SIMBA ULAYA ASHIKWA PRESHA YANGA KUFUNGULIWA USAJIL | CHAMA AU NDIO HUYO JANGWANI?

Спорт

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Пікірлер: 5

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipembaКүн бұрын

    Wewe kolo badilika usilete mambo ya zamani zamani wachezaji walikuwa wanacheza na vinjunga na sasa wawe kama wao? Wacha shabiki watoe maoni yao.

  • @feisalmohamed2848
    @feisalmohamed28483 күн бұрын

    Unaposema kuitetea manaake kudanganya au kusema ukweli?

  • @DripGod-js4ss
    @DripGod-js4ss4 күн бұрын

    Kumbe nimetambua y kuwa wanao ikandamiza simba ni nyinyi pass milion k Kiziwanda mzaramo ndio mnaoikandamiza simba n kufanya vibaya kibu dennis n ditramchimbi wanatofauti gani msima mzima goli moja kisha mnajitamba kuwa kibu mzuri dahh

  • @errydeo8865
    @errydeo88654 күн бұрын

    He is talking Nosense 😂! Utafukuza mashabiki au wanachama WANGAPI kwa kusema upuuzi uliopo! Msemaji wenu si ndo alikuwa anawaaminisha Ahly sio kitu! ? Nani mwingine! Simba kwa msimu 3 wanashuka na miwili mitatatu ijaoyo watakua hovyo,watu wasiseme! Hawa ndi machawa wenyewe,! Vyombo vya khabari ndo hivyo unavitumia kuongea ujinga

  • @user-vy5qv1si9l
    @user-vy5qv1si9l4 күн бұрын

    Pasi milioni kwani Kibu Denis kwenda America ni ishu? Ni kwamba Kibu Denis ni mkimbizi kutoka BURUNDI, Ndugu zake baada ya kuona maisha ya KAMBINI ni magumu waliomba Kwa shirika la kuhudumia WAKIMBIZI la UNHCR kupewa uraia wa AMERICA, Baada ya maombi Yao walikubaliwa Ndugu zake wote walitoka KAMBINI na kwenda America na kumuacha KIBU akiwa anacheza mpira Kigoma mjini.

Келесі