Ujenzi wa gharama nafuu wa mabwawa ya samaki.Ufugaji wa samaki katika mabwawa

URUTUBISHAJI WA BWAWA LA SAMAKI KWA MBOLEA NA (MAJIVU) PAMOJA NA USAFIRISHAJI WA VIFARANGA WA SAMAKI.
Kutegemea aina ya udongo, majivu ya moto huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuingiza maji ili kupunguza Tindikali ya udongo na kuua baadhi ya wadudu walio maadui wa samaki waliopo katika eneo la bwawa.
Mbolea huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuweka maji ili kusaidia kujenga mazingira ya maji kutuama (yaani Kushikamanisha udongo).
Vinginevyo, mbolea huwekwa eneo maalum (Uzio) mara baada ya maji kuingizwa bwawani ili kulirutubisha na Kuliwezesha liwe na vijimea na vijidudu vidogo vidogo vitakavyokuwa chakula cha awali cha samaki.
Dalili za kuwepo kwa vijimelea hivyo bwawani ni kugeuka rangi ya maji na kuwa ya kijani.
Aina ya mbolea hutegemea upatikanaji wake. Samadi ya ng’ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata na hata Majani mabichi yaozayo kirahisi na yasiyo sumu kwa wanyama na binadamu huweza kutumika.
Kiasi cha kuweka mbolea hutegemea sana ukubwa wa bwawa, aina ya samadi na idadi ya samaki waliomo.
Kipimo kizuri cha kiasi kinachotosha ni kuingiza mkono ndani ya maji hadi kufikia kwenye kiwiko, na usipoona Kiganja chako, basi simamisha uwekaji wa mbolea kwani vijimelea na vijidudu waliomo wanatosha kulisha samaki Waliomo kwenye bwawa kwa muda wa siku kadhaa.
Ukizidisha mbolea ni hatari kwa samaki, kwani wanaweza kufa kwa kukosa hewa ya oksijeni, hasa nyakati za usiku.
#mkulimasmart
#shambadarasa
UFUGAJI WA SAMAKI NA MBEGU ZAKE
BWAWA LA KUHAMISHIKA (MOBILE POND)
UFUGAJI WA SAMAKI WENGI KWENYE ENEO DOGO
KZread · Changamkia Fursa
11 Jul 2020
Ufugaji wa kisasa wa samaki kwa kutimia tenki la maji
JE?UNAFAHAMU SAMAKI ANAFUGWA.
HATUA MUHIMU KATIKA SHUGHULI YA UFUGAJI WA SAMAKI
UFUGAJI WA PEREGE KWENYE MABWAWA YA KUCHIMBA
UFUGAJI SAMAKI KISASA
BWAWA LA SAMAKI LILILOJENGWA KWA MABANZI LIKIWA LIMESHAWEKWA MAJI TAYARI KUPOKEA SAMAKI 1000
UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA. VIFARANGA AU MBEGU ZA SAMAKI. KATIKA BWAWA LAKO.
Ufugaji wa samaki kwa njia za kisasa
ufugaji wa samaki kwa mtaji mdogo
bei ya chakula cha samaki
ufugaji wa samaki katika eneo dogo
changamoto za ufugaji wa samaki
ufugaji wa samaki aina ya kambale
ufugaji wa samaki aina ya sato pdf
ufugaji wa samaki jamii forum
ufugaji wa samaki kwenye pipa

Пікірлер: 13

  • @samsonenock1994
    @samsonenock1994 Жыл бұрын

    Mku vizuri sana,vp gharama hizo ni km kiasi Gani nilitaka kuanza na samski 3000 na mbegu za jinsis moja napsta wapi,?

  • @MKULIMASMART
    @MKULIMASMART2 жыл бұрын

    karibu sana wafugaji

  • @shambadarasaTV
    @shambadarasaTV2 жыл бұрын

    iko vzr

  • @mahembaelias1722
    @mahembaelias17222 жыл бұрын

    Hizo plastic liners zinauzwaje ndugu?

  • @meckmbilinyi6077
    @meckmbilinyi607710 ай бұрын

    Kwani haliwez kuwa na urefu wa mita 3, nini maana ya kina kirefu na kina kifupi

  • @SiaMlay-xe1jy
    @SiaMlay-xe1jyАй бұрын

    Mnapatikn wp

  • @justinemwela4432
    @justinemwela4432 Жыл бұрын

    Bwawa Hilo hutumia takribani kiasi Gani Cha pesa

  • @MKULIMASMART

    @MKULIMASMART

    Жыл бұрын

    inategemea mkoa ulipo

  • @madafajulius3257
    @madafajulius3257 Жыл бұрын

    Mimi nipa Dar nahtaji huduma ya kutengenezewa bwawa

  • @MKULIMASMART

    @MKULIMASMART

    Жыл бұрын

    Tuma ujumbe whatsApp 0713178868

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya33442 жыл бұрын

    Ufugaji naupenda changamoto ni maji kuyabadili

  • @israeldonatus3397
    @israeldonatus3397 Жыл бұрын

    Mnapatikana wap

  • @MKULIMASMART

    @MKULIMASMART

    Жыл бұрын

    TUKO DODOMA MJINI