RAIS SAMIA ALIPUKA - "WALINIJARIBU WAMEKOSEA, SITAACHA KUKOPA ETI KISA NAMCHEFUA MTU"

RAIS SAMIA ALIPUKA - "WALINIJARIBU WAMEKOSEA, SITAACHA KUKOPA ETI KISA NAMCHEFUA MTU"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Jumanne Januari 04, 2022 amepokea Taarifa ya Utekelezaji wa Matumizi ya Fedha za Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 26

  • @juliuskideula1535
    @juliuskideula15352 жыл бұрын

    Upo imara Rais,Mama yetu,umeyafanya hayo kwa ajili ya Taifa,Asante sana.

  • @mehboobkarmali5211
    @mehboobkarmali52112 жыл бұрын

    Well done madam president

  • @adrianabellydancer5256
    @adrianabellydancer52562 жыл бұрын

    Wa kwanza kukoment 🥺 pole mwanamke mwenzetu

  • @worldtv9049
    @worldtv90492 жыл бұрын

    Nchi imejaa unafiki hii,Rest Easy Magufuli,maaana waliokuzunguka duuh. Dunia ngumu sana hii,. Meno yanaficha meng sana, Mtu anaweza kukuchekea usoni,meno yote wazi,kumnbe duuuh.njaa zake tu. We Must be ready to die for our country,ni nyumbani kwetu,kwa watoto wetu na watoto wa watoto wetu.

  • @joycedominick4005
    @joycedominick40052 жыл бұрын

    Mama umetukuta katika hali mbaya..piga kazi mama achana na wapiga kelele

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo50422 жыл бұрын

    Well said my president

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du2 жыл бұрын

    Mama anajua kuchamba yaani, umenifurahisha leo. Kidogo kidogo, hana haraka, anakupasha unapashika. Kazi iendelee.

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya96482 жыл бұрын

    Hekima kwa kiongozi Ni Jambo la maana Sana. Itamkumbusha Nini aseme akilini kabla ya kufungua kunywa kusema lolote wakati gani kwa sababu gani na kuwaza Nini msikilizaji atajisikia akilipokea neno hilo.Viongozi ombeni Sana hekima, Wapambe wenye njaa,waoga wa kukosa cheo na wasio na utulivu wa akili hawafai kumshauri kiongozi mkubwa.

  • @frankkakobin2281
    @frankkakobin22812 жыл бұрын

    Mheshimiwa Speaker alipotoka na kupotosha umma. Mama tumekuelewa. Kazi iendelee.

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa67282 жыл бұрын

    Mama Upends sana Na Jitihada zako zinaonekana na Zipo wazi .kwa asiyekuelewa hao ni Wapenda madaraka. Mama tunakuelewa sana .chapa kazi Raisi wetu

  • @allymadunda7931
    @allymadunda79312 жыл бұрын

    Piga kazi achana na mifugaji,uelewa wao Mdogo sana kufikiri

  • @adolfridamulokozi9610
    @adolfridamulokozi96102 жыл бұрын

    Tuko nyuma yako mama! Hawajakuelewa! Wakati hupo mama watakiri kwa vinywa, ss tunakupmnra sana mama yetu wa mfano!🤗🤗🤗😍😍🤗🤗

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze63762 жыл бұрын

    😂😂😂😂

  • @benjaminpaschal759
    @benjaminpaschal7592 жыл бұрын

    Ila tz tumelogwa

  • @bartholomewshirima712
    @bartholomewshirima7122 жыл бұрын

    Kwani huko kwenu tatizo ni urais ?

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk2 жыл бұрын

    Muachie mbowe mama, tuendelee kujenga nchi

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge57022 жыл бұрын

    Hatutaki tozo mbona enzi za jpm tozo hazikuwepo alikuwa anatoa wapi hela unatuuumiza na mwigulu wako mpigaji

  • @emmanuelsagire9961
    @emmanuelsagire99612 жыл бұрын

    Wanatozo ila zinafanya kaz

  • @rasurmasoud5762
    @rasurmasoud57622 жыл бұрын

    Umeadaika kwamba wananchi wamekusapoti ,Ni kwa hao tu si tunajua mikopo ufilic nchi hasa za afrika coz wasimamizi wa mikopo hio kwa selikali yako siwaoni

  • @mzungu2012
    @mzungu20122 жыл бұрын

    BEI YA KARIBIA KILA BIDHAA IMEPANDA KASORO CHUMVI NA VIBERITI Sasa tunaelewa. Rais tulie naye ni wa namna gani. Na yupo hapo kwa manufaa ya kina nani. Na amezungukwa na watu wa namna gani. Na nafasi ya mwananchi wa kawaida kabisa ni ipi MALUMBANO NI NDUGAI, KWANINI KAMKOSEA MWENYEKITI HESHIMA ILA HAYA YA MSINGI WALA HAYAGUSWIIII

  • @ayubnsajigwa1037
    @ayubnsajigwa10372 жыл бұрын

    Mama anapiga kazi tulichelewa kumpata anasema ukweli , tulizoea kudanganywa na mtagulizi wake huwezi kuendelea bila kukopa au kuweka tozo.Tozo zina nafasi yake na pesa ikihitajika nyingi kukopa ni sawa

  • @sunnysalim879

    @sunnysalim879

    2 жыл бұрын

    yeye mwenyewe alikopa 29.5 Trillioni. Ukweli umeshajulikana

  • @MsAggie5
    @MsAggie52 жыл бұрын

    Mikopo lazima kwa maendeleo mikakati lakini matatizo ya ndani tulipe kodi wenyewe na usimamizi wa pesa uwe mzuri. Mama piga kazi angalia mfumuko wa bei, vyakula na vifaa vya ujenzi bei mbaya sana. Mungu yu nawe

  • @ummumayllah8006
    @ummumayllah80062 жыл бұрын

    Huku chini umetusahau tukumbuke 2025 si mbali

  • @magahzinyo7033
    @magahzinyo70332 жыл бұрын

    Punguza mipasho...fanya kazi sio mafumbo

  • @rehemandam2366
    @rehemandam23662 жыл бұрын

    Wakuu wasaidizi wa mama hakika mnadhalilisha taifa. Sisi kwa mama hatuambiwi kitu mama Tosha tena tena tosha jumla. Miaka mitano hakuna ajira, miaka mitano hakuna ongezeko la pesa,miaka mitano watu waliishi kwa hofu tu. Tangia mama kuingia mifuko ipo vizuri, ajira vijana wanapata, ayo mareli , ndege,n mengi tunayaona . Please utawala wa mama ni kutoka kwa mungu, hana majifuno, hana majisifu, anahofu na mungu na kutuongoza kwa hekima.

Келесі