KILIO HIKI [OFFICIAL VIDEO] By YOHANA ANTONY

Музыка

Subscribe.!! 0757315937, 0718735608
Kama umeguswa na wimbo huu Tuma sadaka yako turekodi wimbo mwingine.
Video by @Director 6Sunday

Пікірлер: 821

  • @markkilonzi8812
    @markkilonzi8812 Жыл бұрын

    Cwezi nikazuia machozi kutoka kwa sasa,hii ni sauti ya mungu kupitia kwa huyu mtoto

  • @user-zr1bx3nv8k
    @user-zr1bx3nv8k3 ай бұрын

    Jamani wale wote mnao pendanyimbo za yohana msisahau kumuombea nawapenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @pastorbeatrice6594
    @pastorbeatrice65942 жыл бұрын

    Napenda Sana nyimbo zako yohana, mungu akuinue kabisa zaidi na zaidi, from Kenya🇰🇪

  • @David-dz1qw

    @David-dz1qw

    Жыл бұрын

    Mungu akubariki yohana

  • @user-dh8bm3cg1o
    @user-dh8bm3cg1o Жыл бұрын

    Napenda nyimbo zako yohan mungu akubarik🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @velmaminayo8480
    @velmaminayo84802 жыл бұрын

    Barikiwa Sana hii wimbo iko na maan mungu akulinde Sana. Nakupenda sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪twapenda Sana Tanzania

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd13 күн бұрын

    Asente mtumishi yohana Antony kutuombea ndoa zetu mungu azindeshe Kibali kizuri cha wibaji.

  • @luciejohnes3057
    @luciejohnes3057 Жыл бұрын

    Nlikuwa wapi aki nimekuona juzi tu...aki umebarikiwa.Mungu akupe neema zaidi nimependa nyimbo zako sana...na ukiweza ukuje Kenya

  • @okungukungs4614

    @okungukungs4614

    Жыл бұрын

    Barikiwa bro work extra hard

  • @MussaLusinde-jg5fw

    @MussaLusinde-jg5fw

    Жыл бұрын

    Ubalikiwe sana

  • @NeyrarichMbeleselo-ow9zz

    @NeyrarichMbeleselo-ow9zz

    11 ай бұрын

    😂😂😂 mungu unapodhuru wengin usimsahau MBUNGE WETU WA BADAE YOHANA ANTONY 💝💖 tunakupenda🙏🙏🙏

  • @user-oi2qc7gr2d

    @user-oi2qc7gr2d

    4 ай бұрын

    ❤❤❤❤ so much bby boy beg up🎉🎉🎉

  • @NicholasMwau-yb4fv

    @NicholasMwau-yb4fv

    19 күн бұрын

    We ❤❤❤❤❤❤ you So much

  • @rizikiomari-vx8sw
    @rizikiomari-vx8sw11 күн бұрын

    Napenda nyimbo zako just keep it up tunakupenda sana congrtulation boy❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd10 күн бұрын

    Mtumishi yohana Antony kimbilio letu ni mungu barikiwe sana mafunzo mazuri.

  • @ev.samsonogechi3238
    @ev.samsonogechi32382 жыл бұрын

    Mungu akubariki na akutie nguvu man na mawazo bora.congraturations Huwa unanijenga kwa hizi nyimbo zako.

  • @mercyprincess7346
    @mercyprincess73462 жыл бұрын

    Hapa Kenya tunakupenda ....mungu akubariki sana

  • @milkamwaka1696
    @milkamwaka1696 Жыл бұрын

    Mungu akuzidishie kwa kuwakumbuka wanandoa Johanna 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @magdalinamwikali7251
    @magdalinamwikali72512 жыл бұрын

    Wow nice song 🎵 mungu atusaindie kwaza mwanamake I'm from Kenya mombasa

  • @graceonchera2052
    @graceonchera2052 Жыл бұрын

    b blessed young boy,am in love with your songs

  • @user-cc4uo9mb1x
    @user-cc4uo9mb1x Жыл бұрын

    Nakupenda sana yohana antony kutoka uanze kuimba ,,hizi nyimbo sinanifanya nakumbuka mengi mungu akupariki n akutue nguvu ,,,asante kutoka 🇰🇪 kenya❤i love ur songs

  • @user-ox3yh9qy3e

    @user-ox3yh9qy3e

    6 ай бұрын

    Huyu mtoto anakipaj jaman

  • @centrinesitati6674
    @centrinesitati66742 жыл бұрын

    Napenda nyimbo zako sana hope ukija Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kufanya tamasha iwe Nairobi 🙏🙏

