Annoint Amani - Wanaulizana unaitwa Nani (Hauzoeleki Official music Video Skiza 9039323 to 811 )

Музыка

#wanaulizana#unaitwanani#
YEHOVA ni MUNGU wa peke ambae hafikiriki wala hafananishwi kamwe na kitu kingine,
YEHOVA anapenda mtu
mnyenyekevu na mtiifu,
anapenda kupewa nafasi ya kila kitu kwa mtu ili ajipe heshima na Utukufu kupitia huyo mtu wake,
UKIAMUA KUMTUMIKIA MUNGU YEHOVA NA KUIFWATA NJIA YAKE HAKIKA ATAKUFANYA MSHAMGAO DUNIA NZIMA ISHANGAE,
MAANA ANAPENDA SIFA KULIKO KITU KINGINE NA WOTE WALIO MTUMAINI HAWAWEZ KUAIBIKA KAMWE, MAANA YEHOVA NI BABA ANAEJUA WAJIBU WAKE KWA MTOTO WAKE.
(JEHOVAH is the only God who is unimaginable and incomparable,
JEHOVAH loves a person
humble and obedient,
he loves to be given everything to a person in order to give himself honor and Glory through that person,
IF YOU DECIDE TO SERVE HIM AND FOLLOW HIS WAY, HE WILL MAKE YOU SURPRISE THE WHOLE WORLD TO WONDER,
BECAUSE HE LOVES PRAISE MORE THAN ANYTHING ELSE
, ALL THOSE WHO HOPE CANNOT. DISAPPOINTMENT BECAUSE JEHOVAH IS A FATHER WHO KNOWS HIS RESPONSIBILITY TO HIS SON/DAUGHTER.)
(HUU WIMBO UMEANDIKWA NA KUIMBWA KWA UWEZO WA MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE ANNOINT AMANI)
(THIS SONG WAS WRITTEN AND SINGED BY THE POWER OF GOD THROUGH HIS SERVANT ANNOINT AMANI)
Artist Annoint Amani
Song wanaulizana unaitwa Nani?
Album,Mimi ndie Mungu pekee.
Language Swahili)
VIDEO VENDEKO FILM ( director by Vendeko +255755272069)
AUDIO A.E.A TONES producr by meddy+255712621330)
Instagram annoint amani
+255767240181=+255755099942
Dar es Salaam Tanzania )

Пікірлер: 2 300

  • @HarrisonMusau-ce2lm
    @HarrisonMusau-ce2lm2 ай бұрын

    Kama kweli huu wimbo unakuguza kiroho pita na like ❤❤🙏🙏🤲🤲💯

  • @peterkascratchofficial
    @peterkascratchofficial3 жыл бұрын

    wakenya tujuane kwa likes hapa..... congratulations Annoint

  • @abednego229

    @abednego229

    Жыл бұрын

    Peter

  • @njokiwawanjiru3019

    @njokiwawanjiru3019

    Жыл бұрын

    Pamoja sana tumshudie huyu YESU

  • @shakygenevieve1163

    @shakygenevieve1163

    Жыл бұрын

    Tuko

  • @heavenlyjoysarahkinyua2312

    @heavenlyjoysarahkinyua2312

    Жыл бұрын

    🇰🇪🇰🇪

  • @damalasty2245

    @damalasty2245

    Жыл бұрын

    congratulation to him

  • @dianaainya3602
    @dianaainya36022 жыл бұрын

    I will just leave my comment here so that each time someone's likes it...reminds me of coming back to listen to such a inspiring song...continue blessing us with such

  • @monicah2911

    @monicah2911

    Жыл бұрын

    I like this song, congratulation annoint

  • @jemimawambalaba

    @jemimawambalaba

    Жыл бұрын

    Truly the song inspires

  • @mosota1668

    @mosota1668

    Жыл бұрын

    Come back and listen 👂

  • @estherbitutu53

    @estherbitutu53

    Жыл бұрын

    Who together with me we're here again in 2023, inspiring song blesses me all the time I listen to 🙏🙏🙏pokea utukuvu baba yesu🙏🙏🙏

  • @OnyzimaRashid-ho2yl

    @OnyzimaRashid-ho2yl

    Жыл бұрын

    Great

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 Жыл бұрын

    Mimi Ni Nani Mungu,Barikiwa Mtumishi Wa Mungu,Watanzania Like Zenu Hapa Tujuane 2023

  • @robegodana7459
    @robegodana74592 жыл бұрын

    Kenyans in the house 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rinagutvkenya6885

    @rinagutvkenya6885

    Жыл бұрын

    Watch out this too. kzread.info/dash/bejne/qWt1qsqjmKuye7w.html

  • @doctorkisingili8949

    @doctorkisingili8949

    Жыл бұрын

    Hapa

  • @marywamaitha8706

    @marywamaitha8706

    Жыл бұрын

    Mkenya daima .

