HII YA LEO KALI MZEE SAID AAMUA KUTEMA NYONGO| ANUNUA KUKU KUMUAGA SAIDO SIMBA BYE BYE SAIDO😂

Пікірлер: 210

  • @user-tk1jh7rd8n
    @user-tk1jh7rd8n10 күн бұрын

    Mimi YANGA lakini mzee Said anatupa burudani kubwa sana 😂😂😂😂😂😂 MZEE AONGEZEWE MKATABA KWACHAGAMBA TUZIDI KUBURUDIKA

  • @bakarimmbukwini9623

    @bakarimmbukwini9623

    10 күн бұрын

    Mzee said mwamba kweli kwelikweli sasa niambie anayefuata nani baada ya saido

  • @trice_yanga

    @trice_yanga

    9 күн бұрын

    wanayanga lazima tumfurahie siku timu yetu ikiyumba hutomtamani mzeee😂

  • @errydeo8865

    @errydeo8865

    9 күн бұрын

    Atatuchamba huyooo😂😂😂​@@trice_yanga

  • @errydeo8865

    @errydeo8865

    9 күн бұрын

    Mzee Said ,TOENI SADAKA KWA WALEMAVU,WATOTO NA WAHITAJI, NDO DUA ITAFIKA! YANGA KUSHINDA FA,ZILIKUA DUA ZA WALE WATOTO! HERSI ALIWAHIDI KOMBE! MUNGU ALISIKIA DUA ZA WALE WATOTO SAID! DUA YOYOTE ITOKE ROHO SAFI! SIMBA HAMNA ROHO SAFI BADO!

  • @roi2554

    @roi2554

    9 күн бұрын

    Hata mi pia😂😂😂

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania10 күн бұрын

    mzee said leo uko na Furaha sana hongera kwa Maombi yako leo yametimia

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema10 күн бұрын

    😅😅😅😅 Mzee said amekua anatukosha sana sisi mashabiki wa yanga😂😂😂😂😂😂

  • @OmanAlkamil-nl2zw
    @OmanAlkamil-nl2zw10 күн бұрын

    Hatimae vita ya Mzee saidi na saido imeisha

  • @AlexMakanta-zn3zc
    @AlexMakanta-zn3zc10 күн бұрын

    Hamisa mobeto na Azizi k wameingia kwenye formula ya Mzee Said 😂😂😂 Mbona wataisoma Number

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi245410 күн бұрын

    Man of the mach Mzee said 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m10 күн бұрын

    😂😂😂😂 Mzee saidi unanipa rahaa sana

  • @gaspermathayo5204
    @gaspermathayo52049 күн бұрын

    Kwanza lakwanza kukimbilia penalty 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mzeee side

  • @nasseraljahwri6310
    @nasseraljahwri631010 күн бұрын

    😂😂😂 Chagamba shukran Sana 😂😂 kutuletea Mzee wetu Said, 😂😂 stress free Wallah

  • @shabanihaji3896
    @shabanihaji389610 күн бұрын

    Yan chagamba na mzee said uwa nawamic sna nikiwa saiz uku🏅🏅

  • @omarymuya142
    @omarymuya14210 күн бұрын

    Ugovi umeisha wa mzee saidi na sadiyo bado jobe na huyoakitoka sikuiyo atafanya sheele kubwa

  • @WasafiWasafi-up6du
    @WasafiWasafi-up6du10 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂 Mzee Said niko na kuku lingine