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan73462 жыл бұрын

    Barikiwa mno mtoto mzuri kwa nyimbo nzuri nikweli vikwazo vingi wana ndoa asante mwanangu

  • @FaithKulenga
    @FaithKulenga7 ай бұрын

    Yohanna barikiwa sana nyimbo zako huwa nzuri,,,kwa kweli Mungu yu pamoja nawe,,,huu ndio wimbo niliosikia wa kwanza wako na ambao ulifanya nikufuatilie zaidi

  • @bensonmkamali1288

    @bensonmkamali1288

    3 ай бұрын

    Young man John (Yohana), serve God and His people in your generation and you will never regret

  • @MoureenWambua
    @MoureenWambua2 ай бұрын

    Nakupenda sana yohana mungu akubarikie na akunui juu sana,,, from Kenya

  • @linnetondisa9668
    @linnetondisa96682 жыл бұрын

    Mmm powerful msg,,haki nimepitia mengi juu ya ndoa yangu kuharibika,,nimeangaika sana hila najua ipo siku Mungu atanipa yangu mbavu,,

  • @user-st3nx7dl9k
    @user-st3nx7dl9k Жыл бұрын

    Aki mungu akusaidie Antony nimefungua KZread nikapata nyimbo zako zinanitoa machozi barikiw bro

  • @catherinemuchai9344
    @catherinemuchai93442 жыл бұрын

    Mungu bariki na ulinde ndoa zetu,Thanks Antony keep up

  • @brigitmutyota2669
    @brigitmutyota2669 Жыл бұрын

    kweli mtumishi,,, endelea kuhudumu mdogo wangu...mungu akubariki Sana kwa hii huduma from Kenya.

  • @mchunguziclemenc4678
    @mchunguziclemenc46782 ай бұрын

    Ubalikiwe sana mtoto Yohana unajua sana kuimba Mungu azidi kukuinua

  • @emmaemma5716
    @emmaemma57162 жыл бұрын

    Wimbo mzuri wanituliza sana, ndoa zimepatwa ni kilio sana

  • @angelamwebi8193
    @angelamwebi81932 жыл бұрын

    "si matajiri, si masikini, si wasomi" naomba Yesu utulize ndoa 🙏🙏. Be blessed Yohana

  • @ellydinemuindi7976

    @ellydinemuindi7976

    Жыл бұрын

    Bro nkupenda Sanaa nice

  • @sammuelkasyoka829

    @sammuelkasyoka829

    Жыл бұрын

    Be blessed

  • @calebnyamburi4212
    @calebnyamburi42122 жыл бұрын

    Mmmm! Very powerful song, this young boy is so talented, may God bless you. Watching from Kenya

  • @mamy1605

    @mamy1605

    2 жыл бұрын

    Amen amen

  • @nancybosibori632

    @nancybosibori632

    Жыл бұрын

    Amen and Amen totoo keep going on much love from Kenya

  • @margretmwende5377
    @margretmwende53772 жыл бұрын

    Mungu abariki huyu mtoto....inshallah mola ashuke atimize hiki kilio n.a. vingine aondoe vilio hasa katika ndoa

  • @agnessrobert4626
    @agnessrobert46262 жыл бұрын

    Barikiwa sana mtoto wa mungu ndio maana mungu akasema acheni watoto wadogo waje kwangu kwa kuwa ufalme wa mbinguni ni wao ,Mungu azidi kukufunulia zaidi na zaidi ili uendelee kuifanya huduma ya Mungu

  • @annochola8914
    @annochola89142 жыл бұрын

    What a brilliant son from God,,keep the mission on fire,,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @azenathokumu3997

    @azenathokumu3997

    10 ай бұрын

    God bless you yoana

  • @user-ug1ju7ui7j
    @user-ug1ju7ui7j10 ай бұрын

    Be blessed young boy,ni wimbo ambao umebeba ujumbe mzito sana. Mungu akubariki sana.

