FULL: PAMBANO LA MWAKINYO NA BONDIA KUTOKA GHANA LAFANYIKA USK WA MANANE
Спорт
FULL: PAMBANO LA MWAKINYO NA BONDIA KUTOKA GHANA LAFANYIKA USK WA MANANE
#modewji #diamondplatnumz #ccm #tundulissu #simbasc #yanga #modewji #mwijaku #feisalsalum #ahmedally #zuchu #wasafi #harmonize #wcb #mbosso #modewji #fistonmayele #yangabingwa #simbasc #ahmedally #alikamwe #ahmedally #modewji #fistonmayele #yangasc #manara #simba #diamondplatnumz #harmonize #yanga #harmonize #mwakinyo #diamondplatnumz #modewji #simba #ahmedally #simba #fistonmayele #yanga #ahmedally #kibudenis #modewji #simba #diamondplatnumz #harmonize simba #fistonmayele #modewji #modewji #yanga #ahmedally #raissamiasuluhuhassan #mafuriko #kimbungahidaya #modewji #wifewadunia #harmonize #simba #fistonmayele #yanga #modewji #ahmedally #raissamiasuluhuhassan #simba #fistonmayele #diamondplatnumz #simba #yanga #ihefu #ahmedally #alikamwe #manara #modewji #hd
#harmonize #diamondplatnumz #alikiba #kingkiba #wifewadunia #kondeboy #YangaSC #simba #fistonmayele #azamtv #bahatibukuku #paulmakonda #raissamiasuluhuhassan
Пікірлер: 252
Tunachukia kwa mihemko yetu tunakukubali Mwakinyo Mungu ajalie mambo yakuendee tunakuelewa hoja zako Zina mashiko Pambania Ndoto Yako Mungu akubariki unajuhudi nakukubali hujali kulaumiwa utafika mbali zaidi🎉🎉
@user-gz2or2ui9n
24 күн бұрын
Unatia aibu tu bora ungeacha tu kupigana unazingua sana mwamba
@Madanstars
20 күн бұрын
Akufirahishe wewe wakat Hela zake hajapata sema chombo Cha ngumi kiwe makini na ma present
Mashabiki wanatia hamasa hadi raha, bonge moja la support
Bongo wakikuona unamsimamo nia yao wakupoteze ila kaka pambana mungu yuko nawe champez wanataka kutuangusha hawataweza time mwakinyoo❤❤
@user-tc9vi3ow3n
24 күн бұрын
Abongo wengi wanafanya vitu kwa sifa,mwisho wa siku wanakuja kulaumu na kuwa omba omba,huyo mwakinyo yupo kuangalia madirahi ya habadae ukipigwa ufe aki yako utahioata wapi?
Leteni bondia yoyote ata mlete figisu zenu atapigwa tu safi Mwakinyo bondia mwenye msimamo
Weunaesema huelewi kipi ukielewi au ndio nyie mnaotaka kumpongeza mwakinyo? Kwa hilo mmeshafeli na mkanda keshachukua,hongera sana hassan mwakinyo
Mwakinyo ni bondia anayejuelewa sana. Mabondia wote waliobaki ni wapuuzi tu na njaa zinaweza kuwapoteza kabisa
Mwakinyooo fighter
Mwakinyo ndo bodia anayejielewa yeye haangalii watu watasemaje ila anaangalia masirahi yake yazigatiwe safi mwakinyo
@denishaule6314
24 күн бұрын
Ndio masirahi mko vizur na mwakinyo
@SalimuHassani-xt3og
23 күн бұрын
Sawa ila tunachokua tunaomba kwenye huu ujinga wake anaotufanyia ni kuturudishia viingilio vyetu tu bas mengne ayatuusu
Jamani nimechelewa ila ijayo iwe ya konde boy na mwakinyo ju ameiomba sana harmonaze nitakata basi kutoka kwetu Kenya Hadi bongo
Mungu akubaliki mwakingo championi watanzania
❤❤❤tu no pamoja champez
Si mashabiki wa mwakinyo tunaamin uwezo wako
Braza wangu weni brucelee wakubali wakataeee dua nyingi nili kupigia
Hongera sana Brother Mwakinyo
Sasa hapo Ndio Mwakinyo kashinda Au 🤣🤣Yani kama Picha la kihindi🤣🤣
@mbatiakessy2420
12 күн бұрын
Kiukweli picha la kihindi
Pamoja kaka mwakinyo
Mnacho shindwa kujua kwamba mwakinyo hana kosa ira kuna viongozi ndio wanataka kumwalibia Aliomba rathi uringon na kupiiga simu lkn bado watu mnamlaumu mwakinyo yupo nasi jamani tumuombe min kam Mike nakupenda nakueshimu pia shabiki yako sana
Hongera sana broo mafanikio ayaji tu lazima upitie mapito utafika mbali broo
Mbana mwakinyo usisikilize Hao simamia hakiyako bro
Safi mwokinyo nimefulai
Mungu akusimamie Kaka ufike malengo Kama unavojikubali endelea kujikubali
