| SHAJARA | Angeline Kalunda anawatafuta wanawe wawili [Part 1]

Alipotelewa na pacha wake akiwa hospitalini
Angeline anawatafuta wanawe wawili

Пікірлер: 53

  • @colletamunyao2369
    @colletamunyao236922 күн бұрын

    So painful kama kuna mwenye ashaiwaona tafadhali ajitokeze.

  • @felistusmutinda2388
    @felistusmutinda238822 күн бұрын

    Angesema hospitali ni gani ili watu wengine wajue wasiende huko na pia mkono wa sheria utumike. Pole mama. Tunamtakia kurudishiwa watoto wake.

  • @VeronicaDunbar

    @VeronicaDunbar

    11 күн бұрын

    Lately, hiki si kipindi cha kwanza, ambapo nimeona hawataji majina km hivi hospitali. Zamani nilikua naona sipitali ya Pumwani Nairobi ikitajwa Taiwan sana. Labda sikuhizi hairuhusiwi. Ikiwa bado yakubaliwa, hopefully, host au mama na huyu kijana wake, wataitaja to anyone asking. Plus, simila info somewhere at the top or bottom, kutaja hiyo sipitali. 'Mtoto singuo, utampa mtu..... Geogi Mwamba, simba wangu...' Hopefully, hata watoto wenyewe wataona hii story. Na *Just* somehow, wamtafute huyu mom thro this prog/host. Na wakutane tena, sakama salamini.

  • @user-nj1yu1bf3s
    @user-nj1yu1bf3s16 күн бұрын

    Inama sana ata nimelia mungu akutete mum

  • @munichkin
    @munichkin22 күн бұрын

    Wish them the best

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo580622 күн бұрын

    inauma sana

  • @annengumbi5551
    @annengumbi555115 күн бұрын

    Mama you are right. Ufisafi ni mbaya.

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh22 күн бұрын

    Waliuza hao watoto nurses sometimes what you do it will affect your generations. Remember there is God who sees

  • @bonita329
    @bonita3292 күн бұрын

    Hivi wafrica tunamatatizo gani 😢kwanini unaiba watoto wa watu kisa pesa jamani mbona dhambi kubwa hii jamani ... Inasikitisha dunia hii inamashetani wakali 😩

  • @drsmith1596
    @drsmith159621 күн бұрын

    Very painful...... indeed

  • @editholoo6180
    @editholoo6180Күн бұрын

    Huyo daktari .... wewe Doc Mungu alikuona ...Ulijenga nyumba ngapi ?

  • @hannahrhodah2018
    @hannahrhodah201814 күн бұрын

    Eish ati nursery hakuingiangwi na nguo? 😳😳😳🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️ said who? Mimi ni daktari na sijawahi skia kitu kama hio, kwani hao nurse wenyewe wa hio hospitali walikua uchi? Haki medics wengine are evil than the devil himself

  • @erickithuka6997
    @erickithuka699722 күн бұрын

    Sad which hospital

  • @roselinekaari
    @roselinekaari22 күн бұрын

    So painful 😢

  • @Teresa-255
    @Teresa-25522 күн бұрын

    Kwa hivo huyo sister yetu ako around hapo Mwingi,so kueni mkimngojea hapo kwa stage.

  • @JosephGachiniMuchiri
    @JosephGachiniMuchiri22 күн бұрын

    So painful

  • @Sylvia-sd4mf
    @Sylvia-sd4mf22 күн бұрын

    If you do these stories that are supposed to help others,how do they help if you do not mention the facility?

  • @hannahrhodah2018

    @hannahrhodah2018

    14 күн бұрын

    Sometimes I wonder whats the essence off some interviews, they hide the most vital information

  • @irineadisa7289
    @irineadisa728912 күн бұрын

    Hao Madaktari siwakue wakitombana na wao wapate watoto wauze...pthoooo....walaaniwe wote....let's share and get the other kids,how old is miracle???

  • @lydiapeter8156
    @lydiapeter815613 күн бұрын

    Painful pole..bt I also to give out mine kwa wenye wamama wanaitaji watoto

  • @JudyMawia-ci3mr
    @JudyMawia-ci3mr21 күн бұрын

    Huyo ni mcungaji wangu wa kanisa la ushago sijui kwanini amlikataa kusema hospital....but ilikua pumwani.

  • @VeronicaDunbar

    @VeronicaDunbar

    11 күн бұрын

    Thank you. Pumwani ndio nilikua nasikia visanga vingi km hivi. Kwani hii sipitali ya Pumwani, Nairobi ni Jinamizi Kubwa aje? Imeengaisha watu SANAAAA. Kwani inakua somehow connected na "Kingping" Mkubwa wa Syndicate ya uibaji watoto. I mean "Mafiosa Style" BIG TIME !!!! Maybe one day atatambulika na kufanywe Senema/True Movie Kubwa WORLD WIDE. My God. It's time.

