SHEIKH SULEYMAN MAZINGE VS PASTOR

SHEIKH SULEYMAN MAZINGE VS PASTOR

Пікірлер: 80

  • @salatitaachtv6480
    @salatitaachtv64804 жыл бұрын

    Allah u Akbar ustaadh Allah akuzidishie

  • @islamicnewschannel2551
    @islamicnewschannel25513 жыл бұрын

    Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.

  • @muliamadi859
    @muliamadi8593 жыл бұрын

    Sheikh asante sana tena sana maana kupitia nyie nimejifunza mengi sana kuusu mungu

  • @user-qz8iv7xl9x
    @user-qz8iv7xl9x Жыл бұрын

    mashaa ALLAH Tabarak Allah sheikh ,,ALLAH akuzidishie umri mrefu Uzidi kueneza Da'awa

  • @raelmonda1878
    @raelmonda18784 жыл бұрын

    Mafundisho mazuri yanayoeleweka, Alhamdullah. Mwendelezo tafadhali

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari20804 жыл бұрын

    MashaAllah, Sheikh wangu nakufuatilia sana napenda mijadala yako

  • @africanislamicmedia9269

    @africanislamicmedia9269

    4 жыл бұрын

    Kijana Hodari karibu katika channel yetu

  • @anicetnahayo2483
    @anicetnahayo24834 жыл бұрын

    Sheikh Souleymane Allah akulinde sana kila libaya.

  • @deluxermahyono5290
    @deluxermahyono52904 жыл бұрын

    Safi sana waungwana

  • @aishawangui6635
    @aishawangui66353 жыл бұрын

    Mashaallah mafundisho manzuri sijawahi yaskia tabaraka Allahu khyran

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar20044 жыл бұрын

    Masha Allah

  • @bimazubuteatibu9357
    @bimazubuteatibu93574 жыл бұрын

    Asalam mwalakm walahulah wabarakatu nilikua naswali sheheee

  • @zamzamnoor4282
    @zamzamnoor42823 жыл бұрын

    May Allah bless you sheikh mazinge 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @ramlamohammed5773

    @ramlamohammed5773

    3 жыл бұрын

    Ameeeee

  • @nak3477
    @nak34774 жыл бұрын

    Mazinge allah kakupa kipaji cha mijadalla...yaan kudefend hoja

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f2 жыл бұрын

    MASHA ALLAH Huyu Shekhe Suleman Mm Nakupenda Kufwatilia Muhadhara Zko Twakuombea Kila La Kheeri Na Umri Mrefu Akuhifadhi Ewe Bro

  • @aminaabu1599
    @aminaabu15992 жыл бұрын

    Eeeeh I'm speechless Mashallah Yani Uislam Raha

  • @irenenduta8576
    @irenenduta85762 жыл бұрын

    Muslims don't limit God. With God all things are possible. God bless you pastor 🙏

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari24444 жыл бұрын

    MashaAllah sheikh Mazinge.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud60012 жыл бұрын

    Sheikh mazinge Maashallah....hatujakuona kitambo kwenye daawa...!..tunahitaji tukuone na kama Kuna mitihani yoyote basi ALLAH Kwa uwezo wake akuondolee, na awape wepesi na AFYA njema MASHEIKH wetu ili muitangaze kalima ya LAA ILLAHA ILLA ALLAH...! ALLAH hashindwi jambo awaondolee mitihani migumu kama alivyowaondolea mitume wake, AMIIN RAB'BIL'ALAMYYM

  • @nak3477
    @nak34774 жыл бұрын

    Mashaallah

  • @africanislamicmedia9269

    @africanislamicmedia9269

    4 жыл бұрын

    Nak kariibu ndugu

  • @ramlaaly5314

    @ramlaaly5314

    Жыл бұрын

    Asalm alaikm

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe72274 жыл бұрын

    masha Allah mungu awazidishie sheikhs wetu.