  • @heavenlyjoysarahkinyua2312

    @heavenlyjoysarahkinyua2312

    Жыл бұрын

    🇰🇪🇰🇪

  • @winfredmbithe1263

    @winfredmbithe1263

    Жыл бұрын

    🔥🔥🔥🔥

  • @erastuschirchir1179
    @erastuschirchir11793 жыл бұрын

    Ahh!!!anaitwa Nani kweli,,,Mungu wetu anatisha,,,nice song guys,,,wapi likes za wakenya🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @carolinechepngetich4665

    @carolinechepngetich4665

    3 жыл бұрын

    Jehovah ndio jina lake...nice song indeed

  • @erastuschirchir1179

    @erastuschirchir1179

    3 жыл бұрын

    @@carolinechepngetich4665 we praise and Honor His Name cox there's no one like Him🙏🙏

  • @carolinechepngetich4665

    @carolinechepngetich4665

    3 жыл бұрын

    Kabisa...hafananishwi kwa hakika

  • @amosistephan9163

    @amosistephan9163

    3 жыл бұрын

    @@carolinechepngetich4665 !11

  • @lynnganga8942

    @lynnganga8942

    3 жыл бұрын

    Kabisa 👌

  • @judithondari5065
    @judithondari50653 ай бұрын

    Mm naona kama nitalike zote na haziishi,, fenye napenda nyimbo zako ni mungu tu anajua,,,,, Mungu hazoeleki kamwe from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you annoint🙏🙏🙏

  • @jepchirchirbrenda1234
    @jepchirchirbrenda12342 жыл бұрын

    I could play replay 100times but still can't get enough of this song😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️love you from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷US pia tunakupenda kaka🥰😘😘😘😘😘🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jamesngumbi-pp9sp

    @jamesngumbi-pp9sp

    Жыл бұрын

    ❤❤❤❤❤❤😮😮

  • @jamesngumbi-pp9sp

    @jamesngumbi-pp9sp

    Жыл бұрын

    Thanks i really loves all

  • @jamesngumbi-pp9sp

    @jamesngumbi-pp9sp

    Жыл бұрын

    ❤❤❤❤❤❤😂😂🎉

  • @jamesngumbi-pp9sp

    @jamesngumbi-pp9sp

    Жыл бұрын

    God's❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelTanui-sm2zc

    @EmmanuelTanui-sm2zc

    Ай бұрын

    ❤❤❤

  • @washantiekerry4561
    @washantiekerry45613 жыл бұрын

    Keep it up annoint Kenyans wapi likes sa kijana wetu

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    3 жыл бұрын

    Emeen hakika Mungu ni mkuu mnoo Namuogopa Mungu sana .

  • @catherinemuriuki9407

    @catherinemuriuki9407

    3 жыл бұрын

    He is Kenyan? Woow

  • @dhesisolange5708

    @dhesisolange5708

    3 жыл бұрын

    Vizuri Sanaa napendanga Sana nyimbo zako mungu akutangulie

  • @paulngei6868

    @paulngei6868

    3 жыл бұрын

    Keep it up Anoint.Good song inatubariki sana

  • @vanicnyaboke6761

    @vanicnyaboke6761

    3 жыл бұрын

    My brother in spiritual God bless you

  • @elizabethluhutsa3054
    @elizabethluhutsa30542 жыл бұрын

    Amen...mungu niondolee kiburi na majivuno...nielekeze kwa njia zako yesu...niongoze bwana...tuma roho wako mtakatifu akae ndani mwangu....roho wa mungu nifundishe ili nisije nikaruka mipaka...amina

  • @victormairura
    @victormairura2 жыл бұрын

    I'm blessed brother like now my spirit is down umeniinua man of God keep the good work.i see the reason to work hard.barikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @willardndhlovu4294
    @willardndhlovu42942 жыл бұрын

    I'm in Zimbabwe I don't know this language spiritually I pick it power full may God bless you man of God

  • @robertkilaa

    @robertkilaa

    Жыл бұрын

    It talks about the greatness of God and His mighty works..How He manifested His power to Pharaoh...His power can't be challenged@ willard Ndhlovu...much love from Kenya

