MASAA MATATU HAYATANITOSHA, ANAFANYA SUNGUSUNGU USIKU | MCHANA ANAUZA MITUMBA - HELLO MR. RIGHT

Ойын-сауық

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 74

  • @NuruNgole
    @NuruNgole6 ай бұрын

    Huyu kaka kawadanganya anamaisha yake mazuri sana ndii mana shati upande kuona waschana wa upendo na wamiunekano safi sana

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly6 ай бұрын

    Rajab kma Rajab congratulations kijana mpambanaj nimependa❤🎉

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd20526 ай бұрын

    MASHAALAH. Yuko smart sana Huyu kaka. CONGRATULATIONS MY BROTHER. Kupambana. ♥♥♥♥♥♥

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita76906 ай бұрын

    Wow amazing 🎉❤❤❤

  • @antonywanyonyi4195
    @antonywanyonyi41956 ай бұрын

    Huyu mwamba Naona akijukua ya kwangu 😂😂😂 Kenya tuko vizuri tu😊

  • @fmcgfood-fc1oh
    @fmcgfood-fc1oh6 ай бұрын

    Ila rajvil mshkaj wangu drama hujaacha 😂😂😂sijakuona kitambo sana asiekujua ataingia King ww una life nzur Acha uongo

  • @user-zw7ln4iy3g

    @user-zw7ln4iy3g

    6 ай бұрын

    eeeee?

  • @davidpeter2398
    @davidpeter23986 ай бұрын

    Mmeanza matatzo yenu tena yakutuletea azifiki mwixho

  • @user-zb2mj5nd5g

    @user-zb2mj5nd5g

    6 ай бұрын

    kweli bwana wameanza tena kutuletea vipandevipande tena

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika19965 ай бұрын

    Nskupenda sana kaka naomba mungu akupe mke saii ❤❤❤❤

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd20526 ай бұрын

    Unyama sana❤❤❤❤❤❤

  • @neemandayishimiye2646
    @neemandayishimiye264619 күн бұрын

    Natamanigi kujuwa wanaendeleaje kwenye maisha yao jamani tuleteeni baada ya kuchukuwana inakuwaje uko nyuma

  • @injilitv3104
    @injilitv31046 ай бұрын

    Nzuri sana hichi kipindi🎉

  • @salomefelix6644
    @salomefelix66446 ай бұрын

    Jamani tunataka episode full

  • @bigfivetalkshow5496
    @bigfivetalkshow54966 ай бұрын

    I love th show so much buh cn u do English translation,i mean even writing pls..

  • @josephlucas2786

    @josephlucas2786

    6 ай бұрын

    Uyo dogo ni jiran yangu ana duka kubwa la nguo ana nyumba Kari sana apa mtaan ana IST 2 za biashara na ana Nissan Duaris yakutembelea kifupi apo kafix aone watamuelewaje

  • @manasemoses6922

    @manasemoses6922

    3 ай бұрын

    Duh kaupiga mwingi

  • @peemsafi6068
    @peemsafi60686 ай бұрын

    Mwamba huyu apa umepigaje apo😍

  • @saimoncholobi2222
    @saimoncholobi22226 ай бұрын

    Unyama sana 😂

  • @willywilly3238
    @willywilly32386 ай бұрын

    Na mu upload full video bana, sipendi kuwatch nusu😏

  • @user-hr9ji5ql6h
    @user-hr9ji5ql6h6 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @amirlehao8945
    @amirlehao89455 ай бұрын

    Jamaa smart saana wanawake tu hawajui wanataka nini

  • @user-li1fl4jp3r
    @user-li1fl4jp3r6 ай бұрын

    Mbona imeisha Kati jamani

  • @user-is2pj2vq3r
    @user-is2pj2vq3r6 ай бұрын

    Mr right katisha kinoma aiseeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi2096 ай бұрын

    Sungusungu ni kazi gani

  • @nobodyog9512

    @nobodyog9512

    6 ай бұрын

    Mlinzi wa usiku

  • @BrenderMartin-eb2on

    @BrenderMartin-eb2on

    6 ай бұрын

    Ahahahah

  • @bonfacewitaba_official
    @bonfacewitaba_official6 ай бұрын

    Wa 🇹🇿 warembo jamani ❤. 🇰🇪 in the house

  • @marthageorge5043

    @marthageorge5043

    6 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @bonfacewitaba_official

    @bonfacewitaba_official

    6 ай бұрын

    @@marthageorge5043 Weka dp tukusifie mwaya 😆

  • @dorcaskidoti249

    @dorcaskidoti249

    6 ай бұрын

    😂

  • @bcbestcartoon576
    @bcbestcartoon5763 ай бұрын

    ni bora demu wako ashikilwe na sponser ila sio wahuni😅😅

  • @erickmalila6190
    @erickmalila61906 ай бұрын

    For first day nafuatlia show

  • @flm1530
    @flm15306 ай бұрын

    Sema haya ni machangudoa tu

  • @jackmabirangacharles9398

    @jackmabirangacharles9398

    6 ай бұрын

    Usimjaji mtu Kwa mtazamo wake sidhani Kila mtu ni changudowa Kwa Maoni Yangu binafsi

  • @flm1530

    @flm1530

    6 ай бұрын

    Kam huamini nenda uone km kuna mke apo yote machangudoa hayo ndo maan yanabadilik badilik

  • @nghabingagaja2127
    @nghabingagaja2127Ай бұрын

    Ukipata mtu muwaz kama vile mabint walitafakali hlo

  • @user-jc2es5xt5v
    @user-jc2es5xt5v6 ай бұрын

    Kwanza kaniboo mbona hajasema ukweri jamaa anamaisha mazur yani alikua sio wakuja hivo kwa uwezo wake