  • @Asatheboy-vp3yx
    @Asatheboy-vp3yx10 күн бұрын

    Jamani jaman jamani mzee said weweeee saidooo atakufata weweeee

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw10 күн бұрын

    hahaaaaaa .....wewe mzee wewee ...mimi yanga nimecheka mpaka basi

  • @user-eh6wn9qf4b
    @user-eh6wn9qf4b10 күн бұрын

    Nimesubili sherehe ya mzee said 😂😂😂😂😂

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo10 күн бұрын

    hahahahaha mzeee said jaman utaniua

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf10 күн бұрын

    Chagamba we nae umo umo"! Kwan mpka useme yupo mazembe. Benchi🎉🎉🎉😂😂😂

  • @gaspermathayo5204
    @gaspermathayo52049 күн бұрын

    Mzee side😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv10 күн бұрын

    Yanga mzee saidi kaongea kwa upole😂😂😂😂😂😂

  • @MabruckLingondo
    @MabruckLingondo10 күн бұрын

    😂😂usiombee mchezaji ukaingia kwenye mfumo wa Mzee saidi

  • @B.M-ix4rz

    @B.M-ix4rz

    10 күн бұрын

    Utatamani ligi iishe ukuimbie😅😅😅

  • @fatmaally7252

    @fatmaally7252

    9 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @SundayTweve
    @SundayTweve10 күн бұрын

    Mzee said bado mangungu nae apewe thank you😢😢😢😢😢😅chagamba unafulahi sana hicho kicheko balaa unafulahishwa na mzee said

  • @chemstry409
    @chemstry40910 күн бұрын

    Mzee wangu Mzee Said sasa hivi atakuwa na amani....😂😂😂😂😂

  • @B.M-ix4rz

    @B.M-ix4rz

    10 күн бұрын

    Weee subir ligi ianze tunapata tu furaha nyengine Kwa mzee said❤❤❤

  • @user-vj6py9tq9v
    @user-vj6py9tq9v10 күн бұрын

    Hahahaaa et kugombania penat na faulo🤣🤣🤣

  • @user-ks9tn4uw1m
    @user-ks9tn4uw1m10 күн бұрын

    Mzee anamkataa wajna wake😂😂😂😂😂

  • @trice_yanga
    @trice_yanga9 күн бұрын

    Saidoo kaondoka sasa itabaki kwa aziiiiiiiiiiiiiiiiiiii kiiiiiiii na hamisamobetto😂😂😂

  • @kakwaleseleman
    @kakwaleseleman10 күн бұрын

    mzee SAIDI ulakoze chane mzee wangu, hii maana yaake ASANTE, umetisha saana mzee wangu hii ya saido kila siku nilikuwa nakusubiri hatimaye imefika ULAKOZE(Asante)

  • @AlexMakanta-zn3zc
    @AlexMakanta-zn3zc10 күн бұрын

    Leo Mimi wa pili jamani kuwa nikutamu kumbe

  • @awadhhamza9296
    @awadhhamza929610 күн бұрын

    Chagamba tutaomba namba za Mzee said Hadi lini kaka ,acheni roho mbaya aiseee...tunataka tumpe 🥤

  • @mwanangusana

    @mwanangusana

    10 күн бұрын

    Sio rahisi kihivyo kutoa namba za mtu kirahic rahic hivyo ndugu zanguni.... Sio wote wanaweza kuitumia kwa Nia njema

  • @JosephineItambu

    @JosephineItambu

    10 күн бұрын

    Namba yq chagamba iko hapo upande wa kulia chini....kama unamhitaji Mzee Said inabidi upitie kwa Chagamba kwanza kwa sababu za kiusalama wa Mzee wa watu maana sio kila mtu ana nia njema

  • @fatumasophu5855

    @fatumasophu5855

    10 күн бұрын

    Haaah sa itakuwaje hata mi nataka no ya huyu mzee Yani I'm in ❤❤❤ with huyo mzee​@@mwanangusana

  • @user-xq7xy9xq4n

    @user-xq7xy9xq4n

    9 күн бұрын

    Unataka kumtumia mzee saidi hela tumia namba ya chagamba ipo hapo chini upande wa kulia ukisha tuma unamwambia hela ya mzee saidi

  • @Jastans-di5xn
    @Jastans-di5xn8 күн бұрын

    Hata kama angefanya vibaya kuliko wote, hakustahili kuitwa "NUKSI" Ww huenda ulikuwa na tatizo nae toka awali aidha chuki binafsi. Mungu akusamehe na akurehem, haya kaondoka next season nisione interview yako ukihuzunika kwa matokeo mabaya Simba kwakuwa umeshasafisha "NUKSI"

