuf4288

    5 ай бұрын

    Kweli atleast wapunguze

  • @evalinegideon3982

    @evalinegideon3982

    5 ай бұрын

    Kabisaaaa Yan mziki uko juu sana mpk kero

  • @LucySanga-du9fd

    @LucySanga-du9fd

    5 ай бұрын

    Kabs dear

  • @mrmeshack

    @mrmeshack

    4 ай бұрын

    Iko poa tu ndg

  • @user-lh5nm2pq5f

    @user-lh5nm2pq5f

    28 күн бұрын

    Exactly increase on volume please

  • @thechapter304
    @thechapter3046 ай бұрын

    Wooow,wanafaana hawa wawili👏👏👏👏👏. Nawatakia kila la kheri kutoka 🇰🇪

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Uko wapi

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib6 ай бұрын

    Ni kweli ukifokasi kwenye kazi yako na mungu akikubaliki utapata pesa

  • @hopefreddiecker0537
    @hopefreddiecker05376 ай бұрын

    Jacky huyo uwii wenzie wanamchora tu,,,, umri ni Nini,Unaeza pata mtu kakuzidi 32 yrs na bado akawa wa ovyo tu,,, ila ukapata wa same age akawa na akili zilizonyooka.....🤣

  • @anithamsaki2040
    @anithamsaki20406 ай бұрын

    Now jamnii tunaenjoy mnaweka kipandee kina dakika full.. vibes

  • @zanurahmaulid2665

    @zanurahmaulid2665

    5 ай бұрын

    Sahiv wanajitahid sana

  • @user-yt7pp9cc3r
    @user-yt7pp9cc3r6 ай бұрын

    namimi nilikuwa na mashaka nilipofuatwa na Mr right wangu ila tunamiaka kadhaa naenjoy,kazi nzuriii alyaa

  • @jaffaryhamiddy8939

    @jaffaryhamiddy8939

    6 ай бұрын

    muongo ww

  • @suzanafromomani2973

    @suzanafromomani2973

    5 ай бұрын

    Kweli natuliopo mbali?

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g6 ай бұрын

    Ndo maana mabinti wasiku hizi mnafeli kwenye maisha mnaangalia pesa yamtu ambaye hamjui kaipataje pesa

  • @salomevenance9555

    @salomevenance9555

    Ай бұрын

    Fact

  • @tunuhhashim

    @tunuhhashim

    25 күн бұрын

    kweli wanawake wengi tunafeli pakubwa sana kupenda pesa kupitiliza tena unakuta huyo anae penda maokoto hajui kutafuta zake

  • @user-rc6ww6rx7n

    @user-rc6ww6rx7n

    7 күн бұрын

    Umeonaeeh jinga kbs hy muuza nyama hy unazitaka pessa co zk muache avunde hapo

  • @metrineomega1635
    @metrineomega16356 ай бұрын

    Good job, sasa hapa ni kukaa Kwa kutulia kbsaa, watching from Kenya but currently in Saudi Arabia

  • @stacyauma6644

    @stacyauma6644

    5 ай бұрын

    Same here with you

  • @johnstoneimbukwa128
    @johnstoneimbukwa1285 ай бұрын

    Here in Kenya Mr Right show is pure comedy.. never serious

  • @AbuuuMwambus

    @AbuuuMwambus

    5 ай бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AbuuuMwambus

    @AbuuuMwambus

    5 ай бұрын

    They joking all the time

  • @winniemwesh6778

    @winniemwesh6778

    5 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @filbertnashon7160

    @filbertnashon7160

    4 ай бұрын

    Anawafokea sana😅mwambieni

  • @rosemarynjare3588

    @rosemarynjare3588

    Ай бұрын

    Kenyans ladies are like prostitute wallah too bored

  • @salomevenance9555
    @salomevenance9555Ай бұрын

    Namtakia huyu kaka kila la heri ni husband material kabisa yaani hapo huyo mwanamke ayabanange mwenyewe❤❤❤❤❤❤❤