  • @DoreenDaniel-hd7kv

    @DoreenDaniel-hd7kv

    6 ай бұрын

    Iliupate mwanamke asiekua natamaa nahela alitaka apatemkebora

  • @mwecmapesa3623

    @mwecmapesa3623

    6 ай бұрын

    Mimi naisi kafanya hivy kulingana na midem ya asahivi inapenda sana muonekano na mtu alichonacho

  • @ladymangala7212
    @ladymangala72126 ай бұрын

    🔥❤️❤️❤️q

  • @khamismsoma8698
    @khamismsoma86986 ай бұрын

    huyu mdada mweupe anafanana na malkia mtoto wa yombo

  • @emarsonjuma9045
    @emarsonjuma90456 ай бұрын

    Huyu mwamba kaweza

  • @FatmaHamad-hs3tj
    @FatmaHamad-hs3tj4 ай бұрын

    Sijui nitazame siku ngapi ndo niridhike

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei11336 ай бұрын

    Nakipendaga sana hichi kipindi

  • @user-pl6ec1sj9e
    @user-pl6ec1sj9e6 ай бұрын

    Natamani na mm kufika huko nafikaje

  • @user-li1fl4jp3r
    @user-li1fl4jp3r6 ай бұрын

    Nataka watuelekeze nasiwengine tuende hapo

  • @dogoSuma-ql4uf
    @dogoSuma-ql4uf6 ай бұрын

    Rajab acha. Uowng wewe we si tem lida wa airtel weee

  • @aishajuma18

    @aishajuma18

    6 ай бұрын

    🤣🤣🤣na wew unamjua

  • @GracieTyno

    @GracieTyno

    Ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @antonywanyonyi4195
    @antonywanyonyi41956 ай бұрын

    Jukueni mwamba wangu mtaona

  • @GraceLeonard-ip5fk
    @GraceLeonard-ip5fk6 ай бұрын

    Rajab nimempenda🙏

  • @allyMachepe
    @allyMachepe2 ай бұрын

    Wagum tupo wachache mno

  • @shaydebby5678
    @shaydebby56785 ай бұрын

    Jaman Raj😁😂😂umeona udanganye😅dah!

  • @ushindingayilo9780

    @ushindingayilo9780

    5 ай бұрын

    Kwan anafanya nn kama katudanganya

  • @isackmbade3181
    @isackmbade31815 ай бұрын

    Ntakuja huo mda mm

  • @mussacharlesSongo-or4wn
    @mussacharlesSongo-or4wn6 ай бұрын

    Jamani mbona vipande vifupi kama vya mihogo

  • @GracieTyno
    @GracieTyno6 ай бұрын

    Rajabu umeamua kwenda kudanganya umma yaani umedanganya watanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbwa muongo wewe khaaaaaaaaaaa🙌🏽Halafu unasema we mkaburu 😂😂😂😂😂dah we kenge mbinguni huendi nasema😂😂😂😂

  • @user-vk3pl1st4h

    @user-vk3pl1st4h

    6 ай бұрын

    Kwan kadanganya kweli

  • @GracieTyno

    @GracieTyno

    Ай бұрын

    @@user-vk3pl1st4hMuongo kenge huyo😂😂😂😂ni mshkaji wangu na ana mahusiano yake stable kabisa.

  • @bhokesaid3264
    @bhokesaid32646 ай бұрын

    Hiki kipindi sio cha kweli jmn yani wote hao kama akitoka hapo haujamkuta kwenye bongo movie basi utamkuta anaimba,model au atafanya chochote cha kuonekana yani wengine walitokaga bingwa tulioangaliaga kitambo mtanielewa sijui mnamkumbuka main jack kuna demu mmoja nae alikuwa season iliyopita nw yupo kwenye kazamoyo hapo kuna demu yupo kwenye comedy za joti hao ni km wanataka tu kujulikana lkn sio real km mr right za wenzetu yani had wanaume wao wanaokuja hapo nao wengi wa aina hiyo

  • @pilotclassic4468

    @pilotclassic4468

    6 ай бұрын

    Wanatudanganya tu, haiko real huyo msichana mwenye Rasta yupo kwenye vichekesho vya joti. Kuna wengine waandaa content tiktok, kiufupi wanatuchezea akili

  • @Lilyfamily01

    @Lilyfamily01

    6 ай бұрын

    Mi kweli mmoja nimesoma nae hapo yey ni model

  • @izzahboe1442

    @izzahboe1442

    4 ай бұрын

    🎉🎉me nilimuonaga adi zuena wa kwa zombi anataka bwana uku😂😂😂😂😂

  • @samtelah7578
    @samtelah75786 ай бұрын

    Machangudoa kwel haya mwanamke au mwanaume unayejitambua huwez kwenda hapo

  • @RickshabyVlogs

    @RickshabyVlogs

    6 ай бұрын

    Hata mtu anayejitambua hawezi kuangalia hii show🤣🤣

  • @nancyg8664

    @nancyg8664

    6 ай бұрын

    @@RickshabyVlogs si ndio😆😆😆maana ni kama upo hapo ndan ya show

  • @RickshabyVlogs

    @RickshabyVlogs

    6 ай бұрын

    @@nancyg8664 🤣🤣wanaua vibe

  • @hasnaram4044

    @hasnaram4044

    6 ай бұрын

    @@RickshabyVlogs jibu tamu hili kunywa sodaaa

  • @RickshabyVlogs

    @RickshabyVlogs

    6 ай бұрын

    @@hasnaram4044 nifungulie kipenz

Келесі