Yohana Antony -Mungu Akutangulie - (Official Music Video)

Музыка

#yohanaantony #mtotoyohana #munguakutangulie
TUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII
0757315937 au 0718735608

Пікірлер: 694

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana mdogo wangu yohana

  • @patricmuthina9590

    @patricmuthina9590

    Жыл бұрын

    Barikiwa mdogo Karibu Garissa town in Kenya

  • @brendankatha8038
    @brendankatha8038 Жыл бұрын

    Kenya tunakupenda Sana Kaka mdogo,ni Messi kadenge 254.mziki umejaa baraka na masomo hongela kaka.🙏🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟

  • @nancycheptanui6982
    @nancycheptanui6982 Жыл бұрын

    Amina barikiwa sana Broo God bless more much love from Kenya,🥰💕💕💕🌹

  • @eunicerehema4982
    @eunicerehema4982 Жыл бұрын

    Waau yohana God bless you usisahau ahadi yako ya kuja Kenya 🇰🇪

  • @silaskithinji8414
    @silaskithinji8414 Жыл бұрын

    YOHANA,YOHANA,YOHANA,UKO VITI KABISA.NAKUPENDA NA NAPEDA NYIMBO ZAKO.MUUUUUMWAH💗💗👏👏NAKULOBOTOVU SANA

  • @essiendunda2432
    @essiendunda2432 Жыл бұрын

    Wow🙏 nyimbo zako zanibariki tu 💕💕 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-tf2gw6yp8u
    @user-tf2gw6yp8u2 ай бұрын

    Ubarikiwe sana mtoto Anthony mungu akuinue zaidi,na kipawa chako kiendelee ķwa jina la Yesu

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 Жыл бұрын

    Haki huyu mtoto nyimbo zake ni tamu Sana na za kubaridi mno, be blessed forever ❤️🇰🇪🇰🇪

  • @sabinasilivis6621

    @sabinasilivis6621

    Жыл бұрын

    Mungu akupe ujasi mwingi siku moja tujeonan mtoto yohana antony🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-fd7iw5ll1v
    @user-fd7iw5ll1v18 күн бұрын

    Mungu azidi kuweka wepesi mbele yako mtoto unaimba vzr sana safi sana ♥️ ❤️. Unakipaji kizur wawooo ❤❤

  • @user-od2fw2jq6f
    @user-od2fw2jq6fАй бұрын

    Kabisa mina taka kuwona mtoto Antony Niko Uganda bundibugyo Asante yohana

  • @arnoldobedi8242
    @arnoldobedi8242 Жыл бұрын

    Jamn mtot unakipaji kizur sana ujumbe mzur sana! Nawe Nakuombea Mungu akutangulie katika uduma yako na Masomo yako pia mdog wangu Mungu akutangulie

  • @JoycePeter-wt2yu

    @JoycePeter-wt2yu

    Ай бұрын

    Ubalikiw mtumshi wamungu😅🎉😢😮

  • @rispermoraa9535
    @rispermoraa9535 Жыл бұрын

    Mungu azidi kukubariki yohana watching from saudia 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hidayanzowa9315
    @hidayanzowa9315 Жыл бұрын

    Amina ubalikiwe Sana mungu akubaliki milele mungu tutanguliye Amina 🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️💐 🇹🇿

  • @user-se8cj5tr5b
    @user-se8cj5tr5b9 ай бұрын

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮Napenda hiy nyimbo sana GOd bless you Antony

  • @kelvinmulei393
    @kelvinmulei393 Жыл бұрын

    Wow!!! The great hoyana tunakungoja sana kenya 🇰🇪 karibu kenya (I honer your ministry be blessed 🙌 yohana)kelvin mulei songs like ngai wa ituni (mungu wa mbinguni) kutoka kenya 🇰🇪 nipeni likes please

  • @isaiahcaptainamosy9629

    @isaiahcaptainamosy9629

    Жыл бұрын

    Tunabarikiwa sana tukiwa Kenya.. karibu Kenya broo

  • @rispermukii3584

    @rispermukii3584

    Жыл бұрын

    A nice song

  • @samnick1325

    @samnick1325

    Жыл бұрын

    Ongeli S

  • @christinewanjala9532

    @christinewanjala9532

    Жыл бұрын

    I like this message, May God bless you

  • @ruthmaina4973
    @ruthmaina4973 Жыл бұрын

    Don't forget you promised to come Kenya after elections to perform so we are eagerly waiting for you ..barikiwa sana much loves from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shalom455