🎉 dua sana mwakinyo kwa mkanda kubaki ata kama wapinzani hawataki
Namkubali sana Mwakinyo Misimamo yake Itampa mafanikio sana
Lingeuza michungwa pale chalinze lisipotezee mda humu
Mwakinyo makalio tu huyo anajiona mjanja kumbe fala tu kwanza anaogopa mabondia
Huu wizi Tu mwisho wa siku ngumi zitapoteza mvuto kuweni makini na mwakinyo lakini kama ni maslahi wapate inavyostahiki alafu ngumi za hivi mtu hajapigwa ngumi yeyote ya maana mnamaliza pambano sio vizuri mnaharibu mchezi wa ngumi
Mwakinyo ni pro sana, anaangalia stats zake kidunia sio ushabik wa kibongobongo tu kama bongo movie
Kwa hali hiyo Mwakinyo ndio mwenyewe final say kwakua kila atakachoongea wanamsikiliza management nzima
Nakubali Sana kiba me naimba natumia jina diga boy TZ Song RAHA KZread please please naombo surpot KZread
Mwakinyo anajielewa sana to me naamin yupo sahihi maisha sio lazima uyaendeshe ukiwa na kaka au dada simama ww kama ww acha kulialia ww
Jamani walihama ukumbi wakawaita marefa wao na mc wao na waandishi wa habari za mtandaoni. Ndo maana hujaona azam tv'wala mc wasiwasi mwablambo. Yaani huyu mwakinyo mungu anamuona katuchezea mashabiki wa ngumi cheus na chekundu.
😮😮
South African boxer by the name 'Wellem" ndie dawa ya mwankiyo 😊😊
Hiz ni sawa na ugomvi wa mtu na mkewe kitandani. Hatimae hiishia kupeana tu
Mwakinyo kuna siri kubwa anaijua TPBRC Maisha na Mafanikio ya mtu ni Siri yake!
Huyu wajina wangu kuna kamchezo hucheza ili kupiga pesa. Bondia Gani yeye ndo anachagua wakupigana nae na anamoanga kabisa mpaka malipo achukue kiasi Gani. Na kama bondia akikataa lazima litokee jambo aidha agome au atafute kisingizio ili tu kuharibu cv za watu
Duh
Harmoniz vipi
T.K.O iko wapi hapo???!!! Acheni ujinga basi! Mwakinyo ahamie kwenye uigizaji wa filamu za vichekesho maana pambano hapo hakuna, ni vitimbi vitupu!!!!
Matako mwenyewe matako unasema mashabiki tunaona wanamferisha mwakinyo viongoziwangumi halafu unasema mashabiki kiufupi ukimponda mwakinyo ww tako
Atar sana
Aibu
shabik unalipa kiingilio alafu mabondia wanatokea wote hawana matatizo yakiafya yaani wakofiti " et unaambiwa kunamtu mkubwa haonekani na ana ishu zote za mkanda ndiotunamtafuta kwenye cm lakn hatujafanikiwa kumpata " sasa unajiuliza maandalizi ya pambano kipindi chote hicho yako wapi? Kama sio uhuni? alaf unaenda kulala unapata taarifa pambano lilichezwa na wazamin wa matangazo ni tofaut na MC naye ni mwingine😂 " sasa unajiuliza tena inamaana huyo anasubiriwa aliona pesa zetu hazina maana ? anakuja mda anao utaka na uongozi wa ngumi unataka et kuwepo na mashabiki wa ngumi " nani atapenda ujinga huo
Dah kwa hili kuna cha kujiuliza kwakweli kwann ligailishwe aya apo apo licheZwe bila nembo ya mzamin hata mmoja dah bongo ni hatari
Wemechagua sikuyao sio
Waandaji wa kulaumiwa, hakika kuna shida katika mapambano ya mwakinyo, nadhani atetee huyo mkanda na bondia bora ili tujue uwezo wake mwakinyo
Jamani mwakinyo kama umerizika na kiwango chako na mashabiki zako wanakukubali tia saini. Kwenye bendera chuma tukupige hadi mashabiki wakukatae. Maana hao ndo mashoga zako wanakupamba uzidishe naneno. Timu kidugu hatunaga maneno ni kudunda tu.
Anachaguwa mabondia kwanini asiletewe bondia kweli
Makamera Wa Bongo Bana! Et Video imechukuliwa kwa Mbaaali😅😅😅
Ndio inavy takiwa bondia uweh naa msimam
Jama ako sawa lkn shoulder imembwaga ame tupa ngumi akashituka bega
Mtan wangu mwakinyo ninakuamini songa mbele kamanda wenye vijicho wakajinyonge
mapambano ya mwakinyo ni maigizo TU hamna cha maana sasa hapo kashinda nini? au ni uchawi anatumia maama namuona mwepesi ngumi zake hazina power yaani ni michezo ya shule za msingi!!
