BABAYANGU KIPOFU Full episode /2/ /

Комедия

Пікірлер: 336

  • @stevohmwirihz
    @stevohmwirihz21 күн бұрын

    Kazi njema unayoifanya kakangu Baba Joan Endelea hivohivo nakufuatilia sana nikiwa hapa nchi jirani Kenya.

  • @user-ff4zw7oj8i
    @user-ff4zw7oj8i21 күн бұрын

    Babajoan never dissapoint ❤❤❤ Keep it up Una kazi nzuri sana❤❤❤

  • @Everayubu
    @Everayubu21 күн бұрын

    Daaaah yan hii move inanifanyaa nitoe machozii ❣️❣️

  • @douglasobanda1954
    @douglasobanda195421 күн бұрын

    Very good development. Hongera baba Karobo. Mama Karobo ACHA uovu, hao unawatesa utaja kuwatamani hapo usoni

  • @philohmutua2968
    @philohmutua296821 күн бұрын

    Mauchungu sana❤❤❤❤ watu tuangalie movie nautoe maoni sikukimbilia kuomba like

  • @Simon-kangethe
    @Simon-kangethe21 күн бұрын

    Wa kwanza jamani like zangu from 254🎉🎉

  • @hassankenga5787

    @hassankenga5787

    21 күн бұрын

    Like zitakupeleka wap ww toa maoni yko acha kuitisha likes

  • @Simon-kangethe

    @Simon-kangethe

    21 күн бұрын

    @@hassankenga5787 haikuhusu brooo 😏

  • @user-vo7yb6wp1m
    @user-vo7yb6wp1m21 күн бұрын

    Kazi nzuri sana baba Joan Ila huyu mwanamke roho mbaya yaani roho us chuma🎉🎉🎉❤

  • @mwanasitizuma
    @mwanasitizuma21 күн бұрын

    nimewahi nimekuwa wa6 ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kibaniotv
    @kibaniotv21 күн бұрын

    Hhhhhhhh iyo fimbo ilikua inaenda kuinglia wap hhhhhhh

  • @user-vr1ji2py7l

    @user-vr1ji2py7l

    21 күн бұрын

    wewe ulivyo ona ilikuwa inaenda wapi jaman?

  • @kibaniotv

    @kibaniotv

    21 күн бұрын

    @@user-vr1ji2py7l hhhhhhhhhhh🤗🤗

  • @user-de7pb4du2h

    @user-de7pb4du2h

    4 күн бұрын

    😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar228721 күн бұрын

    Baba joan usimuachilie huyu mtoto karobo kuna kipaji kikubwa ndani yake 💐 🌹 🌸... kazi nzuri hongereni nyote 👏

  • @petermauta5789
    @petermauta578921 күн бұрын

    Huyu karombo mtoto anashikisha hii filamu mzuri

  • @AdijaWashuma
    @AdijaWashuma21 күн бұрын

    Alaf nyie mnaomba omba like acheni usenhe mnashindwa kutoa maoni kazi kuomba omba like tyu acheni hizo toen maoni😢😢😢😢

  • @karembo7082

    @karembo7082

    21 күн бұрын

    😂😂😂😂ama kweli umesema ukweli

  • @user-ff4zw7oj8i

    @user-ff4zw7oj8i

    21 күн бұрын

    Waache TU mbona kawaida tuu

  • @user-rg5ft5ye8d

    @user-rg5ft5ye8d

    21 күн бұрын

    Kapiza

  • @user-gz9oq7ey4h

    @user-gz9oq7ey4h

    21 күн бұрын

    Wanaomba likes mpaka wanakera utadhani wame-act wao

  • @EmmyMo

    @EmmyMo

    21 күн бұрын

    Yanakela bana😂😂😂

  • @Duma700
    @Duma70021 күн бұрын

    Leo macho yana uhalisia

  • @franciscassian

    @franciscassian

    21 күн бұрын

    Kwani mwanzo yalikuwa vipi

  • @kondebouy1308
    @kondebouy130821 күн бұрын

    Baba Joan hongera kaka kazi nzuri nifinyie like hapa wenye wivu wakajue muhimu wa hiyo like

