Annoint Amani - Usikimbilie ndoa ni Moto (official Video 4k)Skiza tone 9047805 to 811

#usikimbilie#ndoa#nimoto
NAAMINI KUNA KITU MUNGU ATASEMA NAWEWE KUPITIA UJUMBE HUU UKIUSKIRIZA KWA MAKINI UTAELEWA MAANA YA HUU WIMBO,
USIKIMBILIE NDOA NI MOTO JE NDO MAANA HARISI YA HUU WIMBO??
BAS SKIRIZA VIZUR UELEWE .
MAANA LAZIMA TUJUE ILI KULIPONYA KANISA AU JAMI INAYO TUZUNGUKA,
LAZIMA NDOA ZIWE SALAMA BILA USALAMA WA NDOA JAMI INAYUMBA SAANA.
PIA VIJANA WAWEKEWE MSINGI MZUR KATIKA MAHUSIANO.
WATAMBUE YALIYO YA KWAO,
NA YASIO YA KWAO.
KILA MTU AJUE UZINZI NI DHAMBI NA UWASHERATI NI DHAMBI.
.
KWA MWANANDOA UNAE MTUMIKIA MUNGU SHIDA IKITOKEA KWAKO, KABRA HUJACHUKUA HATUA
KUMBUKA WEWE NINANI KATIKA JAMII,
HAKIKISHA MAHUSIANO YAKO HAYAWAONDOI WATENDA KAZI SHAMBANI MWA BWANA.
MAANA KILA MTU ANA MTU AU WATU NYUMA YAKE..
MAAMUZI YAKO YANAWEZA KUWA FAIDA KWAKO NA HASARA KWA WALIO NYUMA YAKO..
HAPO NDIPO MUNGU ANA CHUKIZWA NA MTU WA AINA HIYO, MAANA UNA HARIBU MWILI WA KRISTO KWA FAIDA YAKO MWENYEWE.MUNGU ATUPE HEKIMA ZAID
ILI TUMALIZE MWENDO SALAMA,
I BELIEVE THERE IS SOMETHING THAT GOD WILL SAY TO YOU THROUGH THIS MESSAGE.
DON'T RUN AWAY MARRIAGE IS FIRE DOES IT REALLY MEAN THIS SONG ??
PLZ LISTEN WELL UNDERSTAND.
FOR WE MUST KNOW TO HEAL THE CHURCH OR THE COMMUNITY AROUND US,
MARRIAGES MUST BE SAFE WITHOUT THE SECURITY OF MARRIAGE SOCIETY.
YOUNG PEOPLE ALSO HAVE A GOOD FOUNDATION IN RELATIONSHIPS.
Let them know what is theirs,
AND NOT FOR THEM.
EVERYONE KNOWS THAT ADULTERY IS A SIN AND ADULTERY IS A SIN.
.
FOR A COUPLE WHO IS SERVING GOD WHEN TROUBLE HAPPENS TO YOU, BEFORE YOU TAKE ACTION
REMEMBER WHO YOU ARE IN THE COMMUNITY,
MAKE SURE YOUR RELATIONSHIPS DO NOT REMOVE WORKERS IN THE LORD'S FIELD.
I MEAN EVERYONE HAS SOMEONE OR PEOPLE BEHIND HIM ..
YOUR DECISIONS CAN BE BENEFICIAL FOR YOU AND LOSSES TO THOSE BEHIND YOU.
THEN GOD HATES A PERSON OF THAT KIND, BECAUSE YOU ARE DESTROYING THE BODY OF CHRIST FOR YOUR OWN BENEFIT. GOD GIVE US MORE WISDOM
TO END THE SAFE TRAVEL,)
artist Annoint Amani
song Usikimbilie ndoa ni Moto
album Fainal ni Kesho
(language Swahili)
Skiza tone 9047806 to 811
Studio A.E.A Tones
.Video A.E.A Dir by meddy
Tanzania Dar es salam
Instagram annointamani
For bookings +255767240181=+255755099942
Email.amananoint@gmail.com

Пікірлер: 528

  • @annointamani3285
    @annointamani32854 жыл бұрын

    NASHUKURU KUONA KILA MTU AMEGUSWA NA HUU UJUMBE, BAS NAOMBA TUOMBE MUNGU TUMALIZE MWENDO SALAMA KAMA UNAOGOPA KUFA PRESHA BURE GONGA LIKE HAPA,, TUFIKE LAK 5 KISHA M1 NA KUENDELEA MPKA MUNGU ABEBE HESHIMA NA UTUKUFU,,

  • @cymonsengerema7321

    @cymonsengerema7321

    4 жыл бұрын

    Wimbo mzuri sana Mungu azidi kukubariki.

