SIGARA NA SHISHA MARUFUKU ZANZIBAR.

Пікірлер: 32

  • @thamani5842
    @thamani5842 Жыл бұрын

    Ahsante Mh. Waziri, Tutafurahi sana kama mtapiga marufuku wanawake kwenda uchi kuvaa visuruali na viguo vifupi, wanaume kuning'iniza suruali mpaka zinakaribia kudondoka haya mambo yanatukera sana. Zanzibar Sasa imekua znz jina tu. Tunaomba Mh. Waziri haya mambo yako ndani ya uwezo wenu

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 Жыл бұрын

    Mungu akubariki akupe maisha marefu wanawake wanakwenda uchi vimbaya mnoo hata wanaume wanashusha suruwali chi yakiuno wapigwe marufuku

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 Жыл бұрын

    Yapi madhara ya electric cigarette?unguja hua Muna visheria vya ajabu sana,me nilitegemea utasema pombe ni marufuku kumbe nawee ni wale wale tu.

  • @RioIpo

    @RioIpo

    Жыл бұрын

    Tatizo mawaziri hao hawatoki Town babu...

  • @maryammtumwa8278
    @maryammtumwa82789 ай бұрын

    Alhamdulillah ya Rrabbi lidumishe hili na utupe ufumbuzi wa kudumu kunisaidia jamii yetu

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy Жыл бұрын

    Nawanawak kutembea uchu likemewe vikal naomb nawanaume wakikutwa wamesimana nawanawar vichochoron wapigwe bakor haswa

  • @AbdullahOmar-fv3ld

    @AbdullahOmar-fv3ld

    Жыл бұрын

    Serekali ya dhuluma haiwezi kufanikiwa hawana lolote hapo amani ccm hatar chama Cha mashoga Ni kikubwa hakina raisi tu halafu serekali inamkono mrefu lkn kw chama hicho Haina mkono mrefu

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr Жыл бұрын

    Allah Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Alhamdulillah Rabbi Allamin 🤲🏿🤲🏿🤲🏿

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Жыл бұрын

    Muliona haya ndo madhara mbona hamtoi sheria na kupapana na ushoga ubasha usagaji

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Жыл бұрын

    hii bora itasaidia sana

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 Жыл бұрын

    Bora mpaka pombe na sigara za kawaida na bangi zote ziwe haramu znz

  • @saidsalum9587
    @saidsalum9587 Жыл бұрын

    Usagaji na ushoga jee?

  • @hassanmchoro1198
    @hassanmchoro1198 Жыл бұрын

    Alihamdulilahi yarab likatazwe hili na jengine mabaa pombe wanawake kwenda uchi na wanaume wanoshusha suruwali manywele yanosukwa Zanzibar yetu irud kama alivyo iwacha rais wetu abed aman karume

  • @RioIpo

    @RioIpo

    Жыл бұрын

    Haiwezekani tena iyo dunia imesogea saivi

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын

    Katazeni ulevi pigeni marufuku mabaa yafungwe.

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Жыл бұрын

    How about kuko hoa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Жыл бұрын

    Hebu eka video nzima bwana we ahh Kazi kueka vipande tu

  • @nailamohd-wn6sb

    @nailamohd-wn6sb

    Жыл бұрын

    Ah anapenda kukata kata anarusha kidogo kidogo 😅

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Жыл бұрын

    na ma bar ya ulevi Zanzibar yaondolewe wa zanzibar hatuna hizi tamaduni na kwenye za keshi zote zisimamishwe shughul za kufanya ndio sehemu za starehe

  • @rastafare878

    @rastafare878

    Жыл бұрын

    Ni kweli kabisa

  • @ariifrazakh9371

    @ariifrazakh9371

    Жыл бұрын

    Dunia ndy inayoyatak haya zanzibr hatutoboi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Жыл бұрын

    Na ulevi vile vichupa vidogo kama konyagi pia vijana wadogo wanakunywa kuliko maji ila hao unaozungumza nao wote walevi ndio starehe zao

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 Жыл бұрын

    Azungumze kistaarabu hicho ni kibri Mzee

  • @RioIpo

    @RioIpo

    Жыл бұрын

    😂😂😂

  • @ghalibelghanim1151
    @ghalibelghanim1151 Жыл бұрын

    Hawa watu usiku wanaouza vyakula madaga mezani hasa huku chukwani wachekiwe health zao kabla hawajaruhusiwa kufanya biashara ya vyakula barabarani na ni uchafu. Vibanda vimejaa pembeni ya barabara vyote Serikali iviondowe nchi imekuwa uchafu KILA mahali.

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 Жыл бұрын

    safi sana Wamasai wamachinga na baadhi ya wapemba wanachafua sana mji

  • @mohammedkhkombo4439

    @mohammedkhkombo4439

    Жыл бұрын

    We mpemba anakulisha mbwa we kumamamako .

  • @rajabmsinzia1715

    @rajabmsinzia1715

    Жыл бұрын

    @@mohammedkhkombo4439 Nyinyi Some Wapemba matusi ndio yenu sasa wale wanaoweka nguo nje ya maduka ya walipa kodi ni nani kama sio Baadhi yenu Wapemba?sasa ule ndio uchafu wa mji ,na wale wanaopanga nguo barabarani na kuweka vimeza ni nani kama sio nyinyi baadhi ya Wapemba?Kisha kunilisha mimi huwezi kwasababu mmekimbia kwenu Pemba kwa sababu ya njaa zenu mukajileta Unguja kuzaliana ili muwe wengi muchukue madaraka hahah yagujuu Kazi kuchafua mji mtu nyinyi na wamachinga pamoja na wamasai ndio munaongoza kuchafua mji wa Zanzibari ,Watu wa Unguja wastaarabu Ammy hauwakuti vile na sio kama hawawezi ila ni wastaarabu na wanaheshimu mamlaka

  • @RioIpo

    @RioIpo

    Жыл бұрын

    ​@@mohammedkhkombo4439hahahas kake kasema baadhi tutuliee tu

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 Жыл бұрын

    this is nonsense 😭

  • @cr7abdalla480
    @cr7abdalla480 Жыл бұрын

    Apo mmenifurahis smz nip p1

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy Жыл бұрын

    Nawanawak kutembea uchu likemewe vikal naomb nawanaume wakikutwa wamesimana nawanawar vichochoron wapigwe bakor haswa