SIMBA WAPEWA UKWELI MZITO NA SALAMBA/ CHAMA HANA MBADALA SIMBA!

Спорт

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 17

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi743426 күн бұрын

    Hujui kitu ww ndio machawa wa msomali. Mlisema chama amekwisha leo kahamia yanga chama hana mbadala simba. Ninyi ni mashetani mbona mnatuyumbisha?

  • @stellamboya8673
    @stellamboya867326 күн бұрын

    Ni sawa hamna mbadala wa chama lakini chama tayari hakuwa sahihi kucheza simba tena hilo mkubali au mkatae chama angezidi kubaki simba basi angezidi kuigharimu simba ni wakati wake wakuondoka

  • @luindabablui7213
    @luindabablui721326 күн бұрын

    Msenge tu huyu QUMA

  • @controlcil4774
    @controlcil477426 күн бұрын

    Unajipya salamba wewe uchambuzi ujui tena unashabikia utopolo wazee

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb24 күн бұрын

    Hana mbadala kwako

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n25 күн бұрын

    Huyu jamaa Hana marinda mpuuzi tu

  • @user-gb2pl3ln9m
    @user-gb2pl3ln9m26 күн бұрын

    Ovyoooo

  • @adamgwila3395
    @adamgwila339526 күн бұрын

    Kwa sisi Simba tunajenga Tim yetu tumeleta wachezaje kupambania nembo ya simba,hatujaleta wachezaje kuwa mbadala wa Fulani hapa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb24 күн бұрын

    Ww siyo Simba nitimu msomali

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m25 күн бұрын

    Wewe mkunduu

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko440026 күн бұрын

    Mimi ni Simba kakini nimekubaliana na Salamba. Simba itatuchukua muda kuwa title contenders wa ligi kuu. Hawa Vijana waliosajiliwa Simba ni wazuri sana lakini hawana uzoefu wa shuruba za ligi kuu yetu. Kwenye michezo ya CAF ni tofauti Simba wanaweza kufika mbali na hawa watoto kama wataclick. Lakini ubingwa hapa bado. Ila nimkosoe kidogo Salamba. Chama alipokuwa Simba alimwita mzee ambaye hana jipya la kuisaidia Simba na kweli ndivyo ilivyokuwa. Sasa hivi Chama yuko Yanga anamfagilia na kumpa maua yote. Huu ni ushabiki unaochanganywa na taaluma. Ukizidi unakupunguzia heshima.

  • @JohnTendwa-gn1nl
    @JohnTendwa-gn1nl26 күн бұрын

    Alafu pia, salamba anadai kuwa simba inachukua wachezaji kutoka nchi ambazo ligi zao haziko juu kama ya Tz, na simba imekivunja kikosi chake chote, hebu atuambie hao yanga waliwatoa wapi hao wachezaji wake? Ni misri, moroko, Tunisia au algeria? Na yanga walikijenga kikosi chao kwa miaka mingapi?kama yanga walipata mafanikio kwa pangua pangua kila mwaka wa Eng Hersi, lini wamekosa ubingwa ktkt ya uongozi wa Hersi ? Au atuambie inginia anayemsifu uongozi wake una miaka mingapi yanga? Hawa ni walewale waliokuwa wakiita simba mbovu, simba wazee nk, kumbe wana lao jambo. Tuwaangalie Raja casablanka, mwaka juzi walikuwa na kikosi chao kipya na isingekuwa kukosa uwakilishi kupitia ligi yao, bado wangesumbua sana ktk ligi ya mabingwa au shirikisho mwaka jana, hata hivyo ligi yetu pia iko nyuma sana kuliko ukanda wa kaskazini, kwani vilabu vyetu hapa ni viwili au vitatu tu, tungekuwa kama ukanda wa kaskazini ungeikuta simba iko nafasi ya saba au nane, ndio maana miaka yote ya utawala wa simba bado yanga dhaifu yenye bakuli ilikuwa ipo nyuma ya simba, alafu tunaisifia yanga wala hakuna mchambuzi anasema ligi yetu ni mbovu.

  • @kakakodokodo7477
    @kakakodokodo747726 күн бұрын

    Mbona mapema mnaanza kuongea hasa wewe unaejifanya data basse sehemu nyingi wakati simba ndio kwanza ananoa kikosi chake na hakuna halieona wakicheza hao wachezaji wapya hivyo wacha polojo zako

  • @adamgwila3395

    @adamgwila3395

    26 күн бұрын

    Tatizo wachambuzi hawa ujuaji mwingi tim hata hazija cheza

  • @adamgwila3395

    @adamgwila3395

    26 күн бұрын

    Tatizo wachambuzi hawa ujuaji mwingi tim hata hazija cheza

  • @adamgwila3395

    @adamgwila3395

    26 күн бұрын

    Tatizo wachambuzi hawa ujuaji mwingi tim hata hazija cheza

  • @adamgwila3395

    @adamgwila3395

    26 күн бұрын

    Tatizo wachambuzi hawa ujuaji mwingi tim hata hazija cheza

Келесі