  • @berniceonegbmusic2324

    @berniceonegbmusic2324

    4 жыл бұрын

    Niko hapa Dubai tunaskiza na marafiki wanzangu.... my dia hongera sana

  • @mlokolekaokoka8962

    @mlokolekaokoka8962

    4 жыл бұрын

    @@berniceonegbmusic2324 Kwanza ana sauti nzur alafu ni Handsome hatar ,ujumbe mzito sana naamini hii nyimbo itafika mbali saana sana,,yani VIEW M1 SASAIVI INAFIKA

  • @rispergwaro8817

    @rispergwaro8817

    4 жыл бұрын

    Surely i love your songs and i ave them more i download them thanks alot am much blessed

  • @princessfay5414

    @princessfay5414

    4 жыл бұрын

    Better wait long than marry wrong,ujumbe mzuri saana,afadhali kuomba na kusubiri wakati wa mungu🙏🙏

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli69263 жыл бұрын

    Tunaoangalia hii nyimbo sasa hivi gonga like tujuwane hapa

  • @lucysteve3077
    @lucysteve30774 жыл бұрын

    254 kaa umekubali hii piga like hapa

  • @emanuelikipobota6902

    @emanuelikipobota6902

    4 жыл бұрын

    Hatar

  • @luckypreiss3389

    @luckypreiss3389

    4 жыл бұрын

    Ujana ni maji ya moto

  • @vailethmalema

    @vailethmalema

    3 жыл бұрын

    Ujumbe mzuri ,hongera sana Annoint

  • @felisteredward164

    @felisteredward164

    Жыл бұрын

    Vumilia mud bado

  • @rosendungwa1915
    @rosendungwa19154 жыл бұрын

    Kazi nzuri...wap likes za mwimbajj kama umekbaliana nae

  • @violalawrence4337

    @violalawrence4337

    3 жыл бұрын

    Upo vzr kaka angu hongeraaa

  • @corneliusapara4209
    @corneliusapara42093 жыл бұрын

    Pressure is not my portion am waiting for the right time as adviced by brethren Annoint,,,,am soo blessed brethren,,gudozz,,,,,,wapi watu wa 254 na likes zenu

  • @paulkakame7916
    @paulkakame79162 жыл бұрын

    Nina sababu yakupendezwa na nyimbo zakwako mungu akupe nehema kibali pia na ujaziri Ili utueleze ukweli kaka angu🇰🇪Liz from Kenya

  • @broWillie92

    @broWillie92

    Жыл бұрын

    Rewind

  • @johnbrianoshea3040
    @johnbrianoshea30403 жыл бұрын

    True inspiration kaka. Ndoa sio football. Wapi likes zake Amani

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel31074 ай бұрын

    ❤❤❤🎉Jamani wimbo yako ni moto kila mara

  • @yobrake6349
    @yobrake63499 ай бұрын

    this guy my guy nmeona nyimbo zake na zmenpendeza hakika ana kipaji toka kwa mungu

  • @godfreybambary6148
    @godfreybambary61482 жыл бұрын

    Annoint anaimba vizur sana

  • @owasistravel9621
    @owasistravel9621Ай бұрын

    bwana yesu asifiwe? mtumishi Amani. ubarikiwe sana nyimbo zako uwa zinanijenga sana na kutia moyo, ni bright city from kenya Trans_nzoia county

  • @lydiashisia2169
    @lydiashisia21694 жыл бұрын

    Shida ya ndoa haibagui tajiri au maskini.Ndugu Esau Mungu akubariki.lnjili mbele.Maombi ni dawa ya ndoa sugu.