  • @erickomwobo2315
    @erickomwobo23152 жыл бұрын

    Napenda nyimbo zako zaidi

  • @douglasmochiemo1088
    @douglasmochiemo10882 жыл бұрын

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪 naomba ufanye colabo na janzo tomas from kenya mimi nitawasimamia

  • @mnadiboyofficial8095

    @mnadiboyofficial8095

    Ай бұрын

    Bro keep supporting our artist

  • @mercieedu1026
    @mercieedu10262 жыл бұрын

    Very talented...napenda nyimbo zako mungu akuinue zaidi na zaidi...much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @charlsngongo7895

    @charlsngongo7895

    2 жыл бұрын

    Mabo vp

  • @aishaann5951

    @aishaann5951

    2 жыл бұрын

    Good song press on never get tired to save God

  • @rmrproduction3602
    @rmrproduction36022 жыл бұрын

    Ñimekubali kweli atulize ndoa by Director M.R BRAND

  • @raphaelkeilo7655
    @raphaelkeilo7655 Жыл бұрын

    Very talented young guy may God bless you with more song na usisahau Kuja kenya kuperform hasa kajiado loitokitok

  • @jesscajuma3357
    @jesscajuma3357 Жыл бұрын

    Hongera yohana karbu ndoa yangu ivunjike bt Asante 4rom kenya

  • @AaAa-dd1qu
    @AaAa-dd1qu2 жыл бұрын

    Munguweee mutoto unahubiri kabisa yooòo?? Munguweeeee😭😭😭😭😘😘😘😘🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏

  • @moureenkibomuek6050
    @moureenkibomuek60502 жыл бұрын

    Wimbo huu unafunza xana tena zaidi,love your song Yohana ..... much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪Be with Elohim always

  • @lilianjames7537

    @lilianjames7537

    2 жыл бұрын

    Amen.Please watch this song and God bless you 👉kzread.info/dash/bejne/oqSEq8uAeMu5f5M.html.🙏🙏

  • @winniekami1796

    @winniekami1796

    Жыл бұрын

    Wimbo huu unafunza sana tena zaidi love you song Yohana so much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @fransciscahEkales-nw3yg

    @fransciscahEkales-nw3yg

    8 ай бұрын

    From Kenya much love 💕

  • @NsengiyumvaNoa
    @NsengiyumvaNoa20 күн бұрын

    Brother kwakwer Mungu akusaidie unakipaji kizuli Sana ubalikie

  • @stellahmasinde7251
    @stellahmasinde72512 ай бұрын

    God take control of marriages , yohana I need to see you because your songs got my attention and God is using you never turn back , all the way from +254🇰🇪

  • @julita2118
    @julita21182 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana mtoto kwa kazi njema

  • @okombojunior3549
    @okombojunior3549 Жыл бұрын

    Asante kwa wimbo huu unaowashawishi wanandoa kujitia jitihada na amani katika ndoa. Ubarikiwe sana

  • @genivakapele3986
    @genivakapele39862 жыл бұрын

    Mwanzilishi wa ndoa uko wapi, ninakuomba uje utulize ndoa🔥🔥

  • @mercydominic7797
    @mercydominic7797 Жыл бұрын

    Ndo naona huu wimbo,,,barikiwa sana,,God can use anything to manifest Himself,,,this is true story abt marriages nowdays,,,God have mercy on is

  • @user-ip5bn8vq5i
    @user-ip5bn8vq5i Жыл бұрын

    Mungu awe pamoja na we cku zote natamani wito wa hvo nikaifanye kaz ya bwana naomba mung anione uchu nilionao wakumtumikia anipe kibar

  • @savinasila1261
    @savinasila1261 Жыл бұрын

    Thanks so much,,,,kilio kimekuwa mob kwa ndoa n Mungu asikie maombi yetu n aponye ndoa

  • @rehema6660
    @rehema6660 Жыл бұрын

    Akika nyimbo zako za inifariji mungu akuinue Zaid katika viwango vya juu Sana mtoto mzuli

  • @bettycherono3369
    @bettycherono3369 Жыл бұрын

    You're a blessing to the whole world Yohana 👏👏👏Congratulations watching from KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @EveNicholas-ch9dy
    @EveNicholas-ch9dy4 ай бұрын

    Very talented brother, keep up the good work of God,napenda Sana nyimbo zako

  • @user-ui1hr1td8r
    @user-ui1hr1td8r9 ай бұрын

    Yohana mungu na hakumbariki Sana endelea hivo siku moja kuja kenya

  • @Swtdebrah
    @Swtdebrah2 жыл бұрын

    Waoh 🙏👌much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @angelmsigala5711
    @angelmsigala5711 Жыл бұрын

    Napenda san nyimbo zako mdogo wang zimenigusa san nakuombea sana wewe na mdogo wako mung awabariki🌹🌹🌹🌹

  • @agnesatanga7891
    @agnesatanga78912 жыл бұрын

    Amen yohana nawatch from saudia wimbo tamu sana barikiwa

  • @mamaafrica399
    @mamaafrica3992 жыл бұрын

    Mungu aliekujalia icho kipawa alikupendelea sana! Shikilia na mikono miwili mjukuu wangu🙏! Bibi From Kenya!

