ASHTAKI KWA MAKONDA KUIBIWA MUME, NYUMBA/AMATABILIA MAKONDA URAIS

Mwanamke mmoja mkazi wa Karatu, ametoa malalamiko yake mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kufuatia kudhulumiwa nyumba pamoja na kuibiwa mumewe, Makonda amemtaka mwanamke huyo kuonana na wanasheria waliokuwepo kwenye mkutano huo ili aweze kusaidiwa

Пікірлер: 1

  • @YaquubAlhaji
    @YaquubAlhaji29 күн бұрын

    Huyu mama namjua huyo mume Wala nyumba hakujenga nae hao wamepangisha miaka na miaka kisa huyo mumew alikuwa na mwanamke ana nyumba Sasa hyu mama anajua mumew ndio kajenga hy nyumba Sasa yeye anaidai Ili aish yeye n watoto lakini sio kwel mumew yup mpka sas kweny nyumba ya kaka yangu ndio amepngish n yeye yup hap hapo

Келесі