  • @user-py2pb2ks7v
    @user-py2pb2ks7v3 ай бұрын

    WAAMBIE WAKO HAWAJIELEWI NDOA INA. QUALITY. KUBWA YA KUMUINGIZA .MTU MBINGUNI MKIWA WOGE WAAMINIFU. MRS KABIKA

  • @saraimuziki6376
    @saraimuziki63764 жыл бұрын

    Tell them again my boyfriend, likes zangu from +254

  • @SaraSara-xc1bx

    @SaraSara-xc1bx

    4 жыл бұрын

    Hi

  • @jesikakamwabusila15
    @jesikakamwabusila156 ай бұрын

    Haleluja,Asante Mungu kama utani milioni Moja.

  • @pamelapamela2599
    @pamelapamela2599 Жыл бұрын

    This has touched my heart 😭😭😭 goosebumps tuu😭😭😭I have been worried about relationship issue....but last night I asked God to give me directions...and today he has revealed to me wat to do😥😥😥Thank you Lord Jesus for this revelation 🙏🙏🙏much love from Kenya ❤️❤️

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana15595 ай бұрын

    Ukamanda kwenye kituo ca majeshi kabsaaaaaaaass siyo kwa mkeo bila hivo utabaki peke yako baba.ukifika mbele ya mlango ukamanda achia pale pale kwaani unaingia kwenye ingine office , utaupitua ukienda kazine kesho usubuyi

  • @faydee5488
    @faydee54883 жыл бұрын

    Sisemi usioe lakini usifanye haraka sisemi usiolewe lkni usifanye haraka ,,,I got the point bro congrats ,,,luv from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @carolinemutisya1467

    @carolinemutisya1467

    3 жыл бұрын

    Jameni nani atanikutanisha na huyo mkubwa wangu

  • @puritymbithe4483
    @puritymbithe4483 Жыл бұрын

    Kale katabia kako kasiria mwenzio lazima ajue tu 💯

  • @mariahkosgei1166
    @mariahkosgei1166 Жыл бұрын

    Hope Muslim wanaskia hii wimbo

  • @lukamutsami2644
    @lukamutsami2644 Жыл бұрын

    Kipande cha rayvanny cha song NAOGOPA 💙💙💙💙

  • @karisajustin8872
    @karisajustin8872 Жыл бұрын

    Ndoa ina changamoto nyingi lakini kwa mungu hakuna lisilo wezekana mungu akubariki kaka

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor21663 жыл бұрын

    Kimi kabisa iyi ni Fundisho la kueli Ndoa Ni Hatari Mulangoni Hai ko mchezo Ah Amen Amen Amen Shalom Shalom

  • @rahelgika3870
    @rahelgika38704 жыл бұрын

    Wenye NDOA tumekuelewa sana sana ahsante kwa ujumbe mzuri, kweli NDOA basi kwa sababu mtu unakuwa hujui tu yatakayo jiri baada ya kuolewa au kuoa. MUNGU tusaidie.

  • @beverlykadenge2095

    @beverlykadenge2095

    4 жыл бұрын

    Yes dear, no one never knows what is install for him or her

  • @tinahfelix4501

    @tinahfelix4501

    3 жыл бұрын

    Mkesema ivo mnatisha mbona, unataka kusema wale wanaoliaga wakat bint anaaga sio kwamba atammic ni kwamba anamwazia atakoyokutana nayo huko???

  • @agathaaroni7783

    @agathaaroni7783

    3 жыл бұрын

    @@tinahfelix4501 ndo ukweli ndoa syo send off na sherehe ya harus inahtaj moyo mgum na uvumiliv wa hali ya juu.

