| SHAJARA | Simulizi ya Lilian Makozwe [Part 1]

Lilian hukusanya taka ili kuwalisha wanawe wanne
Mumewe alikuwa mtu wa kurandaranda mitaani

Пікірлер: 16

  • @kipkorirjohnsigey4555
    @kipkorirjohnsigey455522 күн бұрын

    Mheshimiwa Mike Sonko, najua utafanya Kitu kwa huyu mwenzetu Mkenya Lilian Makozwe. Mama Kaunti wa Nairobi, Lilian asaidiwe.

  • @AfirenAfiren
    @AfirenAfiren22 күн бұрын

    Wale wa kusema Mungu atamsaidia, ikiwa mko karibu na mnaweza kumfikia, umsaidie tu please na Mungu atawaongezea

  • @wagrandykez4570
    @wagrandykez457015 күн бұрын

    Huu ndio mwanzo wa kunawiri...Mungu ayajibu majonzi yako...

  • @user-sw8yf2nn5r
    @user-sw8yf2nn5r22 күн бұрын

    May God intervene 😢mamaa God wil make a way for you

  • @lucianalundi1769
    @lucianalundi176922 күн бұрын

    May God see her through

  • @mohammedrajab6514
    @mohammedrajab651422 күн бұрын

    Jua tu Liliana Mungu mwenye kuwapa watu pia wewe uko kwa hio list ya Allah. Tumepitia hali kama yako na wale waliokuwa hawako wamerudi kwa hukmu ya Allah. What am trying to Tell you my sis is,your uncles hawataenda na hio shamba maisha ya dunia ni fupi. Allah atakupa kupitia kwa waja wake Inshaallah.

  • @estherwamalabe56
    @estherwamalabe5615 күн бұрын

    Pole dada, just in case ukuje vihika nitakutafuta niko bungoma, niko no yako

  • @maryfridahndunge5616
    @maryfridahndunge561621 күн бұрын

    May God intervine 😢for her

  • @worrylesstv
    @worrylesstv22 күн бұрын

    Alafu wale mnapendako kuwatch comedy videos naombako mnipitieko Leo tafasali 😂😂

  • @barygarcia3128

    @barygarcia3128

    22 күн бұрын

    Dont joke here when pple are mourning.

  • @worrylesstv

    @worrylesstv

    20 күн бұрын

    @@barygarcia3128 😳😳😳😳🤣🤣🤣

  • @carolinealubiri6246
    @carolinealubiri624621 күн бұрын

    😢😢😢 ipo siku yko itafika

  • @user-is7ck1jz3q
    @user-is7ck1jz3q9 сағат бұрын

    Mateso ya wenye haki nayo ni mengi lakini bwana huokoa nayo yote

  • @davidthuks2128
    @davidthuks212822 күн бұрын

    Noma sana bana

  • @AfirenAfiren

    @AfirenAfiren

    22 күн бұрын

    Yaani kumbe kenya kuna warabu, haki mtu kabisaa chakula ya choo anapea maid mabaki, walae wasiwahi ona amani, so sad

  • @kamrembomuthaka4645
    @kamrembomuthaka464522 күн бұрын

    Ya dunia huisha but upendo wa Mungu ni wa milele,siku moja watakutafuta uwasaidie hawa walikutesa.

Келесі