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah72426 ай бұрын

    Huyo sijuhi Johari mshamba sanaa😏😏😏😏

  • @justinambrose3577
    @justinambrose35775 ай бұрын

    Aaliya you are so cute and matured one. God bless you 🎉

  • @user-ep4kd3rv6y

    @user-ep4kd3rv6y

    4 ай бұрын

    huyu johari ni mwehu kwan mavazi yanategemea na kazi unayofanya,, ukimiliki pesa unavaaa chochote unachokiitaj siyo ety mpaka ifanye kazi bank

  • @user-jw6bz6ku5t

    @user-jw6bz6ku5t

    3 ай бұрын

    Naweza kupata namba ya mister right

  • @kateigamaleo968

    @kateigamaleo968

    3 ай бұрын

    Please, some English, we enjoy your content even when we have very little kiswahili. Could be putting some content in kingereza? Love from Uganda

  • @user-qd2bz1ik8g

    @user-qd2bz1ik8g

    13 күн бұрын

    40:09 40:09 ​@@user-jw6bz6ku5t

  • @user-kj1yb7sg6u
    @user-kj1yb7sg6u4 ай бұрын

    Waoooh uyu mrembo nilimpemda Toka anatoa maoni yake ya hawali Toka mwanzo🥰🥰🥰

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md6 ай бұрын

    Mungu akutangulie kaka kwa kila jambo🙏 pia akupe mke mwema na awe mkweli

  • @carolinejosephmnyaga8869
    @carolinejosephmnyaga88695 ай бұрын

    Hii ndo Mr& Mrs Right now. Yaani huyu kak Kwa Hamas kapata mtu sahihi kabisa, Mungu awatangulie tuu.❤❤ Ameen.

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Mimi nimependezwa nawe caro

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Ай бұрын

    ​@@greggoryisaac8485😂

  • @pendomushi6351
    @pendomushi63516 ай бұрын

    Huyo bint anaechagulia mavazi amepoteza point sana asubiri wale wanao vaa Jin's mchaniko ndo wanao mfaa aendelee kuwasubiri😂😂

  • @user-jh4ui8sg9n
    @user-jh4ui8sg9n5 ай бұрын

    Hii couple ndo imenifanya niendelehe kufuatiliya hichi. Kipindi wameendana wamehendana Tena siku ya arusi nitumieni kadi jameni ❤❤❤❤ from USA

  • @HappynessJetta-ms2wz

    @HappynessJetta-ms2wz

    4 ай бұрын

    😂

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Ай бұрын

    Kuna ilivyo na inavyotakiwa iwe....soma hii sentensi kwa kurudia!

  • @SuzanaMonary-fn6fm
    @SuzanaMonary-fn6fm5 ай бұрын

    Johari tulia huna point ya maana hapo

  • @taseleli9181

    @taseleli9181

    5 ай бұрын

    Kwa kweli halafu hafanani na hayo anayosema

  • @thandiweonkhwazi8164
    @thandiweonkhwazi81646 ай бұрын

    Jamani back ground music ina sauti kubwa punguzeni sauti. Mngritoa ingekuwa nzuri zaidi

  • @mariamumaliki6980
    @mariamumaliki69806 ай бұрын

    Wanao olea miwemnatuletea maisha yao tuone 😊

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Ай бұрын

    Kweli ingependeza tuone maisha baada ya hapa

  • @ChifuMaleta

    @ChifuMaleta

    17 күн бұрын

    Mi nimeoa apo kutoka Mr Light na nipo nae

  • @y5y5prime58
    @y5y5prime586 ай бұрын

    Uwa sis wanawake tunajichangany San wew Fata mpenz ya kwel pess zinatafutwa kwaz mwanaume wa pess uwa ana jeur San na kibur na zarau kisa pess zake tu uwa mim na muunga muko no anaye sem natak mwanaume wa kunionesha mpenz yakwel tu 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @ireneseda1176

    @ireneseda1176

    4 ай бұрын

    Bora awe na hela ukimpenda maskini akipata hela anakumwa wanamaana basi hawa

  • @aminatanzanya7475

    @aminatanzanya7475

    Ай бұрын

    Kuomba tuu Mungu akupe sahih ila kuhus pesa au hana sion km kunamantik

  • @user-ow9dw6lx4j
    @user-ow9dw6lx4j4 ай бұрын

    Duuh Kumbe Wanaume ndo wanawindwa namna hiii😅😅😅 Ngoja nikaze Kumpigia Magoti Mr Right wangu uwiiii😂😂😂😂😂 Mungu nilindie Kipenzi changu asije naswa na Mademu wa Dar

