BAYYINAT DM TV

BAYYINAT DM TV

THE CHANNEL IS DESIGNATED TO CORRECT THE DISTORTED MESSAGE OF THE BIBLE DONE BY MUSLIMS WHO ARE NOT WELL VERSED WITH THE BIBLE DOCTRINE AND TEACHINGS . SINCE THE ALLEGATIONS ARE DONE THROUGH YOU TUBE CHANNELS AND OTHER SOCIAL MEDIA PLATFORMS, IT IS THERE FORE APPROPRIATE TO USE THE SAME MEANS, BUT IN HUMBLE WITH THE WHOLE TRUTH AND NOTHING BUT TRUTH. WELCOME.

LAANA YA YESU KWA MUISLAMU

LAANA YA YESU KWA MUISLAMU

Пікірлер

  • @daudimichael7338
    @daudimichael733835 секунд бұрын

    Leo umezungumzia hoja ya 4, ya chakula chenye nembo ya Halal, tumeelewa sana. Tunaomba ukipata nafasi uzungumzie na zile hoja nyingine 3 alizotahadharisha baba yetu mzee mchungaji Simbaulanga.

  • @mtotojoshuaeliya
    @mtotojoshuaeliya24 минут бұрын

    Lusekelo,hajui kitu,nipombe zinaongea ndani yake!mlevi chapombe.

  • @samuelgacheru4854
    @samuelgacheru485451 минут бұрын

    Mwalimu bwana akumbaliki sana Kwa mafunzo mazuri umekua msaanda kwangu nikiwa Kenya.je mwalimu mtu anaweza kukupigia simu

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV46 минут бұрын

    Ndiyo unaweza kunipigia. Tumia namba hiyo kwenye sceen. Karibu

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981Сағат бұрын

    Mtapata tabu sana hamna hoja apo uislam ndo njia ilionyooka tu hamna kubabaishana

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Сағат бұрын

    Aondoa la kwanza na kuleta la pili KWANINI Uendelee kutumia Agano lililoondolewa. Sio kwamba amri zilihamishwa kutoka kwenye mbao kwenda miyoni. Bali ziliondolewa halafu zikaletwa mpya. Huwezi kuhamisha kitu toka sehemu moja kwenda sehemu ingine na ukasema ni kipya . Ndo mana anasisitiza kuondoa la kwanza sio kuhamisha AONDOA LA KWANZA yaani Agano la kale NA KULETA LA PILI yaani Agano jipya Mbona maandiko yapo wazi

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338Сағат бұрын

    Asante Mwalimu Daniel, unasaidia wengi kujua yaliyofichwa kwa miaka mingi yaliyopo kwenye Quran na Hadith za Muhammad. Kumbe vitabu vyao vinaruhusu wao kula vyakula vilivyochinjwa na Wakristo, kumbe wametudanganya muda mrefu kwamba hawaruhusiwi kula vyakula vilivyochinjwa na Wakristo

  • @daudimichael7338
    @daudimichael733827 минут бұрын

    Duh, kumbe tunalipa jizya bila kujua kwa kununua hizo bidhaa zenye nembo ya Halal?

  • @EzekielJoseph-kx9kn
    @EzekielJoseph-kx9knСағат бұрын

    Mzee wa upako atender japo si chuoni aende kwa mch Hananja amor darás kwani. Hananja hana shida Atambua au atapigwa spana mpaka aeleweke kwani hajui kitu huyo

  • @EzekielJoseph-kx9kn
    @EzekielJoseph-kx9knСағат бұрын

    Mzee wa upako aliisha Ishiwa maada Kavunja miiko aliyopewa alikopita

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Сағат бұрын

    Safi sana Daniel kwa uchambuzi huu naomba nikutumie msimbazi unywe maji . WAMETENGWA NA KRISTO wale wote wanaotegemea kupata haki kwa utii wa amri sheria na hukumu bila kutumia imani kwa yesu kristo

  • @ThomasKiwiok
    @ThomasKiwiok3 сағат бұрын

    Lakini Francis ndacha umeonekana kuwa sawa kabisa katika unenaji wako pst, lakini katika msemo wako kuwa siku ya jumapili akitokea na mpango wa mwanadamu na uwezo wetu ya kushinda mauti ni kutokana na kristo yesu aliefufuka katika wavu siku ya jumapili hasubui, na unasema tuna fuata mnyama, mnyama kani alie fufuka siku ya jumapili.