    @shalom455

    Жыл бұрын

    Amekuja leo kasarani

  • @lilyiminza79

    @lilyiminza79

    Жыл бұрын

    Ubarikiwe Sana Kwa wimbo cmart imenifuza mambo mengi

  • @okechalex2382

    @okechalex2382

    Жыл бұрын

    eagerly waiting too

  • @lilyiminza79

    @lilyiminza79

    Жыл бұрын

    @@okechalex2382 thanks

  • @liliankhaemba9063

    @liliankhaemba9063

    Жыл бұрын

    Waaaah may God bless you Yohana ,nikiangalia songs zako zanibariki sana , your the best.Nakuombea miaka mingi braza 🙏🙏🙏🙏

  • @MariamuNathanael-fd4on
    @MariamuNathanael-fd4on Жыл бұрын

    Umetisha yohana dah asante kwa wimbo mzur ulio watukumbusha tuache kukaa tuoe na tuolewe ubarikiwe mdogo Wang

  • @cathrinemuuo6207
    @cathrinemuuo6207 Жыл бұрын

    Mungu aendelee kukubariki yohana Antony

  • @TelesiaSanga
    @TelesiaSanga10 ай бұрын

    Napokea kwa imaniii, mungu azid kukutumia mtumishi🎉🎉🎉🎉

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 Жыл бұрын

    Wow nice song mtoto....aki barikiwa sana ...welcome kwetu tena ...kenya.

  • @user-ug1ju7ui7j
    @user-ug1ju7ui7j10 ай бұрын

    Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏,napokea huu unabii katika jina la Yesu Kristo Amen

  • @AbigaelObora-pp7ds
    @AbigaelObora-pp7ds5 ай бұрын

    Aki nakupenda tu ❤ Antony one ukam kenya

  • @silveysilvey7744
    @silveysilvey7744 Жыл бұрын

    Hiyo yote Ni mimi aki nikama mungu amekutuma kwangu🙏🙏🙏🙏

  • @dottomalima8945

    @dottomalima8945

    Жыл бұрын

    Mmmh huyo dogo duuh kanisema mwanzo mwisho

  • @raphaelsimiyu987

    @raphaelsimiyu987

    Жыл бұрын

    Be blessed Yohana Anthony haki mungu anifungulie mm njiii nimpate mwenza wangu Asante sana mungu akuinue katika huduma Yako baba, siku zote 💙💙💙🙏💗💚⭐💝💖💕

  • @azaellivingston7415

    @azaellivingston7415

    Жыл бұрын

    fanya uoe maana maisha magumu huwezi kuyamariza

  • @everlinemunyanji7143

    @everlinemunyanji7143

    Жыл бұрын

    Changamka bwana

  • @abdulhabibu8391

    @abdulhabibu8391

    Жыл бұрын

    @Nancy Nyachama p

  • @shalletchepkwmoi1733
    @shalletchepkwmoi1733 Жыл бұрын

    Huwa nkitasama nyimbo zako uwa nabakiw xaaaan, n kkuwa n matumaini y kutafuta mungu kw nguvu God bless you in Jesus name 🙏 🙌 ❤ 💖 shalom

  • @user-pn7gn7rs6t
    @user-pn7gn7rs6t5 ай бұрын

    ❤❤ napenda wimbo hili

  • @calebmakokha
    @calebmakokha9 ай бұрын

    Hakika Mungu akitangulia akuna jambo gumu barikiwa mtumishi yohana🙏🙏🙏

  • @marthamercy7136
    @marthamercy7136 Жыл бұрын

    Yohana mimi ni kenya napenda nyimbo zakoo sana huwa naomba siku moja tutapatana mungu aniogoze🎉

  • @Kavushhhhh254
    @Kavushhhhh254 Жыл бұрын

    Aky wimbo zako n nzuri Sanaa ubarikiwe sanaaa 2nakupenda sana apa kenya

  • @cathrinemuuo6207
    @cathrinemuuo6207 Жыл бұрын

    Yohana nakuombea siku moja ufike makueni Kenya utangaze neno ya mungu kwa jina la yesu

  • @faidakitsao448
    @faidakitsao448 Жыл бұрын

    Amen kaka nyombo nzuri yenye ujumbe mzito🙏Mungu akubariki kwa kutuombea mema

  • @kalingasinjore6443
    @kalingasinjore644310 ай бұрын

    Ubarikie sana mtumishi wa Mungu kwa huduma yako usidi kustawi niombe na mimi Mungu anipe mwenzangu ya kuishinae

