Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

This is an official KZread channel of the Swahili poet and multimedia journalist, Mohammed Ghassani.

Maulid ya Maalim Seif

Maulid ya Maalim Seif

Mwisho wa Hadithi

Mwisho wa Hadithi

Пікірлер

  • @willykhatambi9226
    @willykhatambi922617 сағат бұрын

    Kifo huna huruma

  • @user-ik4xc5vh7b
    @user-ik4xc5vh7bКүн бұрын

    Allah akulipe maalim kw jihaad ulioifanya

  • @111dudi
    @111dudi2 күн бұрын

    Kuna ubaguzi uliojificha.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir86883 күн бұрын

    Karume alikuwa chenga hamna kitu kazidiwa kete na Nyerere na mwenyewe anathibitisha hayo na zanzibar kaipeleka Tanganyika kwa nyerere kiuzembeuzembe tu mpaka leo tunapata shida

  • @philipmarmo3522
    @philipmarmo35227 күн бұрын

    Ni "Wairaqw" na siyo Wairaq au Wairaki. Wairaqw kutokea Iraq ni propaganda za kina Mwalimu Mzee na walimu wenzake wa shule ya kati, Endagikot walipoandika kitabu cha kwanza cha historia ya Wairaqw. Ukitakaka kufahamu aslli hasa ya Wairaqw pengine ni vema kujaribu kufahamu asili ya makabila ya Ethiopia ya Kaskazini na Eritrea (DNA inathibitisha ukaribu wao na Wairaqw). Makabila hayo hayakutokea Iraq, ila maeneo ya Afrika Kaskazini na Syria. Kutoka enzi Ibrahimu na kabla, watu walioishi Iraq ya sasa wanajulikana na hakukuwa na watu kama Wairaqw!

  • @mtambileenglishmediumschoo154
    @mtambileenglishmediumschoo1549 күн бұрын

    Mashallah uwape hongereni sana

  • @HarounAnnabhany
    @HarounAnnabhany11 күн бұрын

    MashaAllah shairi zuri kweli

  • @a.856
    @a.85611 күн бұрын

    Jazakallah khayran

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid331313 күн бұрын

    Amiiin yarabbi

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid331313 күн бұрын

    Mashalah hahaa jamaani uwape

  • @mrafm7285
    @mrafm728514 күн бұрын

    60% ya kiswahili ni kiarabu sio 40%

  • @aladinynur7915
    @aladinynur791514 күн бұрын

    From Iraq to Ethiopia before Suez canal built following great rift wall to South Africa

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies967014 күн бұрын

    We badala ya kusema waarabu wana asili ya waairaq we unasema waairaq ndio wana asili ya waarabu

  • @veronicasafari600
    @veronicasafari60014 күн бұрын

    Hatimaye wairaqw tumefka Majuu

  • @samwelpanga2404
    @samwelpanga240414 күн бұрын

    Wairaqw wenzangu weka like hapa tu enjoy

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji892314 күн бұрын

    Asante dada historia nzuri kujua❤

  • @arafaamour7952
    @arafaamour795214 күн бұрын

    MashaAllah MashaAllah 😘

  • @lumage
    @lumage14 күн бұрын

    Desi Laway

  • @ZubeirJuma-up7kb
    @ZubeirJuma-up7kb15 күн бұрын

    Mungu wao juwa hatr xnaa

  • @zaneco
    @zaneco15 күн бұрын

    Interesting, endelea kuwahoji watu kama hawa wanaoelezea history bila ya kuingiza siasa

  • @saidkhamis6157
    @saidkhamis615715 күн бұрын

    Mimi na Salma Yahya na Fatma Makame hadi Uzeeni 💚💚💚

  • @arafaamour7952
    @arafaamour795214 күн бұрын

    Kwa kawaida mtu hula chakula akipendacho😅, jaribu na chakula hicho pia hwenda ukakipenda😘

