😭⚠️SAUDIARABIA BREAKING NEWS AKI TEAMSTRONG PLZ STOP THIS ✋️ 😑

Ойын-сауық

Try the free video editor CapCut to create videos! www.capcut.com/?...

Пікірлер: 8

  • @mercymcute
    @mercymcute26 күн бұрын

    Mim hata kwa dawa😂😂😂

  • @christineombalombalo2365
    @christineombalombalo236527 күн бұрын

    Mii hata flower siwezi tumia mtu Ako idle Kenya ati akitaka pesa anakula online na saa hizo mm sijakaa chini then nitumie mtu wueh 🙃🙃

  • @eunice3178
    @eunice317827 күн бұрын

    Mimi ati nisugue hamam apa nitumie mtu lion nijikute. Ata ueda ajawai tumia mamake mzazi io kiasi ya pesa jameni team strong tukue mak8ni ii pesa tunatoa kwa meno ya simba

  • @user-df2yr1cd6t
    @user-df2yr1cd6t27 күн бұрын

    I am from 🇺🇬🇺🇬 I love girl ❤❤❤

  • @anitamusyoka
    @anitamusyoka27 күн бұрын

    Mimi siwezi

  • @Pretty22750
    @Pretty2275027 күн бұрын

    😂😂😂 qwani alisikia nyakoo ni mchungaji?mie hata mchungaji aniambie nimtumie ili aniombee atasoma namba km ni kutoa fungu la kumi nk na Dini yangu ambayo huwa ninahudhuria so huko ndo nk suppose kutoa mm huwa nashaangaa wenye tuko huku Gulf tunawashwa na pesa sijui nikujipendekeza weee sio yangu watasuburi sana Nkt 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🙈

  • @christineombalombalo2365
    @christineombalombalo236527 күн бұрын

    Ivano ni ujinga tu Mii nko gulf but siwezi fanya kitu kama hiyo wueh!!🙆 hii kazi ni ya kucheza na pesa Yako kweli Mii sikukuja na kitabu but hata elfu Moja nikitumia mtu lzma ikue na sababu yake Bure hutaamka asuhi kuniambia nikutumie pesa nikutumie wueh,!!!

  • @DianaKubai
    @DianaKubai27 күн бұрын

    😂😂 i think she did for some promises... Mbona nyako alimblock, maybe alimdanganya atafanya jina yake ikue fame na a gain more followers

Келесі