  • @NyarikiDamah
    @NyarikiDamah Жыл бұрын

    Nice song indeed wacha Mungu atufungulie njia n kututangulia aweze kutupa mwanaume mzuri ....my prayers to the Almighty God 🙏 ❤

  • @millicentochieng5740

    @millicentochieng5740

    Жыл бұрын

    🙏

  • @naftaliameli7142

    @naftaliameli7142

    Жыл бұрын

    Bwana apewesif by Nassan

  • @naftaliameli7142

    @naftaliameli7142

    Жыл бұрын

    Apenda huduma yakuimba sasa jinsi ya kuingia sijui naomba msada

  • @NdagijimanaKaramira

    @NdagijimanaKaramira

    11 күн бұрын

    ❤I love you

  • @janemwongeli5208
    @janemwongeli5208 Жыл бұрын

    Aki ni mimi unaongelelea,naomba Mungu anifungue macho

  • @joykiilu2689
    @joykiilu2689 Жыл бұрын

    May God's favour be upon you always big luv from.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we're waiting for you

  • @nadiellanshimirimana9082
    @nadiellanshimirimana9082 Жыл бұрын

    Amen balikiwa mutoto wa Mungu nakupenda sana♥️

  • @catherinebunyasi6051
    @catherinebunyasi6051 Жыл бұрын

    Yahana,mungu akubaliki saaaana Pili,twakungojea Kenya Tatu,wasalimu familia yako Kwa ujumla

  • @bintiianna1347
    @bintiianna1347 Жыл бұрын

    Congratulations mdogo angu yohana MUNGU akubariki zaidi na zaidi nyimbo zako zina bariki kbsa❤️❤️❤️❤️❤️

  • @naominaliaka694
    @naominaliaka694 Жыл бұрын

    Amen 🙏 Yohana mungu azidi kuongenza nyota yako natamani watoto waje kua waimbaji kama wewe barikiwa sana kutoka Kenya

  • @GloriaAthuman-bo3qg
    @GloriaAthuman-bo3qg22 күн бұрын

    Wow! Mbona nikama mungu amekuta kwangu aky kuanzia sahii natafuta wakufuga naye pingu zamaisha

  • @jumadaniel-qo3qg
    @jumadaniel-qo3qg9 ай бұрын

    Mungu ukuongeze nguvu na uzima nimefulahi na hiyo nyimbo

  • @CarolinePaul-ru2yf
    @CarolinePaul-ru2yf19 күн бұрын

    May God bless you . Wanibariki Mungu akupeleke viwango vya juu zaidi🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alicewangui8099
    @alicewangui8099 Жыл бұрын

    barikiwa sana kwa wimbo hiyo johana unaenda mbari in Jesus name 🙏

  • @stanleywasike3021

    @stanleywasike3021

    Жыл бұрын

    good

  • @hannahjay9393
    @hannahjay9393 Жыл бұрын

    More blessings ♥🙏na mungu akuzidishie baraka

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 Жыл бұрын

    Hakika unakuzwa na Bwana Yohana be blessed at all 👏👏👏

  • @user-nc9zt5nb8p
    @user-nc9zt5nb8p8 ай бұрын

    From Kenya much love🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rosemarykaduma4246
    @rosemarykaduma4246 Жыл бұрын

    Ujumbe mukubwa sana na muhimu kwetu sote shukirani yohana

  • @centrinesitati6674
    @centrinesitati6674 Жыл бұрын

    Barikiwa sana hiii video ni Kali sana hongera na mungu azidi kukuinua🇰🇪🇰🇪

  • @AsiaJasphone
    @AsiaJasphone2 ай бұрын

    Ubalikiwe Sana mdogo wangu upewe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @besudabensuda7644
    @besudabensuda7644 Жыл бұрын

    Yohana keep singing don't give up mungu azidii kukupigania

  • @azvezaally6748
    @azvezaally6748 Жыл бұрын

    Mungu akubariki Sanaa mdogo angu azidi kukuinuaaa nyimboo imenibariki sanaaa

  • @BonifaceShillah-uz4yp
    @BonifaceShillah-uz4yp8 ай бұрын

    Amina barikiwa sana mwanangu kwa wimbo wenye ujumbe mzito

  • @janephermajuma2137
    @janephermajuma2137 Жыл бұрын

    Waaah I don't know y why I'm crying 😭💔💔 is talking about me,,,,is so touching....I will continue praying one day I will meet my soulmate send from God🙏🙏be blessed son

