Usituchokoze waislamu,kabla haujamuita Rais Samia mdini tazama hizi Takwimu - Sheikh Mziwanda

Пікірлер: 459

  • @soudia9084
    @soudia9084 Жыл бұрын

    Sheikh Ilunga.mmMwenyezi Mungu amrahamu

  • @abubakarmuhammadsaid3244

    @abubakarmuhammadsaid3244

    Жыл бұрын

    Aamin

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Жыл бұрын

    Shukran sheikh, ALLAH akuhifadhi, huyo mzee warioba naona fyuzi zinakatika mara kwa mara

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 Жыл бұрын

    Shukran Sheikh hukupindisha maneno na data unayo hao wanaomsema mama wanataka fitna.Mama anajitahidi kuonyesha upendo kwa wananchi wote na kwa muda mfupi ameonyesha mabadiliko.Kwani hijabu ndio inayoongoza nchi au hikma.Allah akubariki Shekhe.

  • @margarethpolepole7438

    @margarethpolepole7438

    Жыл бұрын

    Tunahitaji amani tu udini hatutaki waislamu na wakristu tunazaliana

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 Жыл бұрын

    Sheikh mziwanda ❤ Allah akupe mwingi

  • @alwymohammad5336
    @alwymohammad5336 Жыл бұрын

    Asante Shekhe. Ukweli ni mafuta yaelea. Allah atawavunja miguu mahasidi wasiweze kusimama.

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 Жыл бұрын

    Wanashindwa kustahmili wenzetu, kikubwa dua ziwe nyingi ndg za waislam tumuombee huyu Rais wetu Mola amlinde,

  • @davidsimbeye1548

    @davidsimbeye1548

    Жыл бұрын

    Tena waislam ndo wanaoongoza kumpinga mama na hasa wanawake,. Mimi ni mkristo lkn namkubali sana rais Samia.

  • @zubedabunto1296

    @zubedabunto1296

    Жыл бұрын

    Kwa kweli subira hawana na hawana kumbukumbu. Allah tulindie mama yetu na umpe hekima ya nabii Suleiman. David Simbeye nmekuelewa na nimekukubali, Allah akuongoe uijue haki

  • @zubedabunto1296

    @zubedabunto1296

    Жыл бұрын

    hawa majirani zetu kwa kweli!!!

  • @mansooralaisri5200

    @mansooralaisri5200

    Жыл бұрын

    Tatizo wakristo, akitawala mwislam roho inawauma sana. Wanavo Amini wakristo kwamba Tz ni yao. Hata zanzibar wanajenga makanisa ili kuimeza iwe ya wakristo. Hapo ndio mmekosea. Makanisa ya Znz yote yana majini Cheketu.

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын

    ukweli waislam ndio kauli zenu maashallah shekhe 🤲hao wa upande wa pili wafe vinywa wazi inshaallah kwa ubaguzi wanapenda 😭😭 yarab mpe nguvu na subra samia wet❤😭😭😭😭

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 Жыл бұрын

    Huyu sheikhe Huwa namkubali saana yaani Allah akutangulie katika ukweli wako

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 Жыл бұрын

    Mimi Kwa mawazo yangu ni kwenye uongozi tuangalie uwezo na sio dinin ya mtu

  • @rugetehassan5942

    @rugetehassan5942

    Жыл бұрын

    In position Integrity is first thing

  • @sadikiissa7756

    @sadikiissa7756

    Жыл бұрын

    Tatizo Wakristo wengi wameshalishwa sumu na wazungu ili wauchukie Uislam ili iwe vyepesi kupitisha sheria za mila za Wazungu zenye kwenda kinyume na maandiko. Ndipo Leo unaona ushoga umeshamiri. Lkn Wazungu wanawajua vyema Waislam kwqmba asilimia kubwa wameshika maandiko hivyo ni vigumu kuwashawishi kupitisha mila zao za kishenzi. Wakristo na Waislam tushikamane na tuijue hii mitego ya Wazungu mapema.

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 Жыл бұрын

    Jamani hawa wazee waliostaafu tusiwape nafasi ktk vyombo vya habari, wanaongea hovyo.

  • @editrudesmbonde9051

    @editrudesmbonde9051

    Жыл бұрын

    Hivi unajua kuwa waanzilishi ni waarabu wenye dini yenu??😂😅

  • @mohamedmwatuwano5526
    @mohamedmwatuwano552610 күн бұрын

    Masheikh leteni mapya yasaidie masikini.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын

    Tunajivuni kuwa waisilamu sababu mwisilam maishani kwetu tunapenda salama alhamdulilah rabillamin mwenyezi mungu atupe uvumilivu wajuu ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HadaikaNgabona
    @HadaikaNgabona3 ай бұрын

    Tusije tukakupoteza Kama sheikh Ilunga❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 Жыл бұрын