  • @africanislamicmedia9269

    @africanislamicmedia9269

    4 жыл бұрын

    Yunis boshe amiin

  • @musafarah5

    @musafarah5

    2 жыл бұрын

    Mimi,Musa,Farah,yaro,kutoka,taveta,manshaalah,shekh,Suleiman,mazinge,mungu,akusidishia,inshaalah

  • @fatimahussen3234
    @fatimahussen32343 жыл бұрын

    Shekh mazinge unakupenda kwa ajili ya Allah ,,,mashaallah awalipe mema

  • @africanislamicmedia9269

    @africanislamicmedia9269

    3 жыл бұрын

    Fatima hussen Asante

  • @rbagha5280
    @rbagha52802 жыл бұрын

    This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi44384 жыл бұрын

    Yani mwajiita wakristo kwakukosa elimu shida nikutojua Ku tafsri maandiko hao wachungaji wao wanawapoteza wakiangalia lini mwanadamu mwenzio akawa mungu Kama sikudata nikuchanganikiwa huko tatizo shule

  • @africanislamicmedia9269

    @africanislamicmedia9269

    4 жыл бұрын

    Shifaa Zawadi kabisaa

  • @ramlamohammed5773
    @ramlamohammed57733 жыл бұрын

    Takbiiiir👏👏👏👏👏👏👏🖒🖒🖒🖒

  • @J4UPro
    @J4UPro3 жыл бұрын

    Maashaallah

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa79033 жыл бұрын

    Masha Allah wafunze wamuceAllah

  • @ijannalaliqashti3279
    @ijannalaliqashti32794 жыл бұрын

    ustaz mazinge kuujjeeni Adi Eriya yeettu

  • @kateloelcastromsapere1040
    @kateloelcastromsapere10403 жыл бұрын

    MashaAllah sheikh.. aibu kama wakristo hawajui dini yao

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid52423 жыл бұрын

    Hawa makafiri wnamkosea sana Allah

  • @sumeyaabdiqadir9755
    @sumeyaabdiqadir97553 жыл бұрын

    May Allah bless u with Janantul Fatso's🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @africanislamicmedia9269
    @africanislamicmedia92694 жыл бұрын

    Msisahau kusabaza

  • @sumyaahmed8290

    @sumyaahmed8290

    2 жыл бұрын

    Part 2 plzzzz 🥺🥺

  • @theoriginaldhol3032
    @theoriginaldhol30323 жыл бұрын

    Where’s part 2 please

  • @muliamadi859
    @muliamadi8593 жыл бұрын

    Sheikh Ismail yule mwezako yuko wapi?

  • @musanike3079
    @musanike30792 жыл бұрын

    Sheikh ukona Subra MashALLAH

  • @gasperkulaya628
    @gasperkulaya6282 жыл бұрын

    Fundisha watu kuusu Mungu usifundish wat kuus udhaifu wa din ya mwenzak maan dini aikupeleki mbinguni mamb yak mem ndo yanakupelek mbinguni

  • @yassirarafat2410
    @yassirarafat24103 жыл бұрын

    MASHA ALLAH SHEIKH MAZINGE

  • @zirabaabasa6373
    @zirabaabasa63732 жыл бұрын

    Thanks skh. may Allah rewards you. keep ahead

  • @adanhussein-ul9lv

    @adanhussein-ul9lv

    Жыл бұрын

    Mashaallah may Almighty ALLAH reward you

  • @abdulkadir-ly9ko
    @abdulkadir-ly9ko3 жыл бұрын

    Nimechelewa kuipata hii ila ina Mafunzo ya kutosha kwa wasioelewa

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid52423 жыл бұрын

    Yesu sio mungu na wala yesu sio mtoto wa mungu hakuna utatu mmelaaniw hakika Allah hafanani kitu chochote wala hana mshirika,ni uwezo wa Allah kun faya kun Mariam alipata mimba na Alizaliwa Issa bin mariam na mungu hana mshirik

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Жыл бұрын

    Mazinge piga vitu safi

  • @mudyboyka9514
    @mudyboyka95144 жыл бұрын

    Shekh Hawa km hz zitoe 2

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f2 жыл бұрын

    Salam Aleikum

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan31044 жыл бұрын

    Wakiristo vichwa maji very vichwa box from Oman

  • @shamirkarim4304

    @shamirkarim4304

    4 жыл бұрын

    قال الله تعالى "ولاتسبّ الذين يدعون من دون الله"

  • @yusarjunkhanna4100

    @yusarjunkhanna4100

    3 жыл бұрын

    @@shamirkarim4304unaelewa wasemaa ninii, nanii amekwambia hvyoo usikufuruu usemee maneno yakoo ambayo hayakoo kwa Quran maana Kiarabu twakijua

  • @shamirkarim4304

    @shamirkarim4304

    3 жыл бұрын

    Ya habibii yusuf khan mbona wa sema mimi nakufuru hebu fungua surah الانعم ayah ya 107-108 kisha unambie kama kweli si quran

  • @yusarjunkhanna4100

    @yusarjunkhanna4100

    3 жыл бұрын

    @@shamirkarim4304 kweliii, polee ni uelewaje wanguu shukran

  • @shamirkarim4304

    @shamirkarim4304

    3 жыл бұрын

    Yousuf Khan haina shida ndugu yangu sote twakosea

  • @bigcresent1277
    @bigcresent12773 жыл бұрын

    kwa kweli ukweli hutengana na ulongo.