  • @KadajhKadigh
    @KadajhKadigh6 күн бұрын

    😂😂😂😂 sema mzee said 😂😂

  • @juma6253
    @juma62539 күн бұрын

    Hahhahhah mzee side mtata sana eti atamkumbuka saidoo kwa kugombania penati🤣🤣🤣

  • @user-md8zq5cf8v
    @user-md8zq5cf8v10 күн бұрын

    Naenjoy kumsikiliza Mzee saidi

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy145610 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂Nkwiooooo nkwiiioo nkwioooooo

  • @westonyjob1747
    @westonyjob174710 күн бұрын

    Ila Mzee said dar mung anakuonq😅

  • @josiacharles2778
    @josiacharles277810 күн бұрын

    Ivi tukitoa magoli ya saido, Simba tungekua nafasi ya ngapi?

  • @FredyDoto-jk8ud
    @FredyDoto-jk8ud10 күн бұрын

    Maji yatapumzika kwa mzee said kiukweli zikipita siku tatu bila kumsikiliza mzee said sijisikii aman kabisa

  • @ngido255
    @ngido25510 күн бұрын

    Mzee saidi very charming 😂😂

  • @SafiaWimana
    @SafiaWimana10 күн бұрын

    Kuku wajirani yako 😂😂😂😂😂😂

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs10 күн бұрын

    Eti amisa mbetoo 😂😂😂😂😂😂

  • @elishaedson861
    @elishaedson8619 күн бұрын

    Dah mzee saidi unanifurahsha sanaaa😅😅

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek10 күн бұрын

    Aah jamani,hakika CHUKI BINAFSI HAIFAI,kikoc chote msimbazi jumba bovu limemuangukia mtt wng mwana wa Buyenzi(Said Omar Ntibazonkiza),Mzee Said hebu punguza ukali wa maneno kwa kjn wako/WAJINA WAKO,hebu kumbuka jema japo 1 tu kwake..

  • @marthageorge5043
    @marthageorge504310 күн бұрын

    Mzee saidi😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌

  • @SafiaWimana
    @SafiaWimana10 күн бұрын

    mbona kama umecelea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @josiacharles2778
    @josiacharles277810 күн бұрын

    Jamani wanadamu atuna jamani 😢😢 Atamimi masapot saido kuondoka ala siyo kwaubaya uwo.

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi802910 күн бұрын

    Dah! Mzee Said nakupenda! Unajua kunifurahisha

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga129010 күн бұрын

    Mzee Said… Ana kipaji. He is smart!

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy849910 күн бұрын

    mZee said leo kufurahi kama mashabiki zake😅😅😅😅 aya wambie waandae team maana msije kuchukua 7 tena

  • @ashrafhamza9988
    @ashrafhamza99888 күн бұрын

    Dah ila mzee saidi miyeyusho sana kwa kuku gani mwenye kilo 10😅😅

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing10 күн бұрын

    Mzee Saidii Uwaga Anajuwa Kutufurahisha Xana ❤🎉

  • @josiacharles2778
    @josiacharles277810 күн бұрын

    😂😂😂 apo kwa sawa dogo mzee umepigaje apo 😂

  • @BarakaNjamag
    @BarakaNjamag10 күн бұрын

    Nasubiri hii interview

  • @mtafutajiog1939
    @mtafutajiog193910 күн бұрын

    ASEME SASA NANI ANAFUATA AMBAYE ANAPENDA AONDOKE MWAMBIE MIRAJI ASIFICHE ASEME NAN ANATAMANI AONDOKE AWE MUWAZI KAMA MZEE SAID

  • @RashidMussa-is7xo

    @RashidMussa-is7xo

    10 күн бұрын

    Chama

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    10 күн бұрын

    MANGUNGU 😂😂😂😂

  • @RashidMussa-is7xo

    @RashidMussa-is7xo

    10 күн бұрын

    @@salimmalaka256 😂😂

  • @rukasifanderi-jg4li

    @rukasifanderi-jg4li

    10 күн бұрын

    mzee wangu umetisha sana unaongea kama chelehan..... Duuuh

  • @ReganKimaro-js2rk

    @ReganKimaro-js2rk

    10 күн бұрын

    Cod ya miraj rahisi sana anataka chama aondoke

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela75417 күн бұрын

    Vita imekwisha na saido😂😂😂

  • @user-ix4uw8ke5t
    @user-ix4uw8ke5t10 күн бұрын

    mzeee saidi sidooo kafanya kazi sana mpenin tu jeshima yake mtawaogopesja wachezaji wengine kujiunga

