⚒️RADDI KWA WALIOIFUNGA HAKKI NA WAO AU MASHEIKH ZAO,SHEIKH ABUU ABDUL-RAZAQ HARUNA RAASIYحفظه الله

Пікірлер: 10

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam7084 күн бұрын

    Wapo walifrahia kifo cha sheikh ndio maana sheikh HARUNA ras anakemea

  • @abuusuhayli
    @abuusuhayli5 күн бұрын

    yaani huyu haruna raasiy kichwa chake kibovu sana, siku za karibuni alikuwa singida tunamuon na watu weny mrengo wa hizbut tahriir

  • @farajithabiti8359
    @farajithabiti83595 күн бұрын

    Kwani kuna sheikh ambaye alipishana marhum amemzungumza marehemu vibaya?? Mbona maneno kama yamefungwafungwa

  • @AbAlhuraas

    @AbAlhuraas

    5 күн бұрын

    Wapo hao wachupa mipaka ,wamemsema kiasi cha Ukhbithi wao walio kuwa nao mpak wanasema hakuna kwnda kuhudhuria mazishi yake , ShubhanaaAllah

  • @ABUUBAAZNYUNGU

    @ABUUBAAZNYUNGU

    4 күн бұрын

    ​@@AbAlhuraaswatu gan hao? Wabainishwe

  • @AbuuSaad-ut4fd

    @AbuuSaad-ut4fd

    4 күн бұрын

    Abuu nuaymi ameeleza watu hao na Abuu zagari ameeleza pia kwa kunukuu yale yaliyoruswa kwenye magroup ya hao wlengwa . Fatilia humu humu audio zimo utajua kinachoendeleaa. Allah amrehemu Abuu Muawiya.​@@ABUUBAAZNYUNGU

  • @Abuuuyaynah-dg4xn
    @Abuuuyaynah-dg4xn5 күн бұрын

    Hayaaaaaaaa Maiti zinapiga chafya hukuuuuuuuu Hakuna swala wala kuzikaaaaaa

  • @ibnsalim3

    @ibnsalim3

    5 күн бұрын

    Achaa matusi na kudharau watu ww km amekosea basi ww kosoa tuu lkn acha usubu wa kisufi ww hizo sio tabia za kisalafy

  • @z34-kp9qq

    @z34-kp9qq

    5 күн бұрын

    ​@@ibnsalim3usimshangae huyoooo. Huyo kuna mtu kamkopi maneno hayo.

  • @Abuuuyaynah-dg4xn

    @Abuuuyaynah-dg4xn

    4 күн бұрын

    @@z34-kp9qq nimemkopi nani hayo ni maneno ya waswahili na wanayatumia Illa wewe kwa chuki zako kwa huyo unaaedhinia nimemkopi unasema kwa dhana acha kudhinia dhania

Келесі