    Usipojua maana huambiwi maana, Usipojua kinachokupasa kufanya utababaika mpaka mwisho wa maisha yako. Ubabaifu tu ukweli tunauficha. Hongera sana Sheikh kwa neno hili ""msituchokozeee""

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 Жыл бұрын

    Sheikh wangu unaupiga mwingi

  • @hamoudabdullah5497
    @hamoudabdullah5497 Жыл бұрын

    Mzee Warioba amekosea Sanaa. Kimsingi maneno yake si sahihi kwa Amani ya nchi yanaweza yakachochea mivutano na MIGOGORO ya kidini hususan kwa wakuwa Takwimu zinaonesha wazi kuwa Raisi anapokuwa Mkiristo Waislamu wachache ndio wanaingizwa Serikali na wala hawapigi kelele. Lakini Raisi anapokuwa muislamu na akatenda haki kwa dini zote, Basi wenzetu wanaona hivyo si sahihi kwasababu wamezowea kupendelewa. Wanapenda kutaja neno udini kwasababu wanakusudia kutisha. Lakini wakati wa kuogopa umeondoka na Sasa tutaenda kitakwimu kwa kueleza ukweli. TUVUMILIANE ILI TUENDELEZE AMANI NA UPENDO WA NCHI.

  • @MsAggie5

    @MsAggie5

    Жыл бұрын

    Mmmh! Inaweza kuwa kweli lakini katika maraisi wote wakristu JPM aliweka waislaam wengi, sio tu mawaziri hata wakuu WA mikoa na wilaya, aliwachanganya sana. Alikuwa na ukanda lakini sio udini. Mungu atusaidie Kwa kweli.

  • @hamadimatano4503

    @hamadimatano4503

    Жыл бұрын

    @@MsAggie5 apo ni kupigwa mtu tu uwo uvumilivu ndio matongea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @j.c.maxima816

    @j.c.maxima816

    Жыл бұрын

    Mzee Walioba amezeeka vibaya mno! 🤦‍♂️😃😃

  • @hamoudabdullah5497

    @hamoudabdullah5497

    Жыл бұрын

    @@MsAggie5 Takwimu zinaonesha kuwa MAGUFULI ndie alieongoza kwa kupunguza Waislamu katika Serikali. Ni asilimia 20 ya nafasi zake za uteuzi ndio alizowapa Waislamu.

  • @MsAggie5

    @MsAggie5

    Жыл бұрын

    @@hamoudabdullah5497 sio kweli! Fanya utafiti tena. Mkapa na Kikwete walikuwa na udini lakini Magufuli nakataa na wengi wao walikuwa wala hawajulikani. Ukinambia ukanda siwezi bisha alikuwa nao lakini sio udini

  • @hamisiramadhani3538
    @hamisiramadhani3538 Жыл бұрын

    Allah akuongoze sheikh

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Жыл бұрын

    SEMA SHEIKH MZIWANDA, HUWA NAKUPENDA KWA KUSEMA UKWELI NA KUTOOGOPA MAZIMWI MA MASOKWE

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 Жыл бұрын

    Basi shekh Mungu azidi kukupa hekima katka kuelekeza mema ktk jamii ya tz tuishi kwa amani,

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Жыл бұрын

    Masheikh wengi wakifuga ndevu na kupunguza suruali wameuliwa wakiitwa magaid

  • @charleslugemalila1168
    @charleslugemalila1168 Жыл бұрын

    Hizi si hoja za msingi kwa sasa sote watanzania mzee wetu sijamsikia lakini kama kasema hivyo kateleza au kakosea. Kweli kabisa hizi kelele ningeweza kuanza awamu iliyopita maana teuzi tuliziona

  • @lulachahayeshi93

    @lulachahayeshi93

    Жыл бұрын

    Ndugu yangu Charles asante kwa maoni yako mazuri, natumai yangekuwa mazuri sana iwapo ungeyatafuta maneno yanayodaiwa kusemwa na huyo kiongozi mstaafu hadi kumfanya Sheikh Mziwanda atoe hotuba hii. Tuipende nchi yetu kuliko kitu chochote kwani hata uhuru wa kuabudu tunaupata na kuutumia vilivyo kwasababu tunayo nchi yenye amani, uimara na ustahmilivu baina ya watu wake ambao wana imani na dini tofauti.

  • @adammj6258

    @adammj6258

    Жыл бұрын

    Ametaja watu 7 wote wakristo hapakua na Muslim ht mmoja lkn kulikuwa kimya,uteuzi wa muislam mmoja Wakristo tena viongozi wa juu kelele nyiingiii,,,,,hapo katumia namba so please tumia namba kukanusha, Shekh kaweka 7

  • @simbillamachiyya

    @simbillamachiyya

    Жыл бұрын

    Mzee Warioba akujibu mwenyewe, yeye aeleze maana ya udini! Watanazania wengine, hatuelewi Nini maana udini? Hebu iweke hiyo clip tumsikie mzee Warioba anasema habari za udini!!!