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga95664 сағат бұрын

    Google kwa kiswahili tu usome maana halisi ya neno Allah. Unapayuka tu na kudanganya watu. Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mfanowe. Yesu awe Mungu amuumbe Mariam halafu Mariam tena Amzae Mungu huyo huyo na nani sasa alianza. Kama si ukichaa ni nini. Hiyo inakuja akilini? Yesu kamuumna Mariam halafu Mariam kamzaa huyo huyo aliemuumba yeye ndio mjinga anawaambia wenzie wajinga. Hata mzee wa upako au wayahudi hawaamini hivyo. Yehova Mungu wa Judaism ya Wayahudi hana uhusiano na Yesu

  • @venancemwakibete9763
    @venancemwakibete97634 сағат бұрын

    Kwa hili Mwankemwa umeeleweka vizuri nawashauri wote wawili muungane ili kuwakabili waisilamu (siku haimwokoi mtu achani kupoteza mda kujadili siku)

  • @saimonijonas1471
    @saimonijonas14714 сағат бұрын

    Tujiulize.Bikra inakazi gani kiroho? Kwanini Mungu aliiweka? Shida wengi tunafundisha kwakutumia mihemko na matashi ya watu.Tukumbuke Mungu anamchukia Sana mwanaume anaye mbikiri mwanamke na kumuacha.kwanini Mungu anakuwa nahasira katika Jambo hilo?

  • @user-mw3oq4vz6k
    @user-mw3oq4vz6k5 сағат бұрын

    Mzee wa upako hajawah kumkana yesu kuwa mwana wa mungu tuonyeshe iyo klip aliyo mkana

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba44135 сағат бұрын

    Huyu Mzee wa upako siku hizi simuelewi kabisa na mahubili yake yakupotosha watu kuna krip aliitoa ya kumkana Yesu kua sio Mwana wa Mungu na wala sio Mungu

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace42545 сағат бұрын

    Sule soma Kutoka6 ili umjue Mungu wa biblia ni nani baada ya kuisikiza voice ya mwalimu Daniel

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace42545 сағат бұрын

    Sule huzo 200milion abaki nazo zisije zikawa ni za majini.

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace42545 сағат бұрын

    Mungu wa Biblia yupo juu sana kwa binadamu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga95666 сағат бұрын

    Google kwa kiswahili tu uone maana ya neno Allah halafu utubu . Kwani umemtukana Mungu mwenyezi

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest6467 сағат бұрын

    Mwalimu huyu mzee wa upako ni muhuni tu,sasa hivi hatuko kwenye agano la damu yoyote isipokuwa damu iliyomwagwa msalabani.hiyo imefuta damu zote ndiyo maana ndoa bila Yesu hata kama ulimkuta na bikira bado kutakuwa na shida.

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga95668 сағат бұрын

    Fungua kamusi au google kwa kiswahili usome maana ya neno Allah. Ukweli unaaibisha na unachuma dhambi kwa kumtukana Mungu. Yesu awe Mungu wakati yeye kazaliwa na aliyeumbwa na Mungu? Hivi hua mnafikiri kabla ya kuongea? Kwa hivi kwa uelewa wako nani kaanza Yesu kumuumba Mariam au Mariam kumzaa Yesu.Na je hii inawezekana? Ni upuuzi mtupu

