TAMKO jipya la Waziri bashe kuhusu sakata la MAHINDI "Mnataka kuua soko........"

Waziri wa Kilimo akijibu hoja ya bei ya mahindi yanayonunuliwa na NFRA wakati wabunge walipotaka shughuli za bunge ziahirishwe ili kujadili suala hilo leo Ijumaa, juni 23, 2023.

Пікірлер: 33

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын

    Huyu dada yupo vizuri, hoja nzuri🙌☝️👍👍

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 Жыл бұрын

    Foreigner afungue kampuni kununua mahindi sio practical dogo.process ya kufungua kampuni mwaka mzima mahindi bado yanamsubiri.maneno mazuri matendo porojo.pressure ya wakubwa.pole sana.

  • @NeemaMtambo-m6f
    @NeemaMtambo-m6f4 күн бұрын

    Jamani soko ra mazao mahindi sh

  • @mako331
    @mako331 Жыл бұрын

    Hebu wabunge punguzeni makofi ya hovyo hovyo tusikilize hoja

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 Жыл бұрын

    Bado pumba na mashudu wageni wanaenda mpaka maji moto Mpanda

  • @tonnyclinton
    @tonnyclinton Жыл бұрын

    Upo vizuri ilaa ni muongeaji sana unapunyanga

  • @chemicalmathayo3327
    @chemicalmathayo3327 Жыл бұрын

    Haogopi kusema ukweli huyu ndo mridhi wa magufuli hamna mwingine

  • @GraceNdunguru-l4f
    @GraceNdunguru-l4f15 күн бұрын

    Misijakuelewa luvuma amani makolo kilo 290 mambo Gani hayo

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 Жыл бұрын

    Hapo nimekuelewa sana Mh piga kazi baba

  • @stevenkatani3047

    @stevenkatani3047

    Жыл бұрын

    Nakuombea ufike mbali kisiasa mzeee

  • @mtumishimathias7762
    @mtumishimathias7762 Жыл бұрын

    Bei.ndogo

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Жыл бұрын

    Wew mhuni tu, WEWE TUPISHE, KTK NAFSi HIYO,

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 Жыл бұрын

    Nenda mbele Bashe Go forward

  • @marylyimo746
    @marylyimo746 Жыл бұрын

    Singida hatuna kituo, tunaomba kituo Singida.

  • @albertchubwa2546
    @albertchubwa2546 Жыл бұрын

    Bravo Bashe

  • @lennymallya8675
    @lennymallya8675 Жыл бұрын

    Kabisa kabisa kabisa safi sana,safi sana,ndy ndy ndy

  • @JoelinaKirway-ht5eh
    @JoelinaKirway-ht5eh Жыл бұрын

    Alex

  • @joesimba
    @joesimba Жыл бұрын

    Bashe anachoshindwa kuelewa ni kitu kimoja, huo utaratibu wa hivyo vibali vyote vinachukua muda mrefu sana kwa mkulima kuvikamilisha. Kama vipi kuwe na one stop centre ambayo hivyo vibali vitapatikana kwa pamoja

  • @FIFO28

    @FIFO28

    Жыл бұрын

    Hilo haliwezekana kwa saza mazao hununukiwa kila mahali kote nchini. Hivyo kila halmashauri nchini inatoa vibali vinavyotakiwa kwa ajili kusafirisha mazao ya chakula.

  • @joesimba

    @joesimba

    Жыл бұрын

    @@FIFO28 haliwezekani nini?

  • @chemicalmathayo3327

    @chemicalmathayo3327

    Жыл бұрын

    Kuwa na akili

  • @joesimba

    @joesimba

    Жыл бұрын

    @@chemicalmathayo3327 umepotea njia mkuu au?

  • @isiraeli
    @isiraeli Жыл бұрын

    Eti musirusu asajili

  • @lennymallya8675
    @lennymallya8675 Жыл бұрын

    Safi sana

  • @edwardmagige3187
    @edwardmagige3187 Жыл бұрын

    Safi sana dada umeongea point sana lkn pia je, tunao fanya biashara ndani ya nchi ni utaratibu Gani tufate?

  • @yohanambilinyi5856
    @yohanambilinyi5856 Жыл бұрын

    Huyu jamaa ni jembe

  • @saidPeace-xq1ld
    @saidPeace-xq1ld3 ай бұрын

    Ivi hayo anayo zungumza niyakwake? au anafosi kwann asiingize hoja yake bungeni ifanyiwe uchunguzi? Naona kama anafosi sheria😂

  • @zagarinojo4227

    @zagarinojo4227

    2 ай бұрын

    Bashe kila siku anagomba hivi huwa anamgombeza Nani😄

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Жыл бұрын

    Kwa nini tra na wizara ya mambo wa siamue kupiga kempu kwenye mikoa yenye matatizo kumaliza hilo

  • @jumandegwakazee

    @jumandegwakazee

    Жыл бұрын

    Njoo uwachukuwe kikomba

  • @chemicalmathayo3327
    @chemicalmathayo3327 Жыл бұрын

    Please naomba Bashe ugombee urais please Sana wewe ndo mtu pekee mwenye moyo wa unyenyekevu

  • @worldherotv
    @worldherotv Жыл бұрын

    Kwani nyie wabunge mmelipwa na hao wafanya biashara??

  • @jumandegwakazee

    @jumandegwakazee

    Жыл бұрын

    Kenya mumesikiya na watanzaniya walioko kenya wasifanye biyashara machinani

Келесі