  • @adammj6258

    @adammj6258

    Жыл бұрын

    @@simbillamachiyya pengine peke yako ndio habari hii umeikutia hapa mwishoni,,,andika tu 'ripoti ya Warioba' kisha njoo tubishane hapa

  • @simbillamachiyya

    @simbillamachiyya

    Жыл бұрын

    @@adammj6258 suala so kubishana, suala ni kufanya suluhu baina ya khitilafu Kati ya wanaokhitilafiana, Haki huwa haisemwi popote na vyovyote hii ndio Sera ya uisilam.

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 Жыл бұрын

    Ni tabiayao hiyo sisi.mnyezi.mungu ametukataza.kubagua watu.lakini.kaziyao.kubagua.waislam.nashangaa dinigani inabagua watu.dini ya mungu watu hawabaguliwi

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym Жыл бұрын

    ALLAH AKULIPE KHAIR NA NGUVU KUISIMAMIA DINI KWA NAFASI YAKO INSHALLAH.

  • @fastanzania
    @fastanzania Жыл бұрын

    Mashallah ♥️ maalmu mziwanda

  • @omaryomaryally7420
    @omaryomaryally7420 Жыл бұрын

    Mungu akuifadhi shekhe

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Жыл бұрын

    Raisi Samia kawekwa na MUNGU, na MUNGU ndie atakae mlinda .

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Жыл бұрын

    Waislam mnatakiwa muamke sasahv mnachafuliwa kwa ajir Samia ni muislam mnapandikizwa chuki mumchukie muislam mwenzenu mama Samia amkeni mumuunge mkono

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Жыл бұрын

    Na ndio maana warioba alipigwa mtama na Makonda hadi Chali, wakati anazindua Katiba ya Warioba.

  • @shd12m55
    @shd12m55 Жыл бұрын

    Inaumiza Sana aisee😢

  • @martedimohamed6327
    @martedimohamed6327 Жыл бұрын

    Tumesoma na kz hatupat walivyokuw wabaguz

  • @kennedyngusa8890
    @kennedyngusa889011 ай бұрын

    Mmm mbona waklisto hawaongelei Mambo haya nyie. Vip?

  • @cosmasparkire1837
    @cosmasparkire1837 Жыл бұрын

    Mimi ni m kristo lakini nawakubali sana kwa msimamo wenu kuhusu Hali hii ya kupinga hili la ushoga

  • @rahimgwotta68

    @rahimgwotta68

    Жыл бұрын

    MASHAALLAH Karibu kwenye UISLAMU Dini ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.

  • @ngoni7944

    @ngoni7944

    Жыл бұрын

    ​@@rahimgwotta68 dini ya mohamed ya mtume alie abuse mtoto wa miaka 6 aisha

  • @rehemaabinelynyagawa2878

    @rehemaabinelynyagawa2878

    Жыл бұрын

    ​@@rahimgwotta68 😂😂😂😂

  • @MsAggie5

    @MsAggie5

    Жыл бұрын

    Mbona mashoga wengi ni hao hao? Kitchen parties au ukienda Zanzibar wamejaa,well sio kama hakuna mashoga WA dini nyingine ila ushoga ni janga la taifa.

  • @annaniasbyarugaba5788

    @annaniasbyarugaba5788

    Жыл бұрын

    Ushoga umejaa Zanzibar

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Жыл бұрын

    Ni kweli kabisa, sheikh. Mwl. Nyerere alishirikiana bega kwa bega na Waislamu wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika. Waislamu na Wakristo wote ni Watanzania. Kamwe tusiendekeze udini hapa Nchini. Wote tu wamoja.

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja48011 ай бұрын

    Hawa Maqafiri Tusipowakemea kwa Ukali hawatotuheshim na kutuhofia na ALLAH Amesema Maqafiri Wanawaogopeni Sana Kwa Itikadi zenu Kuliko Mimi Nilie Waumba Sasa Tumewavumilia Maqafiri tumechoka Sasa Tunaenda Nao Kama Wanavyotaka

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 Жыл бұрын

    Kuna Askofu yeyote au Kiongozi yeyote wa Kikristu alietoa tamko Hilo au watu ambao ni Wakristu?. Maana kama Suala Hilo halikutamkwa na Askofu au Kiongozi mkubwa wa Kikristu lilipswa kutafutiwa namna ya kuliongea badala ya kuwachanganya Wakristu wote. Ukristu ni mpana sio Kila anaetamka kitu eti Kwa Kwa vile mkristu basi ni Suala la Wakristu wote

  • @jumamustapha8254

    @jumamustapha8254

    Жыл бұрын

    Ndiyo maana ya kuonywa warioba kwa ujinga wake wa uzeeni.

