Annoint Amani - Ulichagua Kunichukia (official music Vdeo )

Музыка

#UlichaguaKunichukia#annointamani#
Kuchukiwa bila sababu ya Msingi,Ni matokeo ya kushindwa kuudhibiti wivu wa maendereo ya mtu mwengine,
kwa mwadamu yoyote anae pambambana kwaajili yake na watu wengine,
kuleta badiriko lenye faida kwa kila mtu,
Ni lazma achukiwe ,maana huwez kufanya Jambo la kuwafurahisha watu wote,
Pia chochote kinacho pigwa vita ujue kina madhara kwa wanaokichukia,
Hivyo usiogope vita ya maneno au kuumiza kwa namna yeyote ile,
Ujue wewe sio wa kawaida ndo maana unakutana na mambo yasiyo ya kawaida💪Songa mbele wewe ni shujaa
Annoint Amani
Song,Ulichagua kunichukia
Album,Kiboko yake ni Usingizi Album Vol 6.
Language Swahili)
Annoint Amani For booking
Instagram Annoint Amanitz
Tiktok Annoint Amani tz, +255767240181=+255755099942)
VIDEO, Directed by Meddy ( A.E.A)
AUDIO,A.E.A Tones studio producer by Meddy
Dar Es salaam Tanzania )

Пікірлер: 161

  • @annointamani3285
    @annointamani3285 Жыл бұрын

    Ninamjua alieniita kuwa Ni Mungu mkuu,ameutangaza Mwisho wangu kabra ya Mwanzo, Kesho yangu inamtisha sana sana Shetan na Wafwasi wake, Lakin hawezi kamwe maana ndo asili yake kushindwa, Watashindana lakin hawatatushinda 🙏🙏💪💪

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    Жыл бұрын

    Ooo yes 😭😭😭May God protect you from all dangers for us, because we love you very much❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @estherkinyua5466

    @estherkinyua5466

    Жыл бұрын

    Nitakuwa nasimama na wewe kwa maombi annoint..hatawakuona kwa Nina LA Yesu Kristo

  • @devothachami5128

    @devothachami5128

    Жыл бұрын

    Mungu akutie nguvu

  • @nellymichael7705

    @nellymichael7705

    Жыл бұрын

    Mungu akubali nakupenda bule

  • @jumaomutimba7494
    @jumaomutimba7494 Жыл бұрын

    Big ups mtoto wa mama Rose. Blesses from Kenya

  • @user-lv5np3ys1j
    @user-lv5np3ys1jАй бұрын

    Shalom mtu wa Mungu naomba sana kukusapot kwa kutuma sadaka yangu

  • @Elphas
    @Elphas Жыл бұрын

    Kali Sana. Nimesikia wa kwanza... Mungu azidi kubariki Annoint. More blessings from Kenya...🇰🇪🇰🇪

  • @damarisdama3355
    @damarisdama3355 Жыл бұрын

    Amina mtumishi ubarikiwe kwa nyimbo nzuri watashangaa bado tuko na mungu hallelujah hallelujah amina

  • @wilsonngonyani
    @wilsonngonyani Жыл бұрын

    Wewe Ni Muubil wa kuimba ujumbe Umefka kikamil wasio na Wenye masikio watazba kuto kuelezea uzul wa huu wimbo kwa sababu wamechagua kuichukia injil .. Mtumish wewe nimuubil wa kuimba Mungu anakupaga mawazo yaajabu Sana. Uimbaj huu Mithal 23:7 Ndivyo Ulivyo moyo mwako Mungu akutuze Sana chombo chake

  • @jessicakemunto3410
    @jessicakemunto3410 Жыл бұрын

    Mashimo uwa wanajichimbia wenyewe

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa Жыл бұрын

    Mungu Kachagua kunipenda😊😊💪🏿😌Wajipange buana. Mungu asikizangi maoni ya watu

  • @agnesyjoseph3906

    @agnesyjoseph3906

    Жыл бұрын

    Hongera kwa kazi ya Mungu uko vinzur wema wa Bwana udumu kuwa nawe

  • @mwana2168

    @mwana2168

    Жыл бұрын

    Mungu akuzidishie inshaallah

  • @producerdan8557
    @producerdan8557 Жыл бұрын

    🇿🇦🇿🇦🇿🇦Wafikishie ujumbe Bwana Essau

  • @zephaniamteule7218
    @zephaniamteule7218 Жыл бұрын

    Tunaisubiri.....

