Daaaaaah aiseeee sasa hawa jamaa mbona hawaimbi tena yani wapo vizuri kinoma noma yani afu hawa ndyo walikuwa wasanii halisi kabisa yani hata ukiangalia wanavyoimba siyo kama hawa wasanii wa kiki wa siku hizi wanataka background play ya wimbo wao wenyewe ndyo waweze kuperform
@patricksebastian5617 Жыл бұрын
Mbona wimbo wa nizikwe hai haupo
@lucaslucaslucasstaphord3674 Жыл бұрын
Vyakale dhahabu bado vinang'ara
@abubakarihamissi4178 Жыл бұрын
wanaume walikaa wakaandika sio mziki wa sasa hivi usenge mtupu.
Пікірлер: 16
Talented musicians in our land,,,,,,nizikwe Hai ,,,best song.
Good music inaishi milele aisee 🔥🔥🔥 yani nyimbo hizo hata zikitoka upya bado ni za moto, sio manyimbo tunayoimbiwa sikuhizi daah
Jamaa ana pumz xhana..nakubali
Your the best for all time ma brother zangu sharp sana mungu awape nguvu kaka zangu
Old is gold, nice song.
Aiseeeeee aiseeeeeee aiseeeeeeeee aiseeeeeeeee hakikaaa hakiikaaaa hakiiiiikaaaaa ulegend cy wa kubahatishaaaaaa oyaaaaaaaaaaaaaa duuuuuuuuuuu😭😭😭😭😭
nizikwe hai bonge la ngoma yan.
@BT-sx6xf
Жыл бұрын
The best of dojo na domo
Ni kwere
naomba mwendelezo niskie nizikwe hai live
Daaaaaah aiseeee sasa hawa jamaa mbona hawaimbi tena yani wapo vizuri kinoma noma yani afu hawa ndyo walikuwa wasanii halisi kabisa yani hata ukiangalia wanavyoimba siyo kama hawa wasanii wa kiki wa siku hizi wanataka background play ya wimbo wao wenyewe ndyo waweze kuperform
Mbona wimbo wa nizikwe hai haupo
Vyakale dhahabu bado vinang'ara
wanaume walikaa wakaandika sio mziki wa sasa hivi usenge mtupu.
@user-bs1rz7op9r
Жыл бұрын
We acha tu man 😢
@iddyvedastus8457
4 ай бұрын
😂