TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 2): Ukweli kumukhusu Sayyida Khoula (Bihole wa Bungi)

Sayyida Khoula ni maarufu kama Bihole miongoni mwa wenyeji wa kisiwa cha Unguja, na hadithi ya maisha yake ni ya kusisimuwa sana. Leo kwenye #Gumzo, Sheikh Riadh Al Busaidi anaeleza undani wa maisha ya mwanamke huyu shujaa, jasiri na mkarimu.

Пікірлер: 31

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid58644 жыл бұрын

    Sisi tulikua tunadanganywa sana kuhusu historia za Zanzibar tunapewa historia ya uongo

  • @ahmed14284
    @ahmed142844 жыл бұрын

    Historia nzuri mashallah

  • @hamzarijal9093
    @hamzarijal90932 жыл бұрын

    Tarekh ni matokeo mwalimu wangu alinambia matokeo yanapotokea lazima yaelezewe yalivyotokea ikiwa yanakufurahisha au yanakuudhi kwasababu tunaizungumza tarekhe. Walimwengu siku hizi huikwepa tarekhe kutokana hayakuwa yanayoelezwa kuwa yanawafurahisha. Katika uandikaji wa tarekh khasa ya huku kwetu Afrika Mashariki, kuna atahari za Ukoloni na wao katika walioandika mengi juu ya tarekhe na katika baadhi ya maandishi yao kuna kila aina ya upotoshwaji. Muhimu wana historia kuja na hoja zilizo wazi kisha ni khiyari yake mtu kubakia na misimamo yake.

  • @saidhamad7504
    @saidhamad75044 жыл бұрын

    Asanteni kwa kaz kubwa ya kuziweka akili zetu huru

  • @sabrakhamis8070
    @sabrakhamis80704 жыл бұрын

    Mashallah nice part of zanzibar history which very peculear

  • @dulabori9922
    @dulabori99223 жыл бұрын

    Shukrani kaka yangu ghasani kwa ukweli mtupu siku tufanye nini ili jamii irudi kwenye ukwe

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun744 жыл бұрын

    Shukran MG

  • @fahadfaraj1822

    @fahadfaraj1822

    3 жыл бұрын

    Hi

  • @kishkinurdin7178
    @kishkinurdin71783 жыл бұрын

    Omar Hassan ( Umeya) ahsante maalim kwa kuendelea kutunza historia

  • @hajisalum17
    @hajisalum174 жыл бұрын

    Shukran akhy

  • @abdallahamad3099
    @abdallahamad30993 жыл бұрын

    Kaka vipind vyako navifuatilia kwakarib sana kwakweli jambo zuri unalolifanya hasa kwa sisi watoto tulio zaliwa kwenye miaka ya 2000

  • @nassorhamad5957
    @nassorhamad59573 жыл бұрын

    Usichoke kaka Ghasani. kazi yako ni awesome mashallah.

  • @suleimanpandu8955
    @suleimanpandu89553 жыл бұрын

    Duh! Hatari sana historia imepotoshwa vibaya sana kuhusu Bi Khaula yote ndio sababu ya Waingereza hayo na yale mavamizi ya 1964

  • @alhabsi6430

    @alhabsi6430

    2 жыл бұрын

    Ilikua tarehe ngapi na mwezi gani? mapinduzi ya mwaka64?

  • @ibugharib389
    @ibugharib3893 жыл бұрын

    MASHAALLAH, JAZZAKALLAH KHERI KWA KUTUPA FAIDA KWETU SS TUNAKUOMBEA KWA ALLAH AKUPE MAISHA YENYE KHERI NA WEWE NA AKHERI AKUPE PEPO YENYE DARAJA

  • @alibadru4536
    @alibadru45364 жыл бұрын

    Shekh mo tunaomba cku moja tupate ya PUJINI na MTAMBWE MKUU

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid78873 жыл бұрын

    Mm nashauri tunapodasiya history yahawa watu Mohd tuuliziye maswali kwamujibu ya upotoshwaji ili watu walowingi waujue ukweli mfano huyu bikhoule tunaambiwa eti alikuwa anazini na wanaume akishamaliza mamboyake anamuuwa yule alofanyanae mapenzi sasa maswali kama haya yanahitaji majibu

  • @w4058
    @w40582 жыл бұрын

    Hilo jumba lingetengenezwa likawa katika vituo vya utalii

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy19793 жыл бұрын

    History Zote tulokuwa tukipewa zilikuwa za uwongo

  • @saeedqaseem7423
    @saeedqaseem74233 жыл бұрын

    Shida ya historia ya Zanzibar imebebwa na siasa zakupandikiza.... Ndio mana hawawatafuti wahusika ila hutafuta watu wakasema uongo kwa maslahi yao kisiasa na kutia watu chuki.... Panapo semwa ukweli utaona tu umeona sheikh alivyooka na facts zake mwisho mie ndio kanimaliza kusema kuwa hakua mtu mwema angetoje maliyake wakfu kwa watu alioishi nao? Allah subhanah amrehemu mama huyu...amiin

  • @vuaihaji3275
    @vuaihaji32753 жыл бұрын

    Asant sna hawa ma ccm yanatudanganya tu

  • @suleimanmakame3028
    @suleimanmakame3028 Жыл бұрын

    Leo nmejifunza mengi tulikua tunadanywa sana

  • @salehsaleh5806
    @salehsaleh58063 жыл бұрын

    Mimi nataka kujua na pia kwa faida ya wote WANAOTAKA kujuwa UKWELI, jee BI KHOLE amekufa gani ?.

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim19433 жыл бұрын

    Leo nimekuona live changinkuchangizana..

  • @GumzolaGhassani

    @GumzolaGhassani

    3 жыл бұрын

    Ahsante Dashuu

  • @hafidhyakoub8369

    @hafidhyakoub8369

    2 жыл бұрын

    @@GumzolaGhassani asalam alaikum yani kitu kimoja mm kina nichangya kuhusu haya magofu mana zanzibar yako mengi km bububu lipo lile la salhia maruhubi

  • @hafidhyakoub8369

    @hafidhyakoub8369

    2 жыл бұрын

    @@GumzolaGhassani na omba kitu kimoja cku mmoja muzingumze kuhusu watu km wa kizimkazi au donge au watu hawa weusi mana hebu tu wekeni wazi mana naona mnazungumzia warabu tuu vp kuhusu hawa wa zanzibar weusi na ndio kila s7bisha hata mapinduzi Kwa mana weusi nao wakataka waongoze nchi ilikua aje ndio mpaka tukawa htuja elewana

  • @hafidhyakoub8369

    @hafidhyakoub8369

    2 жыл бұрын

    @@GumzolaGhassani halafu ulikua utupatie history ya kanisa la mkunazini mana zamani nilitembea na nilikua mdogo sna nahisi kimo chumba ambacho kilikua kinafichiwa watumwa apo ndio tutajua ukwel kweli zanzibar watu weusi walikua wa kifanywa watumwa au kulikua tuu na bishara ya utmwa na Kwa nn watumwa wafichwe kwenye ma handaki km kweli utawala wa zanzibar ulikua unaruhusu bishara ya utmwa

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid58643 жыл бұрын

    Hio ni sababu ya chuki kweli waliofanyaabaya hawatajwi

  • @allykhamis3378
    @allykhamis33783 жыл бұрын

    Hii ñdio history ya kweli kabisa ya bikhole ni tafauti kabsa zimulizi za ya wajinga wanamzulia uwongo kwamba alikuwa mzinifuu ni porojo la baadhi ya watu wajinga

Келесі