  • @kososelmbuwa5718
    @kososelmbuwa57189 сағат бұрын

    Sasa binti akijakuta kijana wa kiume ameshapitia mabinti wengi huyo atakuwa mme wa nani? Na. Ninaamini kama hata yeye alikua ameshapitia wengi

  • @samuellubunga1728
    @samuellubunga172810 сағат бұрын

    Swali langu mwalimu Je kuoa wake zaidi ya umoja ni dhambi nataka maadiko pastor

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV9 сағат бұрын

    1 Wakorintho 7:1-2 [1]Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. [2]Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mke mmoja na mume mmoja. Mume anamwakilisha Kristo Ambaye ni mmoja, na mke analiwakikisha kanisa ambalo nalo pia ni moja. Waefeso 5:22-24 [22]Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. [23]Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. [24]Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Kristo ni mmoja na Kanisa ni moja.

  • @peterntandu1919
    @peterntandu19199 сағат бұрын

    Safi

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace42546 сағат бұрын

    HIO 1WSKORINTHO7 DANIEL AMEITAJA MWANZO WA MADA

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr6 сағат бұрын

    ​@@BAYYINATDMTVBarikiwa sanaa mtumishi

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa22585 сағат бұрын

    UKWELI UNATUWEKA HURU LEO PENYE MKE BIKRA NA MME MPYA. NDO HASA MPANGO WA MUNGU HAYA MENGINE TUVUMILIANE TU MAISHA YASONGE.

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk14 сағат бұрын

    Ndiyo maana aliyembikri aliuwawa kwahiyo alibaki kama mjane Dina

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV10 сағат бұрын

    Je hakupaswa kuolewa tena? Na yule ambaye angemuoa asingemkubali kuwa ni mke wake kwa sababu siye aliyembikiri?

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk14 сағат бұрын

    Kwa mtu aliyebakwa kwakuwa hakutaka ndiyo maana Mungu alitoa msamaha kwa waliobakwa kwasababu umetwezwa nguvu si kwa hiali yao

  • @amedesamki425
    @amedesamki4256 сағат бұрын

    Ole wake aongezeye au apunguzaye neno rev 22.18 neno la kristo likae kwa wengi ndani yenye.......col 3.16 jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu......3tim.2.15

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk14 сағат бұрын

    Sawa lakini Mwl Daniel, Mungu alitoa ruhusu wajane waolewa ili kuhifadji uzao kwa huyo mwanamke anakuwa mwaminifu kwanza ila sasa hakuna namna nyingine maana mme wake amefariki au kwa kubakwa ndiyo maana Mungu alitoa ruhusa kwa sababu hawakutoa bikra zao kwa utashi wao na hao hawana hatia mbele za Mungu tofauti na wale wanao kubali wenyewe maana wamehiyali kufanya hivyo

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga668916 сағат бұрын

    Leo umeniongezea ufahamu kumbe hawa sio wasabato mi nilijua tu kuwa sio wakristo kumbe tena sio wasabato ni sawasawa kabisa

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin801417 сағат бұрын

    Mwl Daniel Utandu umekukaa rohoni kuasi kwamba ukweli rahisi anaokupa kwa mujibu wa biblia haukuingii moyoni. Unaona shida kukiri mapungufu yako.

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin801417 сағат бұрын

    Mwl Daniel anachanganya sabato (sabbaths) za sikukuu za maadhimisho (ceremonial laws) zilizokuwa zikisonda kwa masihi ajaye. Baada ya Masihi Yesu kujua, zilikoma. Sabato hizo si sehemu ya amri 10 ambayo Sabato ya siku ya 7 ya kila wiki sehemu yake kama amri ya 4.

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV8 сағат бұрын

    Sijachanganya chochote. Sabato zote zilikomeshwa. Je uko tayari niweke kipindi na wewe ili uje utueleze hayo? Nijulishe. Kama uko tayari nitumie namba yako ya WhatSap. Huenda tukaelimishana.