  • @balqeessalum1081

    @balqeessalum1081

    Жыл бұрын

    Sahihi ulichosema

  • @amriomar3398

    @amriomar3398

    Жыл бұрын

    Sawa lakin yy hyo kajibi kutokan na walioba alivyongelea udin kwaiyo yy anawek saw udin gani ambao mama samia anaufany ingaw mm cpendwez na uongoz wa mam samia lakin kweny hli namtetea 😊

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Жыл бұрын

    Mmeshaanza kelele Nchi hii haina Dini ila wananchi Ndio wenye Dini shehe Acha Uchochezi wewe ndio unataka kupeleka Dini serikalini Acha watu wachaguliwe kulingana na uwezo na utendaji KAZI wao

  • @suleimansalym7537

    @suleimansalym7537

    Жыл бұрын

    Kama hujui alieanza kuleta udini ni wazir mkuu mstaafu sheikh ndio anasema watu wasilete udini labda ww hujamuelewa tu

  • @ramyramso

    @ramyramso

    Жыл бұрын

    Rudi darasni ili ue muelewa sikiliza kwanza ndo uje ukoment so unkurupuka we vip

  • @shahakaisi1920

    @shahakaisi1920

    Жыл бұрын

    Kwl ww ni mpummbavu mbona huyo aliyesema serikali inaendeshwa kidini , humsemi? Shekh anataka kujua huyo warioba alikuwa na maana gn anaposema serikali ya awamu 6 ni yakidn!

  • @haidhabushiri9558

    @haidhabushiri9558

    Жыл бұрын

    Umemuelewa lakini shekh au ndo slow learner

  • @muzneali4747

    @muzneali4747

    Жыл бұрын

    Michael kibiki Kwanza sikiliza Kisha ndio u comment sio kudandia train Kwa mbele

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 Жыл бұрын

    Maneno mazima Akhii

  • @mayaniphilipo9256
    @mayaniphilipo9256 Жыл бұрын

    Hv Kwann Rais Akiwa Muislam Lazima Chokochoko Ziwe Nyingi!?

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 Жыл бұрын

    Allah atawaangusha muda si mrefu hao makafir

  • @ramadhanmahongole9293

    @ramadhanmahongole9293

    Жыл бұрын

    Qafir mama yako na baba yako walio kukunya we nyoko

  • @Yu-jr9uf

    @Yu-jr9uf

    Жыл бұрын

    @@ramadhanmahongole9293 matusi ya nini Ramadhan

  • @ramadhanmahongole9293

    @ramadhanmahongole9293

    Жыл бұрын

    @@Yu-jr9uf muulize "gessan abuu "anaewatykana wakiristo eti ni makafiri huku yeye anajiona si kafiri wakati sisi wakiristo tunawaona waislamu ndio makafiri

  • @Sheba4651

    @Sheba4651

    Жыл бұрын

    @@ramadhanmahongole9293 Kwani tafsiri ya KAFIRI ni ipi hasa? Nawe ukiwa ndio mkristo, mtoto wa Paulo aliyewezaa katika kristo. Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

  • @ramadhanmahongole9293

    @ramadhanmahongole9293

    Жыл бұрын

    @@Sheba4651 kafiri ni yule mtu ambae anaepinga dini ya Mungu wa kweli Jehova ya ukiristo huyo ndio anatakiwa kuitwa kafiri

  • @angelomalimi2444
    @angelomalimi2444 Жыл бұрын

    Ni kweli ni serikali la udini

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 Жыл бұрын

    The big question is, Magufuli chose Samia as his vice president. Ana makosa Gani?

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 Жыл бұрын

    NDUGU WATANZANIA MUWE MACHO SANA MUMEANZA KUCHOCHEWA KIDINI WATU WAWAIBIYE RASILI MALI ZENU VIZURI KUWENI IMARA ALIYATABIRI HAYATI MAGHUFULI SHIKAMANENI KITU KIMOJA

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын

    Watanzania wanaozungumzia kuwa mama ni mdini ,mpango wao sio dini ,mpango wao ni kutaka madaraka ndio maana wanawashwa na viherehere ,Sasa sisi tunaishi mitaani waislamu na wakristo mbona tuko poa ,hao wanaoongea sisi hatuwataki watuache na NCHI yetu bhana

  • @SAM_163

    @SAM_163

    Жыл бұрын

    Nikweli bro

  • @SAM_163

    @SAM_163

    Жыл бұрын

    Hawa ni watu Hatari sana kwenye nchi

  • @Kiyonga2014

    @Kiyonga2014

    Жыл бұрын

    Wapagani mbona wananyimwa haki zao!! Au hawana haki ya kuwa viongozi?