  • @georgeemase3861
    @georgeemase3861 Жыл бұрын

    Hiii naongojea sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda wimbo zako sana hadi simu yangu imejaa aki

  • @estherkinyua5466

    @estherkinyua5466

    Жыл бұрын

    Pia mimi nimejaza nyimbo zake nampenda bure...haki wimbo zake hunibariki sana

  • @teomhenga4055

    @teomhenga4055

    Жыл бұрын

    Hongera kwa kazi ya mungu nakupenda bure hakika nyimbo zako zinanibarik bure

  • @dominickakhubula8880

    @dominickakhubula8880

    Жыл бұрын

    @Steven Odhiambo hiyo inakuimia wapi kaka..sikia message achana na video na sigara🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @user-sg8jo7sv9v

    @user-sg8jo7sv9v

    Жыл бұрын

    Mimi pia

  • @judithmpapale6035

    @judithmpapale6035

    11 ай бұрын

    Tuko wengi kenya

  • @kerecensiahsabiri
    @kerecensiahsabiri Жыл бұрын

    Nyimbo zako nzuri barikiwa

  • @shempraise8531
    @shempraise8531 Жыл бұрын

    Ooh jamaniii kazi nzuri sana

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 Жыл бұрын

    very impressive massage i need our enemy heat us but God will not leave us 🙏🏻 be blessed 🙏🏻 ❤

  • @reginaachola9276
    @reginaachola9276 Жыл бұрын

    Napenda nyimbo zako baba

  • @julietbawayere6665
    @julietbawayere6665 Жыл бұрын

    💃💃💃💃💃💃💃💃 clear may God forgive us all amen🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️

  • @halisonsimfukwe3770
    @halisonsimfukwe3770 Жыл бұрын

    Mungu akubariki

  • @winnieonsongo2833
    @winnieonsongo2833 Жыл бұрын

    Wow.. indeed you are talented 🙏🙏🙏I bet uko na mashabiki wengi Kenya kuliko TZ , God bless you 🙏

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 Жыл бұрын

    Wakenya mko wapi 👌🏾❤️pige I like huku dugu yetu ameleta ingine Moto kama pasi

  • @wasafiwasafi3500
    @wasafiwasafi3500 Жыл бұрын

    Nakukubali sana mtumishi wa mungu 🙏

  • @atupelemwitiki
    @atupelemwitiki Жыл бұрын

    Waoo,huo ndiyo ukweli kabisa,unacheka naye kumbe joka.

  • @anitalumumba5443
    @anitalumumba5443 Жыл бұрын

    Nice one amani

  • @erickmakamu7601
    @erickmakamu7601 Жыл бұрын

    Mpeni kaka annoint likes jameni,barikiweni

  • @DamarisKawira-fe3bq
    @DamarisKawira-fe3bq27 күн бұрын

    Napenda nyimbo zako sana aki mpaka nimezimedownload kwa simu mpaka nikienda kulala nazi watch may God Continue nlessing you from kenya

  • @bitwivyawe9141
    @bitwivyawe91413 ай бұрын

    Nakupenda Kaka hata wa toto wangu wanakupenda sanaaa

  • @hawajuma117
    @hawajuma117 Жыл бұрын

    Wimbo mzuri sana mungu azidi kukuinua

  • @theresiangina460
    @theresiangina460 Жыл бұрын

    Ujumbe umefika ndugu watu niwangumu kweli.. Wivu naye ndo imezidi. Umebarikiwa ndugu yangu 🔥🔥

  • @antoninaawuor6120
    @antoninaawuor6120 Жыл бұрын

    Ongera sana I love 💕 it so much hii wimbo endelea brother

  • @kennedychuma7818
    @kennedychuma7818 Жыл бұрын

    Wow,,,I like it kbxa

  • @Brebrando-yb3bp
    @Brebrando-yb3bp Жыл бұрын

    Nyimbo zko ndugu zanifariji moyo wangu keep going🥰🥰🥰🥰

  • @Steven_msomba
    @Steven_msomba Жыл бұрын

    Jaman ninzur hii nyimbo jaman tuisapoti ifike mbali zaidi 👋

  • @ShirleyEmbayi
    @ShirleyEmbayi Жыл бұрын

    May God up lift u high with good job l like the song

  • @user-hf2kj6of3u
    @user-hf2kj6of3u Жыл бұрын

    Napenda nyimbo zako sana hadi huwa zinanichaza sana na inanifanya nisimame wima

  • @juliusmutai4085
    @juliusmutai40858 ай бұрын

    Umenipariki sana ,nyimpo zako zimeniinua juu sana, God bless you, and give you long life

  • @euniceotuch741
    @euniceotuch741 Жыл бұрын

    Mungu azidi kubariki kazi yako, na chuki zao Mungu azizanye pamoja zikageuzwe kuwa baraka zaidi amen 🙏 ♥️🇰🇪