  • @marthajackson1425
    @marthajackson1425 Жыл бұрын

    Good song ,,Mungu akubariki mdg etuu kwa wimbo mzurii

  • @GraceJovit
    @GraceJovit2 ай бұрын

    Ubarikiwe sana Yohana,nakupenda kijana wa Yesu

  • @nancywachiran6544
    @nancywachiran6544 Жыл бұрын

    Wow good job I love this boy sana

  • @Vanessajohns730
    @Vanessajohns730 Жыл бұрын

    Asante sana yohan kwa hi song be blessed 🙏❤ from Rwanda

  • @zubedakiungo
    @zubedakiungo8 ай бұрын

    Mungu akubariki mdogo wangu napokea mungu asimame na kipaji.chako akuongoze

  • @claireacheino7794
    @claireacheino7794 Жыл бұрын

    Aki nabarikiwa na nyimbo zako mungu azidi kuimarisha talent yko

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7ndАй бұрын

    Amen Amen barikiwa mtumishi wa mungu yohana Antony.

  • @user-sb6fd7xw5s
    @user-sb6fd7xw5s7 ай бұрын

    Mungu azindi na kukumbariki ...na pia uniombee sana niweze kupata maisha mema ..

  • @abigaelwanyonyi7434
    @abigaelwanyonyi7434 Жыл бұрын

    Amen wacha mungu atufungulie njia ohhh God 😭😭😭😭😭😭

  • @rosekitambila6473
    @rosekitambila6473 Жыл бұрын

    Nakupenda sana Yohana god bless u na apanue huduma yako

  • @maggiemusimbi4330
    @maggiemusimbi4330 Жыл бұрын

    Mungu aendelee kukuinua young boy,nyimbo zako zinanitia moyo Sana mm hubarikiwa sana may the Almighty God be with you and your family,barikiwa saaaaana karibu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 uchaguzi tumemaliza na nchi imetulia

  • @frolamichael7791

    @frolamichael7791

    Жыл бұрын

    amina kubwa mdogo wangu

  • @emmanuelsitati7900

    @emmanuelsitati7900

    Жыл бұрын

    Nice song God bless you yohana

  • @MTUMISHSTEPHANOSANGA
    @MTUMISHSTEPHANOSANGA2 ай бұрын

    unazid kushusha nondo barikiwa sana mwana ya zamber🎉🎉❤❤❤

  • @graceglorious1979
    @graceglorious1979 Жыл бұрын

    Mungu akubariki xna,young pastor 🤲

  • @karinakhan1760
    @karinakhan1760 Жыл бұрын

    Wimbo mzuri Sana umenibariki Na naamini ya kwambia Mungu ataniletea mbavu yangu God bless you our son Yohana Antony wakenya twakupenda and don't forget our promise🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you🙏🙏🙏

  • @sophiaonwonga9784
    @sophiaonwonga9784 Жыл бұрын

    Wooo Ameeeeen imba ndugu yangu so amazing💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🤣🤣🤣🤣

  • @makenapurity1491
    @makenapurity1491 Жыл бұрын

    Much loved ❤️❤️❤️👈 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya .. blessed Mtumishi Yohana right now am in emotions,,, I don know what to say ,,, really hv e partner marriage from Ur home Tz Ed am confused wht to do 🙏🙏🙏 hk ur song hv strength me for now I will think twice na Mungu atutangulie🙏

  • @karisakatana-cq3vj
    @karisakatana-cq3vj Жыл бұрын

    Wooow yohana mungu aendelee kubrik kibal chako🙏

  • @carolineakinyi6607
    @carolineakinyi6607 Жыл бұрын

    love daer mungu akulinde baba akupe Misha marefu kwajina layesu

  • @user-qx2qj1li4q
    @user-qx2qj1li4q7 ай бұрын

    Hongera sana ndugu hii nyimbo nazipenda sana🎉🎉🎉❤❤

  • @namutosimilia4064
    @namutosimilia40648 ай бұрын

    May god bless you 🙏🙏🙏🙏 Antony niombe Mimi aki

  • @melvinwinde-xq7jg
    @melvinwinde-xq7jg Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana ndugu,,,una kipaji Kwa kweli,,,, Mungu anipe mme apendaye🙏🙏🙏

  • @heriseba8058
    @heriseba8058 Жыл бұрын

    Barikiwa kijana mungu alikulinde ktk kaz yako wimbo mzr wenye ujumbe mzr

  • @furahamangi4715
    @furahamangi4715 Жыл бұрын

    Amen Amen..mungu akubariki tunakupenda san 🇰🇪🇰🇪

  • @pendokasaba5603
    @pendokasaba5603 Жыл бұрын

    Kaza mwendo mdogo wangu kazi yako ni njema

  • @elizabethmgala8393
    @elizabethmgala8393 Жыл бұрын

    God bless you ur are a blessing to my family acha mungu akuinue zaidi twakupenda kababaa