  • @eliasiasende7115
    @eliasiasende71158 күн бұрын

    Mwambie mzee saidi ahishe kumzunguzia saido sasa ✅👋👋👋👋👋ayupo tena 😃♦️♦️

  • @zainaburamadhani1444
    @zainaburamadhani14449 күн бұрын

    chagamba mwambie baba yetu ampumzish sasa SAIDO atwambie next ambae hamtakiii😂😂😂😂😂

  • @S0stenessyka
    @S0stenessyka8 күн бұрын

    Ila mzee said nakukubali sana unasema ukwl na viongozi wamekusikia

  • @costadaraja2327
    @costadaraja23278 күн бұрын

    😂😂😂😂 mzee saidi eti anashika bukta utachana

  • @user-jo5ts1se2i
    @user-jo5ts1se2i10 күн бұрын

    Mzee side❤❤❤❤❤❤

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf10 күн бұрын

    Uyu mzeee ana nipa lahaaa snaa🎉🎉🎉🎉

  • @lamecksebyiga1630
    @lamecksebyiga16309 күн бұрын

    ILA HUYU MZEE KICHAA SANA😀😀😀😀😀😀, ANANIPAGA RAHA SANA NAMPENDA SANA, EBANA USIACHAGE KUMUHOJI, NAITWA LAMECK - HR HOTEL VERDE ZANZIBAR

  • @Emmanuel-cu7yu

    @Emmanuel-cu7yu

    9 күн бұрын

    Wow! Hotel Verde tunayoionaga inatangazwa kwenye Azam Tv

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami38548 күн бұрын

    😂mzeee saidi mitano tenaa

  • @bernaberna4159
    @bernaberna41598 күн бұрын

    Ila huyu mzeeee😂😂😂khaaaa

  • @SundayTweve
    @SundayTweve10 күн бұрын

    Mzee said bado mangungu nae apewe thank you

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta965810 күн бұрын

    😂😂😂jaman watani wangu Simba tutafute namba ya Mzee said tumchangie elf 1 2 3 4 jmn Mzee wetu Kwa yanga sis mashabiki wake tunampenda sana

  • @FridayNkini

    @FridayNkini

    10 күн бұрын

    Sasa huyu chagamba hataki kuweka namba

  • @user-lc6te2pe2l

    @user-lc6te2pe2l

    10 күн бұрын

    Tangia jana watu wanaomba atume tumpe chochote mzee wetu anatuburudisha.

  • @malietamalieta9658

    @malietamalieta9658

    9 күн бұрын

    Nani anajua jina analotumia Instagram anambie nije nijaribu kumDM aje na iyo mada na namba tukishaipata tuone tunafanyaje