  • @salomekibinga6080
    @salomekibinga6080 Жыл бұрын

    Mungu azidi kukutunza Mtumishi wa Mungu nazipenda sana nyimbo zako barikiwa

  • @user-yq5gt9nc2n
    @user-yq5gt9nc2n Жыл бұрын

    nyimbo zako nzuri sana bro...be blessed

  • @MargaretAtieno-xx7ys
    @MargaretAtieno-xx7ysАй бұрын

    Ata wakuchukie bado uko juu kamanda

  • @user-hf2kj6of3u
    @user-hf2kj6of3u Жыл бұрын

    Wenye wanasikia wasikie👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏

  • @erickmakamu7601
    @erickmakamu7601 Жыл бұрын

    Kaka annoint sisi kama wakenya hatuchelewi,pongezi zetu kutoka Mombasa. Mungu anakupenda

  • @stellahmwendwa188

    @stellahmwendwa188

    Жыл бұрын

    Barikiwa Sana broo

  • @santanabii5374
    @santanabii5374 Жыл бұрын

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hii imenigusa sanaa Annoint,,,barikiwa sana ndugu ,,,,wabariki mamangu na nyimbo zako

  • @carolynenasambu459
    @carolynenasambu459 Жыл бұрын

    Mungu ako pamoja nasi ni sehemu ya maisha yetu

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 Жыл бұрын

    mtumishiiiiii humeninguza moyo wangu sasa naumwa sana 😭😭😭😭😭😭😭😭 asante mtumishi wa wangu Mungu hakubariki sana Mungu hazidi kukubriki 🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭

  • @naomycherotich8204
    @naomycherotich8204 Жыл бұрын

    Wenye wifu wasikie napenda nyimbo zako

  • @user-cl8rk4jm6c
    @user-cl8rk4jm6c8 ай бұрын

    Kaka nyimbo nzuri Sana mungu akubaliki

  • @christopheradevardevar7959
    @christopheradevardevar7959 Жыл бұрын

    Kaka barikiwa Sana na mungu azidi kukuinua

  • @esthermageto768
    @esthermageto7689 ай бұрын

    Keep up bro Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko pamoja

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je Жыл бұрын

    Areruya kwa mungu wewe ni jobo bora kwa yezu🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MikeSimiyu21
    @MikeSimiyu216 ай бұрын

    Mungu wa amani akupe nguvu kwa uvuli wako batikiwa sana

  • @user-to5uh2xz6c
    @user-to5uh2xz6c8 ай бұрын

    Mungu akuinue kweny viwango vya juu kaka

  • @naomkemunto1271
    @naomkemunto1271 Жыл бұрын

    A Kenyan loves your songs most continue preaching the word of God be blessed

  • @jessicakwilliyam1744
    @jessicakwilliyam1744 Жыл бұрын

    Wow 🤗🤗🤗🤗🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 Жыл бұрын

    Ujube,kwemaduwi watu mungu apoye,woooooii Safisana,jamani ni,majungu💪🤝👏👏👏

  • @JosphatKasoloj-k
    @JosphatKasoloj-k Жыл бұрын

    Wooooowe, , , , ❤🔥🔥🔥🔥

  • @neemamwasile6794
    @neemamwasile6794 Жыл бұрын

    Moyo wakubhobha,Ujumbe umefika ndg songa mbele ukihubiri injili njema ya mwokoz wetu

  • @fridahnyaboke1018
    @fridahnyaboke10188 ай бұрын

    Annoint mungu akubariki kwa mawimbo zako mzuri

  • @user-pn7cq8fy6p
    @user-pn7cq8fy6p7 ай бұрын

    Barikiwa san mtumishi ww mungu❤❤

  • @MonyangiCynthia-yz9ey
    @MonyangiCynthia-yz9ey8 ай бұрын

    I love your songs Annoint Amani peleka injili mbele

  • @sammymukabana6140
    @sammymukabana6140 Жыл бұрын

    Blessings, blessings

  • @user-lv5np3ys1j
    @user-lv5np3ys1j2 ай бұрын

    Nyimbo mhimu Sana sana Sana

  • @stephenchambanenge-yx3ml
    @stephenchambanenge-yx3ml Жыл бұрын

    Hongera Sana kwa kazi ya bwaba

  • @gkwakenya7720
    @gkwakenya7720 Жыл бұрын

    Love from Kenya 💖💖💖

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele Жыл бұрын

    Ongera KUBWA ƙwakweli Baba YANGU Annoint Amani MUNGU akuinuwe zaidi Baba

  • @michaelmkwamu
    @michaelmkwamu10 ай бұрын

    Mwana wetu nimebarikiwa na wimbo huu

  • @victormatengo7956
    @victormatengo7956 Жыл бұрын

    To say the truth all song of Amani alway give the fact aki nazipenda sana they always give me courage and hope may God bless you.