  • @nadzuwagofwa8933
    @nadzuwagofwa8933 Жыл бұрын

    Barikiwa sana nyimbo yako ni meipenda na sikiliza ni kiwa saudi

  • @isaacmutuku9838
    @isaacmutuku9838 Жыл бұрын

    Kaka wimbo mzuri...sasa mungu akulinde

  • @zedrickwanjala341
    @zedrickwanjala341 Жыл бұрын

    Amen 🙏 na barikiwa sana kupitia nyimbo zako ubarikiwe sana kakangu 🙏🙏🙏

  • @zedrickwanjala341

    @zedrickwanjala341

    Жыл бұрын

    Alafu kaka ukumbuke jinsi ulivyo ahidi wakenya...sijui wapanga kutembea lini ???

  • @erickymofficial
    @erickymofficial Жыл бұрын

    Nyimbo zako zanibariki sana.... your great fan from+254 🇰🇪 karibu sana Kenya

  • @erickymofficial

    @erickymofficial

    Жыл бұрын

    Siku.moja tutafanya. Nyimbo za injili pamoja looking forward to.. #Ipo_Siku

  • @sheilanasonmagubi6188
    @sheilanasonmagubi6188 Жыл бұрын

    Mungu akubariki sana na akuinue viwango vya juu zaidi aaameni

  • @everestusluchomba2530
    @everestusluchomba2530 Жыл бұрын

    My boy Napenda sana nyimbo zako hakika Mungu wako anatisha🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jessicarjully2989
    @jessicarjully2989 Жыл бұрын

    Amen 🙏🙏 mungu abariki kazi yako nzurii

  • @catherinendunge1436
    @catherinendunge1436 Жыл бұрын

    Mugu akubariki yohana for your good message to us tunakupeda san sis wakenya

  • @saumuhare5154
    @saumuhare5154 Жыл бұрын

    sikia hiyo nice,yohana God bless you ujumbe umewafikia,Kwa kweli🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 karibu sana Kenya

  • @yekoniatv5466
    @yekoniatv5466 Жыл бұрын

    Ameeeeeeeeeeen saaaaaaana Mtu wa BABA WA MBINGUNI 👏

  • @kelvinngungulu301
    @kelvinngungulu301 Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana kijana mtumishi

  • @JacklineMtweve-ho8gv
    @JacklineMtweve-ho8gvАй бұрын

    Ubarikiwe saana yohana Nakukubal sana

  • @charlottemuyenga1157
    @charlottemuyenga1157 Жыл бұрын

    Wow amina yani nakupenda bure tu mungu akutangulie kwakila atuwa amina amina Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @anwaritesanka430
    @anwaritesanka430 Жыл бұрын

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wimbo wako umenigusa Mungu alete mwanaume sahihi wa maisha yangu

  • @christinewanjala9532

    @christinewanjala9532

    Жыл бұрын

    Amen 🙏🙏

  • @reaganmilk247
    @reaganmilk247 Жыл бұрын

    Barikiwa sana wimbo mzuri wenye mauthui kamili Mungu akuinue

  • @user-wq7dx2wr8q
    @user-wq7dx2wr8q10 ай бұрын

    Ubarikiwe mtumishi wamungu nampenda sana ❤

  • @marynativoi1449
    @marynativoi1449 Жыл бұрын

    Congratulations, we love you. I'm watching from 🇰🇪

  • @KanezaGodelieve
    @KanezaGodelieve4 ай бұрын

    Tunakpenda San kwetu Burundi Antonny

  • @alicemumbua3634
    @alicemumbua3634 Жыл бұрын

    You've made my day kijana mdogo. Umesema ukweli

  • @mwendeieunice2247
    @mwendeieunice2247 Жыл бұрын

    welcome son yohana tunakungoja na hamna ngam mungu akulinde

  • @user-uf2et5vy2p
    @user-uf2et5vy2p9 ай бұрын

    Wah kweli umenena kijana naisubiri my rib

  • @loreengrace7128
    @loreengrace7128 Жыл бұрын

    Keep up my beloved brother that's good 👍 am watching from Kenya

  • @WayuaMwende-ey1vt
    @WayuaMwende-ey1vt Жыл бұрын

    Wow god bless you na uzndi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @WayuaMwende-ey1vt

    @WayuaMwende-ey1vt

    Жыл бұрын

    God bless you,pia mh uniombee

Келесі