  • @youssouphsalum786
    @youssouphsalum786 Жыл бұрын

    Wauwawee tu wasituangamize wadhalim haoooo

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 Жыл бұрын

    Yuyo mzee gongo inamsumbua kichwani

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Жыл бұрын

    Takbirrrrrrr

  • @cafejohn3582
    @cafejohn3582 Жыл бұрын

    Mungu wetu ni wa wote mungu ibariki Tanzania wabariki wakirito wote na waisilam wote sis ni wamoja na pia hizi niyakati za mwisho tubuni kwa maana ufarumu wa mbinguni umekaribia

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera361111 ай бұрын

    Watakaoleta vita nchi hiii ni WAKIRISTO

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 Жыл бұрын

    Wao wakiwa madarakan wanafanya watakavyo nakuweka watu wao sie hatusemi ila wariomba anamdomo sana ndio maana alipigwa kumbe alikuwa anasitahili tulimuonea huruma sana

  • @rajabsumba7786
    @rajabsumba7786 Жыл бұрын

    Tanzania ni majirani wazuri na uhusiano kati ya watanzania wenyewe kwa wenyewe ni mzuri pia baina yao na majirani zao hauna kasoro, lakin uchochezi wowote haufai. Uchochezi ndio unao sababisha maafa. Tunamuombea Rais Samia Suluhu nusra ya Allah.

  • @hashimhassan4812
    @hashimhassan4812 Жыл бұрын

    Wasema kweli hawawezi kwisha duniani hata iwe iweje, walikufa wengi kama ilunga lkn bado

  • @abubakarmustwafa-lg8fe
    @abubakarmustwafa-lg8fe Жыл бұрын

    Mungu akuhifadhi mwamba!!Sheikh Zubeir aliyasema haya,yakatokea mengine,ila liwalo acha liwe

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 Жыл бұрын

    Na Makamba aliyesema wazuri hawafi tuseme nini sisi wakatoliki.

  • @zariadunia6328

    @zariadunia6328

    Жыл бұрын

    Mumlaani tu kwa ubwege wake shauri yake kama warioba tu

  • @jumamustapha8254

    @jumamustapha8254

    Жыл бұрын

    Mpuuzi, kwahiyo wakatoliki wabaya.

  • @juliusmshani6985
    @juliusmshani6985 Жыл бұрын

    Hivi warioba ni mwakilishi wa wakriso? Mtu akiongea jadili alichokiongea kutumia akili yake usiweke udini wakati sio mwakilishi wa dini

  • @jumamustapha8254

    @jumamustapha8254

    Жыл бұрын

    Ulikuwepo serikalini akiwa waziri mkuu, atueleze yeye alisimamiaje hakhi.

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 Жыл бұрын

    Ndio ndio shekhe sawa sawa,

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 Жыл бұрын

    Shekh....! Nakuelewa then sikuelewii...!

  • @khamisibrahim8570

    @khamisibrahim8570

    Жыл бұрын

    Angalia mazur akuna Alie nyooka Moja Kwa moja

  • @turojosephrukiko1622
    @turojosephrukiko1622 Жыл бұрын

    Huna maana hatupigan kuongoza Dunia waongoze watu kufanya mema ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu

  • @issakitundu617

    @issakitundu617

    Жыл бұрын

    kwan kuwaeleza watu waache udini kwa njia iliyo sawa ili kuleta aman ya nchi ni makosa?

  • @kaegemagafu7828
    @kaegemagafu7828 Жыл бұрын

    Ubinafsi na unafiki unalitafuna taifa hili . Katiba mpya itamaliza hili pale nafasi za uongozi zitakapo koma kuwa kuteuliwa na kubaki za kushindaniwa maana watu wanajadili kama walevi tu

  • @antonymathias8219
    @antonymathias8219 Жыл бұрын

    Mama kwahilo usikubali kui ngiza neno dini hainamaana linapokuja utwala viongozi hawezi ridhisha kilamtu hizo nikelele Dada yangu watumikie wananzengo

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 Жыл бұрын

    Let say kweli aliyasema either kwa kumaanisha au kwa kuteleza kwahiyo ww ndo umeyasikia peke yako ktk dini yako na ukaamua kutoa tamko au umetumwa?? Angalia ukosoaji wako usijekuwa ndo unatia chumvi zaidi maana tunayaona mengi ila tunanyamaza kmya, Afu elewa ukiongelea Ukristo unaongelea madhehebu mengi sana.

  • @andrewkissavah8272

    @andrewkissavah8272

    Жыл бұрын

    Huyu shekhe kuna kitu nyuma yske anataka kuhamazisha vurugu nivizuri vyombo vya dora kumkataza kumnyamazisha shekhe huyu ,maana haoni aibu kusema ,mbona viongozi wote wa ngazi za juu wote Bara na visiwani wote ni waisilam lakini wakristo wamenyamaza kimya ,alafu tena mnaanza kumsumbua Mzee wetu warioba hebu kabula hamjaanza chokochoko mwe watu wa kutafakari

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 Жыл бұрын

    Loves to ALLAAH (S.W) with all prophets and fellow Muslims. Watapata tabu sanaaaaaaaa

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed863710 ай бұрын

    Kweli kabisa kwa NINI muingilie dini,KWA KUWA KIONGOZI NI MUISLAM,DINI HII INATETEA KILA MTU NA HAKI ZA WATU,SIO MAASI

