UMUHIMU WA DUA ~ AYA HIZI UKIZISOMA KWENYE BIASHARA AU KAZINI KWAKO ~ UTAPATA MAENDELEO MAKUBWA

Пікірлер: 27

  • @queenking0122
    @queenking0122 Жыл бұрын

    A.alykum sheikh ungetuandikia ungefanya vzuri sana maana unsoma kwa haraka hatuelewi

  • @ahmedshariffu2108
    @ahmedshariffu2108 Жыл бұрын

    Kwa kweli tunakosa maarifa mwsho tunaendelea kuibiwa na watu wanaojiita waganga Allah atupe wepc ktk kumuekeya yeye zaiidi

  • @abinandrimana7150
    @abinandrimana7150 Жыл бұрын

    asalaam aleykum shukran sana kwa dua ila ningefurahi sana kama ungetuandikia Dua ambao hatuwezi kupata kitabu

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Жыл бұрын

    Mashaallah shekh wetu mola akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha afadhali biashara mara kumi kuliko kuteseka huku saudi wallah

  • @zainabumavura4270
    @zainabumavura4270 Жыл бұрын

    waisilsm tunaangamia kwa kukosa elimu, ni bora kusoma kwa bidii Allah akuhifadh ustadh kwa kutupa elim

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani64188 ай бұрын

    Shekhe, Allah akuzidishie Umri ukweli unatuerimisha vizuri.

  • @bobomuamarg3856
    @bobomuamarg3856 Жыл бұрын

    Allah Akulipe kila yalio ya Kheri sheikh wetu. Lakini kwa Ihsani yenu tungeomba kama itawezekana : 1-IYI DUWA YA MWISHO TUNGEIPATA KWA MUANDIKO INGEKUWA VIZURI MNOO ! 2-Utuelekeze ni Sura ya ngapi ndani ya Qor'ani na Aya ya ngapi hadi aya ya ngapi .kwa Aya izo zote umetoka kutufundisha .

  • @kassimsleyman8594
    @kassimsleyman8594 Жыл бұрын

    Allha akulipe kila lakheri

  • @zainabumavura4270

    @zainabumavura4270

    Жыл бұрын

    waisilam tunapotea kwa kukosa elimu dunia sasa hiv ni kijiji tusomeni jaman

  • @saidkhalifa2649
    @saidkhalifa2649 Жыл бұрын

    Mashaallah vizuri sana lakini bora zaidi uandike kitabu kwa sababu maelezo nimengi si rahisi mtu asiejuwa kusoma kukuelewa

  • @TheMainMan018

    @TheMainMan018

    Жыл бұрын

    Inshaaallwaa nipo mbioni kufanya uwandishi wa kitabu,dua zenu muhimu

  • @MsambyaRonald-ou9vl
    @MsambyaRonald-ou9vl Жыл бұрын

    Mashallah, Allah azidit kukupabdisha daraja.

  • @missabubakar6488
    @missabubakar6488 Жыл бұрын

    Mashallah 🥰 masomo yenye siri

  • @Shafaakallwahhu

    @Shafaakallwahhu

    9 ай бұрын

    Maaashaaaaallwahh kwa sote

  • @omanmct135
    @omanmct13510 ай бұрын

    Mashalllah

  • @omanbarka2053
    @omanbarka20539 ай бұрын

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakaatuh vp hali yako tuandikie hiyo dua inshaallah

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y10 ай бұрын

    Nafikiri inaletwa n haya manyimbo y ovyo ovyo .mioyo imesusuwaa ukipanda matatu tu haniii mtiani Allah atuongoze tuwe wema.

  • @TheMainMan018
    @TheMainMan018 Жыл бұрын

    Mashaallah

  • @saidmkashari6002
    @saidmkashari6002 Жыл бұрын

    Assalamualaikum hiyo Dua tuandike mwalimu Dua hiyo

  • @Shafaakallwahhu

    @Shafaakallwahhu

    9 ай бұрын

    Inshaaaallwahh nitafanya hivyo

  • @florencenuru4687
    @florencenuru4687 Жыл бұрын

    Waeza ombea mkristo hio dua

  • @Shafaakallwahhu

    @Shafaakallwahhu

    9 ай бұрын

    Unaweza kumuombe yeyote

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y10 ай бұрын

    Dooh ndio maana tukaambiwa wanunazilu Minal quran maa huwa Shifaa wa rehmati lil muuminun..lkny hatuzingatii c jui tuna nn.

  • @saidkhalifa2649
    @saidkhalifa2649 Жыл бұрын

    Mashaallah vizuri sana lakini bora zaidi uandike kitabu kwa sababu maelezo nimengi si rahisi mtu asiejuwa kusoma kukuelewa

  • @maryammohammed1991

    @maryammohammed1991

    Жыл бұрын

    tuandikie hiyo dua shekhe

  • @maryammohammed1991

    @maryammohammed1991

    Жыл бұрын

    Amiin

  • @ummuwalid779

    @ummuwalid779

    Жыл бұрын

    Mahwa ninini

Келесі