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu699121 күн бұрын

    Hii move iko namafunzo mazuri,wanaume kuweni makini na wake zenu duh

  • @user-hu5qw6tk7c
    @user-hu5qw6tk7c21 күн бұрын

    Wow hii emekuwa tamu kweli nangoja nomber 3

  • @CollinsMiheso-qn1ul
    @CollinsMiheso-qn1ul21 күн бұрын

    Napenda Sana ❤❤mwalimu mngeni

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi21 күн бұрын

    Jamani toeni maoni kama movie iko sawa ama la nyinyi ni like tuuuu pumbavu zenu😏

  • @JaynoMkupa-ew3qo
    @JaynoMkupa-ew3qo21 күн бұрын

    Watoto muhimu cna yatupasa kuzali sha mapema nakuwatunza watoto mapema

  • @Soweto124
    @Soweto12421 күн бұрын

    Leo wa kwanza 🎉

  • @danielkambanga6790
    @danielkambanga679021 күн бұрын

    Safi Sana,awamu hii kwenye macho umeyarekebisha yamekaa sawa.

  • @nabiielishanabiielisha489
    @nabiielishanabiielisha48921 күн бұрын

    Jaman Tamthilia Hii Ni Kari Sana

  • @SilviaDirecto.
    @SilviaDirecto.21 күн бұрын

    wa kwanza nipeeni likes

  • @saalumunyoha1140
    @saalumunyoha114021 күн бұрын

    Hii Kali sana.ila wanawake wengine ni afadhali hata mnyama

  • @user-fe8ju5vd9z
    @user-fe8ju5vd9z21 күн бұрын

    Baba Joan nimekukubali wewe na timu Yako yote ila tangu nilianza kufata movie zenu amjawai kunipa ata like moja

  • @user-rz9uf2xx1x

    @user-rz9uf2xx1x

    20 күн бұрын

    😂😂😂endelea kubambika ndugu 😅😅😅😅acha na like zitakuuwa bule😂nakupenda bure❤

  • @user-fe8ju5vd9z

    @user-fe8ju5vd9z

    18 күн бұрын

    Ah bon c'est vrai ça ok que dieu te pardonne

  • @rehemafema
    @rehemafema21 күн бұрын

    Hii nzr lakni hofu sijaitazama kwasabu hizo move za kichawi imekuwa too much mzipunguze

  • @user-zm8wo1ue7e
    @user-zm8wo1ue7e21 күн бұрын

    Bro mungu akubarki kaz nzur

  • @MagdaleneKilifi
    @MagdaleneKilifi21 күн бұрын

    Jaman nmeangalia hii movie nkilia Hadi mwixho, pole sana baba karobo😢

  • @mwalisuleih1164

    @mwalisuleih1164

    9 күн бұрын

    ❤❤❤❤❤ Mie pia 😢😢😢😢😢😢😢ak movie nzur jamani nyie uyu baba joan anafunza xn hongereni nyote mlioshiriki katik hii

  • @WakizazikipyaBolole

    @WakizazikipyaBolole

    6 күн бұрын

    Hizo majina wametowa wapi😂😂 Karobo 😢

  • @StephenOdhiambo-kn4md

    @StephenOdhiambo-kn4md

    4 күн бұрын

    Ati karobo

  • @user-lv6xv6nf5j
    @user-lv6xv6nf5j21 күн бұрын

    Dah baba Joan kazi nzuri inahuzunisha sana

  • @aminakenyaa9337
    @aminakenyaa933721 күн бұрын

    Funzo katika jamii kazi nzuri baba Joan ❤❤❤❤

  • @user-zb2wx8ws6g
    @user-zb2wx8ws6g21 күн бұрын

    Mumenifanya Nikalia mm jamani 😢😢

  • @YvonneWangeci-oe8uf
    @YvonneWangeci-oe8uf21 күн бұрын

    wanne hapa likes zangu

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu21 күн бұрын

    Kwan like mnalipwa yaani mnakera jmn toeni maoni azidi kuboresha kazi na ss tuzidi kujifunza na kuenjoy pia