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf10 күн бұрын

    Mzee saidi nawe ulakoze chane

  • @Aman-vx6xb
    @Aman-vx6xb10 күн бұрын

    Mbona mzee humuongei konde boy na ameachwa

  • @N0RBETHMPOLOSI
    @N0RBETHMPOLOSI9 күн бұрын

    MZEE SAID NGUVU MOJA ONE TEAM ONE DREAM FOREVER

  • @user-fw6pv8qw3j
    @user-fw6pv8qw3j10 күн бұрын

    Mzee saidi wanasema hivi ulakoze chane Kirundi na kiha 😅😅😅

  • @user-ls9ig9lk3t
    @user-ls9ig9lk3t10 күн бұрын

    Mzee saidi😂😂😂😅

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla10 күн бұрын

    Wamejipang kwa azz k saiv wanamadeni

  • @mariammuhumpa7544
    @mariammuhumpa754410 күн бұрын

    Mzeee saidi😂😂

  • @BabuZandar-ee4tg
    @BabuZandar-ee4tg10 күн бұрын

    Haaaaa mzee saidi kweli alimchukia saidoo kanunua kuku

  • @FredyDoto-jk8ud
    @FredyDoto-jk8ud10 күн бұрын

    Mzee said namkumbuka saido kwa kukimbilia penati

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert10 күн бұрын

    Asa imebaki vita ya mzee saidi na alajiga😂😂 kuku anasafilisha nuksi

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga244710 күн бұрын

    Mzee said uko na mambo leo sana

  • @flaxbeatman
    @flaxbeatman10 күн бұрын

    nimefurahi na mzee saidi leo❤❤❤❤

  • @user-zi8zz2vy6t
    @user-zi8zz2vy6t8 күн бұрын

    simba kua sawa mpak dulla atoke

  • @othmanali7408
    @othmanali740810 күн бұрын

    Chagamba unaona utamuu kumuhoji mzee saidi .

  • @LionOfWar
    @LionOfWar10 күн бұрын

    😂😂😂😂😂 mzee said aisee

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija19579 күн бұрын

    Saidoo hatokaa amsahau mzee said

  • @chakubutakamangila2274
    @chakubutakamangila227410 күн бұрын

    Mwambiye mzee saidi ni mnunuliye kuku mwengine kama kuna mtu aliye na namba zake naziomba

  • @errydeo8865
    @errydeo88659 күн бұрын

    Mimi Yanga,Chagamba😂😂😂😂mzee Said anajua sana Kithungu! Najiproud😂😂 Chagamba nipe namba ya mzee Said,nimtumie ela ya JOGOO! HICHO KIKUKU CHENYE MAYAI HAKITUTOSHI WANNAYANGA TUKIJA 🤣🤣 BORA NGOZI ( SUPU) LETU.....

  • @SundayTweve
    @SundayTweve10 күн бұрын

    Mzee said bado mangungu nae apewe thank you😢😢😢😢😢😅

  • @omwana5333
    @omwana53338 күн бұрын

    Jeneza mlilolipeleka uwanjani na dhihaka kibao dhidi ya Wakristo ndo vinawatesa, tumieni midomo hiyo hiyo kuomba radhi kwa Mungu na Wakristo wote

  • @MrMatikiti_kudondoka
    @MrMatikiti_kudondoka10 күн бұрын

    karakashenee is typing...

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka25610 күн бұрын

    MKITAKA KUMLA MBUZI WA MZEE SAIDI MTOWENI MANGUNGU SHENZISTAN YULE 😂😂😂😂

  • @moseshaji1177
    @moseshaji117710 күн бұрын

    Vita sasa itahamia kwa Jobe atasagiwa kunguni na mzee Said hadi aondoke na yeye

  • @MchomvuMasoud
    @MchomvuMasoud10 күн бұрын

    Mzee said anatufaa sn yanga tunamkaribisha

  • @HarriethLouis
    @HarriethLouis10 күн бұрын

    Kweli mzee said alikuwa akimchukia saidoo

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter475110 күн бұрын

    Leo meno yote 32 nje bado pa omari

  • @VictorMOSHI-hw3hg
    @VictorMOSHI-hw3hg7 күн бұрын

    😂😂😂😂Hamisa

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga41710 күн бұрын

    Mzee said Leo na kesho najua unafurah sana

  • @flaxbeatman
    @flaxbeatman10 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂nge imepigwa kule😂😂😂😂

  • @user-ix4uw8ke5t
    @user-ix4uw8ke5t10 күн бұрын

    acha kumchikia wapo wengi mbona wamefeli kuliko saidooo kavuja jasho mno

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy849910 күн бұрын

    Hahaha 😂😂😂Yanga😅😅😅

  • @samahakihange6421
    @samahakihange642110 күн бұрын

    Kwani saidoo alikufanya nini jammani mbona umemchukia sana kijana wa watu 😢😢

  • @user-pb3ub3gl4q
    @user-pb3ub3gl4q9 күн бұрын

    Hajakosea kweli ni "MWARAKOZE" yaani tunashukuru

  • @saidamanzi4923
    @saidamanzi49237 күн бұрын

    Umepigaje hapo mzee said yani boda boda alikuwa anaweka mafuta kwenye piki piki

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j9 күн бұрын

    Mzee Saidi Saido mulitwaa akiwa Geita sio Yanga

Келесі