  • @kelvinsudoi1600

    @kelvinsudoi1600

    Жыл бұрын

    That's is swahili bro he is singing the story of Herode in the bible

  • @dyanakinya3311

    @dyanakinya3311

    Жыл бұрын

    Sakaka

  • @dyanakinya3311

    @dyanakinya3311

    Жыл бұрын

    Kenya

  • @dyanakinya3311

    @dyanakinya3311

    Жыл бұрын

    Diana

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv60773 жыл бұрын

    Jamani kawimbo katamu weeee umenitengenezea siku barikiwa sana 🇰🇪 🇰🇪 Kenya represented

  • @lucyhusein4043

    @lucyhusein4043

    3 жыл бұрын

    Upo juu mdogo wangu nyimbo zako zabibarik hatar

  • @djgsvsjruth

    @djgsvsjruth

    Жыл бұрын

    Amen Amen such a good song it really makes me feel the presence of my God

  • @LearnToServeTVChannelcom

    @LearnToServeTVChannelcom

    Жыл бұрын

    Good God's message is penetrating in our soul and our Hearts are getting healthy

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet86752 жыл бұрын

    Ndugu... Pokea mapenzi ya dhati kutoka nchi yetu tukufu kenya🇰🇪

  • @user-eo4gd1cr4l
    @user-eo4gd1cr4l11 ай бұрын

    Ndungu yangu unaenda mbali, remain humble, guard it jealously.Unatumika God bless ❤❤❤❤❤❤ from Kenya

  • @estherbitutu53
    @estherbitutu532 жыл бұрын

    Huu wimbo unafariji moyo wangu🙏🙏 thanks to almighty God 🙏🙏🙏 be blessed brother

  • @emmanuelmuhando1052
    @emmanuelmuhando10523 жыл бұрын

    Mungu nimwema kwetu sote kama umebalikiwa kama Mimi like tuendeelee kubalikiwa na Mungu

  • @davidmwambah
    @davidmwambah3 жыл бұрын

    Singing the bible is rare nowadays, we thank God for you. Much love and admiration from Kenya.

  • @erastomwakalukwa3946

    @erastomwakalukwa3946

    Жыл бұрын

    Praise God for everything!

  • @brendah-qc8gw

    @brendah-qc8gw

    Жыл бұрын

    God bless you my bro

  • @karambuanne744

    @karambuanne744

    Жыл бұрын

    I concur with you

  • @marymulefu2437

    @marymulefu2437

    3 ай бұрын

    Very true nowadays watu wanaimba tu vyao kupata pesa

  • @user-ws8rn2yo5e
    @user-ws8rn2yo5e8 ай бұрын

    Kongole sana ndugu katika kristo,,,I celebrate and glorify God for this song,,,endelea kuwakumbusha wanadamu yakwamba mungu hazoeleki kamwe,,,umeuguza moyo wangu kupitia huu wimbo,,,ubarikiwe sana.🎉

  • @safari2976
    @safari29762 жыл бұрын

    Amen🙏🏾🙏🏾Mungu hauzoeleki kamwe! Mungu wetu asifiwe Milele ! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @eunicekarwirwa5433
    @eunicekarwirwa54332 жыл бұрын

    Umenihubiria ndungu.., mungu wetu ni mkuu azoeleki kamwe, mungu akubariki na akuzidishie neema zake. 🇰🇪

  • @safaragathimiti
    @safaragathimiti2 жыл бұрын

    I love this song so sweet this is the real gospel song.....am a street kid from Kenya ....and am a gospel Artist I love that song

  • @armanyabdallaofficial7110

    @armanyabdallaofficial7110

    2 жыл бұрын

    Ilike what you doing ur real

  • @carolynewafula8634

    @carolynewafula8634

    2 жыл бұрын

    God bless you

  • @noelamadadi5731

    @noelamadadi5731

    2 жыл бұрын

    Keep going Gathimiti

  • @judynash6167

    @judynash6167

    2 жыл бұрын

    I knew this song through you. Keep going.

  • @janetonsongo7321

    @janetonsongo7321

    2 жыл бұрын

    Keep pushing it my brother

  • @MariamSalum-cp3ju
    @MariamSalum-cp3ju Жыл бұрын

    Yan huu wimbo haunichoshi kuusikiliza Mungu akusaidie usiludi nyumba usikate tamaa vikwazo ni vingi lkn ulinzi wa Mungu juuu yako pia uendelee kukua zaidii🙏🙏🙏

  • @edutheartist
    @edutheartist2 жыл бұрын

    2022 first time to listen to the song,it's so powerful and the vocals are just amazing.Glory be to God.