  • @fredrickkaweu

    @fredrickkaweu

    22 күн бұрын

    Kabisa ulichokuwa nacho ss Uckizarau maana wengine Piya want hitahi chamsingu Ujifafamu kweke yeye ww Ninani na uhakikishe majukumu Yako huyasahau nakutakiya Mapenzi mazuri frnd

  • @ramja93
    @ramja935 ай бұрын

    Hii sio ile ya kina Diana B walikuwa wanatuekea 3minutes,,this all the way from Tanzania 🇹🇿,,nimeipenda sana

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj54074 ай бұрын

    Dada amevaa kiheshima am proud of her

  • @salomevenance9555
    @salomevenance9555Ай бұрын

    Wamependeza mno,Mungu awatangulie Mfunge ndoa ❤❤❤❤❤

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq5 ай бұрын

    Johari akipata Mtu (anayejitambua) niko pale niiteni kitoto cha mbwa. Na kwa bahati mbaya akiolewa siku 365 ni nyingi. Kiukweli ni mzuri (temporal) ila kichwani ni kapput. M. Mungu amsaidie kubadilika

  • @albanbalayingwa4425

    @albanbalayingwa4425

    3 ай бұрын

    Hahahahahahaha ety kichwan ni caput sema hawa dada zetu wanafeli saaana

  • @tuliaselali4499

    @tuliaselali4499

    5 күн бұрын

    Napenda hiki kipindi nijiunge

  • @tuliaselali4499

    @tuliaselali4499

    5 күн бұрын

    Ila sijui nianzie wapi

  • @kalamukalomu1780
    @kalamukalomu178028 күн бұрын

    I enjoy this Mr. right from Tanzania very mature

  • @user-ul9kp8zq1k
    @user-ul9kp8zq1k5 ай бұрын

    Kilichobaki ni mrejesho sasa wa wanaochaguana baada ya kutoka hapo😊

  • @petermbaga9137
    @petermbaga91375 ай бұрын

    Unamuona dem wako yuko apo mbele 😂😂😂 Kitu kizito

  • @saraissa9327
    @saraissa93276 ай бұрын

    Mr Right ana hekima..kachagua msichana mzurii..sii hao wa vipini puani

  • @user-ej5rg4yp3t
    @user-ej5rg4yp3t5 ай бұрын

    Kiukweli tangu nimeangalia kipindi Cha Mr right hii couple wameendana sana Mungu awabariki mfike mbali

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv50635 ай бұрын

    Hiki kipindi kumbe huwa kitamu hivi mpaka nimelia machozi ya furaha aisee. Mungu awabariki na mkaendane katika maisha yenu ya ndoa

  • @NuhuKigahe-fv9ng

    @NuhuKigahe-fv9ng

    5 ай бұрын

    Inapendeza sanaaa

  • @fatmafatu1128

    @fatmafatu1128

    5 ай бұрын

    Kipindi cha wadangaji mtu anaejielwa hawezi tafta mwanamke au mwanaume wa maisha

  • @user-yj2he8no5r

    @user-yj2he8no5r

    5 ай бұрын

    Nimekupendea pia kinavutia sana❤❤❤

  • @aminatanzanya7475

    @aminatanzanya7475

    Ай бұрын

    ​@@fatmafatu1128pole kila mtu nabaht yake mpk online unapat matajir na unaolew acha Zana potof maisha yamebadilik

  • @lydialutomia3398
    @lydialutomia339817 күн бұрын

    This is the best than kenyans mr right.naipenda sana ingawaje mimi ni mkenya naipenda hii kweli

  • @neymigetto8024
    @neymigetto80245 ай бұрын

    Waoooooo mdada hata kitabia anaonekana yuko vzr

  • @user-tp5vr3vv6v
    @user-tp5vr3vv6v6 ай бұрын

    ❤wow,,,inapendeza Sana,,, at least Kuna second chance ya kuwasha taa🥰

  • @Elicki-xx5gy

    @Elicki-xx5gy

    Ай бұрын

    Namm nataha mke

  • @janethkimath5275
    @janethkimath527528 күн бұрын

    Nilivoskia tyu ni mfanybiashara na hyo lafuz nikajua ni mwenzetu wa kaz kazini huyo❤❤

  • @SULTANSamir
    @SULTANSamir5 ай бұрын

    Guys the series of this iko powa ila hiyo background ya nyimbo iko juu sanaa jaribu mupunguze hiyo sound tupate skiya vizuri we can’t hear anything editor do your job well please.