  • @IslamPeto-fd6wr

    @IslamPeto-fd6wr

    21 күн бұрын

    Umeona eeh mi pia nawashangaa,,, wote ni like sijui uwaga awazingatii kuangalia

  • @ProtasdidasMushi

    @ProtasdidasMushi

    17 күн бұрын

    Mim naona kama vile kuna chochote wanapewaga wakifikisha like 10000 labda

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki21 күн бұрын

    😂😂😂ayo maco ya bb karobo sasa pole sana karobo kwa magumu unayo pitiya we na bb yako 😢😢😢

  • @WinifridaKisinga
    @WinifridaKisinga21 күн бұрын

    Hii move wanaume wanaume wakiifatilia nakuiweka moyoni kwa hofu wanawake tunaweza tukaishia kuzalishwa tu ila tusiwekwe ndani😭

  • @user-de7sv3rc3n
    @user-de7sv3rc3n21 күн бұрын

    Naitwa Espoir salumu kutoka Congo 🇨🇩 jamani Nîmechelewa ila nipeni likes zangu

  • @ChrisNini-ot3bl

    @ChrisNini-ot3bl

    21 күн бұрын

    Vp Kijana Ya Congo

  • @user-vr1ji2py7l

    @user-vr1ji2py7l

    21 күн бұрын

    🎉🎉🎉🎉🎉​@@ChrisNini-ot3bl

  • @user-vr1ji2py7l

    @user-vr1ji2py7l

    21 күн бұрын

    nimewahi nimechelewa wa 100

  • @user-co9bx4pf2q
    @user-co9bx4pf2q21 күн бұрын

    Baba umepigwa namakariyo yawhatuu😂😂😂 rakin wee ukinana nabakobwa bafise inyooooo nini😅😅😅😅😅 Baba joyiiii

  • @user-by4ju5ce3x

    @user-by4ju5ce3x

    16 күн бұрын

    Nakirundi tena kwa watanzania brother

  • @user-yt1qw8bm9p
    @user-yt1qw8bm9p20 күн бұрын

    Nani amegundua kuwa uyu kalobo simama yake mzazi uyu mama

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu21 күн бұрын

    Hadi huruma jamani kosa vyote rakini usikose kuona 😢😢😢

  • @SofiyaKazungu.Kaviha
    @SofiyaKazungu.Kaviha9 күн бұрын

    baba karobo pole Sana wanawake wabaya Sana wanakupenda ukiwa na pesa lakini ukiwa uko na shida ana kudharau

  • @davidyaa3885
    @davidyaa388521 күн бұрын

    Nawasihi kiukwel hii tamthilia muitembeze kwa wakat bana hii ni tamu sana angalau mbili kwa siku

  • @EmmanuelSaruni-lh8cl
    @EmmanuelSaruni-lh8cl4 күн бұрын

    Mungu lepapalai saidia wana ndoa wengine maana ndoa isha kua ndowano sasa oi mungu yangu

  • @BandibaboneMoninga-jo3tq

    @BandibaboneMoninga-jo3tq

    3 күн бұрын

    Bonjour

  • @PostineYesare
    @PostineYesare9 күн бұрын

    Kazi nzuri baba joan na wenzako nawapenda bure🎉🎉🤗🤗🥰

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick37821 күн бұрын

    Wallah huo mkatee na sodaa siungekunyonga ufilie mbali 😥😥😥😥😃😃😃upofuu oneday ukurudie .yan mpaka mtoto anaibaa aise

  • @Faarjarsowako
    @Faarjarsowako2 күн бұрын

    Baba joan keep up mimi nina kufuata from Ethiopia🇪🇹🇪🇹ninakupenda sana ume fanya kazi vizuri endela mbele mungu ata kuzadia san

  • @mokilihategeka1303
    @mokilihategeka13033 күн бұрын

    Hii move naipenda sana na wapongeza nyote ambao mumetuchezeya hii

  • @EmmyMo
    @EmmyMo21 күн бұрын

    God bless you my brother na team yako kazi nzuri sanaa🎉🎉🎉

  • @ShafiiAbdallah-sg4lk
    @ShafiiAbdallah-sg4lk9 күн бұрын

    Da haka his kazi zako zamaana nazinatoa fundisho hongera sana

  • @HappyMonarchButterfly-oe3rz
    @HappyMonarchButterfly-oe3rz21 күн бұрын

    Waaaa baba Joan kidogo nilie 😢ila Mola awajaalie mzidi kusonga mbele zaidi

  • @user-bt3lm4nm4t
    @user-bt3lm4nm4t21 күн бұрын

    🎉❤❤❤❤❤jamani simkue mnatoa bada ya siku mbili Nikiwakilisha machakos county kenya🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @user-zf3lv6vo9y
    @user-zf3lv6vo9y21 күн бұрын