  • @yahayahassani7627
    @yahayahassani7627 Жыл бұрын

    huyu anaeitwa mdini ni yupiiiii..,

  • @ahmadamohamed1907

    @ahmadamohamed1907

    Жыл бұрын

    Warioba

  • @alizaharan1471

    @alizaharan1471

    Жыл бұрын

    KWAHAKIKA NDIO MAANA WAISLAM .TUNAAMBIWA SUBRA TUNAYO NA MUNGU ATUPE SUBRA KWAKWELI NDIO MAANA MUNGU AMLEHEMU SHEKHE HASSANI IRUNGA ALIKUWA ANAONGEA SANA MUNGU AKAMPUMZISHA MUNGU ATULIPE WAISLAMA KWA SUBRA

  • @deusmoris3036
    @deusmoris3036 Жыл бұрын

    kwani mzee walioba amesema nini mnijuze na mimi

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 Жыл бұрын

    Kwanza elimu mmeanza kusoma juzijuzi tu ,mlikua mnasema elimu ni za makafiri ,kwanza samia amewekwa na wakristo ,uislam hauruhusu mwanamke kua kiongozi,

  • @rayisadesigns2646

    @rayisadesigns2646

    Жыл бұрын

    kwa hiyo CCM ni wakristo?!

  • @khatibbakhresa7615

    @khatibbakhresa7615

    Жыл бұрын

    Rekebisha kauli yako

  • @salehesalehe2967

    @salehesalehe2967

    Жыл бұрын

    Wewe yahudi acha ujnga Tanzania sio dola ya kiislamu hivyo mwanamke anaweza kuongoza acha ushamba

  • @salehesalehe2967

    @salehesalehe2967

    Жыл бұрын

    Wewe yahudi acha ujnga Tanzania sio dola ya kiislamu hivyo mwanamke anaweza kuongoza acha ushamba

  • @ignasmalema8354

    @ignasmalema8354

    Жыл бұрын

    @@salehesalehe2967 hata kama tz sio dola ya kiislam bado anapaswa kuishi uislam ,basi ale nguluwe ,sasa kwa kua haishi nchi ya kiislam

  • @Zamb90
    @Zamb90 Жыл бұрын

    Tusome

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 Жыл бұрын

    Wape ukwel wao hao wanezid ubinafs

  • @hamadimatano4503
    @hamadimatano4503 Жыл бұрын

    sisi waislam twawapenda hao makafir ila wao hawana haja na sisi hata kidogo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joeldallas6491

    @joeldallas6491

    Жыл бұрын

    Ujinga huo kumwta mtu kafili

  • @hamadimatano4503

    @hamadimatano4503

    Жыл бұрын

    @@joeldallas6491 kwani usomi maandiko makafiri wako soma biblia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joeldallas6491

    @joeldallas6491

    Жыл бұрын

    Nsome agano lakale mstali gan

  • @lightnesselirehema1464

    @lightnesselirehema1464

    Жыл бұрын

    Kafiri ni nani labda

  • @hamadimatano4503

    @hamadimatano4503

    Жыл бұрын

    @@lightnesselirehema1464 mtu asie na dini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Жыл бұрын

    Huyo mzee anaongea sana maneno siyo mazuri wakati nayeye alikuwa serikalini mungu anakuona wewe mzee

  • @shahakaisi1920

    @shahakaisi1920

    Жыл бұрын

    Ila hayo aliyoyaongea warioba ni mazuri sio?

  • @mohamedyahya1677

    @mohamedyahya1677

    Жыл бұрын

    @@shahakaisi1920 hujamuelewa lay layl

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 Жыл бұрын

    Umefika mbali sheikh, hadi namba za mitihani kwahiyo kutumia majina au namba kwenye mitihani ipi njia bora.. kwahiyo Waislam walifaulu kwa majina yao..?, ongea kwa ufupi utaeleweka, sisi kwetu kuna msemo unasema mwongea mengi usifiwa na wachache..

  • @shaabanbellege3374

    @shaabanbellege3374

    Жыл бұрын

    Mwenye akili kashaelewa ila vilaza lazma ndo wameduwaa mpk sasa

  • @annasolomon9855

    @annasolomon9855

    Жыл бұрын

    @@shaabanbellege3374 Sasa hapa ameongea Nini zaidi ya kuonglea dini

  • @GoodluckLesilwa-kq2ln
    @GoodluckLesilwa-kq2ln Жыл бұрын

    Ongea kiswahili Sasa kiarabu Cha nn sheikh..

  • @saidimaliki8342

    @saidimaliki8342

    Жыл бұрын

    Hakuna kiarabu hapo

  • @SAM_163
    @SAM_163 Жыл бұрын

    TUNACHAGUA UONGOZI KWA KUANGALIA UWEZO WA MTU SIO DINI..... PELEKENI WATOTO SHULE SIO MKO BUSY NA MADRASA AFU MNATAKA UONGOZI...

  • @omaar5693

    @omaar5693

    Жыл бұрын

    Unachamba bila kuelewa kilichosemwa nani hajapeleka mtoto shule?