  • @isabellakwedho8878
    @isabellakwedho88783 жыл бұрын

    Kweli kaka upo sahihi kabisa acha Mwenyezi Mungu azidi kkubari

  • @susanbadili1179
    @susanbadili117911 ай бұрын

    Kweli kabisa inabidi ukabidhi ndoa yako Kwa maombi

  • @ruth-lb4qf
    @ruth-lb4qf Жыл бұрын

    Amazing songs...from kenya

  • @joycesinkala225
    @joycesinkala2252 жыл бұрын

    Nimekupenda bule kaka unajuwa sana kuimba umefunika yaani unaongea ukweli kabisa jamani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️💓💓💓💓💓💓💓

  • @abdullahiwarsame5951
    @abdullahiwarsame59512 жыл бұрын

    Barikiwa sana...nyimbo yako inafunzo kubwa sana

  • @girukwishakaetienne4485
    @girukwishakaetienne4485 Жыл бұрын

    Mubarikiw kabisa nyimbozako nzuri

  • @eliasbonda9802
    @eliasbonda98022 жыл бұрын

    Aise nakuelewa sana mtumishi, MUNGU wa mianga azid kukuuinua

  • @abdulhamis2393
    @abdulhamis23934 жыл бұрын

    Hunahakili wewe baba ako asingeowa ungezaliwa na panya au . Muulizee baba ako aliishije na mama ako uchukuwe hatuwa. Hata vtabu vmeandkwa mwanamke uishiena kwa hakili wewe.

  • @rehemakisalambi9901

    @rehemakisalambi9901

    4 жыл бұрын

    Kwani amekuambia usioe au kaongelea matatizo ya ndoa hebu msikilize vizuri sio unatoa lawama ambazo hazina msingi

  • @ericktito2623
    @ericktito26233 жыл бұрын

    Mwanzilishi wa ndoa niwewe MUNGU tusaidie baba

  • @joelomusugu8617
    @joelomusugu8617 Жыл бұрын

    Very powerful song iko na mafundisho

  • @keilabrenda4037
    @keilabrenda40372 жыл бұрын

    Nice song, it's true ndoa ni moto sikimbilii ndoa nooooh

  • @SamwelOmwenga-ny9th
    @SamwelOmwenga-ny9th10 ай бұрын

    Kazi nzuri

  • @JosephBahati-pq6lp
    @JosephBahati-pq6lp11 ай бұрын

    safi sana kaka kazi nzuri

  • @shadrackosabil6354
    @shadrackosabil6354 Жыл бұрын

    Kweli kukimbilie ndoa ni shida,nlkua najipanga nioe hata sioi tena

  • @mlokolekaokoka8962
    @mlokolekaokoka89624 жыл бұрын

    Naona ngoma ina kwendaaa twemde mpka lak 5 najua twafika sasaivi ili tuenze kuekea M1, huu mwaka Mungu kumuinua na atainuka kweli

  • @gracemagereli93
    @gracemagereli93 Жыл бұрын

    Kazi zako nazikubali sana

  • @peterochogo546
    @peterochogo546 Жыл бұрын

    Ubarikiwe Sana kijana wa yesu

  • @joyceenos4397
    @joyceenos43973 жыл бұрын

    Naludy tena kuweka cemented yang ujumbe umefika

  • @nikitavyleen8337
    @nikitavyleen83374 жыл бұрын

    For real, utamchunguza mpaka lini, watu ni kuamiana, if two love birds truly love each other, then they'll be no other second love or choice. If you fall in love with two people, marry the 2nd one, because, if you truly loved the first, you couldn't fall in love with any other! Wimbo wako kaka wabariki roho yangu kila kujao. Barikiwa milele.

  • @user-ws9lp9zl3k
    @user-ws9lp9zl3k2 ай бұрын

    Kweli kabisa

  • @prosscoviabisoboka7319
    @prosscoviabisoboka73192 жыл бұрын

    Praise God brethren

  • @floramanufari9408
    @floramanufari94083 жыл бұрын

    Kabisa yaani duu!!noma sana

  • @user-fo8pe8ob8n
    @user-fo8pe8ob8n Жыл бұрын

    Nimekubali sana hiyo nyimbo

  • @ellymwitakichonge8416
    @ellymwitakichonge84164 жыл бұрын

    Daaaa kwa huu ujumbe umenikumbusha cku moja nilikwenda kwa mchungaji kwa shida yangu, kabla sijaingia nilisikia mke wake akisema najuta kuolewa na wewe ,,daaa nikarudi kinyume nyume maana nilikwenda pale kwa matatizo yangu ya ndoa Sasa kusikia hivyo nikaona Sasa atanisaidieje wakati yake tuu iko matatani Ujumbe mzuri Sana