  • @yamungummungulo633
    @yamungummungulo63317 сағат бұрын

    Ila mwalimu we unaelew amri za Mungu zipo ngapi?

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV10 сағат бұрын

    @@yamungummungulo633 suala la amri 10 inahusikaje kwenye somo hili?

  • @peterntandu1919
    @peterntandu19199 сағат бұрын

    ​@@BAYYINATDMTVwakikosa hoja wanaanzisha yasiyohusika na kilichopo😂

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin801417 сағат бұрын

    Mwl. Daniel hajaelewa kuwa sheria za amri 10 za Mungu ziko ktk vitabu vya begani jipya hata kama hazikupangwa kwa mtiririko wa 1, 2, 3, .. Ktk nyaraka za Mtume Paulo ametaja mikusanyiko ya ibada siku za Sabato x 84. Ilikuwa ni desturi ya Yesu Bwana wa Sabato , kuitunza sabat.

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV17 сағат бұрын

    Usilalamike kwa maneno matupu. Kama unazo aya hizo anzia na ya Yesu kutunza Sabato baada ya kufufuka. Karibu.

  • @Aggreymbugano
    @AggreymbuganoСағат бұрын

    ​@@BAYYINATDMTV16 Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao. Yohana 9:16 28 Basi wakamshutumu, wakasema, Wewe u mwanafunzi wake yule; sisi tu wanafunzi wa Musa. Yohana 9:28 29 Sisi tunajua ya kuwa Mungu alisema na Musa; bali yule hatujui atokako. Yohana 9:29 34 Wakajibu, wakamwambia, Ama! Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufundisha sisi? Wakamtoa nje. Yohana 9:34 Kama Yesu mwenyewe hakuishika sabato mimi ni nani hata niishike sabato mwalaimu wangu wasabato wasikunyang'anye haki yako kwa jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai

  • @SamweliMaganigani
    @SamweliMaganigani19 сағат бұрын

    Asante kwa jibu zuri mwalimu mwankemwa

  • @FredLusweti-zm1ou
    @FredLusweti-zm1ou19 сағат бұрын

    Hapo sasa kweli Yesu ni ufunguo asante mwalimu Daniel mungu awe nawe na kutufundisha yale hatukujuwa , fred Lusweti kutoka Nairobi wa maisha ya uzima wa milele ,,

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk20 сағат бұрын

    Ndacha pambana kuokoa roho za waislamu pengine na waromani ambao wako vuguvugu hachana kabisa na watu walio okoka au hujapata kusoma andiko Bwana Yesu akisema kondoo wengine ninao ambao siyo wa zizi ili.

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu366418 сағат бұрын

    Waromanu mumesha wahukumu..😂

  • @Aggreymbugano
    @AggreymbuganoСағат бұрын

    Yuko kimwili zaidi

  • @user-bw1wn3sz4z
    @user-bw1wn3sz4z20 сағат бұрын

    Torati ni 613 siyo 10 kumi ni agano la kale kt ya waisraeli na Mungu

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri116 сағат бұрын

    Kama ni ivo sasa anza kuzini, kuiba na dhambi zingine. Ndugu yangu, amri za Mungu ziko pale pale

  • @user-bw1wn3sz4z
    @user-bw1wn3sz4z20 сағат бұрын

    Ndacha hapa unasema wongo

  • @deusNjimba
    @deusNjimbaКүн бұрын

    WOTE. MMEKOMBOLEWA. NA YESU. SIKU. HAIOKOI

  • @deusNjimba
    @deusNjimbaКүн бұрын

    NDACHA. TUAMBIE. MAANA. YA. HII AYA. YOHANA 5.18

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541Күн бұрын

    KRISTO yesu ndiye Bwana wa sabato; 1 corr 5:7_8.Amen and amen

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439Күн бұрын

    Sawa tunaingia ibadani na viatu Bora mara 100% kuliko kufanya ibada na majini mashetani na tunajua mashetani watatupwa motoni jehanamu wewe shekhe usijisifu na hiyo Dini ya majini unachekesha Sana na huyo allah hana address nzuri