  • @mamaafrica399

    @mamaafrica399

    2 жыл бұрын

    Thanks🙏

  • @issackshangali
    @issackshangali Жыл бұрын

    yohana napend san nyimb zak nakuomb na Mimi uniombee kwa mungu na Mimi niwe na kipaji kama chakwako Asante mung akubaliki

  • @catherinebarasa1914
    @catherinebarasa1914 Жыл бұрын

    Mungu bariki na ulinde ndoa zetu, Thanks God bless you 🙏♥️

  • @ivysamoei7563
    @ivysamoei75632 жыл бұрын

    Mungu shuka na kwetu Utulize ndoa...Mum Mungu awe nawe kila wakati

  • @naomycherono5540
    @naomycherono55402 жыл бұрын

    Amen hallelujah very true😓🔥🔥🙏🏻🙏🏻 please Lord come be blessed child of God am with you 🙏🏻🙏🏻

  • @mercylinesharin9112
    @mercylinesharin91122 жыл бұрын

    Huu wimbo umenikumbusha mbali barikiwa sana much love from Kenya

  • @namutosimilia4064
    @namutosimilia40648 ай бұрын

    Much love from Ugandan 🇩🇪🇩🇪🇩🇪 niombe Mimi kweli

  • @zawadihamisi4421
    @zawadihamisi44212 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana. Daah! Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Mungu akuinue sana chombo kiteule cha Yesu, Much love

  • @sammuelkasyoka829

    @sammuelkasyoka829

    Жыл бұрын

    Mungu akuinue kijana you are so gud♥️♥️👍

  • @mildrednelima5201
    @mildrednelima52012 жыл бұрын

    Kwely Kuna kilio katika ndoa nyingi ubarikiwe sana Kwa wimbo huu wa tulizo

  • @perischari3630
    @perischari3630 Жыл бұрын

    Amen Mungu mwanzilishi wa ndoa aje atulize ndoa.Ubarikiwe Yohana

  • @juliusbahurugo5
    @juliusbahurugo5 Жыл бұрын

    MUNGU NI WAAJABU HUPITIA HATA KWA WATOTO WADOGO KUTOA ELIMU YA NDOA. MUNGU AKUBARIKI YOHANA

  • @shiruk.official709
    @shiruk.official7092 жыл бұрын

    Am an artist but for knowing him today he's more better ♥️♥️💘💘 from Kenya ,mob love

  • @ashukuriwembasha
    @ashukuriwembasha2 жыл бұрын

    Hongera sana.talanta hii kakupa Mungu mwenyewe.songa mbele.

  • @essy3128
    @essy31282 жыл бұрын

    God I pray for a son like Yohana. Umebarikiwa sana kaka mdogo

  • @melanchtoneanzala3576
    @melanchtoneanzala35762 жыл бұрын

    I almost shed a tear Yohana, This is The Lord's voice, blessings my son.Much love from Kenya 🙏

  • @aswa3338

    @aswa3338

    Жыл бұрын

    Zablon 🔥

  • @azenathokumu3997

    @azenathokumu3997

    10 ай бұрын

    I love your songs

  • @elamokato3104
    @elamokato3104 Жыл бұрын

    Wonderfull antony utakam Kenya wen🥰😜😜♥️💕💞💪👍🌺🌺🍉

  • @ndindaelizabeth3115
    @ndindaelizabeth31152 жыл бұрын

    Yohana God akutie nguvu uendeleze neno la Mungu.

  • @cathrinemuuo6207
    @cathrinemuuo6207 Жыл бұрын

    Yohana may God bless you more we love you from Kenya by Teddy makueni County

  • @elamokato3104
    @elamokato3104 Жыл бұрын

    Good bless our families .God bless u antonty♥️💕💞✊👭🌺

  • @crispuskasanga8487
    @crispuskasanga84872 жыл бұрын

    Wo! Yohana hapa umeweza.much love from kenya

  • @nettoreto9842
    @nettoreto98422 жыл бұрын

    Nakupenda sana Yohana mungu akuzidishie maisha marefu, nyimbo zako zaguza moyo wangu##kenya

  • @analwabwela9121
    @analwabwela91212 жыл бұрын

    Ubarikiwe mtt mzr MUNGU akupeleke kwenye viwango vingine

  • @mithletlwoyelo6044
    @mithletlwoyelo60442 жыл бұрын

    Mwanzilishii wa ndoaa uko wapi 😭 😭 😭 😭 😭 😭. .....so powerful song! Much love from Kenya