  • @faithlitwachi3906
    @faithlitwachi3906 Жыл бұрын

    This is the reality.may God bless you for the gospel.

  • @kdfkenya3435
    @kdfkenya343511 ай бұрын

    This how gospel sound like be blessed tz on top always

  • @pimgee7237
    @pimgee7237 Жыл бұрын

    God bless you,love from Zambia

  • @Klara-jv1kt
    @Klara-jv1kt Жыл бұрын

    Keep it up congratulations

  • @justicegevula9921
    @justicegevula9921 Жыл бұрын

    Kiukweli brother unaimba jilasi dauni

  • @user-pe1ev9qb5n
    @user-pe1ev9qb5n6 ай бұрын

    Mtumishi wa MUNGU kazi ya MUNGU iendelee tumwone MUNGU kupitia ww

  • @lameckmose62
    @lameckmose62 Жыл бұрын

    Wow..

  • @user-ch3yf4ke8v
    @user-ch3yf4ke8v Жыл бұрын

    Níce one song very powerful for showerly ❤❤❤❤

  • @Mose_Bwoy
    @Mose_Bwoy Жыл бұрын

    The congolese annoint amani😅😅😅🔥🔥GOD BLESS YOU

  • @nancykitawa8178
    @nancykitawa8178 Жыл бұрын

    Big up my young brother, love your compositions.Almighty God be with you.

  • @aktstudio8106
    @aktstudio8106 Жыл бұрын

    So amazing be blesseding ❤❤❤

  • @prettyannabel2014
    @prettyannabel2014 Жыл бұрын

    ❤️❤️🥰🔥🔥🇰🇪

  • @gracemagereli93
    @gracemagereli93 Жыл бұрын

    Nimependa hii melordy Annoint

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 Жыл бұрын

    Kaka ogera uko nasauti MUNGU akubariki Sana

  • @barakasimon2075
    @barakasimon2075 Жыл бұрын

    Wimbo mzur saana kaka.

  • @user-lv5np3ys1j
    @user-lv5np3ys1j2 ай бұрын

    Mungu akubariki Sana sana

  • @modestaernesto
    @modestaernesto Жыл бұрын

    Amo muito dos seus músicas 🇲🇿 napenda sana🙏

  • @naomnyaboe8163
    @naomnyaboe8163 Жыл бұрын

    Wakenya wako pamoja na wewe endelea kutuubilia mtumishi WA mungu ahsante

  • @user-rk3xg1hq5r
    @user-rk3xg1hq5r9 ай бұрын

    😂😂😂😂Sawa ❤

  • @annesonye4977
    @annesonye4977 Жыл бұрын

    What a nice composition

  • @faithtimamu9832
    @faithtimamu9832 Жыл бұрын

    Mungu ako nawewe

  • @evajuma-zs1gn
    @evajuma-zs1gn Жыл бұрын

    Mungu akubaliki kak a

  • @dianahshikanga7344
    @dianahshikanga7344 Жыл бұрын

    Keep going up🙏🙏🙏

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 Жыл бұрын

    Was anxiously waiting for this video

  • @user-fh3bm5no5x
    @user-fh3bm5no5x7 ай бұрын

    Mungu akubrki mtumish

  • @evalinesigeisongs4989
    @evalinesigeisongs4989 Жыл бұрын

    Good one bro keep it up my God bless you

  • @user-lq3fx7cx3s
    @user-lq3fx7cx3s6 ай бұрын

    Be blessed my brother

  • @aggybona7658
    @aggybona7658 Жыл бұрын

    Nice song keep praising God bro 🙏🙏🙏🙏

  • @mercykache4235

    @mercykache4235

    Жыл бұрын

    🙏🙏🙌🙌napenda sana nyimbo zako zinaimbariki sana

  • @edwinkipskosgei6066
    @edwinkipskosgei6066 Жыл бұрын

    Hey bro ubarikiwe saana I really appreciate you

  • @thomasgabrieli9866
    @thomasgabrieli9866 Жыл бұрын

    Hongera San kak

  • @estherkinyua5466
    @estherkinyua5466 Жыл бұрын

    May God continue to lift you up..more Grace bro..Kenya we love you

  • @AlphonceJanji-xw2os
    @AlphonceJanji-xw2os10 ай бұрын

    Ninapenda nyimbo zake

  • @kabuyayarosette-fw1qq
    @kabuyayarosette-fw1qq Жыл бұрын

    Kaka natamani nyimbo zako.mungu akutiye nguvu safari ni ndefu.🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 Жыл бұрын

    Ukweli kabisaa

  • @johnmangisha49
    @johnmangisha49 Жыл бұрын

    Beautiful song, keep it up 💪. Zambia is listening 🦹

Келесі