| SHAJARA | Simulizi ya Lilian Makozwe [Part 3]

Lilian hukusanya taka ili kuwalisha wanawe wanne
Mumewe alikuwa mtu wa kurandaranda mitaani

Пікірлер: 8

  • @FlorenceKhamedeMuluhya
    @FlorenceKhamedeMuluhya9 күн бұрын

    Mtoto wa my sister wamepitia shida sana mama yake nyumba iko karibu kuanguka, mimi nafata mamake kwa Mgongo pole kwa masaibu Lilian Mungu akuonekanie

  • @wangagirl3508
    @wangagirl350815 күн бұрын

    Mama mzuri sana anafaa award 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @Teresa-255
    @Teresa-25515 күн бұрын

    Ni mwerevu sana anatakikana sefikali imnunulie nyumba na kumwekea business.

  • @ruthmoraa-jn6bx
    @ruthmoraa-jn6bx9 күн бұрын

    Mama shupavu sana,mungu akuneemeshe dada

  • @ruthmoraa-jn6bx
    @ruthmoraa-jn6bx9 күн бұрын

    Mama shupavu sana,mungu akuneemeshe dada.

  • @RoseOwano
    @RoseOwano15 күн бұрын

    Sakaja amupe kazi

  • @wangagirl3508
    @wangagirl350815 күн бұрын

    Mwanamke na nusu

  • @LilianKairu
    @LilianKairu15 күн бұрын

    Where is part 1 of this story?