  • @martinkanangu922
    @martinkanangu9223 ай бұрын

    Hamas nimemuelewa Sana ni msichana mzuri Sana ana misimamo

  • @leilasarai
    @leilasarai5 ай бұрын

    Aaliya is so cute and more so very mature..Ushauri wake uko top...much love from Kenya guys❤❤

  • @jacobmakono4399

    @jacobmakono4399

    5 ай бұрын

    You are also so cute!

  • @everlynemutaye5464

    @everlynemutaye5464

    4 ай бұрын

    True

  • @jacobmakono4399

    @jacobmakono4399

    4 ай бұрын

    I need to talk to you Laila,what should I do! James -Tz

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    I want you please

  • @user-pg5yk9oz1u
    @user-pg5yk9oz1uАй бұрын

    Jamani namtukuza sana mungu kwa kunipa mme na nimme bora namutukuza sana naona madada mnahangaika sana yesu awasaidie nikujidharirisha sana

  • @fredrickkaweu

    @fredrickkaweu

    22 күн бұрын

    Ngoja nisemekitu unajuwa ckuzote mtafutaji hachiki na penye njiya oananiya angekuwepo ndanitu Acngeoata mwenziwe Kilamtu anaekuja hapa Ananiya yake unavo Jichukuliya ndivo Unavopokelewa

  • @simoem8610
    @simoem86103 ай бұрын

    Mimi nampenda huyu dada allya ni mwerevu she's very smart i love a charp women,,kiss from kenya😘

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica33186 ай бұрын

    kwakupenda pesa mtafanya wanaume waazime suti ili wawakubarishe kwakuwapata😂😂😂😂😂😂😂kitawalamba

  • @ProspertRubura

    @ProspertRubura

    6 ай бұрын

    Wanakuja kutafuta pesa siyo mapenzi mimi nimefata musimu wakwanza paka wa inné wanawake wengi wanakufa apo kutafuta pesa

  • @user-cx8lf8rw8c

    @user-cx8lf8rw8c

    5 ай бұрын

    Ni kitawalamba au kitawaramba😅😅😅😅😅 from Kenya

  • @lilianeerica3318

    @lilianeerica3318

    5 ай бұрын

    @@user-cx8lf8rw8c Bora hujalewa, umeelewa❤😃😃

  • @lilianeerica3318

    @lilianeerica3318

    5 ай бұрын

    @@user-cx8lf8rw8c Bora hujalewa, umeelewa❤😃😃

  • @lilianeerica3318

    @lilianeerica3318

    5 ай бұрын

    @@ProspertRubura kazi yao hawatazipata

  • @florencemkaighombo5608
    @florencemkaighombo56085 ай бұрын

    Haki natamani kupata wangu tuanze maisha ,Mko Tanzania upande gani nije nipate wangu na Mimi haki

  • @dgochuibra588

    @dgochuibra588

    5 ай бұрын

    nipo mm

  • @rhodarichard4494

    @rhodarichard4494

    5 ай бұрын

    Njo nikupe kaka yangu

  • @florencemkaighombo5608

    @florencemkaighombo5608

    5 ай бұрын

    @@rhodarichard4494 Seriously 😂Kaka Yako atakubali kupewa bibi

  • @AntonyMM-tx3yj
    @AntonyMM-tx3yjАй бұрын

    Hongera devis am praod of you & mmeendana sana

  • @joycehaule9717
    @joycehaule97175 ай бұрын

    Mungu asapambanie wachaga wanajua kutunza nna hakika atatunzwa sana huyu dada anahofu ya Mungu sanaaa