  • @esthermutua1287
    @esthermutua12873 жыл бұрын

    Amazing one be blessed imani never disappoint waaa much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sifawaseka134

    @sifawaseka134

    2 жыл бұрын

    Asante mungu akujaze Mara dufu kiroho namwiri

  • @vivianamani2310
    @vivianamani23103 жыл бұрын

    Nani kama Mungu wetu? Hakika siku zote hazoeleki Mungu. God bless you Bro....

  • @catherinekimeu5798

    @catherinekimeu5798

    3 жыл бұрын

    Hakika matendo yake yanatisha!

  • @kariamnelly
    @kariamnelly11 ай бұрын

    Proud Kenyans in the house,,,the song is so emotional may God bless you annoint ,am so blessed

  • @medsonmahondo9410
    @medsonmahondo9410 Жыл бұрын

    TANZANIA Tunakushuru Mungu Kwa kutupatia waimbaji Wanaojali kazi Yako Kama hivi wewe Mungu hauzoeleki kamwe

  • @EsterKennedy

    @EsterKennedy

    2 ай бұрын

    Ndio kwa kwel

  • @nellychitera9065
    @nellychitera90653 жыл бұрын

    Haleluuuuyaaaa wewe ni Mungu kweli tupe hekima kujuwa mapenzi yako, kunyenyekeya chini ya miguu yako Baba. Hauzoweleki kweli. Mungu akubariki kwa wimbo huu mtunishi

  • @bettyachieng8569
    @bettyachieng85693 жыл бұрын

    I keep repeating it,it connects me to the most high,, good work here,may God continue blessing you Annoint,,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @babrahkambi8597

    @babrahkambi8597

    2 жыл бұрын

    Nice song it's really blessing me.God bless you en lift you up each day in Jesus name 🙏🙏🙏🙏

  • @clarismdamu5906
    @clarismdamu59062 жыл бұрын

    I keep repeating this song...Kweli Mungu wetu anatisha...May God bless you Amani

  • @nelsonkimutai1961
    @nelsonkimutai19612 жыл бұрын

    God bless you for bringing pure biblical definition 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯

  • @sonjustus5258
    @sonjustus52582 жыл бұрын

    I always get emotional when I listen to this song. It has become my daily prayer; every day I have to listen to this song. Such a blessing... our Lord is Almighty, mkuu wa majeshi, God of Abraham, God of Isaac, our good Lord who never fails us. Such a blessing brother. All the way from 🇰🇪

  • @carolineRivera2198

    @carolineRivera2198

    2 жыл бұрын

    Such a blessing

  • @naomyruttoh4569

    @naomyruttoh4569

    2 жыл бұрын

    In deed it is 🙏🙏🙏👏👏👏👏

  • @chepkoechjoy3513

    @chepkoechjoy3513

    Жыл бұрын

    Me too

  • @gashuri7clement-je9gb

    @gashuri7clement-je9gb

    10 ай бұрын

    And me also this song becomes my usual prayers May this guy be blessed with the Lord

  • @linahwekesa8354
    @linahwekesa8354Ай бұрын

    Jehovah you are above all, never give up in prayers, he will fulfill all your promises even if he delays he answers in 3 ways, 1,on time 2,wait, 3,later 🙏🙏🙏

  • @happykisigaye7875
    @happykisigaye7875 Жыл бұрын

    How powerful is the WORD OF GOD in this Song🙌🏼 we are just getting God himself in this song, bless you Man of God.

  • @ashioyaesther5253
    @ashioyaesther52533 жыл бұрын

    Wale WA gulf tubarikiwe sote🙏🙏anaitwa Jehovah hazoeleki kamwe yupo nasi

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze26123 жыл бұрын

    Mungu akubariki kwa kazi zako Annoint Aman,nabarikiwa sana kwa nyimbo zako..nabarikiwa sana na kazi zako kuna wimbo unahusu wanawake naupenda sana.

  • @catewambui7502
    @catewambui7502 Жыл бұрын

    Hii nimeisikiliza mpka nikiingia kuomba najikuta naomba nayo aki amani mungu akuzidishie neema na asimame upande wako na upande wa huduma yako milele awe mtetezi wako am always blessed be blessed too amani

  • @TimenessStereo
    @TimenessStereo Жыл бұрын

    I keep coming back to this song because I'm always reminded of how mysterious God is.

