Serikali inabomoa ardhi zilizoko karibu na mito, Mathare

KHRC inasema ubomoaji unafanyika kwa njia isiyofaa

Пікірлер: 18

  • @sanyoras
    @sanyorasАй бұрын

    Now whats going on in kenya , mara kubomolewa nyumba, mara muguka, mara jeshi inatumwa haiti na yemen, mara uda imegawanyika, hakuna amani ata kidogo kila kona ni kilio,

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sqАй бұрын

    Tutawapanga kwenye affordable housing, tutahakikisha tumewashoosha, bottom up siku zote 🤣🤣

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sqАй бұрын

    MTO ata inahamishangwa wakati mwingine au Sio wadau😎

  • @borntowinborntoshine698
    @borntowinborntoshine698Ай бұрын

    I feel the pain but when water comes we lose lives that are too painful to bear...

  • @yumedia8540
    @yumedia8540Ай бұрын

    The most clueless government we've ever had since Kenya was created, this government is under curse

  • @williamwatitwa3534

    @williamwatitwa3534

    Ай бұрын

    When floods sweep them we cry serikali, when we reclaim the riparian lands we still cry serikali.

  • @lincolntamim3544
    @lincolntamim3544Ай бұрын

    Awesome team Uganda

  • @traceyjohnson3925
    @traceyjohnson3925Ай бұрын

    How can anyone support sakaja ? and ruto, kindiki...and the abuse of power

  • @traceyjohnson3925

    @traceyjohnson3925

    Ай бұрын

    Land grabbers to build the next group of greedy dynasties...

  • @francisirungu3460

    @francisirungu3460

    Ай бұрын

    Tunajua kazi ni ya nani?

  • @chalkyblac
    @chalkyblacАй бұрын

    wacha wahame,huko siko kuishi

  • @alextercisio
    @alextercisioАй бұрын

    Bona mnajega kwa mto??? Nyinyi ni wachokozi alafu mnaanza kulia lia ovyo

  • @sirn1246
    @sirn1246Ай бұрын

    It's very good, grabbing water catchment area can't be tolerated.

  • @yumedia8540

    @yumedia8540

    Ай бұрын

    You mlevi shut up , people's young children are sleeping in the called na unaongea matope hapa unataka kiboko wewe

  • @sirn1246

    @sirn1246

    Ай бұрын

    @@yumedia8540 wako na kwao it's either walitoka central, estern or coast to grab river banks

  • @johnonkoba740

    @johnonkoba740

    Ай бұрын

    ​@@yumedia8540 Wewe ndo mlevi

Келесі