RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI
RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE ZA KIVITA AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI
Hivi karibuni tulikuletea simulizi ya Ndege ya kivita ya Ukraine, MiG-29 Fulcrum inayoongozwa na rubani aliyebatizwa jina la The Ghost of Kyiv (Mzimu wa Kyiv) ambayo ilikuwa gumzo.
Ndege hiyi ilipata umaarufu mkubwa kutokana na oparesheni za kijeshi inazozifanya katika Jiji la Kyiv ambapo ilisemekana kuziangusha ndege sita za kivita za Urusi.
Inaelezwa kwamba ndege sita za Urusi zilitunguliwa Februari 24, 2022 muda mfupi baada ya Urusi kuanza mashambulizi ya anga dhidi ya serikali ya Ukraine na kuanzia hapo, The Ghost of Kyiv amepata umaarufu mkubwa na kuungwa mkono na wananchi wengi wa Ukraine.
Tukiachana na stori hiyo, turudi hapa Bongo na tukutane na simulizi nyingine ya binti Mtanzania mwenye umri mdogo ambaye anaweza kuendesha helkopa inayoweza kutumika kwenye vita.
Huyu si mwingine bali ni luteni Usu Hasnat Akbar.
Ni binti ambaye hivi karibuni alitunukiwa tuzo ya kuhitimu masomo yake ya urubani Afrika Kusini.
Amesimulia changamoto alizokutana nazo pamoja na mambo mengine mengi. Karibu umsikilize….
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Пікірлер: 42
Hongera sana na Mwenyezi Mungu akuongezee kujiamini na kazi iendelee.nakupa Big up.watunze wazazi wako
Mashallah ALLAH barik
hongera sana dear Mungu azidi kukubariki na kukuongoza
Hongera Sana Asnat akbar
Hongera sana binti yetu we real proud about you
hongera mtt mzuri Mungu akusimamie lnshallha
Ongera sana dada kazana utuwakilishe watanzania big up
Hongerasana kwakweli mungu akusaidie najua utapitia mitihani mingi
Hongera sana dada keep it up
👏👏👏👏Never give up
Mashallah, hongera sana mdogo wangu, 😘❤️
Hongera kwake
Hongera Sana binti yetu
Nice
Very good
Hongera sana
Salut dada
Hongera dada
ONGERA SANA...........ADAA HAPO SH GAPI
Daaah tulikua wote pale TMA monduli
Ni jambo la kawaida sana kwani urubani hata kijana wa kdato cha nne anasoma tatizo ni kwamba unapataje nafasi kama auna mtu kwenye mfumo .
@romanambelle6356
2 жыл бұрын
Mpe hongera mbona kama unalalamika kwa wivu
@magrethmollel1078
2 жыл бұрын
Kama ni jambo la kawaida mabinti wooooote wangekuwa huko pamoja na wewe mpe mtoto wa mwenzio hongera na wakwako atafanikiwa
@yusuphkassimu227
2 жыл бұрын
@@magrethmollel1078 Hyo fani tatizo garama za malipo tu ni makubwa lakini akuna cha ajabu kwenye urubani jaribu kufatilia uone tatizo wandishi wa bongo wamechukulia kama kitu cha ajabu sana ndio nacho Pinga .
@jasonwatz7457
Ай бұрын
@@yusuphkassimu227urubani una vitu vingi, masuala ya kusema hakuna cha ajab ni kelele za tembo, otherwise kila mtu nchi hii angekuwa rubani
Huna connection undeshe ndege ya Nan? Endesha ungo wako msumbuane huko mtaani. Kunawatoto huku mtaani ni talented had unaumia ,hawana exposure tu,Ila fresh ...watu wa kawaida huku mtaani ndo wanaolewa
@benitoilulatvpilla144
2 жыл бұрын
Keel big
@jasonwatz7457
Ай бұрын
Haina connection, kwa jeshi la wananchi kama una vigezo wanavyotaka wanakupeleka kozi wenyewe
Sasa siamna vita..
Bongo bwana
wabongo bhana sasa huyu helkopta yule wa uganda anayesukuma ndege kubwa mbona awajisifii hivi dah😂😂😂😂😃😃😃😃
@Thomas-lm1dq
Ай бұрын
Hivi unajua license ya ATPL na CPL au unaropoka tu. Huyo anaweza kurusha ndege kubw kabisa ya abiria. Fuatilia hizo kozi za leseni za urubani alizosema zina kuwezesha kurusha ndege gani. Siyo helicopter (hovercraft) pekee.
😂😂😂ebwana eeeh atakayesema bongo bahati mbaya mpige makofi
@malitomalito
24 күн бұрын
Bongo sio Bahati mbaya viongozi ndio Bahati mbaya
Hii nchi bwana kama huna watu wewe wahi shamba lako tu huko kijijini. Watu hata salute tu hamna kitu .
@faridamohamed4677
2 жыл бұрын
Hongera binti wa Rashid Ajali Akbaru .mmefanana sana baba Allah amrehem
@dodwiedwin3944
2 жыл бұрын
Kwa hiyo ulitaka akusaluti ww!
Gost sio mtu icho ni kikosi maalum cha jeshi huku ukreni kinaitwa ivo na sio mtu
Vp
Nani kamwona yule dada corporal,nimemfurahia anavyo'match'
@user-ui1qs9yl1n
Ай бұрын
Nimemuona mzee na anabeba mzigo nyuma kinomanoma
Kabinti kazuri