  • @stevenemil2753
    @stevenemil27533 жыл бұрын

    Glory to God, umenibariki mtumishi wa Bwana Yesu. Nakutakia huduma njema ukafanikiwe kwa jina la Yesu Kristo

  • @user-nz4ml4ub4f

    @user-nz4ml4ub4f

    10 ай бұрын

    Amina!@!!.

  • @ondusojoyce5449
    @ondusojoyce54493 жыл бұрын

    Every time I listen to your songs It gives me another hope for tomorrow,, together bro from🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gud work

  • @ramachas5725

    @ramachas5725

    2 жыл бұрын

    mungu akubaliki

  • @josephinemutinda894

    @josephinemutinda894

    Жыл бұрын

    Very interesting to me and my family ever time I listen to the song amazing song to my life be blessed mungu mwaminifu hazoeleki kamwe very true

  • @hellenfatu7490
    @hellenfatu7490 Жыл бұрын

    This song is a blessing in my life my enemies have tried but who is God they continue to wonder about the God i serve he never fail hes faithful.

  • @charitymuingo2810
    @charitymuingo2810 Жыл бұрын

    I can't get enough of this song. telling us how mysterious, wonderful our God is.

  • @damas5665
    @damas56653 жыл бұрын

    Hakika nimebarikiwa mtumishi ubarikiwe na mungu kwa huu wimbo nimeenda kwakweli kiwango kingine ....Amen 🙏🙏🙏

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa3 жыл бұрын

    😭😭😭Mungu hauzoeleki kamwe🙏🙏🙏... Nimeupenda wimbo huu zaidi

  • @chachamarato9258

    @chachamarato9258

    2 жыл бұрын

    Nakubali huu wimbo sana ubalikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    2 жыл бұрын

    Una nguvu ya Mungu

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    2 жыл бұрын

    @@chachamarato9258 Hunishindi Mimi naupenda Sana sana wimbo huu.

  • @julianasamuel977
    @julianasamuel977 Жыл бұрын

    Very inspirational song ....I can't get enough of it...kweli Jehovah hazoeleki kamwe,,,ni rafiki mzuri ukipita mipaka yake anakusahau 🙏 The song has really blessed me 🔥

  • @user-bs6dg6bw8g
    @user-bs6dg6bw8g9 ай бұрын

    Eeh mungu tazama imebaki miezi mitatu ilikufika 2024 endelea kutulinda Tanzania nzima nannje ya nchi mungu tukochini yamiguu yako tusaidiee 🙏🙏🙏🙏

  • @boazdanken
    @boazdanken2 жыл бұрын

    Kwekweli nimebalikiwa Sana Sana Annoint Endelea Kumtukuza MUNGU

  • @annointamani3285

    @annointamani3285

    2 жыл бұрын

    Wooow nashukuru sana kaka angu kwa kunitia moyo, Hakika mimi siwezi kitu, Utukufu nikwa Bwana Yesu anaejua kuimba ndani yetu, Pia Hongera sana kaka kwa kazi ya Mungu unayo ifanya hakika Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani yako,umekuwa mwalim mzur na mfano mzuri sana kwa unyenyekevu wako kwatu sisi wadogo zako hasa Mimi kwakweli najivunia uwepo wako,Naomba Mungu ainue juu sana kusudi lake ndani yako,Ili wengi waokolewe kwa na kumtafuta Mungu kupitia Huduma uliyopewa, Nakuombea sana kaka tuko pamojaaa.

  • @boazdanken

    @boazdanken

    2 жыл бұрын

    Utukufu na Heshima Kwa YESU Sisi ni Vyombo Tu asante Sana Mtu wa MUNGU kwa Maombi

  • @annointamani3285

    @annointamani3285

    2 жыл бұрын

    @@boazdanken Emeen kaka angu wacha tumtumikie Alie tuita maana saa yake ikarbu mno,siku moja tuonane juu tukipewa taji ya kazi tunayo ifanya kwaajili ya mwili wa kristo, Tuko pamoja sana kaka angu.

  • @JeremyhadassahOfficial

    @JeremyhadassahOfficial

    2 жыл бұрын

    @@annointamani3285 Uishi milele

  • @maureenmuthoni2403

    @maureenmuthoni2403

    2 жыл бұрын

    @@annointamani3285 you really blessed me with you songs keep up the good job man of God

  • @marysaisi6392
    @marysaisi63923 жыл бұрын

    Jehova hauzoeleki kamwe,,,oh my God I can't stop listening to this song it's such a blessed song...annoint you're such a true man of God be blessed.

