Tozo Kwenye Gesi. Ni Nani Aliyetuloga Watanzania? | Mtazamo wa Pili
Karibu kwenye Mtazamo wa Pili (Ep 04), katika kipindi hiki tumeangalia Tozo ambayo serikali imependekeza kwenye bajeti yake ya mwaka 2024/25 kwa ajili ya gesi inayotumika kwenye magari
Tanzania ina takribani futi za ujazo za gesi Trilioni 57, hata hivyo ni asilimia moja tu imeweza kutumika katika kipindi cha miaka 20,serikali imependekeza kuweka tozo ya 382 kwa kila kilogramu inayotumika kwenye magari, haya ni maendeleo au la? fuatilia kwenye uchambuzi huu.
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Пікірлер: 34
Huku Wanasema nishati safi, Huku wanaongeza bei ya gesi ili watu washindwe kuitumia
@UncleBigi
26 күн бұрын
Cjui wanaona tunafaidi sana au lengo ni turudi kwenye mafuta 😢
Kwa kifupi toka tumpoteze Magufuli sitaki tena kusikiliza Habari. Kwa mambo kama hayo vìongozi wa nchi wanapiga dili. Hawana huruma
Yaani Tanzania kweli tumepigwa sana hawa watu walituingiza kwenye majanga sana
Tozo kwenye kila kitu inawaumiza WANANCHI wa rika zote, saa hii tozo kwenye kutoa pesa kutumia simu janja makato ni makubwa mno, na zinaongezwa kiholela bila taarifa, UJANJA NYANI HII AU SIASA CHAFU....
Hii nchi inawanufaisha familia fulani fulani maana haya mambo yangetokea nchi fulani wananchi wangefanya challenge kujua undani wake. Mfano kama yangetokea Kenya viongozi wangeshikishwa adabu lakini hapa kwetu Tanzania Kila wananchi tu wapole. Maana kiongozi akiamka anaota tozo nyingine na nyingine zisizo na tija Kwa maisha ya watanzania. hata hao wanaojiita wapinzani hawawezi tena kuhoji maana wameshapewa mafungu yao
Kaka kaka hongera sana kaka nakuelewa snaa MUNGU aendelee kubariki kazi ya mikono yako unanifanya sasa naielewa nchi yangu vizur sana
Umetisha sana brother for more explanation, tumelogwa na viongozi ambao sio wazalendo wanaotanguliza maslahi yao mbele kuliko taifa.
Daah uchambuzi jadidi. Ahsante sana Tony
Kwakweli Kwahili Mwigulu hayuko sahihi. Tunatafuta kupromote clean and safe energy. Hapa tulipaswa kuwagawia wananchi bure. Bei ya mauzo ingetosha. Kuweka tozo juu ya gesi nikuzuia tusiende kwenye clean energy. Nimesikia kwamba mheshimiwa Mwigulu ni Daktari! Is it true?
Ubinafsi Ndo Tatizo letu Hatuwazi Vizazi na Vizazi Tunajifikiria sisi Tu
Ni mekupa hongera kwa kumkumbuka Jpm. Kwa kweli pamoja na mapungufu yake alikuwa jembe
Munauliza Nan kawaroga.. umemsahau muingereza na marekan hao ndio wameturoga nduguyangu.. kune mengi yanakuja mbona hayo bado.. mlisema tutaisoma sasa tunaisoma pamoja😂😂😂😂😂😂😂😂
Mama WANANCHI wamekuamini lakini mhhh, jee mungu anakuona au....
KENYA HOYEEE
@UncleBigi
26 күн бұрын
Hoyee❤
Walioko mbele yetu ndio hawapo kwa ajili yetu wapo kwa ajili yao na mamafya mabeberu shida iko hapo mpaka siku wabunge wetu wakiwa ni wawakilishi wa wananchi kiuhalisia
Safi kwa uchambuzi huu niwakati wa watanzania kuamka Serikali ya CCM imeshindwa kusaidia wanainchi wake kwa kuwaongezea zigo la tozo lukuki wanainchi wake.
Kishelia nchi izi za galf wenzetu wanaingia ubia lakini kama unavyo sema mkataba utakapotekelezwa na kuisha mali mitambo vinaludi kwa serekali nchi yetu tuna umaskini wa viongozi
Ccm haijawahi kuwafikilia wananchi wa tanganyika juu ya kuwa punguza ghalama za maisha wanaona wakipunguza maisha kwa watanganyika hao wananchi watafaidi sana maisha
Ndo maana wakenya wanachoka nikitu kibaya sana tunaomba viongozi wasitufikishe huko kwa wakenya
Daaah 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Kaka wacha kuharibu lugha yetu ni kuroga na sio kuloga nenda Tanga ukafundishwe kiswahili fasaha.
Tupunguze magari ya kifahari na matumizi yasiyolazima kuliko kupandisha gas.
Mi sijui ni waziri sijui ni serikali lakini mambo wanayofanya ni ya hovyo ni hatusikii mkataba umeisha kwa sababu ni siri ili warudishie ufisadi JPM alisema bwawa likikamilika unit itauzwa sh 50 sisikii tena hicho kitu yaani ni shida
Aliyewaroga aliisha fariki huyo ndo mtihani ambao mnayo
Tuna ichi yeti au ya wachache tu
Wakenya wanaandamana waTanzania mnasemea majumbani tu acha serikali iongeze tena tena msitumalizie bandos zetu wajinga ndo waliwao 2025 mitano tena😂😂😂
Tanzania mafya ni viongozi..
Bandari tumemkabidhi mwekezaji DP kwamba tutapata faida, migodi nayo tumeingia mikataba, na maeneo mengi tumeingia mikataba, sasa kupitia mikataba yooote hiyo,ina maana wananchi tumepata ahueni gani zaidi ya kupigwa tozo kwenye simu na sasa gesi jmn?????
Tunawasomi majambazi kwenye nchi hiiii na wanaingia mikataba ya kishenzi Kama huu mkataba pumbafuuuuuuuuuuuuuuuu