1. HATARI ZA USHIA NA UKWELI KUHUSU MASHIA ||SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله

#habarimubashara #tanzanianyoutuber #habarizauhakika #livestream #livestreaming #juhany #bandar_baleela #awaztv #salafimanhaj #awaztvnews

Пікірлер: 26

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444Ай бұрын

    Alhadulilah kwa ukweli wote shaikh kassim Allah akuhifadhi

  • @jitu_jeusii
    @jitu_jeusiiАй бұрын

    tandika ruduud hao wazushi wote

  • @user-wo7xl2ey8y
    @user-wo7xl2ey8yАй бұрын

    Mashia lana ziwashukie

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    ITIKADI YA UIMAMU INATOKA KWA ALLAH NI YA KWELI KWANI QURAN 2:124 IMEELEZA HIVYO

  • @user-zz9bj1wh5i
    @user-zz9bj1wh5iАй бұрын

    Udhia ni lana

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016Ай бұрын

    Maeneo matukufu mmeshindwa kulinda kila siku mnapokonywa maeneo hamna mipango yoyote mmefeli kidunia Jerusalem imeondoka ivoo milima ya golani ndo kule Syria mmenyanganywa sasa nyie mnahangaika mambo yasiyo kuwa namaana

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    QURAN 2: 124 SOMA WATU WENYE KUWA VIONGOZI WANATOKEA KIZAZI GANI

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    HUO ANAOONGEA HUYU MZEE SABABU ZA IMMAM ALI KUTOA BAIYA NI UONGO MKUBWA HAKUKUWA NA SABABU HIYO AACHE KUDANGANYA UMMA

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    KWELI ELIMU YA HUYU MZEE NI NDOGO SANA ANAKATAA VITU VILIVYOANDIKWA KWENYE QURAN KUHUSU UIMAMU

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    MASUNI HAWAWASAIDII MASUNI WENZAO WA PALESTINA ILA MASHIA NDIO WANA WASAIDIA HALAFU UNALETA MANENO YA USHIA MBAYA.

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    naomba kusema hivi kuwa MZEE KASIM MAFUTA HAWEZI KUELEZEA MASWALA YA UGHALIFA KWASABABU HILI SWALA LIPO WAZI KATIKA VITABU VYA MASUNI NA KILA ITU KIMEELEZWA , HANA HOJA PAMOJA NA KUSOMA KWAKWE KOTE , NAMSHAURI ASOME TENA HADITHI ZA VITABU MNAVYOOVIITA SAHIHI MTAPATA KUONA

  • @IssaSimbilla-hw9ev

    @IssaSimbilla-hw9ev

    Ай бұрын

    Golo wewe 😂😂 ingia utube soma mijadala ya skhe kasim na mashia golo kisha tia akilini kama hao hawezi wasomi wako wewe nani? Unabweka

  • @ibnayub2374

    @ibnayub2374

    Ай бұрын

    Ughalifa ndio kitu gani? Yaan KISWAHILI hujui halaf unamkosoa sheikh 😂

  • @HamisAbdallah-cj2sc
    @HamisAbdallah-cj2scАй бұрын

    Tutuwe maidha kuhusu palestina tuache kukosoana kimadjebu hali sasa NI mbaya waisilamu wanakufa Kama kuku nyinyi mpo na mashia VP .tuiyete palestina

  • @HamisAbdallah-cj2sc

    @HamisAbdallah-cj2sc

    Ай бұрын

    Misikiti takribani yote imekaa kimya kuhusu kadhia ya wapelestina wanauwawa Kama kuku

  • @jitu_jeusii

    @jitu_jeusii

    Ай бұрын

    sisi hatuna uwezo wa kivita acha vita yetu iwe dhidi ya hawa hawa wanao haribu dini MASHIA NA MASUFI WAZUSHI

  • @hajihaji123-lp5lx

    @hajihaji123-lp5lx

    Ай бұрын

    Toa wewe hayo mawaidha,sisi twazungumzia kila jambo kwa wakati wake hivyo usitufundishe na kutuchaguliia cha kuzungumza.twazungumza ulevi,uzinifu,uchawi,,uganga,ushia,,uahmadiya n.k na sio tuzungumzie jambo moja tuu kama unavyotaka wewe

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    kzread.info/dash/bejne/lq12kqOAnMe9Zag.htmlsi=4rfLYYLF4w1gToWn ONA MABWANA WENU

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149Ай бұрын

    kzread.info/dash/bejne/oGdhrZObYpWWf8Y.htmlsi=CUOPnflPgqCygwbA KULENI CHUMA HICHO

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012Ай бұрын

    Mafuta hoja zako nyepesi sana. Lakini kwa vile sasa hivi tuko vitani na tunaomboleza mauaji ya halaiki yanayofanyika kwa watu wa Gaza, tutawajibu vita ikiisha.

  • @hajihaji123-lp5lx

    @hajihaji123-lp5lx

    Ай бұрын

    Hamuwezi,mafuta ni mafuta kweli tena mafuta ya moto usijaribu kuingiza kidole utajuta tuu

  • @IssaSimbilla-hw9ev

    @IssaSimbilla-hw9ev

    Ай бұрын

    Hahaaa upo vitani shia golo au upo kitandan unapiga --- vitan unge coment nyie mnaakili gani rafidhwaa yaani unakiili weewe hapo upo vitani wewe mmmh labda vita ya kitandan

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743Ай бұрын

    Huu ni msiba sheikh mwenye elimu nzuri kama hiyo hujui tupo katika wakati gani unaleta mambo ya usuni na ushia? Hujui mayahudi huko wanazidi kuua roho za waislam kakatili na hujui nini la kufanya? Unaleta mijadala ya madhebu eti nani ni mkweri? Jibu ni jepesi mkweri ni yule anapopatwa na shida muislam mwenziwe bila ya kujali dhehebu lake anampa msaada sasa wewe unatoa msaada gani kwa wapalestana? Mbona unawapa msaada mayahudi kuua ndg zako?

  • @abubakarilugina-zw4gt

    @abubakarilugina-zw4gt

    Ай бұрын

    Acha jazba sikiliza mpaka mwisho Kisha jibu Maswali uliyoulizwa

  • @SameerMdumbemalongo

    @SameerMdumbemalongo

    17 күн бұрын

    Wewe umefanya nn kuhusu palestina.....wewe na ukoooo wako....em tuambie.....?????

Келесі