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah57132 жыл бұрын

    All Glory be to Almighty God much respect from Uganda God bless you Amani

  • @user-qy9ot1nc3w
    @user-qy9ot1nc3w Жыл бұрын

    I love the gospel songs of our great artist annoint, congratulations to you for producing amazing songs

  • @hamisilulu3325
    @hamisilulu33252 жыл бұрын

    Wimbo umenibariki Sana 💪 Kaka yangu mungu azidi kukuinua kwq viwango vya juu sanaaaaaa✍️✍️✍️

  • @masekete
    @masekete3 жыл бұрын

    Acha wabaki kushangaa sasa maasidi .......

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    3 жыл бұрын

    Kabisa tena watashangaaa sana maana huyu ni Mungu alie hai anataka watu wamwogope sana sana .

  • @masekete

    @masekete

    3 жыл бұрын

    @@afrikaone9609 Amina ....

  • @sylviablessed1998
    @sylviablessed19982 жыл бұрын

    I tell you i shade tears and pray every minutes i listen to this. You inspire me man of God. You are a blessing. More grace that this may reach out to many.

  • @fridahlisa4872
    @fridahlisa4872 Жыл бұрын

    Only God knows how many times i have watched this song. . Hata majirani hunishangaa bwana

  • @aronkipyego6668
    @aronkipyego66683 жыл бұрын

    Mungu aitwe mungu kweli Such a nice gospel song i listen every day🙏

  • @santanabii5374
    @santanabii53743 жыл бұрын

    Watching from Nairobi (kenya) be blessed so much brother,,kazi nzuri nyimbo zako ziko nice!!e.g mama sukuma mtoto,shilembe tuko nyuma yako na zaidi ya yote sifa na utukufu zimrudie mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @rehemaburuna5654
    @rehemaburuna56542 жыл бұрын

    Raha sana kumtumikia Mungu ukiwa kijana mwenye nguvu na afya tele, hakika BABA anajivunia vijana kama nyie, Akutie nguvu uzidi kumtukuza katika siku atakazokujalia kuishi duniani 🙏

  • @carolcarol9614
    @carolcarol9614 Жыл бұрын

    I was feeling like giving up on life, until now i landed to this song and it gave me hope be blessed Man of God

  • @rebeccahkathoka9966
    @rebeccahkathoka99662 жыл бұрын

    How I love this. Seeing a young man so much into God. Serving God with all in him. May God grant you more grace to minister to the world son Annoint. I pray that my Sons serve God with such zeal. God's blessings upon you Son. In Kenya we love you so much.

  • @tobiaswanjala4100
    @tobiaswanjala41002 жыл бұрын

    Be blessed logged in from Kenya 🇰🇪

  • @sonniekhalisia4445
    @sonniekhalisia4445 Жыл бұрын

    I love this song,when I wake up in the morning and when I retire to bed at night, much love from Kenya Amani 💯🙏

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 Жыл бұрын

    Hallelujah Hallelujah utukufu kwa Mungu wetu Jehova ndio jina lake💞🙏🙏🙏

  • @Engineerwanjala
    @Engineerwanjala3 жыл бұрын

    Ujembe wako waingia moyoni na kukuza Imani papo hapo. Yeye Mungu mkuu

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    2 жыл бұрын

    Ni kweli kabisaa.

  • @ethelkuta8408
    @ethelkuta84083 жыл бұрын

    The beauty of this song is that its entirely based on the word of God.The dancing style is very decent. The emotions very contagious. Amani Mungu akuinue zaidi.

  • @elizabethmkinga3191

    @elizabethmkinga3191

    Жыл бұрын

    God bless you kazi nzuri mungu akulinde na akupe maisha marefu I love you so much

  • @mtegajoycel997

    @mtegajoycel997

    10 ай бұрын

    Be blessed in advance

  • @nathanielsteven2186
    @nathanielsteven2186 Жыл бұрын

    Blessing song,inspiring song.It enlight our eyes to God,what a mervalous song is this.Congratulation to my bloved brother,you may be continouly blessed my brother.Keep your eyes to God,he will never leave your mouth to get dry,your mouth may be blessed my brother,you are making,you will make great and God may protect you and have a straight way for you. I LOVE YOU BY THE LOVE OF JESUS CHRIST,Your beloved brother from 🇹🇿🇮🇱.