  • @user-jn2pi5fo4p
    @user-jn2pi5fo4p5 ай бұрын

    Jamni nmekipenda hiki kipend...tuwekeeni na kwenye Azamtv

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita76905 ай бұрын

    Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤❤❤

  • @eliaszephania3115
    @eliaszephania31155 ай бұрын

    Hamax mke hy ukipata mke anae jali na kuweka kiupaumbele God 🙏

  • @user-ee5hg7gg3q
    @user-ee5hg7gg3q6 ай бұрын

    Kwani huyo johari si hajavutiwa nae sasa nani kampa mamlaka ya kum-judge😂😂johari tupishe bana

  • @sebomanyotakali761
    @sebomanyotakali7616 ай бұрын

    Show ni ya kibabe sanaaaaa yani iko Fire 🔥 sema mnge mute kidogo hiyo background tupate raha ya kuckia vizuri hizo maneno ###Mr right Tumetoboaaaa

  • @adelaadelaide8392
    @adelaadelaide83925 ай бұрын

    Wow kwanza wamependezana sana❤❤❤❤❤

  • @user-yu7uv6ws9h
    @user-yu7uv6ws9h6 ай бұрын

    Aliyah wao am happy to see u

  • @nacyfloflo9494
    @nacyfloflo94945 ай бұрын

    Mungu pia na mmi nibariki mume bora🎉🎉

  • @amoniejohn7074

    @amoniejohn7074

    5 ай бұрын

    Hujaolewa

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Uko wapi

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Tunaweza meet

  • @juddykamau8618
    @juddykamau86185 ай бұрын

    Mimi napenda watanzania hata huwa namwomba mungu aniunganishe na mmoja

  • @bensonjonas1437

    @bensonjonas1437

    5 ай бұрын

    Mungu asikie kilio chako 😊😊

  • @tabithaachim791

    @tabithaachim791

    5 ай бұрын

    Niko hapa karibu🤗

  • @juddykamau8618

    @juddykamau8618

    5 ай бұрын

    @@bensonjonas1437 amina

  • @user-mb6zr7gg9u

    @user-mb6zr7gg9u

    5 ай бұрын

    Nipo apa

  • @angelitapaulo

    @angelitapaulo

    5 ай бұрын

    Karibu kwa kaka zetu

  • @didah4really93
    @didah4really935 ай бұрын

    Johari ni jeuri sana na atachelew sana kupata mr right wake, mpuuzi huyu 😢ana attitudes sana Johari 😢

  • @azizaaziz9261

    @azizaaziz9261

    5 ай бұрын

    Ajui nin anataka jaman uyu dada

  • @nurukidakule9468

    @nurukidakule9468

    4 ай бұрын

    Kweli kabisa, pia johari ana dharau sana

  • @FastpayMauzo

    @FastpayMauzo

    4 ай бұрын

    Ajioe

  • @AbbudulyShaban
    @AbbudulyShaban2 күн бұрын

    Sema diva anaongeaga pwent sana

  • @sathysohal2075
    @sathysohal2075Ай бұрын

    I swear this @GaraB jamany i love him sana yupo straight foward yani...

  • @kashindijohn5145
    @kashindijohn51455 ай бұрын

    Aaliya you are so kind also polite, respect from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸👍👍🫶

  • @ruthongeri5115
    @ruthongeri51155 ай бұрын

    Tanzanians are very calm ! Kuna wengine wangekua washarukaruka hadi wakambusu!!

  • @kalamukalomu1780

    @kalamukalomu1780

    28 күн бұрын

    Yaani mpaka busu😂😂

  • @nellydesniper3611

    @nellydesniper3611

    6 күн бұрын

    Sema tu Kenya😂

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika19964 ай бұрын

    Naomba mungu awajaliye upendo wa kweli na familia bora yakumcha mungu nawapenda sana 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀

  • @mercyryan8617
    @mercyryan86175 ай бұрын

    Wow woow wooow 🎉🎉🎉🎉this is so mature compared to kenyan show

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Mercy uko wapi

  • @faridalihondo3322
    @faridalihondo33226 ай бұрын

    Jitu lenyewe jeusi et mavazi yake hayaendan na kaz yake ulitaka atembee uchi 😂utasugua gaga sana hapo