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Жыл бұрын

    Haya yote yanasababishwa na kukopa kopa hovyo anae kurisha atakupangia mpaka mda WA kurara kwako JPM arikataaa haya ndo haya sasa

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 Жыл бұрын

    Mmmmh waarabu wataka tawala na Tanzania kidini. Mwache mama awaongoze hii siyo nchi ya udini wala ukabila

  • @sospatrongallaba3252

    @sospatrongallaba3252

    Жыл бұрын

    Sisi tusio na dini tuko wapi?????????

  • @josegambi7149

    @josegambi7149

    Жыл бұрын

    Wote nchi ni yetu hakuna cha mwislam wala mkristo au mpagani

  • @abdulmajidkarama6469
    @abdulmajidkarama6469 Жыл бұрын

    huyu sheikh aitwaje? Mungu amzidishie hikma InshaAllah

  • @user-lo1rx6eu1e

    @user-lo1rx6eu1e

    Жыл бұрын

    Muharami mziwanda..huyo shekh ni mtu mwenye elimu yake

  • @maymunamakungu6265

    @maymunamakungu6265

    Жыл бұрын

    Huyo ni sheikh Mziwanda

  • @haidhabushiri9558

    @haidhabushiri9558

    Жыл бұрын

    Mashallah yupo safi

  • @stanleymollel9860
    @stanleymollel9860 Жыл бұрын

    Nashangaa hutuba hii ni hutuba au ni kampeni

  • @ramyramso

    @ramyramso

    Жыл бұрын

    We fala kweli hujui kinachoongelewa au acha ushamba

  • @shahakaisi1920

    @shahakaisi1920

    Жыл бұрын

    Lazma ushangae lkn, kabla ya kushangaa, ungemshangaa huyo warioba alipoongea alidhani watu hawatamjibu?

  • @edoedo4973
    @edoedo4973 Жыл бұрын

    LAANA KHUM MWENYEZIMUGU ANATUAMBIA MWANAMKE AFAI KUWA IMAMU WALA KIONGOZI MASHEKHE TANZANIA HII NILAANA NDANI NCHI YETU MNASHINDWA KUWONGEA UKWELI MASHEKHE MNAIBEBEA MBELEKO LAANA MNALIJUA HILO SEMA DUNI MMEIWEKA MBELE AYA ZA MWENYEZI MUNGU MMEZIWEKA MIFUKONI

  • @mosesembughi4284
    @mosesembughi4284 Жыл бұрын

    Munapopata mtonyo lazima mtetee .nchi ya tz haitakuja kuwa na maendelee.sababu wengine wanania ya maisha yao.sio kusimamia maendelee ya nchi.mnazani tz hatuna macho.

  • @DawsonKiwia-qt6zf
    @DawsonKiwia-qt6zf11 ай бұрын

    Wewe ni mfano wa kuigwa suluhisho la milele kuanzia leo sio kukaa kimya tena. Maridhiano ya kweli ni kukutanisha madhehebu yote na kukusanya mawazo, malalamiko n.k kisha kuundwa mfumo wa haki sawa kwa wote katika idara zote za serikali. (Kuondoa pia na ukabila ktk tass zote pia.

  • @wakatinisasa
    @wakatinisasa Жыл бұрын

    Naona unaelekea Somalia utashugulikiwa halaka

  • @ramyramso

    @ramyramso

    Жыл бұрын

    Hamuwezi hata iweje na ajaribu mtu muone kaz

  • @wakatinisasa

    @wakatinisasa

    Жыл бұрын

    Hamuoni Zanzibar selekaliyote yamashe halafu Bala mnataka usawa acheni ujinga

  • @ramyramso

    @ramyramso

    Жыл бұрын

    @@wakatinisasa we ni mzima kweli ww sasa Zanzibar na tanganyika unaifananishaje dah akili zingine zikiingia mafuta ya taa bhna

  • @hassanhd6480

    @hassanhd6480

    Жыл бұрын

    ​@@wakatinisasa asilimia 99 Zanzibar ni waislam

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 Жыл бұрын

    Tushachokozwa sana waislamu lakini hatuna ishu tumejaa unafip mtupu,tuachane na siasa feki ,siasa orig ni laa ilaaha illallah muhammadu rasulullah basi.

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Жыл бұрын

    Warioba tuache we mzee ss waTanzania tunaishi kwaupendo bl kujali dini muislam rafikiyake mkewake mpz wake mkiristo. Namkristo. Mpz wake ndo hv hv. Hatujali dini kwenye .umoja wetu .warioba tuache .utakuja kujuta. sn.ww.