  • @linetmwania2069
    @linetmwania2069Ай бұрын

    Hakika Mungu wetu anatisha na kamwe azoeleki,,,good message man of God na ubarikiwe Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakipenda

  • @jollyali4937
    @jollyali49373 жыл бұрын

    Wimbo mtamu!!! Uinuliwe ndugu,,,

  • @phoebemuendo1426
    @phoebemuendo14263 жыл бұрын

    Hakika binadamu ni mavumbi.Nani Kama Huyu Mungu wetu.Aliyekuwepo na atakayekuwepo milele. Kazi nzuri Kaka.Barikiwa

  • @dennisyegon9179
    @dennisyegon91792 жыл бұрын

    what a sweet song of blessing.....God uplift your talent to greater heights

  • @metrine308
    @metrine308 Жыл бұрын

    I went to church evening service this song has blessed many people waah God bless you A man of God

  • @mumblessed001
    @mumblessed0012 жыл бұрын

    Wimbo mzuri umenibariki sana our brother be blessed and more Grace hallelujah

  • @drsmartdanial3735
    @drsmartdanial37353 жыл бұрын

    Barikiwasanatenasana,mutumishi just watching this buetiful hit from, USA 🇺🇸

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    2 жыл бұрын

    Mungu ni mwemaaaaa

  • @sholeielijah1356
    @sholeielijah1356 Жыл бұрын

    This song has really triggered my emotions and spirits. This guy is singing the bible, I dedicate it to my late Dad. May God raise annoint amani to higher level so that he can continue to lift peaple from one level to other through songs.

  • @SuzyMatemu
    @SuzyMatemuАй бұрын

    Ukiimba huu wimbo kwa mawenge you can't understand anything but when you sing in deep and emotional you will hear a presence of God

  • @abedyfleva9284
    @abedyfleva92843 жыл бұрын

    I really love your songs Mr.Annoint.... Nipe like zake hapa👇.

  • @josloitalal4774
    @josloitalal47743 жыл бұрын

    MUNGU alieko na atakueko binadamu ni upepo,,, MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU... Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🤝

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    3 жыл бұрын

    Hakuna kama yeye Haleluyaa nalia tu kila wakat.

  • @teddyaloycehhayuma9643

    @teddyaloycehhayuma9643

    3 жыл бұрын

    Ukweli mtupu mungu atusaidie

  • @saidyndambwe5994

    @saidyndambwe5994

    2 жыл бұрын

    @@teddyaloycehhayuma9643 Hi

  • @mollyadhiambo1640
    @mollyadhiambo16402 жыл бұрын

    Wheneva i.listen to it i.fill lowly Thanks For the News Gods servant

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Жыл бұрын

    Nadhani mtoto anayeshindwa kumzoea baba yake anakuwa ndiye mwenye matatizo. Huyu Mungu anayeongelewa humu ni yuleeee wa mlima sinai. Mungu wa sasa wa agano jipya ni baba yetu na anazoeleka sana. The song blesses the spiritually malfed christians.

  • @paulomwalimu6731
    @paulomwalimu67313 жыл бұрын

    Nimejifunza kitu kikubwa sna katika wimbo huu ubarikiwe Sana mungu akuinue zaidi na zaid

  • @saidinzohabona57

    @saidinzohabona57

    2 жыл бұрын

    Nani wakunipatiya nambazake nimemupenda nimetaka nimupe muaroko aje.ukuburundi mwezi 7 kwenye mukutano mukubwa

  • @luciemumo908
    @luciemumo9083 жыл бұрын

    Amazing song... Kwa kweli si Mungu wa kuzoeleka. Am blessed through this song!!!

  • @mercykamau4360
    @mercykamau43607 ай бұрын

    I didn't know who sang this song until he landed in Kenya this morning.Welcome Amani to Kenya

  • @MaggyMaggy-dk2kz
    @MaggyMaggy-dk2kz2 ай бұрын

    This song gives me the strength to stand before my enemies,may the singer be blessed.

  • @henrymsongs2543
    @henrymsongs25433 жыл бұрын

    Wooow!I can't stop listening to this song.It's an unavoidable blessing.May God increase you and extend your tent in His service.More grace.