  • @pendomushi6351

    @pendomushi6351

    6 ай бұрын

    Umeonaee Wala haendani kuwa na huyo kaka 😂😂😂

  • @faridalihondo3322

    @faridalihondo3322

    6 ай бұрын

    @@pendomushi6351 Yan jaman hawa wadada wengine hapana kwakwel😂😹🙌

  • @QueenMishy

    @QueenMishy

    6 ай бұрын

    😂😂😂

  • @faridalihondo3322

    @faridalihondo3322

    6 ай бұрын

    @@QueenMishy 😂😹😹😂

  • @SaoblackSaoblack

    @SaoblackSaoblack

    6 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @everlynemwame7427
    @everlynemwame74275 ай бұрын

    Napenda Sana kufuatilia Sana kipindi hiki je inatakiwa uwe na sifa gani ili ushiriki

  • @jemmyshiko3527
    @jemmyshiko352713 күн бұрын

    Wish the sauti ya beats iwe down ndio tuskie maogeo ya kila kitu....This is Amaizing good job

  • @daniellafwamba7388
    @daniellafwamba73884 ай бұрын

    Mr right yuko powa kabisa ❤❤ i Love it

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Hi

  • @juma3473
    @juma34735 ай бұрын

    Uyo mwanamke alongea mwanzo sauti yake inafaa kwenye kazi Kama uandishi wa habari

  • @magdalenabenedict2089
    @magdalenabenedict20895 ай бұрын

    The guy is gentleman

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Nakupenda

  • @user-ev6zg6qc8t
    @user-ev6zg6qc8tАй бұрын

    Asanten Sana Kwa kutuongezea mda nimefurahi mno inaleta raha

  • @naligiatomaso5006
    @naligiatomaso50065 ай бұрын

    Hakika hiki kipindi bwana huwa na enjoy Sana maana huwa nafurahisha ubongo

  • @justertilusubya9595
    @justertilusubya95955 ай бұрын

    Nampendasana lulu diva anaakili sanaaaaaah ❤❤❤❤❤😂

  • @kelvinmuraguri3737
    @kelvinmuraguri37374 ай бұрын

    Aki eeeeh No one knows about your God 🙏😘

  • @stellahlubulila205
    @stellahlubulila2052 ай бұрын

    Kwa mara ya kwanza alya umenifanya niKuangalie Tena na Tena hongera dada your the best , cute with future

  • @albertfoyan4829
    @albertfoyan48294 ай бұрын

    Background song ina sauti kubwa Hadi wazungumzaji hatuwasikii vizuri, DJ tunaomba uwe unapunguza sauti ya huo wimbo wakati wa mazungumzo.

  • @honorykwahhay4364
    @honorykwahhay43645 ай бұрын

    Wanawake wengine kwa muonekano ni wazuri Kabla hajaongea, lakini akianza kuongea ndio unajua yaliyomo yako, Kuna mke au hakuna. Hizo ni hatua za mwanzo kabisa Kabla hamjaanza kuishi pamoja.

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Ай бұрын

    True

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous16366 ай бұрын

    Sasa tuna enjoy jamani wapenzi wa hiki kipindi na hatupo tz tulikua tunaumia mnoo mbarikiwe star time‘s kwa kutujali fan’s wenu

  • @VickKulekana-si1ib

    @VickKulekana-si1ib

    6 ай бұрын

    Ndio ata Mimi nakipendaga

  • @EvelineWandera

    @EvelineWandera

    5 ай бұрын

    They match.mavazi pia imechangua 7shindi WA huyu msichana

  • @jacobmakono4399

    @jacobmakono4399

    5 ай бұрын

    .. mpuuzi Sana wewe,yaani unaumia kukosa mambo ya uchiuchi

  • @gracebila1719

    @gracebila1719

    5 ай бұрын

    Nakipenda sana hiki kipindi

  • @HekimaSaid

    @HekimaSaid

    5 ай бұрын

    @@gracebila1719 ..,..

  • @user-de3pr7ch5b
    @user-de3pr7ch5b4 ай бұрын

    Hamaz I love you mummy. I wish them all the best ❤

  • @dkdeokiria8200
    @dkdeokiria82004 ай бұрын

    Huuu n udhalilishaj tuu na hao wanawake wanaenda kujidhalilisha hapo mbele

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende36765 ай бұрын

    WaBongo wabunifu🇰🇪🇩🇪

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Nimependezwa nawe

  • @FadhiliPhilipoMmbaga

    @FadhiliPhilipoMmbaga

    10 күн бұрын

    Wanapatilana wap au wako maeneo Gani??