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani724415 күн бұрын

    Dada mnafanana na sura za kiarabu you look beautiful

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi972915 күн бұрын

    Usisahau kwamba zanzibari ili pata uhuru kamili salama salimin hata karume alisherekea uhuru NA elikua serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe sasa yeye alishiriki katika mauaji zaidi ya waaslaam elfu ishirini bila ya hatia ni raia tu hawana silaha yeye NA nyerere NA jhon okeli NA mjeshi ya tanganika NA ungereza NA kuiteka nchi NA hayo ni kupiga uslaam tu

  • @Abdullatifkilupy-tn6ii
    @Abdullatifkilupy-tn6ii15 күн бұрын

    Hahaha nimefurahi sana. Ila nilikua nacheka sheikh Mohammed ulivokua unashangaaa. 😂😂 Hongereni sana. Kiswahili ni urithi unaopaswa kudumishwa kwa hali na mali.

  • @kassimabdullah6372
    @kassimabdullah637215 күн бұрын

    Ukiachilia mbali usafi wa lafdhi yake, Kiswahili cha Prof. Laura ni cha hali ya juu sana na naweza kusema kuwa anawashinda wengi wa wanaojinasibu na Uswahili hasahasa vijana wanaoondokea. Si siri hata kidogo kuwa vijana wa siku huzi wana upungufu mkubwa sana wa uwezo wa kujielezea kwa lugha ya Kiswahili. Imekuwa kama ni kilema, vijana wengi siku hizi hawawezi kuzunmza sentensi chache bila ya kuchanganya na Kiingereza. Huyu bibi kwa kiasi fulani amejaribu sana kujiepisha na hali kama hivo.

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry640015 күн бұрын

    Nimependa sana kumsikia Muirak akijibu na kujielezea kwa ufasaha lakini pia nimestuka kusikia wairak wana misamiati ambayo haiko katika kiswahili lakini iko katika misamiati ya kiarabu. Hii inaisharia pia kua kulikua na mahusiano halisi baina ya waarabu na wairak au ni watu wa asili moja

  • @elimukwanza4657
    @elimukwanza465715 күн бұрын

    Kwanini anasema Luga na anaweza kusema Lugha

  • @d15355
    @d1535515 күн бұрын

    Hawa wairaq kwa ufahamu wangu na jinsi nilivyokaa nao asli yao ni ethiopia na wanafanana na wale Amhara wa wa kule, ila sio waarabu wa iraq ni neno tu linafanana nalo, ila sio, bali ni jami ya semitic kama wale amhara na waeritrea ndio jamii yao,ila eleweni kuwa maeneo yoote ya centra Tz kwenda juu asli yake ni maeneo ya makabila ya kiethiopia na yale yenye asli ya kisomali na yale ya kinilotics na bushmen wabantu waishio sasa wameamia miaka ya karibuni tu kama 300-350 nyuma, hao ndio wenyeji asli wa maeneo hayo

  • @sulebaajun6015
    @sulebaajun601515 күн бұрын

    Unajua wa Amhara na waarabu ni walewale?

  • @d15355
    @d1535514 күн бұрын

    @@sulebaajun6015 ni race moja hiyo tunakubali ila ishu hapa ni je walitoka iraq kama wanavyodai? jibu hapana hili ni muendelezo wa makabila ya kiethiopia sio waarabu wa iraq,sababu semitic people hawapo waarabu peke yao kuna waarabu,wayahudi,amhara,copts,tigrinya,wasyria wa kale etc hivyo point itabaki palepale kuwa hawa wana relate more na waethiopia.

  • @sulebaajun6015
    @sulebaajun601514 күн бұрын

    @@d15355 If you look at the map, it is a stretch if they claim they came from Iraq. Kama unavyosema, Ethiopia itakuwa ni sehemu ya karibu zaidi.