  • @gww-px8vc
    @gww-px8vc12 күн бұрын

    Wangeona mwenda wazimu singekubali kutoka huko

  • @georgegg1079
    @georgegg107921 күн бұрын

    Aah makosa kweli

  • @zaitunisagwa2082
    @zaitunisagwa208211 күн бұрын

    Hata kama, hii Familia ndio ilikuwa na makosa. Hawangekubali kutoka hospitali from day one mpaka kieleweke. Eti, natoka hosi hivo tu eti ningefanya nini???? A! Which kind of mother does that.

  • @mwituamweene9850
    @mwituamweene985015 күн бұрын

    Unyama. The dates of the incidence could help relatives and families where those 2 kids were put/sold with recall .

  • @hannahrhodah2018
    @hannahrhodah201814 күн бұрын

    Hao watoto wako huko Mwangi

  • @winnesakara6957
    @winnesakara695722 күн бұрын

    Duuuu

  • @annengumbi5551
    @annengumbi555115 күн бұрын

    Huyo msichana aliyekuwa anatumia boda anngeambia mwenye boda amuonyeshe huyo msichana mwengine aliyekuwa ana muona.

  • @eglahjepkorir6068
    @eglahjepkorir606822 күн бұрын

    Eish! This is sickening

  • @munichkin
    @munichkin22 күн бұрын

    Watu wanakufanana ni wengi nduniani

  • @wanjiruolive
    @wanjiruolive22 күн бұрын

    Whaat aki God what is this??? What kind inhumane injustice is this?

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo580622 күн бұрын

    jmn rudisheni ao wwtoto

  • @Mboki2
    @Mboki222 күн бұрын

    What if she picked a different son again? 😮😮😮😮

  • @hannahrhodah2018

    @hannahrhodah2018

    14 күн бұрын

    My goodness 🥺🥺😱😱🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️ don't say that cos inaweza complicat the whole situation, wah

  • @jacklinemuli8651
    @jacklinemuli865121 күн бұрын

    Ni hospitali gani hio

  • @bendetermbesa702
    @bendetermbesa70222 күн бұрын

    Makosa ni ya mzee hapa siku 4 zote bila kuona mtoto how

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo580622 күн бұрын

    uchi

  • @munichkin
    @munichkin22 күн бұрын

    Hospitali gani agesema

  • @mildredchebet

    @mildredchebet

    20 күн бұрын

    Pumwani

  • @MERCYmercy-rl3lu
    @MERCYmercy-rl3lu22 күн бұрын

    Sai wanauza watoto it's so painful kwa huyu mama

  • @samjuniorofficial4552

    @samjuniorofficial4552

    19 күн бұрын

    Very bad

  • @catherinenamachanja4670
    @catherinenamachanja467022 күн бұрын

    Name and shame.Why hide name of facility?

  • @robloxtripplets1243

    @robloxtripplets1243

    22 күн бұрын

    You can be sued for defamation if you have no proof

  • @samjuniorofficial4552

    @samjuniorofficial4552

    19 күн бұрын

    Exact,,,most important thing I believe wataonekana na through this wengine watasaidika🙏🙏🙏🙏

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau837622 күн бұрын

    Singetoka hapo walahi

  • @samjuniorofficial4552

    @samjuniorofficial4552

    19 күн бұрын

    Sometimes ubidi na pia kama hauna uwezo wafinyiliwa lakini najua jambo Moja mungu atabaki kuwa mungu my prayer wapatikane🙏🙏🙏🙏inaumiza

  • @gww-px8vc

    @gww-px8vc

    12 күн бұрын

    Me too singetoka

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh22 күн бұрын

    If I here this case it takes me back to pumwani where demons are operating how come unaambia mtu umepea yeye mtoto na ni uongo

  • @juliannahkimwele4637

    @juliannahkimwele4637

    22 күн бұрын

    Exactly 💯

  • @lazarusmusili8145
    @lazarusmusili814522 күн бұрын

    Kwanini alikua hosii pekee??

  • @samjuniorofficial4552

    @samjuniorofficial4552

    19 күн бұрын

    ukiambiwa watoto wako nursery na hauwezi ingia waeza Fanya anje kama mama lazima atembee uchi all that distance? Inaumiza ila mungu ni mwema

  • @maryfridahndunge5616
    @maryfridahndunge561621 күн бұрын

    So painful 😢

Келесі