  • @upendomwampiki6345

    @upendomwampiki6345

    2 жыл бұрын

    Ubarikiwe Sana mungu azidi kukuinua

  • @fearful254

    @fearful254

    2 жыл бұрын

    Mimi nimekosa usingizi yaani natafakari ukuu wa Mungu huu wimbo kwa kweli Mungu amehusika

  • @rinagutvkenya6885

    @rinagutvkenya6885

    Жыл бұрын

    Watch out this too. kzread.info/dash/bejne/qWt1qsqjmKuye7w.html

  • @shebaobura4531

    @shebaobura4531

    Жыл бұрын

    Congratulations young man may God bless you

  • @lydiahchepkirui

    @lydiahchepkirui

    Жыл бұрын

    It's really touching I even lack words to describe him, he is indeed a man of God

  • @winnypinkysofficial
    @winnypinkysofficial2 жыл бұрын

    Beautiful song🎵🎶🎵I can't have enough of it...Jehova hazoeleki.....

  • @julianakim1202
    @julianakim1202 Жыл бұрын

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪karibu kenya kaka tumekukubali kabisa👌 huduma na collabo 🙏mungu akuzidishie neema

  • @gatuaisimongakinyo9985
    @gatuaisimongakinyo9985 Жыл бұрын

    This is a great message of all time no matter what ✍🏼 May God continue making your throat a Source of Words about his Greatness doings in every corner of the world.....I speak Blessings to you 🙏.....Much love from this end of our great republic of 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tsongovirikundi4742
    @tsongovirikundi47422 жыл бұрын

    Asante sana brother annoint kwa huo wimbo . Tumebarikiwa sana. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Marpril0304
    @Marpril03043 жыл бұрын

    This should be at 1million views. I love it

  • @mariampatrick3479
    @mariampatrick34792 жыл бұрын

    Hakika nikwel MUNGU wetu hazoeleki nabarikiwa Sana na huu wimbo MUNGU azidi kukutumia ili ufikie watu wake barikiwa Sana mtumishi

  • @fajerfajer4664
    @fajerfajer46642 жыл бұрын

    Amen 🙏🙏 tunawapenda Sana Kenya sifaeli mwaboke Na Anoint Amani barikiweni Sana

  • @wawatuproduction8844
    @wawatuproduction88443 жыл бұрын

    Hongera saana kijana Mungu azidi kukupigania

  • @antoinetedenis1944
    @antoinetedenis19442 жыл бұрын

    Nice kaka yangu ubarikiwe from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏😴😴

  • @kkjoffffzqq3982
    @kkjoffffzqq39822 жыл бұрын

    When ever am in depression then I listen to this song and I feel comfortable.

  • @piusochiengpayas3256
    @piusochiengpayas32569 ай бұрын

    Who are we before you Oh Lord 🙏🙏. May His name be praised all day long. To God Be The Glory 🙏🙏🙏

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын

    Hakika umenibariki Sana mdogo wangu mtumishi wa Mungu Mungu akupandishe zaidi good song and good video keep up thanks Director VENDEKO you done nice work God bless you to thanks this is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @annointamani3285

    @annointamani3285

    3 жыл бұрын

    Atukuzwe Yesu anaejua kuimba ndani yetu kaka angu, Asante sana kwa kuni sapot mdogo wako , NAKUOMBEA SANA KAKA ANGU UFIKE MBALI ILI WATU WA MATAIFA WAJUE KUNA MUNGU KATIKA ISRAEL, TUKO PAMOJA KAMANDA LANGU LA NGUVU INULIWA SANAAA PIA .

  • @emanuelanderson6771

    @emanuelanderson6771

    3 жыл бұрын

    @@annointamani3285 mtumishi naomba namba zako tuwasiliane unisaidie katika uimbaji nakuomba nitumie namba zako

  • @afrikaone9609

    @afrikaone9609

    3 жыл бұрын

    @@emanuelanderson6771 Mbona wameziweka hapo juu hizi hapa +255767240181.

  • @emanuelanderson6771

    @emanuelanderson6771

    3 жыл бұрын

    @@afrikaone9609 Asante sana Mungu akubariki

  • @farajaemmanuel5252

    @farajaemmanuel5252

    3 жыл бұрын

    HAKIKA WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU HAUNA HILA NDANI YAKO

  • @annab9243
    @annab92433 жыл бұрын

    The light of God is unapproachable.

  • @cate774
    @cate7742 жыл бұрын

    Annoint is such as a role model to our generation of young people, he has shown us young people can also preach the word of God.....

  • @JudithKimutai
    @JudithKimutai13 күн бұрын

    Mungu apewe sifa kupitia huu wimbo and continue using your servant 🙏 nabarikiwa zaidi

  • @mercyjumah9037
    @mercyjumah90373 жыл бұрын

    I've really been blessed today... Jehovah hauzoeleki kamwe

Келесі