#SAFINA

Pamoja na harufu kali ya wanyama mbalimbali bado Nuhu alikaa safinani

Пікірлер: 51

  • @haningtonkabuta9387
    @haningtonkabuta93873 жыл бұрын

    Mungu azidi kuwatunza baba na mama yetu, wachungaji Hilda na Moses Magembe. Tunawapenda sana.

  • @zhakiamnkumbu9258
    @zhakiamnkumbu92582 жыл бұрын

    Nakupenda sana Mchungaji Moses hakika ujumbe huu umenigusa sana Mungu amenifungua mengi sana

  • @user-ol4zx7xd5q
    @user-ol4zx7xd5q12 күн бұрын

    Amen barikiwa baba

  • @keziairene3317
    @keziairene331711 ай бұрын

    Mtumishi wa Mungu wa UKWELI barikiwa sana...twakupenda hku Kenya..karib...

  • @WalterMwanga-ft8zr
    @WalterMwanga-ft8zr19 сағат бұрын

    Ameni mtumishi

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h3 ай бұрын

    Barikiwe mtumoshi wa Mungu aliye hai Injili hii wachaxhe sana wanwambia watu ukweli wengi ni upotofu tu sijui maandiko wanapata wapi mpaka wanawapofusha akili hata watu waziweze kujua kuwa wanawadanganya barikiiwe sana

  • @faithkarema7422
    @faithkarema74223 жыл бұрын

    Amen pst God bless you niko saudia but nabarikiwa sana amen amen

  • @jakobogorrum6233
    @jakobogorrum62332 жыл бұрын

    Amen mtumishi wa mungu barikiwe na bwana

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga9 ай бұрын

    Hata muonekano wenu unaakisi Yesu yu ndani yenu❤

  • @naomimunanga6363
    @naomimunanga63633 жыл бұрын

    Aki kwakweli, hu ujube yeyote alieusikia pamoja nami, kama hatutaweza kubadili mienendo zetu kwakweli tutajikuta jeanamu tukilembua macho, mungu wa amani aki atusaidie jamani, yani hadi nimeanza kuuogopa ulimwenguni, my God bless you papa. Amen

  • @annesirengolifestyle1901
    @annesirengolifestyle19012 ай бұрын

    Amen

  • @danielrwimo8751
    @danielrwimo87513 жыл бұрын

    Amen baba mchungaji,familiya nyingi zimetengana ajili ya uyo ujinga wakumsikiya shetani nama pepo yake. Wengi wameitwa wacawi eti mapepo yamezungumza, eeeh MUNGU wangu tujaliye

  • @revmichaeldanieltv5154
    @revmichaeldanieltv51543 жыл бұрын

    Amen hii ndio injili ya kweli

  • @rizikiaugistin3262
    @rizikiaugistin3262 Жыл бұрын

    Amina Amina Amina

  • @britonbruno6091
    @britonbruno60913 жыл бұрын

    Amina kamanda wa yehova huyu jamaa ni burdoza anatengeneza njia kiukweli.

  • @medsonsanga4813
    @medsonsanga4813 Жыл бұрын

    Amen🙏

  • @songaandre158
    @songaandre1583 жыл бұрын

    Mungu atu urumiye sana kweli pastor

  • @festaaroni1736
    @festaaroni17362 жыл бұрын

    Ameni mtumishi ubarikiwe sana nakupata kupitia omani

  • @barikimpomwa6539
    @barikimpomwa65392 жыл бұрын

    Baba Mimi nitakuwa miongoni mwa mabaki yaliyo saliya na kuwa shujaa kwa Neno lako nimebarikiwa ahsante

  • @justinbulaze9256
    @justinbulaze92563 жыл бұрын

    Longue vie a vs papa,et que Dieu vs augmente la force

  • @zelubabelipetro7675
    @zelubabelipetro76752 жыл бұрын

    Amina baba iende mbere injiri ya YESU

  • @barikimpomwa6539
    @barikimpomwa65392 жыл бұрын

    Hatuchanjiii,Ahsante kwa injilii hiii

  • @carolinederi5690
    @carolinederi56902 жыл бұрын

    Amina Amina

  • @greenzabron5107
    @greenzabron51073 жыл бұрын

    Barikiwa tuliokoka kila tunapokanyaga ni sheria tunateka mji.

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki33302 жыл бұрын

    Amina

  • @danielmugo6404
    @danielmugo64042 жыл бұрын

    I feel it mchungaji

  • @alexnormans4368
    @alexnormans43683 жыл бұрын

    I thank you Pastor 🙏 Moses Megembe

  • @beatricekimario3520
    @beatricekimario35203 жыл бұрын

    Sema babaaaa....Barikiwa sanaa...

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga9 ай бұрын

    Nakukubari mzee, unafaa kuhubiri injili kwa wakati huu wa siku za mwisho, maana hata uso wako unaakisi wakati mwenyewe!!! Sio wengine wanaohubiri kwa mizahamizaha kana kwamba wanamuda wa kutosha! Any way nadhani wanadhihirisha adhma yao iliyowapeleka kuihubiri injili ili tu wavipate vya mwilini kwa kuwafurahisha binadamu hawa kuliko kumpendeza Mungu😢

  • @shukhuranpetro5796
    @shukhuranpetro57962 жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @songaandre158
    @songaandre1583 жыл бұрын

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 Amen

  • @titomathew9246
    @titomathew92463 жыл бұрын

    Mbarikiwe NYTV kw kutuunganisha lakin hiyo log yenu plz msiiweke hap ktkt ya screen , mbarikiwe kwa Kaz nzuri

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga9 ай бұрын

    Dar es salaam mko eneo gani

  • @jemicit
    @jemicit3 жыл бұрын

    Amen.

  • @riziksanga3040
    @riziksanga30403 жыл бұрын

    Amina baba mchungaji

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu59373 жыл бұрын

    Amina mchungaji Sema tupone

  • @barikimpomwa6539
    @barikimpomwa65392 жыл бұрын

    Sisi tunajeluhi,Ameen hiyo nimeielewa sana

  • @TinaTina-zq4xc
    @TinaTina-zq4xc3 жыл бұрын

    Ameen

  • @elyanabiimasdi2752
    @elyanabiimasdi27522 жыл бұрын

    Ameeen

  • @herrymwampashi8959
    @herrymwampashi89593 жыл бұрын

    Ubalikiwe

  • @zhakiamnkumbu9258
    @zhakiamnkumbu92582 жыл бұрын

    Nakupenda sana Mchungaji Moses hakika ujumbe huu umenigusa sana Mungu amenifungua mengi sana

  • @zuhurakihombo6715
    @zuhurakihombo67153 жыл бұрын

    Amen Amen

  • @winnyrocha1361
    @winnyrocha13612 жыл бұрын

    Amen

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu59373 жыл бұрын

    Amina mchungaji Sema tupone

  • @davidomari8660
    @davidomari86603 жыл бұрын

    Amen