    Kazi nzurii Sana karobo anajaribu Sanaa pamoja Na baba joan

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce704321 күн бұрын

    Karobo unakitu utafika mbali kaza buti

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha21 күн бұрын

    Karobo safiiii 🌹🌹🌹🌹

  • @user-on7in9tz6e
    @user-on7in9tz6e21 күн бұрын

    Kazi njema

  • @godlovekyela7807
    @godlovekyela780711 күн бұрын

    Baba Joan kazinzur wote mko vyema zaid mwimbaji wetj na katobo keep them

  • @HildaChelagat-dy7ey
    @HildaChelagat-dy7ey20 күн бұрын

    Karombo unafaaa ww n mtoto mzuri play anathor movie I like it....

  • @FranciscoRomao-pc7xl
    @FranciscoRomao-pc7xl21 күн бұрын

    Cazi nzuri sana😅

  • @GelwadaNchimbi
    @GelwadaNchimbi21 күн бұрын

    Muwaishe Cha tatu jamani nitam hatari

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego514317 күн бұрын

    Hii movie inaliza jamani 😢😢😢😢 mtoto hapenda kuiba ila kumtafutia babake chakula

  • @user-fq6vh5ks9z
    @user-fq6vh5ks9z21 күн бұрын

    Yani ayo macho ya papa Joani misitaki kuangalia lakini uyo mama kalobo analoho mbaya tunaapenda san kutoka Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @mohammedgedow3456
    @mohammedgedow345621 күн бұрын

    Hongera Baba joan we need brains like you.thumbs up once again

  • @user-vt3dp2st5e
    @user-vt3dp2st5e21 күн бұрын

    Jamani kama kweli kipofu hayo macho hongera baba Joani

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp21 күн бұрын

    Karobo uko moto,,,yuashobokea mamake🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mubaonemubaone3249
    @mubaonemubaone32499 күн бұрын

    Naomba karobo mumbadilishie Gauni Nyinyi mshabadilisha nguo mara nyingi

  • @user-pp3vo8rw5j
    @user-pp3vo8rw5j21 күн бұрын

    ❤❤❤❤much love from ❤❤❤

  • @hemedynyuki4389
    @hemedynyuki438910 күн бұрын

    Walaih inasikitisha mno story nzur big up bro

  • @suzanaedson1080
    @suzanaedson108010 күн бұрын

    Hongera sana baba joan kaz nzur

  • @lameckisayagospel7481
    @lameckisayagospel748115 күн бұрын

    Leo nilipo ingia Facebook ndo nimeona kipande cha kwanza kisha nikaanza fuatilia vipande vingine.mara tunashindwa kufuatilia filamu za kibongo Na kwenda Nigeria sababu Mara mnacheza vitu ambavyo visivyo kweli wala havipo kwenye oraza za légend.kwenye movie hiyi,upole wa baba unazidi sana.

  • @user-kx9jk6uc9o
    @user-kx9jk6uc9o20 күн бұрын

    Nakubali baba Joan mungu akuzidishie

  • @JuliusChacha-qr3tk
    @JuliusChacha-qr3tk8 күн бұрын

    Ni igizo ila kuna uhalisia ndani yke yaan ndo maisha yanayotendeka every day as reflected in these movie