  • @thiswayministy
    @thiswayministyКүн бұрын

    Ukweli mtumishi;John 8:32 [32]And ye shall know the truth, and the truth shall make you free. tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Күн бұрын

    Kumbe mnalazimisha siku wazee hapo hakuna point hilo andiko halihusiani

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Күн бұрын

    Mwendo wa sabato Nini maana yake siyo siku ya sabato

  • @denismugisha2
    @denismugisha2Күн бұрын

    Siku ya jumapili imepitishwa na kupangwa na wanadamu, je Yesu afufuke lini, nayo ilipangwa na wanadamu?

  • @tridaxprocumbens6079
    @tridaxprocumbens6079Күн бұрын

    Kwani Yesu kufufuka jumapili inahusiana nini na ibada ya jumapili??

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539Күн бұрын

    Yes ni siku ya utukufu mkuu BWANA AMEFUFUKA ​@@tridaxprocumbens6079

  • @denismugisha2
    @denismugisha2Күн бұрын

    @@tridaxprocumbens6079 Sabato ya jumamosi ilitokeaje?.... ni utasema MUNGU alipumzika baada ya kazi ya uumbaji Vivyo hivyo jumapili BWANA alifufuka ikiwa siku ya BWANA

  • @tridaxprocumbens6079
    @tridaxprocumbens6079Күн бұрын

    @@denismugisha2 nipe andiko linalosema jumapili ni siku ya Bwana

  • @hopeofthenations3535
    @hopeofthenations3535Күн бұрын

    Kwani ulijuaje sabato ni jumamosi?? Wapi kwenye Biblia inasema siku ya sabato ni jumamosi???​@@tridaxprocumbens6079

  • @user-pl3pc4wk9i
    @user-pl3pc4wk9iКүн бұрын

    Nirudie tena comenti ndacha endelea na kufundisha unajua sana mwenzetu aelewe kwa kuwa amesha sababisha tuache kuamini agano jipya

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV22 сағат бұрын

    @@user-pl3pc4wk9i Unataka ung'ang'anie Agano la Kale ambalo lilitoweshwa? Unaipenda photocopy kuliko original? Pole sana

  • @user-pl3pc4wk9i
    @user-pl3pc4wk9iКүн бұрын

    Yote ni sawa tuu ilimladi usivunje sheria ya mungu. harafu hiyo habari ya kusema kwamba mungu anafanya kazi kwa vipindi siyi kweli mungu anafanya jinsi apendanyo siyo kwa vipindi. Ama bora useme ali wakati ule tulisoma agano katika vipindi tofauti

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductionsКүн бұрын

    Yesu anatutosha kufika mbinguni Na yéyé ndiye sabato yetu. sio kurudi katika agano la kale

  • @jjtm164
    @jjtm164Күн бұрын

    Ninakupenda sana mwalimu Daniel Mimi ni mkenya

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace4254Күн бұрын

    Hakuna mahala tunaagizwa kuishika siku[ ukiwaondoa Waisraeli] sisi tunapaswa kumwabudu Mungu pasipokuishika siku bali siku zote tumwabudu Mungu maana siku zote ni mali ya Mungu. Yesu alishitakiwa na wayahudi kwa kosa la kuivunja sabato na kweli aliivunja akiwa na maana haina nguvu tena. Yote sisi ka Wakristo tumsikilize Roho Mtakatifu anatwambia nini kuhusu sabato? Nafsi yangu haimuhukumu mtu kwa kushika ama kutokushika siku[sabato].

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace4254Күн бұрын

    Kwa hiyo sabato zipo nyingi nini maana ya neno sabato?

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq7 сағат бұрын

    Siku ya Saba yenye mungu aliitenga na kuipumzika