@hendricksjohn6201
24 күн бұрын
Vituko TU hapa hakuna kitu huyo mwakinyo watu wa kupigana nao anawachagua yeye mwenyewe
Mashabiki wa mwaninyo nao ni matako bondia kawazalilisha kutocheza kwa wakati anakuja kuhonga na kununua marefa wachezeshe uchochoroni. Ili apewe mkanda. Wao wanafrahia. Haya. Kama sio uchochoroni mzamini azam tv'yupo wapi??
Hiii Nini hiiiiiiiiiiiiiiiii Sasa hivi ni VITU VIPYA katika ubovu wake ulio wa VIWANGO VYA juu katika mazingira mabovu kabisa hiiii ni so sad and great shampoo if not shameful
mbona watu hakuna
ukisimamia hhaki yako ni bora sana
Jamani mwakinyo ni ki hekesho bora nilienda kulala
Mwakinyo naye hiyo style yake jaman Sio usanii
Daah,pambano la mchongo
Mwakinyo hataki janja janja kama wale wengine wakipewa ata lack 3 wanapigana😅
Kinacho chaguliwa na mungu hata uweke chuki vipi kitaendelea kusimama ila ndugu zangu wa tz tuache roho mbaya
Mwakinyo alivaa sket au macho yangu jamani
Hamonaizi kama umechoka kuimba basi kama unavipesa vyako nenda kwenu kanunuwe heka ya mikorosho ulime usije kumtefutiya kesi hasani mwakinyo kwa wazazi wako nenda kalime korosho
Champenz 🏆
Iv tatizo inalofanya hadi iwe hivi
Poorly video shooting,too far "hii ni bangi na njaa,Hamna ngumi hapa
Mwakinyo afungiwe bonding gani mbabaishaji !
Mwakinyo siyo Bondoia wanamletea mabondia viazi tu
Tanzania chikii ndoo zinatusumbuwa
Bado harmonize
Mwambaaaa nakukubalii😂😂
KUWENI WAKWELI MWAKINYO MWENYEWE PIA AJUI KAMA KASHINDA HILI PAMBANO
Tz 1
Mkanda lazima tuubebe hao wanao mrudisha nyuma nangoja wageuke😅
Watu inabidi waelewe mwakinyo hana makosa bali mabosi zetu wa hovyo
Kwani kulikua na ngumi au kulikua na makubaliano tu hapa. Mbona km ibabaishaji. Maana cjaona ngumi apo walopigana. Imekua sawa na mtu na dem wake. Wakat dem anajarib kukataa kudo kisha akaachia nyama
@selemanajali6336
23 күн бұрын
Kabisa hamna ngumi hapo
Pambano zuri,ni ubora wa picha ndo tatizo
Dug haya bana
Abali ndo hiyo kikubwa mkanda kubaki tz
Limefanyikia wapi hilo!
Leo mm nime shika number one
@KassimSaid-vp4zz
25 күн бұрын
Number one ya nyoko upumbavu nao unataka 2upongeze
@onesmothimos2635
24 күн бұрын
@@KassimSaid-vp4zzunamtafuta mtu wa kukufila basi Pele lime pata kucha
mwakinyoo watu ka hawa ndo wakuchapa chap unaondoka kujifanya ka jogoo inaleta madharau bongoo
Pumbavu nani afungiwe Ulizani Mwakinyo kama mabondia wenu labda wafungiwe chama cha ngumi
Yaasn kama ni ivooo atafika anakotaka ila iyooo siyooo boxing ninayoijua mimi
Hiii ni regesha watu hapana ngumi hapa mwakinyo kaachia mpunga ili jamaa achie pambano
Mapambano ya jamaa yanaishaga kimaajab ajabu. Unashangaa tu refa ananyoosha mikono pambano limekwisha.
Profesheno wa mashabiki mchwara.
Hawa waandaaji niwasenge yaani waliamua kutafuta muda wao wakati pesa zetu tulilipa nahawakupigana siku iyo
Hv ilipambano la lini??
Mwakiny anajua ana mpinzan xix wat watanga ndo tunamjua
Pambano la mchongo msituwekee Sasa ndio ngum gani iliyochezwa nawauliza nyie timu mwakinyo
Usiishi kwa kufurahisha watu kaka
Mimi naelewa hili halikuwa pambano lilikuwa movie ya kichina
@JosephuSwai
24 күн бұрын
Karibu wewe
@jaffjeff6912
23 күн бұрын
Nae anashangilia eti daah
Jamani asqin kwa kiduku tumuuwe
Hapigani kwa mihemko ya watu anaangalia sheria ina semaje sio boya kama mabondia wenu mbuzi nyie
Very poor watu wamesimama hamna nidhamu ninaibu kwa kweli hawa waandaji bado kabisa yani hapo ni ujanja ni mwingi kuliko upangaji na hashi ya hilo shindano
Pambano LA mchongo
Ngumi unajua ilaa mabondia wako bdo cjawaelewa baba hassain Soo kwel weee champion of the national Tz half mapmbn yko ayakosi vikwazo vp kaka
Ww kwel una roho mbay ambae unaomba mwakinyo afungie