  • @azzanalkhatry4625
    @azzanalkhatry4625 Жыл бұрын

    Warioba kachoka na akili pia

  • @jumasalimo6360
    @jumasalimo6360 Жыл бұрын

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏👏👏

  • @user-xw9hg3zr4d
    @user-xw9hg3zr4d Жыл бұрын

    Swala liko kwenye hu mkataba tuache kupashana umbea ambao hauna maana na hao wanatoa maon yao kwenye mitandao ni watu kama watu wengine turud kwenye mkatab unafaa au aufai tushaur serekali. Sasa tukianza maswala y sijui tusichokozane sijui nini haina maana tena mimi naona kama nyie ndo mnachochea kabisa udini hakuna kiongozi wa kikristo ametoa kaul ya ya udini ni watu tu wakawaida tena watanzania

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u10 ай бұрын

    Musipotoshe tatizo linalolikabili taifa.hili hakuna wakupindisha taifa linaelekeakuzimu labudakamanawewe.ulitupiwa.minazi ukaotakutokachini ukasahau hata dhsmbi ikoje...

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 Жыл бұрын

    Tuwe na subra Allah Yuko na wanyonge.

  • @popiya2368
    @popiya2368 Жыл бұрын

    Yaani wenzetu bwana akiongoza Muislam lazima walete maneno dha

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 Жыл бұрын

    Allah anasema hawatokubali mayahudi na na wakiristo mpka mufuwate mila zao kuyafanya haoakafri wana hatushangai wache tu waendelee kulikoroga iko siku watalinywa wenyewe

  • @ahmedmassoud8758
    @ahmedmassoud8758 Жыл бұрын

    Tatizo la hawa ndugu zetu mafriji yao hayagandishi

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 Жыл бұрын

    Waislamu tulikuwa pembeni mwa serikali miaka mingi wenzetu wamezoea kuwa wao ndio wanaoatahili kuwa serikalini sasa wameshikwa na butwaaa kuona sisi kwanini tupo serikalini kwa sasa

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 Жыл бұрын

    Waislamu kwa uchochezi hamjambo. Kitu kidogo tiyari mshaanza kuandamana c mgemuuliza aliyesema awafafanulie kwanini anasema hivo? Ndo muyazungumze kwenye hadhara.!!??

  • @user-xw9hg3zr4d
    @user-xw9hg3zr4d Жыл бұрын

    Dah sijaon pwent hum ni kama kupashana umbea tu, kiujumla kila mtu anajua mkataba ni mbovu au fai sasa kwanin nyinyi mnaunga mkono na unawambia waislam watulie maanake nini. Alaf naona nyie ndo mnachochea udin kwan kuna kiongoz w kikristo ameongelea swala la kislam je sisi wAkiristo wangekua wanasikiliz maon ya watu kwenye mitandao na kuja ju ingekuaje achen unafk

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Жыл бұрын

    Sasa sheikh kwani ww mgeni ktk maneno ya M'MUNGU ? Ni kwamba hakuna jipya ktk hizi Imani tofauti...hayo mambo twende nayo hivyo tukimtegemea Allah tabalakah

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 Жыл бұрын

    Ni suluhisho la udini ingawaje Samia unanadanganya wasio na ufahamu manake serikali ni watu watatu tu ikianzia Samia, majaliwa , tulia mwanzo mwisho ????? Na ndo maana Rais Samia hajawai kuulizwa matrilion anayotumia kusafiri kwenye nchi zinzo kubali ushoga ??? Na serikali ya CCM Kuna Siri kubwa kwenye kugawa madaraka waliapa

  • @jumakapesa2940
    @jumakapesa2940 Жыл бұрын

    Maneno haya yanathibitisha usemi wa Jaji Waryoba. Khutba hii inaonyesha udini waziwazi. Kama wakristo nao watasimama kusema hayo tutaenda wapi jamani? Tukaeni pamoja katika nchi yetu tumuunge mkono Rais wetu ili afanye kazi yake vizuri. Huu udini ni hatari kwa Taifa sana.

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 Жыл бұрын

    Mamfuti mbona hayaongei. Yanashiba tu. Mabwenyenye mamufuti.

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Жыл бұрын

    Wakati unataja asilimia unasahau kutaja asilimia ya waislamu na wakristo hapa nnchini? Haya mambo ya Dini msipende kuyakuza sana, ndo uchochezi mwenyew huu. Kwan aloongea haya mambo ya Udini ni askofu/kiongozi wa juu wa Dini?? Mbona povu sana hapa Kama sio kukuza Inshu na kutaka kuifanya hii iwe hoja? Kuna wakati mambo mengine inabd kunyamaza ili kuonekana una akili timamu badala ya kutumia majukwaa ili kupata umaarufu

  • @nestor384
    @nestor384 Жыл бұрын

    Huyu sheikh ni nonsense! mambo haya na fikra hizi za kipumbavu usingeyasikia kipindi cha Mr Kazi Tu

  • @ansilakimwenyi2003
    @ansilakimwenyi2003 Жыл бұрын

    Sijawahi kuona kiongozi wa dini mjinga kama huyu mwendawazimu muda wote kimejaa chuki mpaka makalioni kinazungumza udini tu akili finyu sana