Sajenti mkuu John Muriithi azikwa Kirimunge Kirinyaga

Safari ya miaka 17 ya kuhudumu katika idara ya jeshi la Wanahewa ya Sajenti mkuu John Muriithi imefikia kikomo kijijini Kirimunge Kaunti ya kirinyaga Ambapo amezikwa.

Пікірлер

    Келесі