  • @simonosore1392
    @simonosore13924 ай бұрын

    Huu wimbo umeniguza sana.Sauti ya Bwana imo ndani yako

  • @mercylinekadzo7188
    @mercylinekadzo71882 жыл бұрын

    MUNGU akutangulie akubariki na akupe umri mkubwa kazi yake uifanye barikiwa sana

  • @sharonchepkirui1409
    @sharonchepkirui1409 Жыл бұрын

    Mungu azidi kukubariki kaka kwa nyimbo zako nzuri na zinazotoa mafunzo kwa wengi

  • @eminachuma7717
    @eminachuma77172 жыл бұрын

    Barikiwa Sana,, mungu azidi kukuinua mtoto mzuri,, niujumbe mzuri

  • @tabithashimenga4742
    @tabithashimenga47422 жыл бұрын

    Thanks child for this prayer song. It touches my heart. May bless you🙏🙏🇰🇪💕💕

  • @lilianjames7537

    @lilianjames7537

    2 жыл бұрын

    Amen.Please watch this song and God bless you 👉kzread.info/dash/bejne/oqSEq8uAeMu5f5M.html.🙏🙏

  • @lenahpatrick1578
    @lenahpatrick1578 Жыл бұрын

    love from kenya kaka mdogo songa ... mungu akuzidie kibali

  • @shukranwilson5219
    @shukranwilson5219 Жыл бұрын

    Ubarikiwe mdogo wangu I love you

  • @masumbukomganyi6133
    @masumbukomganyi6133 Жыл бұрын

    Mungu akupe afya njema mtumishi yohana kazi nzuri sana

  • @kelvinmusic5575
    @kelvinmusic55752 жыл бұрын

    Very powerful message, Antony may Almighty God bless you,any door you knock, shall be opened for you

  • @rimepeter789
    @rimepeter7892 жыл бұрын

    Amen, God bless you my beloved brother in christ name, May almighty God be with you always🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤

  • @lilianjames7537

    @lilianjames7537

    2 жыл бұрын

    Amen he's blessed.Please watch this song and God bless you 👉kzread.info/dash/bejne/oqSEq8uAeMu5f5M.html.🙏🙏

  • @andoninabiket2103

    @andoninabiket2103

    2 жыл бұрын

    God bless you keep it up angle

  • @maggymshay7666
    @maggymshay76662 жыл бұрын

    Sioni comments za wainjilisti huku be blessed yohana ♥️♥️♥️🙏

  • @cheptabkoret
    @cheptabkoret Жыл бұрын

    Mungu akubariki... Naipenda nyimbo zako sana @cheptab koret from kenya.

  • @user-xd9kw6nt8w
    @user-xd9kw6nt8wАй бұрын

    Yaani nasikilizia huo wimbo Kila siku kama ndo umetoka dah maana haya yananihusu kabisa

  • @sheillahmaganya
    @sheillahmaganya Жыл бұрын

    Wow what a nice song,may God bless you .

  • @elizabethnzilani7403
    @elizabethnzilani74032 жыл бұрын

    ata kama nilitoka wimbo mzuri sana mungu akuinue sana

  • @user-xj1qz8oy5s
    @user-xj1qz8oy5s8 ай бұрын

    Kwa Kweli Huu Wimbo Umenigusa Sana...Ee Mungu Leta Utulivu Katika Ndoa Zetu 🙏 🙏 🙏 🙏..Acha Mungu Azidi Kukuinua Na Kukubariki Mtumishi Yohana...Much Love From Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤...

  • @joyceseleyian9312
    @joyceseleyian93122 жыл бұрын

    Ubarikiwe Sana mtoto mzuri,,,Mungu akulinde

  • @annnjoki4014
    @annnjoki40142 жыл бұрын

    God bless you,nimebarikiwa Sana uendelee zaidi ya hayo

  • @HappyMark-hw5uc
    @HappyMark-hw5uc6 ай бұрын

    Barikiwa mtoto wa mungu😭💖

  • @user-qg9hw1xi1d
    @user-qg9hw1xi1d7 ай бұрын

    Barikiwa sana mdogo wangu...by abigaelii

  • @dina-zp9mn
    @dina-zp9mn8 ай бұрын

    From Kenya ❤🎉 nimependa Aki Mungu akubariki

  • @nathankemboihhh.f
    @nathankemboihhh.f2 жыл бұрын

    Enyewe mungu ni mungu tu ii song imenikusha wakati nilikuwa mdogo lakini saa hii namshukuru mungu. Endelea kubarikiwa broh

  • @lenahtuti6713
    @lenahtuti6713 Жыл бұрын

    This song really touched me Your God sent to comfort some of us in marriages 💕

Келесі