  • @lilyanokaddy7187
    @lilyanokaddy71873 жыл бұрын

    Lyk mother lyk son gud work

  • @saimonjohn808
    @saimonjohn8084 жыл бұрын

    Hata wachungaji ndoa zao ni moto wanalilia moyoni hawana wa kumwambia.kweli kabisa hii kijana MUNGU akubariki sana

  • @naomijohn4787

    @naomijohn4787

    4 жыл бұрын

    Kweli kabisa kaka

  • @bashimbechikos6379
    @bashimbechikos63793 жыл бұрын

    Nafurai n'a wimbo naYesu akubariki Na umevaa vizuri leo Usiwe navaa Sawa rasta.

  • @jamesmickison8624
    @jamesmickison8624 Жыл бұрын

    Kazinzuri Sana munguakujalie

  • @nehemiamminza4663
    @nehemiamminza4663 Жыл бұрын

    Ameimba vzr sana

  • @dolamwafyuma6177
    @dolamwafyuma61773 жыл бұрын

    Nzur Sana barikiwa

  • @wokovu5823
    @wokovu58234 жыл бұрын

    Kumbali Sana brother

  • @mumwickylifehistry2997
    @mumwickylifehistry29974 жыл бұрын

    Ukweli haya,ndoa rasmi ndio yatakikana ki Kristo,nimebarikiwa Sana zaidi kupitia kwa hii wimbo

  • @andreamwembe3566
    @andreamwembe35663 жыл бұрын

    Ok sawa nimeikubali

  • @cynthiawangarindungu
    @cynthiawangarindungu10 ай бұрын

    Wow....mob love from 🇰🇪 KENYA

  • @davenjogu7890
    @davenjogu78902 жыл бұрын

    Huyu jamaa anajua mengi

  • @agathaaroni7783
    @agathaaroni77833 жыл бұрын

    Kweli mtumishi ndoa ni ngumu syo ya kukurupukia

  • @alexenderbruno4291
    @alexenderbruno42913 жыл бұрын

    Ahsante Sana mtumishi wa Mungu

  • @ivynletting
    @ivynletting3 жыл бұрын

    Pongezi kazi poa

  • @isaackilaguva9837
    @isaackilaguva9837 Жыл бұрын

    Nyimbo zako za baraka sana🇰🇪

  • @cecilianeema8254
    @cecilianeema82544 жыл бұрын

    Kweli tusikimbilie ndoa

  • @joyceenos4397
    @joyceenos43973 жыл бұрын

    Jaman Mungu akuinue zaidi ya hapo

  • @brigidnaomi2786
    @brigidnaomi27864 жыл бұрын

    Ndoa ina chakamoto zake lakini kwanza Mungu mbele kwa yote. Nice song be blessed Esau

  • @jeanaimablet.mediachannel8696
    @jeanaimablet.mediachannel86963 жыл бұрын

    Shukran Ndugu. Naitwa Jean Aimable T. From inchi ya Rwanda, nazipenda sana nyombo zako, ubalikiwe na Bwana Elohim. Best regards.

  • @makayamutombo3894
    @makayamutombo38942 жыл бұрын

    Kama historia uko mû imbaji kwa kweli

  • @solangerechol6881
    @solangerechol6881 Жыл бұрын

    Woow Wimbo muzuri sana 😢

  • @RachaelWanyama-kw9em
    @RachaelWanyama-kw9em9 ай бұрын

    Good work bro keep it up your are going far

  • @marynaishorwa7088
    @marynaishorwa70884 жыл бұрын

    Iko Shwari,,From Kenya,God bless

  • @mcsolootv1360
    @mcsolootv13603 жыл бұрын

    Kweli kabisa 🇰🇪

  • @samwelsiageni4269
    @samwelsiageni42694 жыл бұрын

    Yapendeza sana

  • @user-ef1wd9tm8t
    @user-ef1wd9tm8t3 жыл бұрын

    Asant.muimbaj.mungu.akubarik

  • @miriamkanja4189
    @miriamkanja418910 ай бұрын

    I wish i heard this early😢, but i believe in God

  • @fatmyahaya4671
    @fatmyahaya46713 жыл бұрын

    Ubalikiwe sana mtumish w

  • @edumind2252
    @edumind22523 жыл бұрын

    Ndoa ngum mzee

  • @dafineever584
    @dafineever5843 жыл бұрын

    Jamani barikiwa sana

  • @cyruswafula859
    @cyruswafula859 Жыл бұрын

    Si Mungu akubariki amani

  • @niyonizigiyekarithas4710
    @niyonizigiyekarithas47104 жыл бұрын

    Hi.nimeipenda ngoma yake .ila musikose kuowa na kuolewa. But acha 🍠 tamaambaya. 😍😍😍 mana ni sumu ya ndoa. Daaa😍💝😀💝