  • @trinitymatrix9719
    @trinitymatrix97192 жыл бұрын

    allah limited God, dependent god. Dependent on his creation to manifest mercy.

  • @mulkimuhsin8715
    @mulkimuhsin87153 жыл бұрын

    A

  • @gasperkulaya628
    @gasperkulaya6282 жыл бұрын

    Kila siku unaongelea wakristo ww ufundishag ww unatafut udhaifu wa dini ya kikristo akat yak hina udhaifu mwing

  • @gharibafidunya
    @gharibafidunya3 жыл бұрын

    Hjjb

  • @simonmdune9066
    @simonmdune90663 жыл бұрын

    Wwe unasemanga vitu vizuri but hapaa kwaheshima ya kidini umekosea juu kila mtu tuliletwa na mtu mmoja na wote tunaishi dunia iliojaa dhambi so sioni haja yakudharau dini ya watuu nakujigamba kua yenu nisahihi kuliko yaw engine wakati wote tukitoka hapaa hatujui tuendako kuna nni banaa

  • @abdizehussein6395

    @abdizehussein6395

    3 жыл бұрын

    M:a keep it up

  • @sempaysensey6486

    @sempaysensey6486

    3 жыл бұрын

    Simoni mimi sioni kama kadharau ila Hawa wauslamu wanafundisha ukweli sisi tunafeliwapi

  • @yesukristo8626
    @yesukristo86264 жыл бұрын

    Mazinge ahutubu kuhusu Corona Virus, Eastleigh kzread.info/dash/bejne/X3-q0LidgJq8c7w.html

  • @andreaandrea1295

    @andreaandrea1295

    4 жыл бұрын

    Aisee japokuwa mimi ni mkiristo nimewakubali waisilamu mnamafundisho mazuri nipo tanzania na mimi napenda siku moja niwe mwisilamu kama alivyo yesu

  • @yesukristo8626

    @yesukristo8626

    4 жыл бұрын

    @@andreaandrea1295 Una hakika Kristo alikuwa Muislamu?

  • @juariaswabrina4549

    @juariaswabrina4549

    4 жыл бұрын

    @@yesukristo8626 kabisaa anaongea ukweli Hakuna mtume hta mmoja alieingia kanisani hata kwa bibilia inasema hivo

  • @shifaazawadi4438

    @shifaazawadi4438

    4 жыл бұрын

    @@yesukristo8626 Yesu alikuwa muislam upende ukatae yesu alikua muislam

  • @shifaazawadi4438

    @shifaazawadi4438

    4 жыл бұрын

    @@juariaswabrina4549 Kabisa mwambie huyo hajielewi

  • @charlesjoseph791
    @charlesjoseph7914 жыл бұрын

    Pasipo Yesu hakikufanyika chochote

  • @yusufmwangichannel6692

    @yusufmwangichannel6692

    4 жыл бұрын

    Kitu gani kaka hakikufanyika pasipo yesu?

  • @kijanahodari2080

    @kijanahodari2080

    4 жыл бұрын

    Bwahaha kwaivyo kabla yeye hajakuja kulikuwa hakuna maisha wakati yeye alikuja na kuomba Mungu,umepotea ww na mchungaji wako

  • @muslihmohd9420

    @muslihmohd9420

    4 жыл бұрын

    Aya unayo au ni uxhabiki tu

  • @shifaazawadi4438

    @shifaazawadi4438

    4 жыл бұрын

    Leta aya ambayo yasema bila yesu hakifanhiki chochote shida yanu ninyi tatizo elimu

  • @siyatsuldan2781
    @siyatsuldan27812 жыл бұрын

    Mashaallah

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish63463 жыл бұрын

    Mazinge kiboko.. wanageuka mabubu 😂😂😂