  • @Cfinnerty2023
    @Cfinnerty20235 ай бұрын

    Tanzanian are top notch, fun to watch, genuine, mature, polite, I can keep going on and on. Kenyans, lack certain level of maturity, when they're on Mr. Right, and other shows.

  • @sharonnyarrose4942

    @sharonnyarrose4942

    5 ай бұрын

    Kenyans ni kiburi tu....uwa inaniboo mbaya

  • @bwetungegodfrey4131

    @bwetungegodfrey4131

    5 ай бұрын

    Chako ni chako

  • @aggysm2116

    @aggysm2116

    5 ай бұрын

    Jajaja i see somebody criticizing us🤔😒

  • @mercyoola3650

    @mercyoola3650

    5 ай бұрын

    Kenyans huwa serious kweli 😂😂 if you take us serious umepotea we are mentally unstable country 😂😂

  • @aggysm2116

    @aggysm2116

    5 ай бұрын

    @@mercyoola3650 u av a reason n at the same time thats a big problem.

  • @LilianCornel-to2dw
    @LilianCornel-to2dw3 күн бұрын

    Kiukweli hawa ndo watu waloendana tangu natazama show ya mr right wapo matured sana na dada ana heshima sana

  • @missflo3840
    @missflo38404 ай бұрын

    Have been following this mr right but hii ilikuwa moto sana much love from kenya ❤❤❤❤

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa55486 ай бұрын

    Hao madada aisee wapuuzi Sana wanapenda matawi ya juu Yani huyo kaka aisee mm nisingeenda kujicholesha

  • @VenerandaMutojo
    @VenerandaMutojo5 ай бұрын

    Jamani nilikua naona vipande TikTok Leo nimefatilia nimefurai sana wanaendama ❤❤❤❤🎉🎉🎉 congratulations namm nikitoka uku walabuni nitakuja apo kujipatia wangu 😂😂😂

  • @christinamwongeli

    @christinamwongeli

    5 ай бұрын

    😂😆😆😂😂😂

  • @teclakagai754
    @teclakagai7545 ай бұрын

    Wow so amazing jacky 💝 same and very true lulu to Dayana

  • @ziporahingi899
    @ziporahingi8995 ай бұрын

    Hongera Mungu awabariki🙏🌅

  • @erickjanelleogaja455
    @erickjanelleogaja4555 ай бұрын

    How I wish true love can be found this way

  • @selinathindwa9754
    @selinathindwa97545 ай бұрын

    Wanawake wengi wanapenda mtu mwenye hela badala ya upendo wakweli

  • @tato8979
    @tato89796 ай бұрын

    Ahsanteni kwakutuongezea mda🎉🎉

  • @asiaasia1069
    @asiaasia10692 ай бұрын

    Nimependa hata mimi jicho langu liliona huyo kaka na huyo dada Nancy wanaendana na kupendezana sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal15846 ай бұрын

    Asante jamani muwe muna weka full hivi ni raha ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @antonyezekiel9260
    @antonyezekiel92605 ай бұрын

    Awe na utayari wa ndoa kweli si vinginevyo, moyo wake huenda umesukumwa na vitu vya nje, Aombe Mungu ampe msukumo wa ndani kumpenda mshkaji cos anaonekan Wajumbe wake ndani ya akili na moyo bado wapo ambao hawajaridhia, anatakiwa kupewa counceling sasa ya kuishi na mshkaji kama mke na kutambua changamoto za kimaisha,, kupata na kukosa.

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni96956 ай бұрын

    Thenks kwakutuletea full episode 🎉

  • @IbraWayland
    @IbraWaylandАй бұрын

    Nawapenda sana st bongo

  • @fayverenah
    @fayverenah6 ай бұрын

    Oooh thank you sahii mnatuwekea full episode ❤❤

  • @greggoryisaac8485

    @greggoryisaac8485

    3 ай бұрын

    Naitaji nionane nawe

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio40546 ай бұрын

    BRAVO MAN GOD BLESS ❤❤❤

Келесі