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid331315 күн бұрын

    Uwape munaupiga mwingi sana watunzi na waghani .. lakini Mghani kwa hapa umeonesha kipaji kikubwa sana ktk kucheza na sauti Mashalah Mungu akizidishie na aikuze kazi yenu UWAPE

  • @DAMIANOPETRO-n8l
    @DAMIANOPETRO-n8l15 күн бұрын

    Loa a amen aga akhasika

  • @kassimabdullah6372
    @kassimabdullah637215 күн бұрын

    Wow! Pongezi kwa watunzi wote na pongezi nyingi zaidi kwa mghani ambaye ameonesha ustadi mkubwa wa kuogelea katika bahari za mahadhi tofauti ya kuvutia na kuliwaza nyozo za wasikilizaji. Kwa kweli nimefurahi sana kupata fursa ya kusikiliza video hii.

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid331315 күн бұрын

    Mghani kaonesha ukomaavu mkubwa ktk sauti

  • @abuualiyuu2435
    @abuualiyuu243515 күн бұрын

    Assalamu aleyku, Sheikh Mohammed hiyo ni Lugha inayoshabihiyana sana na Lugha za kiarabu. na kama Taasisi ya lugha za kigeni Zanzibar inaweza kuunganisha Lahaja kaama hizi kwa kweli Lugha ya kiswahili ingeweza kuongeza Msaamiati wake kwa kiasi kikubwa

  • @DAMIANOPETRO-n8l
    @DAMIANOPETRO-n8l15 күн бұрын

    Loa a amen Bara khuaka

  • @azizamri1522
    @azizamri152215 күн бұрын

    Interesting! Ideology is still holding Zanzibar behind.

  • @yohanayusuf4713
    @yohanayusuf471315 күн бұрын

    Duh! mungu mke Jua

  • @salyali7807
    @salyali780715 күн бұрын

    Subhanallah

  • @DAMIANOPETRO-n8l
    @DAMIANOPETRO-n8l14 күн бұрын

    Kuna nn

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance675015 күн бұрын

    Mzungu akiongea Kiswahili hata kama cha "kuunga-unga" anaambiwa yupo "fasaha", mswahili kuongea Lugha ya Kigeni anaambiwa "na Kiingereza chake kibovu", jamani!

  • @kassimabdullah6372
    @kassimabdullah637215 күн бұрын

    Inategemea yule anayetoa maoni. Kwa mfano Mswahili atamsifu Mzungu na Mzungu atamsifu Mswahili. Lakini Mswahili atamdharau Mswahili mwenziwe kuhusiana na Kiingereza; na hivyo hivyo kwa Mzungu na Mzungu mwenziwe.

  • @a.856
    @a.85617 күн бұрын

    Jazakallah khayran

  • @aaahadventures4214
    @aaahadventures421418 күн бұрын

    😂

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance675018 күн бұрын

    ... Al hamdu lillah ...

  • @saidhamad7504
    @saidhamad750418 күн бұрын

    Tumefaidika vya kutosha, nafikiri mngetuekea link tuione documentary yenyewe, shukran

  • @bindawood978
    @bindawood97818 күн бұрын

    Mamaake Aida na Adila

  • @user-iw2kk4mw5m
    @user-iw2kk4mw5m18 күн бұрын

    Lazindua

  • @ecologicaltourskenya446
    @ecologicaltourskenya44619 күн бұрын

    Mashallah sxeikh mutta, you have open my eyes, thanks to ghassani to !

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance675019 күн бұрын

    Yananitoka machozi nishavyopotezwa mimi Wameshanifanya chizi wamenikata ulimi Sie mimi wa hirizi si wa teke si wa ngumi N'shazubazwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything20 күн бұрын

    👊✌️👍.

  • @user-bl6xy3cy9w
    @user-bl6xy3cy9w21 күн бұрын

    O matamu

  • @user-bl6xy3cy9w
    @user-bl6xy3cy9w21 күн бұрын

    Shukran

  • @MohdRashid-qq6js
    @MohdRashid-qq6js22 күн бұрын

    Alikuwa humble, wengi tunakosea tuangalie mwisho wake

  • @amesaleh6824
    @amesaleh682423 күн бұрын

    MashaAllah ndugu yangu

  • @a.856
    @a.85623 күн бұрын

    Jazakallah khayran