  • @SamyBoudan
    @SamyBoudan19 күн бұрын

    Kazi nzuri one love from +243

  • @johnmamati532
    @johnmamati53217 сағат бұрын

    Lo! Nafwatilia sana huu mchezo. Una mafunzo na burdani kwelikweli

  • @user-de7pb4du2h
    @user-de7pb4du2h4 күн бұрын

    Hii ya pili mmerekebisha macho.. Yako sawa Sasa 😂❤❤❤

  • @AnuniOmmy
    @AnuniOmmy7 күн бұрын

    Ivi uyo baba john ni kipofu kweli au alikua ana ekt

  • @user-rs1pf1zi9d
    @user-rs1pf1zi9d21 күн бұрын

    Kazi nzuri Wahusika kabambe❤❤

  • @SumaiyaWambui3500
    @SumaiyaWambui350013 күн бұрын

    karobo she is having a beautiful talent she can do better thn this,,baba joan shikilia karobo till the gift she has igrow❤❤❤

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia273421 күн бұрын

    Karobo chukua maua yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @user-yi6ub2uq2i
    @user-yi6ub2uq2i21 күн бұрын

    Kazi nzuri xna nawapenda xna guys

  • @NicodemusKithi-xe7mg
    @NicodemusKithi-xe7mg15 күн бұрын

    Hongera sana baba Joan 🎉🎉🎉

  • @HamisiKatana-rt2yj
    @HamisiKatana-rt2yj20 күн бұрын

    hiiiii movie aky inasikitisha hongera kwa kazi nzuri

  • @MaulidAmri-zt2gv
    @MaulidAmri-zt2gv21 күн бұрын

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AmbrosiAmbrosi
    @AmbrosiAmbrosi18 күн бұрын

    Wangapi wana mkubali babajoani gonga like kama wamkubali

  • @RoselineMulwa-qg4bn
    @RoselineMulwa-qg4bn21 күн бұрын

    Wenye tumejipata huku toka Facebook karibuni💖💖💖

  • @elisanteKombe
    @elisanteKombe21 күн бұрын

    Hongera sana kwa kazi nzur❤🎉

  • @user-yu9qn4oi3g
    @user-yu9qn4oi3g16 күн бұрын

    ❤❤❤kazi nzuri sana 👍

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe4113 күн бұрын

    This is really amazing,it's emotional nalia sana.

  • @JosephJeremia-mf3nl
    @JosephJeremia-mf3nl10 күн бұрын

    Kazi nzuri sana nimejifunza jambo hapa hongera sana

  • @AnaAna-rc7mh
    @AnaAna-rc7mh21 күн бұрын

    Hii filamu mimi inaniliza jaman bila kupenda good job nipeni like zangu

  • @karembo7082
    @karembo708221 күн бұрын

    Mama karobo yatakurudia hayo marambili yake

  • @user-hc5no2bj4z
    @user-hc5no2bj4z21 күн бұрын

    Jamani ❤❤❤❤❤❤❤ kaka Yang pole San mungu akulinde

  • @user-ff4zw7oj8i
    @user-ff4zw7oj8i21 күн бұрын

    #Teambabajoan Gonga likes❤❤❤

  • @user-ge3tn7zs8r
    @user-ge3tn7zs8r21 күн бұрын

    Baba Joan waniacha machozi yanitoka

  • @YvonneWangeci-oe8uf
    @YvonneWangeci-oe8uf21 күн бұрын

    tamu sana nangoja part 4

  • @mandalejonathan7342

    @mandalejonathan7342

    14 күн бұрын

    Ipo

  • @Tatiatoofficial
    @Tatiatoofficial21 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @rosemichael5268
    @rosemichael526816 күн бұрын

    Dada ameigiza vizuri kumtetea mtoto baba yangu kipofu

  • @KigawuKigawu
    @KigawuKigawu7 күн бұрын

    Baba joan mnajitahid sana kwenye move zenu

  • @rahmamohammedi5713
    @rahmamohammedi571321 күн бұрын

    Kazi nzuri baba joan🎉

  • @SparkUssene
    @SparkUssene21 күн бұрын

    BABA JOAN KAZI NZULI, MUNGU HAKUBALIKI SANA ❤❤❤❤

  • @Francoise-go3mc
    @Francoise-go3mc4 күн бұрын

    Napenda sana iyi muvi asante saba❤

  • @user-hy8yp9qt2o
    @user-hy8yp9qt2o20 күн бұрын

    Mwanamke unaroh mbaya hatakama duuh we ni 🎉🎉🎉🎉🎉

Келесі