  • @janetojwangmusic221
    @janetojwangmusic2213 жыл бұрын

    I love this. It's reality. Most of us youths fear talking of the reality of life. Especially born again Christian. I represent Kenya

  • @mercykache4235

    @mercykache4235

    Жыл бұрын

    Amen 🙌🙌🙌❤

  • @wazirisanga3198
    @wazirisanga31984 жыл бұрын

    Haya dogo umetisha

  • @hshshshddjjdd8544
    @hshshshddjjdd85444 жыл бұрын

    Mtuletee huyu mchukue bahati😂😂

  • @mlokolekaokoka8962

    @mlokolekaokoka8962

    4 жыл бұрын

    Tunawataka woote maana ni Watumish wa Mungu washambani mwake,, Tuenderee kuombea Ipate heshima kwa mataifa

  • @mlokolekaokoka8962

    @mlokolekaokoka8962

    4 жыл бұрын

    MUNGU ANA WATU BHANA NYIMBO MPKA UNASKIRIZA INAISHIA HUONI UREFU WA NYIMBO ,

  • @auntiemylee3157

    @auntiemylee3157

    4 жыл бұрын

    Haha

  • @susanwafubwa6386

    @susanwafubwa6386

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😅

  • @jeffkeff8625
    @jeffkeff86252 жыл бұрын

    Bro am in love with this song just watched it tonight when coming from mombasa kwa rosy shuttle...bro be blessed

  • @elizatinga9902
    @elizatinga99023 жыл бұрын

    Hongera kaka

  • @janeandeo9009
    @janeandeo90093 жыл бұрын

    Mungu atukuzuwe ubarikiwa kaka

  • @havefunwithdimitreeandgiya7125
    @havefunwithdimitreeandgiya71253 жыл бұрын

    Nikweri mungu akubariki

  • @tonynunda216
    @tonynunda2163 жыл бұрын

    Ubarikiwesana kwa ujumbehuu

  • @neyfatilovenes3215
    @neyfatilovenes32152 жыл бұрын

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️ penda sn

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson24613 жыл бұрын

    Nakupa vilivyo sana

  • @evalinecheminusi6216
    @evalinecheminusi62163 жыл бұрын

    This boy is talented

  • @rghttyy2148
    @rghttyy21483 жыл бұрын

    Mungu akubariki sana kaka kwenye kipaji cako 🙏🙏❤❤❤❤

  • @chazmtawala2632
    @chazmtawala26323 жыл бұрын

    Nimekuerewq sana

  • @lovenessbaviry-cu9qo
    @lovenessbaviry-cu9qo Жыл бұрын

    Mungu akubalik

  • @benmtatemusic
    @benmtatemusic4 жыл бұрын

    Gospel artist From Kenya, kazi poa

  • @gersonntihalizwa913
    @gersonntihalizwa9133 жыл бұрын

    Pamoja sana

  • @esterester5490
    @esterester54903 жыл бұрын

    Du mungu azd kukuinua

  • @tanashadona7671
    @tanashadona76713 жыл бұрын

    Ndoa nihatali

  • @rosemuthoni5346
    @rosemuthoni53464 жыл бұрын

    Mapenzi yashindwe kweli maana hata watu wameokoka wengine hawaaminiki heri nisioleke kuliko kufa na pressure nimekuunga mkono babangu.

  • @estermachea3373

    @estermachea3373

    4 жыл бұрын

    Hahahahahahaaa kweli kabisaaa

  • @mercyliliany6336
    @mercyliliany63364 жыл бұрын

    Mungu akubarik.mtumishi