DUA KWA MANJI | Zamunda asimulia namna Manji alivyozikwa

Спорт

DUA KWA MANJI: Msikie rafiki wa karibu wa marehemu Yusuf Manji, Rahim Kangezi ‘Zamunda’ akisimulia namna mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga SC, Yusuf Manji yalivyokuwa huko nchini Marekeni.
Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
#Dua #MaishaYaManji #YusufManji

Пікірлер: 1

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo880314 күн бұрын

    Rip

Келесі